MASWALI NA MAJIBU:Mwanamke kuhubiri|kusuka nywele|kuchangia damu|ni dhambi!?Mwl.Ethel Dlamini wa S.A

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 182

  • @shuhudazakweli3406
    @shuhudazakweli3406 2 роки тому +19

    Hapo akuna mchezo mama tafuta mch mwanaume aliye itwa mpe kanisa wewe kuwa mwinjilist kazi ndani ya Mungu ziko nyingi sio mpaka uwe mchungaji mwanamke

  • @BintiMwambapa-ev6kw
    @BintiMwambapa-ev6kw Рік тому +2

    BWANA YESU azidi kukutunza Mtumishi Amieli katekela unanibariki sanaaaa

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 2 роки тому +10

    Wa mama wachungaji kuna vitu ambavyo wenyewe wanaona ndiyo dhambi saaaana kulikoni, kama vile kusuka nywele na kuvaa nguo za ovyo, ndiomaana utakuta kichwani wanajitaidi kufunga viremba na kuvaa nguo za kujistiri kabisa, lakini linapo kuja swala la mwanamke kutokuwa mchungaji wanaanza kuleta mifano mengi sana ya kujitetea. Kutowa ushuhuda wa mambo uliyo oneshwa au kupewa Neno na Mungu la onyo kwa kanisa lake aija maanisha umeteuliwa kuwa mchungaji moja kwa moja.
    1.Wakorintho 14:33-38
    1. Timotheo 2:11-13

    • @iyerastv3465
      @iyerastv3465 2 роки тому

      That's true kabisa

    • @marykilila8786
      @marykilila8786 2 роки тому

      Watu wa Mungu: kwa nini mnapo soma 1TIMOTEO 2:11-12 hamusome mpaka 15
      Ukiendelea 13-15 inasema hivi LAKINI ATAOKOLEWA KWA KUZAA MWANA , na kama huyu Mwanamuke anadumu katika IMANI, MAPENDO, UTAKATIFU NA MOYO WA KIASI, huyu anakuwa HURU wala si mufungwa wa sheria.
      Endelea kusoma Wagalatia 4:4-5
      Wagalatia 3:26-29
      Matendo 1:12-14 . Kwa kazi ya Mungu sote tunahitaji kutumika haijalishi uwe Mwanaume wala mwanamke wala kabila. Sababu ni maja tuu siku YESU atarudi sote tutaitwa BIBI HARUSI. Tatizo tuko tunajipakiza ku kazi ya Mungu bila kujazwa na ROHO MTAKATIFU. Wengi wanajazwa na ROHO MTAKAFUJO na ndio sababu ubishi tuu bila kuelewa. .Asante

    • @RealGiftLydia
      @RealGiftLydia 2 роки тому

      @@marykilila8786 nashukuru sana kwa maelezo yako, pia nimegunduwa kitu kinacho watatiza wengi wetu ni kwa kuchanganya Uduma na Imani, ki imani ni kweli kabisa sisi wote tuko sawa kwaku ridhi Ufalme wa Mungu,lakini ki uduma tuko tofauti, swali ni hili ni tofauti gani iliopo kati ya torati na neema?

    • @marykilila8786
      @marykilila8786 2 роки тому

      @@RealGiftLydia Ndugu Mungu hakutafautisha huduma ila tuu anamgawiya kila mtu kadiri anavyotaka yeye mwenyewe. Mungu anasema sote ni viungo vyake Wanadamu wasioongozwa na ROHO MTAKATIFU ndio wanaanza kutofautisha .Soma kwa makini 1WAKORINTO 12 :4 - 31 Tatizo bado watu wengi bado wangali katika ASILIA ya wababu .Mu familia watoto wakiume ndio walikua wanahesabiwa ,wakike hawakuwa wanajulikana . Wote walio mwamini YESU aliwapa ule uwezo wa kufanyika wana hakuna tofauti kwake YESU.

    • @marykilila8786
      @marykilila8786 2 роки тому

      @@RealGiftLydia Ndugu tafauti ya TORATI na NEEMA
      TORATI ni SHERIA kama vile sheria ilikua Mwanamke akiwa kwenye damu, marufuku kuingia kanisani yaani ni mchafu kabisa . Kwa wanaume tohara ilikua sharti tena agizo ,sheria ilikua jicho kwa jicho . Soma Mwanzo 17 :10-14. Ni SHERIA.
      NEEMA ni kupata kitu ambacho hukustahili kukipata . Waisraeli ndio kabila chaguliwa na Mungu watu wenye mafaha sasa walipo mkataa Yesu Mungu akageukia kwetu sisi Mataifa tulikua tunaitwa mizabibu ya pori. Na ile UPENDO wa Mungu kugeukia kwetu njoo NEEMA ,FADHILI ,ao KIBALI.
      Na NEEMA ina sharti moja KUTUBU.
      Mtu akitaka kusaidiwa na ile NEEMA ni kunyenyekea kujiona kuwa mimi kuwa si kitu mbele ya Mungu kutubu zambi kumaanisha kuziacha kabisa.
      Galatia 5:2-6 TITO 2:11-13.
      Na kama Mtu bado angali anapenda mambo ya dunia ile NEEMA haiwezi kumufunika kabisa. YOANE 1:11-13.
      Tujikaze kutafuta kweli ili kweli ituweke huru , YESU ni karibu kuchukua kanisa.

