Historia ya MCHUNGAJI Mashimo : Kufukuzwa Kanisani/Utapeli na Kuvuruga Wanawake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 кві 2019

КОМЕНТАРІ • 54

  • @Sifam634
    @Sifam634 5 років тому +4

    Fungu ya kumi ni yamuchungaji tu zaka ni ya matumizi ya kanisa, kujenga,kulipa umeme, kusaidiya, yatima na wajane, muchungaji kasema kweli.

  • @niccolomachiavelli6057
    @niccolomachiavelli6057 5 років тому +2

    mchungaji umeongea vizuri sana ila mwisho hapo kuhusu magufuri,umeharibu sana

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 років тому +5

    Ni kweli hakuna Nabii wala Mtume awezaye kutoka Baraka ya Siku nyingi duniani mwana isipokuwa ni mzazi tu

  • @sharonmasawe5381
    @sharonmasawe5381 5 років тому +1

    Huyu bwana inavyoonekana anamtaka wema anashindwa jinsi ya kumwingia sasa anatumia njia ya unabii mungu akikutuma hakutumi mitandaoni umtangaze anakutuma kwake muhusika

  • @zakariangese3826
    @zakariangese3826 5 років тому +1

    Mtumishi uko sawa Sana mashimo

  • @suleimanhassan3604
    @suleimanhassan3604 5 років тому +3

    Hii station yenu ina makelele ya kama king'ora hivi inasikika. jaribuni ku tune hizo mitambo zenu sauti itokee loud and clear

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 5 років тому +1

    Mtangazaji upo vizuri nowadays bigup keep it and pool your socks

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 5 років тому +3

    ULIANZA VIZURI UNAMALIZIA PUMBA.ULIANZA BARAKA ZINATOKA KWA WAZAZI NA TUWAESHIM OK NIVIZURI.SASA UNAPOSEMA MUNGUALIKWAMBIA UMUOMBEE WEMA APO SASA NI UONGO MUNGU ANAK AZI HIO BROO

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 5 років тому +6

    Halo! kweli. nimekumbuka ilikuwa mwaka 2000 alipinga vikali habari za Yesu, kibaya alikuwa anatukana kabisa. sas da! nashangaa ameokoka na ni askofu? kweli Yesu mweza. mim ndo Melkizedek Wiliam tulikuwa Tegeta site. sas mim mchungaj. hengera kwa kubadilishwa na Yesu.

    • @rashidhr2662
      @rashidhr2662 5 років тому

      Daaaah...inaonekana unamfahamu vizuri sana

    • @salomenachunga3590
      @salomenachunga3590 5 років тому

      Hongera maana ulimuonyesha njia.

    • @pastor_mashimo
      @pastor_mashimo 5 років тому

      Melkizedeki Wiliam Mungu akubariki mtumishi wa mwaminifu

    • @pastor_mashimo
      @pastor_mashimo 5 років тому

      Melkizedeki Wiliam Mungu akubariki sana

  • @edithamosha4109
    @edithamosha4109 5 років тому

    I LOVE YOU MAN OF GOD

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 5 років тому +1

    Mch yupo sawa,anawatafuta walopotea,wengine wanasaka pesa kwa watu.

  • @mwandumazaoidrossa1702
    @mwandumazaoidrossa1702 5 років тому +1

    mashimo ole nsammbo😃😃😃

  • @sakisibazaa5597
    @sakisibazaa5597 5 років тому +1

    Washa kiyoyozi Mchungaji anaumia jashoo uhuni

  • @joshuaibrahim6691
    @joshuaibrahim6691 5 років тому +1

    Nyakati hizizamwisho tutaona laana,vituko na rohozakufuru hadi kinyaa!!!

  • @pindabutter2736
    @pindabutter2736 5 років тому +1

    wachungaji wanatetea wasanii sana

  • @sakisibazaa5597
    @sakisibazaa5597 5 років тому +1

    Washa kiyoyozi Mtumishi Wa Mungu anajasho huoni?

