fasting should be totally empty stomach according to what I know, when your belly is full of your food from eating all nights and in morning pretending to empty stomach? dotto is trying to be pure man not hiding anything behind, in name of Islam fasting. because as far i know fasting your belly should totally empty
Ww hjui ki2 kuhuc Swaum achna na hko kufnga kwnu kw Siku nne Hadi mnatak kufa ,Dini ya kiislami iliweka Sheria kwmb jua likiizama tnafthur na ikifka saa kumi usik klingana na majira ya ukanda uliopo unakula suhur (daku) unalala unaamka kuswl them unaendlea na Swaum na hyo nd Sheria ytu ya Swaum cio kufnga sik nne nzima Hadi unatak kufa na sik nyingin usiongee jmbo usilolijua n uzinzi .
Nampenda Dotto lakini kwa hili la kula mchana kadamnasi sijapenda. Wako wengi hawafungi lakini mbele ya kioo cha jamii not good, huku Ulaya/UK nipo almost 20 years lakini, wanajua nipo ktk funga wakila😂mbele yangu wananioba radhi… nahisi hapa sio sawa in Tv show
Wewe jinga kweli kweli. Watazamia watu wakuombe radhi kwa kula ili iweje? Jenga ukaribu na mola wako kadri unavyojua acha wangine waishi wanavyoona inafaa. Siku ya hukm kila mmoja peke yake. Ukoloni wa kujifanya wee safi kuliko wangine wapoteza tu muda. Huko UK unakotaka tujue unaishi wazungu wakuona wee kituko tu usijivune hapa siye waingereza twawajua sana tu
Mtangazaji nae......
Kizimkazi
Asalaam aleykum
Na apa hipo
Uyo ni mweu
Dah ameadhirika mama muone huyo ulimualika lakini hamna kitu siunamuona anakula tango si hadharani Bali duni mzima imamshuhudia aibu ilioje
Lili kula fatar ya bure kobe
Ndege tausi ikulu😂😂😂
Huyo mama yako badala afutulishe masikini unafutulisha matajili mtihani kwelikweli
Mlimani city aujengi hoja.
Waandsh wa habar wanasom vyuo gn😂😂 maswal at hayamuhus tuambie tuambie
It is cocolos😂
Alafu et ameftarishwa mh.
Dotto pesa ipo
kobe la mchana ilo.eti mtoto wa kisilamu
"Mtoto" wa kiislamu maana yake nini. Hawa ni waislamu tu sio watoto.
Pemba uwezi kula ivyo
Uwe unajipanga ndio maana anababaika na na na na
Dotto sio Muislam akuna muislam anava msaraba na anakula azarani mwezi uyu
Ukijitanda mtandio wapendeza sana ww Dada
Huyu mtangazaji hakiwii kuulizia swali lisilo muhusu anayemuhoji
Kumbe makobe ndo walialikwa futari ya ikulu
Mbona huyu dada kama hajui kuuliza maswali kila siku unazungumziaje unazungumziaje
Mnao sema vibaya kusu muislam mna uhakika sio muslim au kwa kuwa aanaitwa doto pacha lakin sio muslim
Duuu bonge la Kobe
Mwache ale Bwana
Nimemuelewa huyo Doto. Waislam hawafungi wanabadirisha masaa ya kula. Usiku mzima wanakula. Sasa hao wanakua wamefunga wakati usiku mzima wanakula na asubuhi wanaamka wanakula ?
Acha uchok ,kama na wewe unaweza badilisha masaa ya kula,kama unaona lahisi,mpumbavu wewe,
point taken they do wake up when stomach is full of food what of fasting because their belly are full with food
Yule sio muislam maana waislam tunaojielewa tunajia umhimu wa funga naikiwa muislam kudharurika hawezi kula popote
Kufunga Au Kuto Kufunga Ni sili ya mtu Utajuaje kama anatumia Dozi ya HIV au Anavidonda vya tumbo
Alicho kosea ni kula kwenye Hadhira ya watu
Ww unajua unachokisem au unapelekw na mihemko tuh
Dotto kumbe kafiri anadai yeye muislamu lakini hafungi
Kufunga Au Kuto Kufunga Ni sili ya mtu Utajuaje kama anatumia Dozi ya HIV au Anavidonda vya tumbo
Alicho kosea ni kula kwenye Hadhira ya watu
@@medyproductionTzWw ukiangalia hii nishati zote Dotto anazo alafu ashindwe kufunga
Ww umeona Dotto kafaa msalaba shingoni huo uislamu wake sio sahihi
@@medyproductionTz
SWALA LA KULA VP WAISLAM MNAFELI MUNATAKA MUKIFUNGA ETI WATU WENGINE WASILE HADHARANI .
Anauislmu gani hebu muangalie kwa shingo
Ukihitajika utaitwa 😂
Na hapa ipo😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
fasting should be totally empty stomach according to what I know, when your belly is full of your food from eating all nights and in morning pretending to empty stomach? dotto is trying to be pure man not hiding anything behind, in name of Islam fasting. because as far i know fasting your belly should totally empty
Ww hjui ki2 kuhuc Swaum achna na hko kufnga kwnu kw Siku nne Hadi mnatak kufa ,Dini ya kiislami iliweka Sheria kwmb jua likiizama tnafthur na ikifka saa kumi usik klingana na majira ya ukanda uliopo unakula suhur (daku) unalala unaamka kuswl them unaendlea na Swaum na hyo nd Sheria ytu ya Swaum cio kufnga sik nne nzima Hadi unatak kufa na sik nyingin usiongee jmbo usilolijua n uzinzi .
Jaman
Nampenda Dotto lakini kwa hili la kula mchana kadamnasi sijapenda. Wako wengi hawafungi lakini mbele ya kioo cha jamii not good, huku Ulaya/UK nipo almost 20 years lakini, wanajua nipo ktk funga wakila😂mbele yangu wananioba radhi… nahisi hapa sio sawa in Tv show
Sa wataka ajifiche kwa wanadamu ilahali mungu anajua ata ukiingia ndani ya shimo ,mi naona kama mtu hajafunga awe wazi tu basi
Wewe jinga kweli kweli. Watazamia watu wakuombe radhi kwa kula ili iweje? Jenga ukaribu na mola wako kadri unavyojua acha wangine waishi wanavyoona inafaa. Siku ya hukm kila mmoja peke yake. Ukoloni wa kujifanya wee safi kuliko wangine wapoteza tu muda. Huko UK unakotaka tujue unaishi wazungu wakuona wee kituko tu usijivune hapa siye waingereza twawajua sana tu
Huyu jamaa ni stupidy
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