  • @nellydeborah943
    @nellydeborah943 2 роки тому +17

    Mimi kwangu siezi enda kinyume na neno, people are contradicting word of God, na pia watu hawaelewe hili swali la KUUBIRI, mwanamke ANAWEZA hubiri lakini kule inje kuevangelise , prophesize, worship do all but woman cannot have a church,even in bible no woman had sinagouge but they evangelize,and I remember Jesus said that asingekuwako angetuambia mema na makao yako mbinguni,vilevile Nabii Aston Adam mbaya asingekuwa kuzimu na kuona kwa macho yake na kutumwa na yesu angetuambia.aliyesema aliona na wanao Pinga niwale hawakuona Wala kufika kule .kwangu msimamo mwanamke asiwe na kanisa kama tuliambiwa na Adam mbaya

    • @modestarmuchiri5386
      @modestarmuchiri5386 2 роки тому

      Tatizo n kwamba watu hawasomi biblia wakaerewa.....

    • @peterpanyika6810
      @peterpanyika6810 2 роки тому +1

      Ata kama si Shuhuda ya Adam Mbaya; lakini biblically Mwanamke haruhusiwi ndani ya Kanisa kunena pia kuchunga na kuwa na kanisa.Aweza fanya uinjilisti nje. Pia zipo testimony nyingi Sana ,Yesu amewaonyesha Watu kuchukizwa na hili. Kumbuka jambo likiwa la MAZOEA watu hugeuza ni SAHIHI. HIVYO kukubali huwa NGUMU Sana.May God bless u!

    • @nyarkristoforjesuskoga3761
      @nyarkristoforjesuskoga3761 2 роки тому +1

      Thats it.awoman cant be aleader, apastor,abishop or have authority over men

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 роки тому +1

    Mapambo,Mavazi,vyakula, kusuka,uongozi ,pesa,Siku za IBADA, MADHABAHU.zinaleta changamoto sana kanisani.Tuongozwe na neno la Mungu jinsi ya kumpendeza Mungu tukiwa na ROHO mt ni kiongozi wa mambo yote ya Mbinguni .Tuombe na kufunga tupokee majibu yetu.Yesu yu hai atutetee ni KILA KITU.

  • @luciaalbert9616
    @luciaalbert9616 2 роки тому +1

    Uongo Uongo.... Warumi 3:20 hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki kwa matendo yake bali ni kwa kumwamini YESU KRISTO pekee tusome neno la Mungu tusipelekwe na kila upepo wa mafundisho mabaya.Namuamini Yesu kwahiyo huwezi kuniambia nikisuka siwezi kumuona Mungu, matendo yako hayawezi kukuhesabia mwenye haki mbele za BABA bali ni imani kwa KRISTO basi

    • @neemameshack2758
      @neemameshack2758 Рік тому

      Pole

    • @SajdatiLuambani
      @SajdatiLuambani 10 місяців тому

      Imani bila matendo imekufa asa hiyo imani hata shetani anaamini kuwa yesu ni Mungu ila matendo anampinga Mungu usijifariji mbingu sio ya mchezo

    • @IsmailMaberi
      @IsmailMaberi 3 місяці тому

      Aisee Mungu akusaidie yani ujui yesu alisema siku akija wengi watasema tulifanya miujiza na unabii Kwa Jina lako na atawambia tokeni kwangu ninyi mtendao maovu

  • @admerarobert3485
    @admerarobert3485 2 роки тому +2

    Wanadamiu tunajadili Sana Sheria za Mungu kwakuona hasiko sawa vile lakini Sheria za Mungu hazitabadika kamwe hiyo kubwa ni kutii mandiko sio vinginevyo

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 2 роки тому +1

    Yamuimu twikale mbali nazambi tumoogope Mungu tusikalie maneno tu yakusema mwanamuke astaili kuubiri. Wapasto wengi wanaume wazinzi wengi walevi sasa awo wanastaili kuwa wachungaji kuusu wanawake kuwa wachungaji mumwachie mungu alie waita.tuwe makini mungu anajuwa kila kitu tutafute roho mtakatifu atuongoze

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 роки тому +3

    Mchungaji awe mume wa mke mmoja na siyo kwamba mchungaji awe mke wa mume mmoja. Huyu dada anamjaribu Mungu

  • @Lola_andOlii
    @Lola_andOlii 2 роки тому +1

    Iyo nikweli kabisa maman mchunganji Mungu akubaliki gizi aliita wanaume na hivo hivo amewaita

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 роки тому +1

    Nashukuru sana kuhusu damu maana mm hata hospital siendagi tangu nilipogundua BW.YESU anaponya so nimeshukuru sana maana nilishajikataza kutolea watu damu lkn nilikuwa najiuliza labda ni dhambi Sasa nimepata nguvu hallelujah!!

  • @miria659
    @miria659 2 роки тому +1

    Napenda vle mchungaji katekela hujibu maswali Kwa hekima kwasababu mengine ni magumu kweli God help us tufike mbinguni salama sababu hii ndio hofu ya kila mmoja .God bless promover TV we learn a lot from this platform

  • @marymatekwa6867
    @marymatekwa6867 2 роки тому

    Bwana asifiwe Sana mtumishi wa Mungu, about the questions about women being leaders of the church men who were there long time were very committed to the word of God now we have just few Who you can ask most of them are big sinners they have nothing to answer you

  • @purity234
    @purity234 2 роки тому +1

    I agree with most things this woman of God with the testimony for the church is saying.God bless her..however,, that point that a woman should be the head of an entire church is not clear,,we should pray to the holy spirit individually for clear guidance and answers.. also,as God's servants working in Jesus company,we should be ready to work anywhere, even as street preachers.. we shouldnt necessarily show as if we are clingy to one type of job..we are flexible.. those with wisdom will understand.. apart from that,I love you all❤️❤️