  • @pindabutter2736
    @pindabutter2736 5 років тому +1

    34:10 vigumu sana kujua unampa nani ilo fungu la kumi, kuna matapeli, lakini imani yetu imepotea wapi, Je Roho mtakatifu akujibukama ukiwa na swali……..sema mi naona maskini wapo wengi, na wachungaji wananenepa tu, kwasababu ya fungu la kumi,nyie mnao taka kutoa fungu la kumi, toeni wasaidieni maskini sio kwakuwapa pesa, ila kwa kwajengea msingi mzuri, kama kuchota maji ni mbali, vuteni maji karibu, ata lala mtu na njaa, kwasababu mnatumia fungu la kumi vizuri.lakini ukimuuliza nabii au mchungaji kitu gani kafanya kwa kusaidia na mkoa gani…...hapo ndio utajua wengi wao ni fake

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 років тому +1

    huyu ni msema kweli

  • @fredrickmatonange1345
    @fredrickmatonange1345 5 років тому +1

    Serikali mbona inaachia haya mambo yaendelezwe kuharibu amani nchini: huyu hamupendezei Bwana na kuliweka pabaya jina la Bwana.

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 5 років тому +2

    Siyo kosa lake , malezi,na maisha ndiyo yanamfanya kuwa hivyo alivyo

  • @michaelkafyulilo7433
    @michaelkafyulilo7433 5 років тому +1

    Kanisa lipo wap mtu wa mungu

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 5 років тому +2

    Mch mashimo kanisa lako liko wapi?

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 5 років тому +1

    Ndo maana Yesu hajarudi,kumbe kuna watu hawajui hata maana ya sadaka,zaka hadi kwa waislam IPO.

  • @petercosmas4376
    @petercosmas4376 5 років тому +2

    mbna yuko bize kuchat

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 5 років тому +1

    Makondo anafanya mambo kwa kutafuta sifa, hilo ndo tatizo. Na wewe unamsifia kwa sababu ni poti wako tu.

  • @nebathkalolo723
    @nebathkalolo723 5 років тому +3

    hili ni mbumbumbu shetani mkubwa ww

  • @manjalejuniorlg7024
    @manjalejuniorlg7024 5 років тому +1

    huyu jamaa mbona anashet sana kama anapigana ngumi tatizo ni nn

  • @alexchungu8823
    @alexchungu8823 5 років тому +1

    Kumbe alikuwa muigizaji

  • @jeidamgimba557
    @jeidamgimba557 5 років тому +1

    Edsson Nzingo baba yako angepata urais angefanya nn cha pekee tofauti na JPM

  • @johalisemalima6979
    @johalisemalima6979 2 роки тому

    Sasa mbona anatoka jasho hivyo????

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 років тому +1

    Mbona huoi mtumishi gani hujaoa

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 5 років тому +1

    Jamaa anapoongea zinatoka sauti mbili!!!!
    Ila kulingana na Biblia, kuinga mkono tu pasaka ya kidunia (ya mwezi wa 4) ambayo kiukweli ni upagani kama ilivyotoka kwenye upagani basi inanidhilishia wewe ni nabii wa uongo.

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 5 років тому

    Hivi huyu kichwani kukoje na mhisi au namwona kama kuna nati imefyatuka.

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 5 років тому +1

    Safi sana

  • @chimwanakasanda3952
    @chimwanakasanda3952 5 років тому +2

    Jamani mpaka yesu anarudi watu nivichaa

  • @piterlaiza5576
    @piterlaiza5576 4 роки тому +1

    Hahahaha Sasa Kama wewe hujasomea au ulizarau kusomea? Ulikuaje kuaje sasa kiongozi wa mitume na manabii??

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 5 років тому +1

    Hivi TBC AC ZIPO??

  • @saulmwakyanjala5449
    @saulmwakyanjala5449 5 років тому +1

    LEO NIMEKWELEWA NI KWELI MAKONDA NI MTUMISHI WA MUNGU KABISA

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 5 років тому +3

    Hili jitu ni pumbavu kweli