Huyu masau bwire ogombee uraisi maana kama tundu lisu kabisa kabisa kila la kheri JKT Tanzania Allah wape ushindi JKT Tanzania wa goli mbili bila inshaallah kheri
Masau. Masau. Masau. Nimekuita mara tatu. Hivi unajisikiliza unapoongea? Wewe ni mtu wa Yanga na unajulikana hivyo. Usitudanganye sisi mashabiki wa kweli wa JKT.
Mungu asimame na sisi JKT mungu tusaidie tupate ushindi jamani mungu ujawahi kunikataliya maombi yangu ninaimani mungu nimwema tutafungaa
wewe dada unaijuwa yanga tuta mpiga jkt ana kulatano
tatizo kamdomo
@@Annaonesmo-x5b Yangu macho dada ngoja tuone 🤔
Masau bwire apewe usemaji madrid maana anajua kutishia balaaa😂
hahahaha 😂😂😂 Masau Bwire ana mikwala utafikiri ni msemaji wa Barcelona 😂😂😂
Mtu wa maana kabisa masau bwile 😁👍
👍🏽kwenye uwanja 👏🏽👏🏽👏🏽💪🏽
Utashinda mungu yupo akawe upande wenu mtafunga 2 moja
Tumekuzowea una maneno sana ila leo umeongea pointy sana,,kuwa wachezaji watanzania wakiwezeshwa wanaweza,,asante sana
Kila jema JKT hapo Kesho, Mungu awalinde hakika na hao mahasimu.
Masau ni mmoja pekee
Usitake kujaza uwanja tu kwa kuamasisha Ili watu waje,tunataka matokeo
Umeanza kujitetea tena na uchovu
Nenda kagawe pointi 3 hamunalolote
bwire tumekuzoea kila siku inagongwa hapo hapo nyumbani kwako;hebu kazeni buti nyuma mwiko naye apoteze
@@drallan6879 yes pamoja sana mwanangu JKT Oyeeee
Ha ha ha huyu mzee anapaswa afatilie record zake KABLA ya kuingia studio
Msau bwiree kichapo cha kizalendo
Kesho baada ya mechi uongee tena
Bwere mbona maneno mengi sana chunga mdomo wako mwisho wa mchezo yasitoke mate😂
Huyu masau bwire ogombee uraisi maana kama tundu lisu kabisa kabisa kila la kheri JKT Tanzania Allah wape ushindi JKT Tanzania wa goli mbili bila inshaallah kheri
Ww msenge tu apo unabwabwaja na kuongea utumbo tu wkt ww mwenyewe ni yanga lia lia?
HUYU jamaa tumezoea mikwala yake ya misimu iliyo kibao ni hivihivi tu. Ngoja kesho tulitungue tena.
Masau. Masau. Masau. Nimekuita mara tatu. Hivi unajisikiliza unapoongea? Wewe ni mtu wa Yanga na unajulikana hivyo. Usitudanganye sisi mashabiki wa kweli wa JKT.
Ww sema tu unataka hela za kiingilio ndo maana unaongea mpaka unajamba wkt huna lolote. Nenda zzko uko..
😂et kichapo Cha kizaramo
Kwani masau bwire Sasa amebakiwa na simu ngapi ??
Huyo shule anafundisha somo Gani ??
Haaaa,saw bwana we linda kibarua chako muda utaongea tu
T unakuja kwa kukuheshimu e Ila hatunachakupoteza
Kesho unakula tatu tu wewe masau mguu pande mguu sawa mbele tembea
Unajitahidi baba huna baya
Wahenga warisema mdomo huponzakichwa
😂
Hiyo mikwara yako kamfanyie mtoto wako Yanga haidharau timu yoyote wachezaji wanajuwa wanachokifanya
Kamdomo😂😂😂😂
Pamoja sana JKT nikweli dharau mjomba
@StellaKaluwa Uyu Mzee atadhalilishwa atapigwa Saba wew subiri tu Kwa yanga hii