  • @BintiMwambapa-ev6kw
    @BintiMwambapa-ev6kw Рік тому

    Mery hakuwa mchungaji alifanya uinjirist , MUNGU akukumbuke sanaaaa watumishi wengi wametumwa kukemea ilo ,achia Mme wako uchungaji

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 роки тому +3

    Wow Mungu Awabariki wachungaji wote mko kwa mkutano huu. Mumepata Neema.
    Nimjibu huyu ndugu aliesema kuhusu sheria za kenya.
    South Africa mashoga na wasagaji sheria inaruhusu waoane ni sheria.
    Je na sisi wana wa Mungu tuwe mashoga kwa sababu ni sheria La hasha. Nijibu la kuzaa mwanamke Muebrinia kule Misri Mungu aliwapa nguvu wakazaa na sisi tuliompokea Yesu tunaitwa mwanamke Muebrania. Yesu alipotuokoa alituondolea Laana zote. Jacktan Barikiwa sana na pastor Amieli Mungu Aendelee kukutunza. Amen 🙏

  • @aishaidrissa6133
    @aishaidrissa6133 2 роки тому +1

    Mama ili uweze kumwelewa Mungu unahitaji unyenyekevu, acha ubishi vitu vingine umesema sawa but endelea kunyenyekea katika roho utapata majibu yote

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Asante Mchungaji Katekela

  • @marykilila8786
    @marykilila8786 2 роки тому +1

    Sasa wale wanaume wanawakataa wanawake wasifundishe makanisani Yesu atakapokuja atachukua bibi harusi jee wewe unajiita mwanaume utakubali kuitwa BIBI HARUSI siku ile ??? sote ni bibi harusi na kwa kazi ya Mungu hakuna mwanamke wala mwanaume. Soma Waroma 3:22

  • @davidtuti2580
    @davidtuti2580 2 роки тому +2

    This is wonderful and powerful, Glory to God, I feel so powerful

  • @margretokuku8220
    @margretokuku8220 2 роки тому

    Mungu.awabariki.mtwambie.sababu.ya.nywele.kshuka.kama.nimbaya.tujue

  • @veronicadavid4613
    @veronicadavid4613 2 роки тому

    Powerful message from our sister concerning the answers wow

  • @edwinkaris9602
    @edwinkaris9602 2 роки тому

    this is powerful @25:47 life revolves around alters and covenants what she said there is powerful...ask for the sin you have done or the sin your forefathers committed,the Holy spirit will lead you..because all diseases are one way or another related to an ordinance/principle working against you because of some sin, no stone goes unturned in this world...so the way to check for a remedy is to consult the most High through his son Jesus christ,..

  • @rosemisiko3725
    @rosemisiko3725 2 роки тому

    Amen and amen nimeelewa kabisa

  • @macamezunguzungu241
    @macamezunguzungu241 2 роки тому +1

    Bwana Yesu apewe sifa ameen🙏

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Рік тому

    Barikiwa sana

  • @natujwamziray7749
    @natujwamziray7749 2 роки тому +2

    Jamani hakuna mwanamke kuhani. Kuwa mchungani sio Neno. Roho Mt..ndiye Neno la Mungu. Mungu hajipingi mwenyewe

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 роки тому +3

    Sio kweli nywele ya muafrica yaweza kuwa ndefu na nimeona watu wengi wamekuza nywele zao.

  • @ipyanadanny9959
    @ipyanadanny9959 2 роки тому

    Nimekuelewa sana mtumishi

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 роки тому +1

    Be blessed man of God 🙌

  • @yvonnewitandaye1873
    @yvonnewitandaye1873 2 роки тому +2

    Ayo ya mwanamuke anyamanze kanisani yari ambiwa kanisa lile walikuwa nasababu ambayo wali ambiwa wanyamanze kwasababu walikuwa na tatizo ndani ya ilo kanisa.

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому

    Be blessed man of God

  • @modestarmuchiri5386
    @modestarmuchiri5386 2 роки тому +1

    I love her short and clear answers.. Not everything these pastors know.. Ask the holy spirit... 🙏🙏🙏

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 2 роки тому

    Hapo naona kuna Imani mbili tofauti, maelewano yatakuwepo kweli?

  • @tedymshisha-dn5ez
    @tedymshisha-dn5ez Рік тому +1

    kujipambaa kwenu kusiwe KWA nje wala SI kwakusuka nywele neno SI kwakusuka nywele neno SI WENGI AWAELEWI,MUNGU ABADILISHI NENO LAKE 1TIMOTHEO 2-11_15

  • @jimmykasinde8439
    @jimmykasinde8439 2 роки тому +2

    Kabisa huyu Mama ni mteule wa Mungu her answers are short and clear

  • @tulianyota7040
    @tulianyota7040 2 роки тому +3

    YESU anarudi tuache zambi na ubishi ubishi

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 роки тому

    Ktk qraan Mungu ana sema nimemuumba mwanadam ktk umbile lililo bora kabisa na amemuumba kila mtu kwamakadirio yake .nywele tumeambiwa tusuke tatizo biblia yenu mna iandika kila baada ya miaka kadhaa mbona qraan toka ilipo shushwa hakuna ilipo ongezwa na mwanadam nawashauri mrudi kwenye agano la kale acheni biblia mlizo zitia mikono

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 2 роки тому +2

    AMEN AMEN AMEN 🙏🙏

  • @thewordexplorer
    @thewordexplorer 2 роки тому

    @promovertv Mungu haangalii mavazi ndio akuokoe. Yeye aangalia kama moyo wako uko Sawa naye. Ingekua anaangalia mavazi basi sote tungevaa kama huyo mchungaji ndio Mungu atakubali. Na mimi siambii mwanamke kuvaa kama uchi

    • @thomasbwire8800
      @thomasbwire8800 2 роки тому +1

      Ni Sawa,lakini tumejifariji Sana Kwa maneno hao,hivyo wakristo tunakosa mwelekeo,iko wazi mavazi ni udhihirisho wa tabia ya mtu ya ndani Kwa nje,Mungu anabadili tabia ya mtu ndani na matokeo yake huonekana nje kukiwepo mabadiliko katika mavazi,maneno na matendo ya mtu.

