Wanatafuta njia za kudhulumu nyumba za watu.Sheria hiyo wametunga lini naje mwenye nyumba atajuaje mpangaji muuza madawa ?.Wao wawatafute tu wasiwanyanyase wenye nyumba.
MASHERIA YA KIPUMBAVU KABISA, MIMI NITAMTAMBUAJE MPANGAJI ANAJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA??? NA KAMA MTU ANA VISA NA MWENZAKE SI ANAWEZA AKATUMIA HIZO DAWA KAMA KUMKOMOA MWENZAKE?? SHERIA MBOVU INAYOSIMAMIWA NA WATU WALIOKOSA UELEDI..
Wandishi wa habari njooni mnifanyie interview maana mimi ni mmoja wa watu niliesadiwa na hizo dawa za kutoonekana.nilimpa mtoto wa shule mimba kesi ilikuwa kubwa na siku walivyokuja kunikamata mganga aliniambia nilale kitandani nitulie maaskari waliingia ndani hawakuniona yani roho ilikuwa juuu mungu ni mkubwa nilipona na baba wa mtoto tulimpiga kibuyu tukampa na ml 1 kesi ikawa imekwii
iyo sio sawa yaani me nimekupangisha alafu ukikutwa na madawa me ndo mkosa sio sawa polisi wafanye kazi Yao ya kuwakata hao wa madawa
Lakin mwenye nyumba huwezi jua kama unaempangisha Ni muuza madawa inakuaje ahusishwe Na mpangaji
Wanatafuta njia za kudhulumu nyumba za watu.Sheria hiyo wametunga lini naje mwenye nyumba atajuaje mpangaji muuza madawa ?.Wao wawatafute tu wasiwanyanyase wenye nyumba.
Aaaaaah,uhuni2
Kawaida ya waTz, kumbuka maji maji war, eti mganga anasema risasi za mzungu zitageuka kua maji
Anae taifisha nyumba hana afya ya hakili,kumanina2
Nawapenda ❤❤❤
Hao Wana akili mbovu , kwaiyo mwenye nyumb atajuaje.
Bwana Millard neno KUTARADDAD maanayake ni kwenda ovyo/kuharibika yaani nineno linaloashiria jambo kuharibika
Kitu Cha Msingi Kamata Alienacho Mpotezeni Kusanyeni Mali Zake Zote Mpotezeni Mali Na Pesa Ziende Kwenye Maendeleo
Waganga mnataka kuwaonea Sasa
Hiyo wataalamu tunaita both team to score ,mwenye nyumba na mpangaji wote drug dealer
Na wewe ukiwemo😂we umejuaje😂
Hujielewi wew
kaka millard habari naomba kazi ya kufanya usafi kaka......
niko serious naomba kazi hata ya usafi
Nilazima kwake au hata kwangu
😂😂😂@@Boniphaceshayo5
Hao wamechomwa tu hakuna uweledi wala nn
Mgaga wanakosa gani kwani wao wauzaji au walimaji 😂😂😂
Kisheria mfanyakosa na anaemwezesha mfanyakosa kukwepa kukamatwa wana hatia
@ na wenye nyumba je inakuwaje hapo
Uo ni utapeli sasa.... Kwani Tz kuna sheria ya mwenye nyumba kukagua vitu vya mpangaji??....kama hakuna mwenyenyumba anajuaje
Wacheni wa2 wafanye biashara wapate ela polisi bongo fanyenyi kz haki
We mpuuzi sana!!!
Tatizo liwe katika family yako ndiyo utaona athari za madawa ya kulevya.
Sheria itungwe Risasi hadharani.
Sio kosa lako huna akili
Nawalewa kinoma noma
Mh mwenye nyumba hapo hana kosa
Ambaee anahitajiii dawa aseme😂😂😂😂,,,nipo ,, KIBONDO
HIYO SHARIA KWANZA NI YA MWAKA GAN YA KUTAIFISHA😂😂😂😂 JAMAN WAHUNI WASHAMLENGA MTU APO KUMDHULUMU NYUMBA
Sheria ya ajabu hiyo hakuna Sheria hapo ni uhuni
AYO Tv
Hiyo hatari
Tz mmmh lakini hio kesi hautaisikia tena tatizo rushwa tu ndio unafanya kazi sana katika nchi zetu za kiafrika
Duh
@millard
MASHERIA YA KIPUMBAVU KABISA, MIMI NITAMTAMBUAJE MPANGAJI ANAJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA??? NA KAMA MTU ANA VISA NA MWENZAKE SI ANAWEZA AKATUMIA HIZO DAWA KAMA KUMKOMOA MWENZAKE?? SHERIA MBOVU INAYOSIMAMIWA NA WATU WALIOKOSA UELEDI..
Serekali si haiamini ushirikina?.Hii nchi kila mtu anatunga sheria zake.
Wapumbavu hao,kwn waganga wa kienyeji wanatoa risiti!
Wandishi wa habari njooni mnifanyie interview maana mimi ni mmoja wa watu niliesadiwa na hizo dawa za kutoonekana.nilimpa mtoto wa shule mimba kesi ilikuwa kubwa na siku walivyokuja kunikamata mganga aliniambia nilale kitandani nitulie maaskari waliingia ndani hawakuniona yani roho ilikuwa juuu mungu ni mkubwa nilipona na baba wa mtoto tulimpiga kibuyu tukampa na ml 1 kesi ikawa imekwii
Hapo unamshukuru Mungu au mganga
Kwahiyo unaniambia kuna mganga dawa zake zinafanya kazi?😳😂
Duh