    • @luciaalbert9616
      @luciaalbert9616 2 роки тому

      Kweli kabisa

  • @yvonnewitandaye1873
    @yvonnewitandaye1873 2 роки тому +1

    Akika huyu mama ana Roho wa MUNGU ndani yake ana jibu majibu ya kiroho kabisa ubarikiwe mama na MUNGU azidi kuku inuwo kiroho zaidi.

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 2 роки тому +4

    Pastor Adam of Congo who went to heaven and had an encounter with Jesus Christ said No!!! Woman pastors are not gonna make it!! He said that, according to the word of God!!

    • @pressureunit
      @pressureunit 2 роки тому

      Tell them brother.... How can a man be the head at home and become a tail in the church?

  • @pamelahezron8326
    @pamelahezron8326 2 роки тому +1

    Namurlrwa vizuri huyu mt.mama kwenye Damu ndiko tabia zinakopatikana.acha MUNGU akataze jamani.

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 2 роки тому +8

    Majibu ya huyo mama mchungaji, yako tofauti sana na njisi maandiko yanavyo sema kupewa ujumbe na Mungu ya kwamba nenda uwaambie kanisa langu mambo haya aimaanishi amekuambiya funguwa kanisa. Mariamu aliambiwa nenda uwambie watu ya kwamba Yesu amefufuka ndio lakini hakuambiwa nenda hekaluni ukahubiri kuusu kufufuka kwa Yesu🤷‍♀️👎 apana tatizo ni kwamba wanawake wengi wanao pata maono ya onyo kwa kanisa wanakuwa wenye ku panic sana kutokana na baadhi ya mambo wanayo kuwa wanaoneshwa, kwaiyo ule woga wa mno ndio wanajikuta kuingia deeper hadi kufunguwa kanisa na wengi wao ni wa mama ambao wameoneshwa mambo ya kuzimu na mbinguni. Mbona ameongelea kuusu kusuka na ipo kwenye andiko kwanini sasa kwenye uchungaji analeta mifano mengi sana tofauti na andiko? Neno siimpi mwanamke ruksa ya kufundisha iyo imeelezwa ndani ya kanisa yaani kwenye madhabahu. Ila mwanamke anaweza kutowa ujumbe wa Mungu kama vile kwenye Bus, barabarani, sokoni,kwa majirani na kwenye mtandao apo ni sawa lakini kusimama mbele ya wanaume na kuhubiri ndani ya hekalu na kuwa mchungaji wa mwanaume? Itakuwa vema sana kama wanavyo tii sheria ya kuto kusuka nywele na ilo la mwanamke kuto kuwa mchungaji watii.

    • @helenbahati8038
      @helenbahati8038 2 роки тому +2

      Nakubaliana na wewe kabisa

    • @jameswainaina852
      @jameswainaina852 2 роки тому +1

      Our covering is the holy spirit not kitabaa
      He is the CEO of our lord JESUS CHRIST
      Again the holy come to testify Who is jESUS CHRIST

    • @RealGiftLydia
      @RealGiftLydia 2 роки тому

      @@helenbahati8038 Mungu Baba atusadie sana na mtego huu

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 роки тому

      " unavyosema mtaaani shuleni,barabarani,nyumbani,mwanamke ndio anapaswa kuhubiri kwani huko njiani hakuna wanaume?

    • @RealGiftLydia
      @RealGiftLydia 2 роки тому

      @@highzacknnko9685 asante sana ila na mimi nakuuliza wakina mama Prisila na Akila walimfundisha Apolo sehemu gani ilikuwa ndani ya kanisa au nyumbani kwao? (Matendo ya Mitume 18:24-26)Na maandiko yamemalizia ni sehemu gani ambayo mwanamke hatakiwi kufundisha? Soma kwanza Maandiko apo ndugu.

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 2 роки тому

    May our Dear Lord continue to bless you so that through testimony many will get saved.

  • @S.Juliet-A4J
    @S.Juliet-A4J 29 днів тому

    Can someone add to the group please so I can learn more

  • @raelnthangu8216
    @raelnthangu8216 2 роки тому +2

    Amen huyo mchungaji ameongea ukweli.

  • @jameswainaina852
    @jameswainaina852 2 роки тому +1

    Wamama posters preachers keep on preaching bila kukoma !!!!in the nama of JESUS because time is short

  • @amosijoshua8410
    @amosijoshua8410 Рік тому

    Mama huyu mwangalieni Sana anapotsha sana,mbona hajibu kwa maandiko Ni maneno yake tu,vinginevyo Yesu asingewatuma wakoma kumi kwa makuhani, kwani makuhani walibaini ukoma Kama madaktari kwa enzi hizo, kwanini hakuwaponya hapohapo, unwadanganya

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Huyu mama Mchungaji wA hapa hajasoma Neno vizuri

  • @bettywanjala5630
    @bettywanjala5630 2 роки тому +1

    Wanawake nawanyamase kanisani,biblia yasema hivi 1 Timotheo 2:8:12, simp mwanamke ruhusa ya kufundisha

    • @thomasbwire8800
      @thomasbwire8800 2 роки тому

      Kanisani kwenu wanawake hawaimbi kwaya?hawaitikii Kwa kusema Amina au haleluya?tusitafsiri biblia kama unasoma novel.
      Kazi ya utume ni ya wote,'enendeni ulimwenguni mwote mkahubiri injili'paulo alisema hao Kwa watu wa korintho Kwa sababu kulikuwa na tatizo,kwanini hakuwaandikia hivyo waefeso?wagalatia?wathesalonike?nk

  • @hakizimanaphilemon9968
    @hakizimanaphilemon9968 2 роки тому +2

    Mimi sikubaliane na majibu yake kuhusu uongezaji wa damu, nikama anaruhusu watu kijinyonga. Mchungaji AMIEL umefanya jambo jema,bibilia inasema kama unauwezo wakufanya jambo jema na usipo lifanya ,inakuwa dhambi,yeye ametumia andiko lipi?Hata na hili la mwana mke kujifungua eti hawawezi kukubali kujifungua kwa operation ,hapo sioni maandiko yadhambi, ndugu zangu muwemakini sana. Ila nakubaliana kuhusu majibu mengine yakiwemo kusuka nywele

    • @leonardjuniorndarusanze584
      @leonardjuniorndarusanze584 2 роки тому +2

      Isitoshe ndugu,huyu mama anasahaau ya kwamba watu hawana kiwango kimoja ca imani.Hivi biblia ikisema mtu akiumwa aombewe.Mtu akikwenda hospitali na kupata huduma katenda dhambi.?
      Kuna wenye imani ya kuwalisha vyakula vyote na wangine wenye kula mbogamboga tu.Nawote niwana wa Mungu.Akiendelea hivyo anaweza shitakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la kuhamasisha watu wakatae matibabu ya hospital.

    • @hakizimanaphilemon9968
      @hakizimanaphilemon9968 2 роки тому

      @@leonardjuniorndarusanze584 hajatenda dhambi ,Imani ya ki Adventist hiyo ,hata samaki wa baharini hawali.
      Bado wanashikilia maagizo ya mungu kwa wa Israeli, kristo aliatakasa, kibaya nikele kitokamo kinywani mwetu

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 2 роки тому +1

    Kusuka nywele ni dhambi kwa mujibu wa neno la Mungu

    • @carolyneblessings7794
      @carolyneblessings7794 2 роки тому

      You'll be surprised,watu wanasuka nywele are in heaven,Going to heaven is by God's grace not because you're good than others, Better to repent your sins instead of judging others...the Bible says we are all sinners, either you plait your hair or not, basically you're a sinner,,,during the judgement all of us will be judged,the best thing you can do is praying for people and let God do his work,some us we think that we are more righteous than others,because of our church doctrines,Jesus came to bring salvation not doctrine,all of us should start repenting our sins instead of judging others thinking that we are more righteous...

    • @aloycesilwela3485
      @aloycesilwela3485 2 роки тому

      @@carolyneblessings7794 sure that will be very big surprise kama Mungu atahukumu nje ya neno lake, wala kusingekuwepo haja ya kuliishi neno la Mungu

  • @rozyderose
    @rozyderose 2 роки тому +1

    About medical insurance

    • @rozyderose
      @rozyderose 2 роки тому

      Very true

    • @rozyderose
      @rozyderose 2 роки тому

      I agree. I lost a friend after I told him to pray against insurance. They make you stay in hosy

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 роки тому

    Ni kweli mbinguni kuna spares lakini sisi hatuja jitolea kikamilifu. Kwakua Torati ilikuja kwa mkono wa Musa.
    Neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu. Yohana chapter 1 verse 17

  • @alistidiarugaitika3539
    @alistidiarugaitika3539 2 роки тому

    Hii Biblia,God have mercy on us

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 роки тому

    Mimi ni mwislam hili somo hata kwenye qraan inasema mwanamke ajipambe kwa ajili ya mmewe na wanawaka tumeambia hata nywele unaruhusiwa aione mmeo tu nimependa wakiristo hili somo ni pana sana kubandika nywele kucha kope n k vyote hivyo havitakiwi nisawa na una mkosoa Mungu hakuku umba vizuri tutakuja juta kusema kweli siku ya hukum tumeruhusiwa tupake hina kuchani na hata nywele zetu.

    • @mama_mlezi7744
      @mama_mlezi7744 2 роки тому

      Kwaio kupaka Hina sio mrembo,,,mnavojichoraga vile utadhani ramani ya kufika kuzimu,,,Kama kujipamba unaona Ni dhambi acha sio Hina unaruhusiwa kujipamba

  • @pendonaomi1825
    @pendonaomi1825 2 роки тому

    Ila jamani 🤔

  • @natujwamziray7749
    @natujwamziray7749 2 роки тому

    Jibuni maswali kwa mashiko ya Neno

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 2 роки тому +1

    Imani ya huyu dada ipo juu sana.

  • @edwinkaris9602
    @edwinkaris9602 2 роки тому

    when a person woman or man wins the favour of Jesus christ,Elohim expresses himself in that person through Jesus his son,his spirit manifests in that person, and there occurs righteousness,peace & Joy...let us all bow down and worship Abba who is in the heavens on the heavenlies

  • @busingyerehema472
    @busingyerehema472 2 роки тому +1

    Mwanamke anaweza kuwa mchungaji hilo halita tatizo kama ametumwa na Mungu alishasema siyo wawili tena bali mwili mmoja

  • @edwardmwalukware9734
    @edwardmwalukware9734 2 роки тому +1

    Obedience is the essence of holiness. What the word of God forbids is fobiden forever Jesus will never bend his word to accommodate your views and beliefs. The word of God is clear as day that women are not allowed to preach so when you say we should ask Jesus why he called you you are saying that the word of God is erroneous and there is confusion in the bible. The biggest sin for women is lack of submission.

  • @tulianyota7040
    @tulianyota7040 2 роки тому

    Siku hizi wakristo hawapendi kuambiwa ukweli wandani ya biblia . wanapenda kufundishwa yale wanayopenda ya ani mapambo Mungu atuwezeshetu

  • @roselyneoduor802
    @roselyneoduor802 2 роки тому

    Hii kituo kimekua wa baraka sana hasa kutokana na shuhuda za kibingu,but there is also one sided messages from pastors especially concerning women preachers.
    Luke 2:36-38,Acts 2:17-19.
    Let's not be selfish servants of God.
    Am sent and has lost myself for this gospel,God will tell me when it's enough to preach and teach truth

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati Рік тому +1

    mungu atusaidie ili wanawake wapewe ufahamu waache kusuka kwa mjibu wa biblia

  • @lydiaawinoanyera2668
    @lydiaawinoanyera2668 2 роки тому +1

    where is this church located plz

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 роки тому

      Nairobi Kenya Umoja2 Market2

    • @marialadslaus7387
      @marialadslaus7387 2 роки тому +1

      Oparesheni NI muhimu Luka alikuwa daktari hivyo lazima twende hospitali na vilevile lazima tutoe Damu tuwape wingne nilikuwa nakufuatilia Sana mch mzuri wewe Ila katka Damu sikubaliani na wewe mengne yote upo sahihi najua NI mchungaji Mungu amekuchagua ktk Hilo sipingi Ila la Damu so kweli watu WAENDE hospitali pia watu wakupali kutoa dam la sivyo watu watakufa Kama kuku hospitali NI muhimu mtumishi.

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 2 роки тому +4

    Huyu dada ana mafundisho potofu kabisa. Where is the biblical ground for this. Kweli neno la Mungu linasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Yaani wakristo wa leo tunaishi mwilini kama wapagani. Neno la Mungu tumelitafsiri kwa mawazo yetu na ndio maana wewe dada unashindwa kujibu swali ululoulizwa kuhusu mwanamke kusimama madhabahuni. Wewe ni nabii wa uongo na siogopi kusema kwasababu ninyi ndio mnaolipotosha kanisa la Mungu kwa ku twist maandiko kulingana na matakwa yenu.

    • @kacerawamami1209
      @kacerawamami1209 2 роки тому

      @ skeeter Godwin nimekubaliana na wewe kabisa sio wote wasemao wameitwa na Mungu tuwaamini..Usitegemee binadamu yeyote ila Mwenyezi Mungu pekee na mwanawe Mfalme Yesu Kristu..kila mtu asome bibilia na kumuomba Mwenyezi Mungu akufunulie..Eti usiwekewe damu au usifanyie CS..basi mbona watu wanakula chakula tusile basi kwani sisi ni wana wa Mungu...ukizaliwa kuna sheria za ubinadamu kama kula, kupumua na kuenda haja etc ukikosa kufanya hivyo mauti hakika..

    • @sarabura3314
      @sarabura3314 2 роки тому

      wala anasema ukwer mbona labda apo kwenye mwanamke kusimama madhabahuni lakini mengine amejibu vizur tu

    • @dawhiteschola8847
      @dawhiteschola8847 2 роки тому

      👏👏👏👏👏👏🤝💃🏼💃🏼

  • @nellydeborah943
    @nellydeborah943 2 роки тому +5

    Waseme wajitetee lakini wanawake waachie wanaume MAKANISA waendee kuevangelise huko inje kwa kwa solo na VIJIJINI

    • @sarahjacobs8814
      @sarahjacobs8814 2 роки тому

      YESU akasema nitajaza Roho ya YANGU Kwa wote wenye mwili.zaburi 68 11mwanamke mwenye kuhubiri injili ni jeshi kubwa à

    • @bahatirobart7380
      @bahatirobart7380 2 роки тому +1

      @@sarahjacobs8814 madhabahuni haruhusiwe kusimama elewa hivyo ila inje ya madhabahu anaruhusiwa kuhubiri

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 2 роки тому

    Sijui kama kuna kuhani mwanamke.

  • @robertmuchanga4832
    @robertmuchanga4832 2 роки тому +1

    Kusuka nywele ni machukizo mbele za Mungu

    • @luciaalbert9616
      @luciaalbert9616 2 роки тому +1

      Uongo kasome maandiko vizuri

    • @luciaalbert9616
      @luciaalbert9616 2 роки тому +1

      Hatuishi kwa sheria,,wala hakuna mwanadamu yeyote atahesabiwa haki kwa matendo soma biblia yako vizuri,muombe ROHO MTAKATIFU akupe mafunuo ya kuelewa maandiko na sio kusoma juujuu

    • @navokisembo
      @navokisembo 2 роки тому

      @@luciaalbert9616 word Ameeen people pick and choose few bible versus to read.

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 роки тому

    Amen Amen

  • @josephomuto3240
    @josephomuto3240 2 роки тому +1

    Sorry to say this but our dear sister from SA sounds a bit cultic. Sickness is because of sin, hospitals are for non-believers etc. Dear saints, read your Bible and listen to the Holy Spirit, He is the best teacher.

    • @joysshow9460
      @joysshow9460 2 роки тому

      Please give me the scriptures

    • @josephomuto3240
      @josephomuto3240 2 роки тому +1

      @@joysshow9460 scriptures for?

    • @joysshow9460
      @joysshow9460 2 роки тому

      To clarify that hospitals are for non believers

    • @josephomuto3240
      @josephomuto3240 2 роки тому +1

      @@joysshow9460 That's what she said and that's exactly what I'm disputing. I also need scripture citation from her and that's why I said to avoid being swayed by any wind of doctrine, we should make the Bible and the Holy Spirit our best friends.

    • @joysshow9460
      @joysshow9460 2 роки тому

      @joseph omuto it's okay

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 роки тому

    Mwanamke akiitwa kuwa mchungaji amuulize Roho Mtakatifu ili ahakikishe km ni yy kweli! Lkn nshuhudia ww umeitwa kuwa mchungaji hakika umenibariki sana sana ulipoelezea kuhusu mavazi nywele na mengine! Nani angeweza kuelezea kwa upana na kwa kuelewa km wewe?!

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 роки тому +1

    Hallelujah 🤍🤍🤍

  • @kacerawamami1209
    @kacerawamami1209 2 роки тому

    Wana wa Mwenyezi Mungu tutumie Roho Mtakatifu atuongoze kwani hii ni nyakati za mwisho...sio wote wamuitao Bwana bwana ni wa kweli..Mwenyezi Mungu ni mwenye kanuni na sheria za utaratibu kwa kila jambo. Ndio maana hata Mfalme Yesu Kristu ,ambaye ni Mungu alizaliwa kupitia mwanamke ndio aje duniani. Sasa kanuni za ubinadamu ukitaka kuishi lazima ule, upumue na uende haja bila hivyo mauti..maandiko gani yanasema usiongezwe damu kama unahitaji, wapi pameandikwa usiende sipitali kama umgonjwa?..tujichunge tusiingie kwa "cult" ambazo zinapotosha watu..Mungu ndie anatupatia akili kuwa madakitari, engineers na etc sio kila jambo ni uchawi. Mwenyezi Mungu anaponya pia kwa kukupa maarifa umwone daktari, uende shule, ulime na kadhalika...Kama uko duniani hii kanuni za ubinadamu lazima ufuate asikudanganye mtu hata hao manabii huugua na wanaenda sipitali hai maanishi Mungu haponyi..Sifa na utukufu kwake Mwenyezi Mungu

    • @sarabura3314
      @sarabura3314 2 роки тому

      unaongea kama mchanga kiroho wewe unatakiwa usiumwe wala usiishiwe damu na usivamiwe na magonjwa hivyo ujamuelewa huyu mama muombe roho MTAKATIFU akusaidie ujue haki zako za msingi na sio kuonewa na shetani

    • @kacerawamami1209
      @kacerawamami1209 2 роки тому

      @@sarabura3314 Mfalme Yesu Kristu asifiwe. Mimi ni binadamu na niko na udhahifu ndio maana point yangu hapo juu hakuna shida kwenda sipitali, kunywa dawa na kuongezewa damu..tumevaa suti hii itwayo " mwili" na inaudhaifu wake..Mfalme Yesu Kristu alihisi njaa, na yeye ni Mungu kuumaanisha mwili unakanuni zake.mtu asimdaganye mwenziwe eti asipewe damu kama anahitaji aombe pekee..Mwenyezi Mungu ametupa akili ndio wengine wetu tunafanya sipitali na kuuguza watu...tuache upotovu wa maarifa. Mimi nimeokoka na Mfalme Yesu Kristu ananiongoza na damu nitaekewa na nishaekewa nilipohitaji..kama mtu hataki kufanya hivyo iwe maamuzi ya kibinafsi wala sio kumkashifu mtu mwengine akipewa damu eti hana imani. Swali la " kuwa mdogo kiroho" Mfalme Yesu Kristu ndio anajuwa kiwango nilichofika..mimi sikujui na hunijui vile umefikia kipima changu cha kiroho wanishangaza so nimekuachia wewe mtaalamu. Sifa zote apewe Mfalme Yesu Kristu

    • @sarabura3314
      @sarabura3314 2 роки тому

      kwakupigwa kwake sisi tumepona kama hujui haki zoko utasema unavyo sema na kila kitu itahalalisha kibina damu haiwezekani ila kiroho inawezekana hivyo kuza imani yako mm pia sijaongea kwa ubaya

    • @kacerawamami1209
      @kacerawamami1209 2 роки тому

      @@sarabura3314 Mfalme Yesu Kristu asifiwe. Baki na hiyo imani na mimi sibadili yangu sote ni wana wa Mungu, kila mtu ashikilie anapoona sawa. Mimi natumia akili Mwenyezi Mungu alizonipa na kama ninaumwa nitaomba na pia nitakunywa dawa na kuenda sipitali. Asifiwe Mfalme Yesu Kristu

  • @jameswainaina852
    @jameswainaina852 2 роки тому

    GOD is looking for somebody to stand on the GAP just a clean vessel.
    who is covered by the holy spirit.
    Look at catherine kuluman joyce meyer powerful woman of God.

    • @miria659
      @miria659 2 роки тому

      Yah a clean vessel that's the answer not gender

  • @matildamartin7394
    @matildamartin7394 2 роки тому

    Mmmmh ndio maana Yesu akazaliwa kwa umbo la mwanaume.
    Nawaza kwa nini hakuzaliwa kwa umbo la mwanamke? Kuna jambo hapo.
    Kwa nn musa kqa nn Paulo kwa nn petro n.k?

  • @fruitfulmpanduji2494
    @fruitfulmpanduji2494 2 роки тому

    Mtumishi Mimi nilipokea sauti ya malaika ikisema suluali so vazi LA wanaume ,maana aliniuliza swali kwamba ni lini YESU alivaa suluali ,na akaniuliza tena kama yesu hakuvaa suluali ?basi nyinyi suruali mlizipata wapi?

    • @aloycesilwela3485
      @aloycesilwela3485 2 роки тому

      Mhmm wewe uliwahi kumwona Yesu?au unamwongelea yule mwigizaji Brian dicon?

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 2 роки тому

      Malaika yupi ndugu wa nuru au wa Giza? Si kila sauti yatoka kwa Mungu.Muulize Mungu vizuri.

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 2 роки тому

    Tunaweza peleka ujumbe mahali popote pale na kuitwa tumeitwa pia wanawake ila kusimama madhabahuni je ?

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 роки тому +1

    Wake nya kuweni na akili kuchangia damu sio dhambi,

  • @pamelahezron8326
    @pamelahezron8326 2 роки тому +1

    MUNGU ameumba Jambo jipya kwamba mwanamke atamlinda mume wake.

  • @pendonaomi1825
    @pendonaomi1825 2 роки тому

    Samahani naomba number ya mch.Amiel

  • @lucyjoseph4216
    @lucyjoseph4216 2 роки тому +2

    Kwa hivyo mtu atafsiri anavyotaka ee? Na kusiwe hivyo dani yetu! Huyu mama ametafsiri vizuri kasema mwanamke afunike kichwa hajasema waliandikiwa hao wa kale but ikifika laini ya mwanamke anyamaze akasema waliandikiwa wanawake wa wakati huo....kwa hivyo kuna maandiko yetu na ya wao wa kale???

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 2 роки тому

    Head covering doesn’t make a woman head of her house! Noooo!!! God is not an author of confusion! People filled with the Holy Spirit have said no women in the pulpit!!! Prophetess can prophecy otherwise I don’t think her explanation is biblical!!!! In the upper room all received the Holy Spirit but we don’t have a gospel according to st. Mary ! They testified but held their place ! The woman in the well testified about Jesus , And what was said to her! We can testify because we shall overcome by the the blood 🩸 of the lamb and the word of our testimony. Asking the Holy Spirit is wonderful and testing the spirit is also wonderful so church test the spirit! Be spirit lead! In Jesus name!

  • @prudencesumbane2886
    @prudencesumbane2886 2 роки тому

    Nakuunga mkono dada tukiwa mwanawa Yesu na Roho mtakatifu akiwandani yetu, hospital siyo za zetu, ama operation, ama maumivu,ao magonjwa za ajabu ajabu, siyo vyakwetu,

  • @olivakatabazi2578
    @olivakatabazi2578 2 роки тому

    Mbinguni in wapi

  • @modestarmuchiri5386
    @modestarmuchiri5386 2 роки тому +1

    Hawa wakalimani jamani duu

    • @hildajimmy1257
      @hildajimmy1257 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @joysshow9460
      @joysshow9460 2 роки тому

      Aki wakalimani nao nimecheka Sana mbavu zinaniuma🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 2 роки тому

    So what y’all gonna do with that verse in 1 Timothy ? So you gonna pluck off some written word of God and replace it with what you think is right? Woman, by the grace of God who said we cannot add or subtract anything in the Bible, May that God help you! I’d rather hear that when I still have a chance to repent and turn my life around before it’s too late

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 2 роки тому

    Someni zaburi 68:11umepata jibu sasa wanahuburi wapi

  • @mama_mlezi7744
    @mama_mlezi7744 2 роки тому

    Tutafika mbinguni tumechoka sana

  • @natujwamziray7749
    @natujwamziray7749 2 роки тому

    Nywele ndefu ni badala ya vazi someni mmalize kifungu kwa habari ya nywele

  • @sarahjudahsarah1263
    @sarahjudahsarah1263 2 роки тому

    🤔

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 2 роки тому

    Different between the alters and church we are the church but standing on the alter ???

    • @nellydeborah943
      @nellydeborah943 2 роки тому

      Spiritual yes,but phisically that's what most people understand and we use language they understand though your right it's altar but not are grown spiritual that's why we make it east for them with church,

    • @millicentnaliaka
      @millicentnaliaka 2 роки тому

      @@nellydeborah943 so when we follow the Holy Bible is it allowed for women really to stand on the alter and lead the church?

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 2 роки тому

    1 timoteo 2 .15

  • @johnmwangi9231
    @johnmwangi9231 2 роки тому

    Hapa ni inchi Gani wanahubiri na English?

  • @helenkimo1078
    @helenkimo1078 2 роки тому +1

    Are you joing or what here we are serious there is just joking be serious

  • @irineochieng2455
    @irineochieng2455 2 роки тому

    Huyu mtumishi mwanamke ametoka nchi gani na ako na UA-cam channel? Ningependa kufuatilia mafundisho yake

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 2 роки тому

    Iyo itakugarimu mwanangu ,utakataliws, mana ni andiko la Biblia, biblia haijipingi

  • @carolynewaswat5962
    @carolynewaswat5962 2 роки тому

    Hehehe no woman is allowed to preach please ,watch Adam Aston mbaya from Congo who went to 351 Chambers of hell and heaven ,