BINTI HUYU AMLILIA MTOTO WAKE ADAI ALIPOKONYWA MTOTO NA MWAJIRI WAKE/ALIKUWA AKIFANYA KAZI ZA NDANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 483

  • @azizasalim8777
    @azizasalim8777 3 роки тому +21

    Pole sana mdongo wangu pambana upate mtoto wako ndiyo muhimu achana na wanaume tafuta maisha mengine

  • @roseuwambe893
    @roseuwambe893 2 роки тому +8

    Boss mjinga sana alikua anamfosi aendena wanaume kwanguvu alafu anasema alikua malaya wakati yeyendio alikuaana mfosi😪😭😭ampe mwanae

  • @juliethswai4263
    @juliethswai4263 3 роки тому +62

    jaman jaman dada Gea fatilia hii isseu mpaka huyu dada ampate mwanae... Mungu atakulipa dada

    • @vailetjulius4782
      @vailetjulius4782 3 роки тому +1

      Kabisa gea haileti maana eti mwajili amchukue mtoto ampeleke ustawi wa jamii wakati ndugu wa huyo mama mtoto wapo kwani alimpata huyo msichana kutoka huko alikomtoa aliwasiliana na nani alishindwa vipi kuwasiliana na aliyemletea msichana

    • @mwanakherkione597
      @mwanakherkione597 3 роки тому

      Kuna watu wanapenda kuona machoz yawengine jaman

    • @arafambwana9556
      @arafambwana9556 2 роки тому

      ​@@vailetjulius4782

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 3 роки тому +10

    Huyo mama alikua anataka mtoto akalelewe kituo cha yatima mama abakie akimuuzia bia zake na kumuuza yeye piaa... Hapo ndo utaelewa adui wa mwanamke ni mwanamke... 🙌

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +15

    Mmmh,hii dhulma ya hali ya juu,hata mwehu analea mwanawe mwenyewe😭😭jamani daa geah msaidiye Huyu bint apate mtoto wake

  • @happynessmolla1781
    @happynessmolla1781 3 роки тому +10

    😭😭😭jamani ameniliza sana huyu bint.ila Mungu ni mwingi wa Rehema atakuvusha katika jaribu lako.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +22

    Subhannahllah Allah amfanyie wepesi. apate mwanae

  • @theopistermganwa4558
    @theopistermganwa4558 3 роки тому +4

    Mungu akutie nguvu. waandishi wa habari wanatusaidia sana. Mungu wawape wepesi waandishi wa habari wote tunawapenda. Akamatwe huyo ni mwizi wa kuaminiwa.

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 3 роки тому +3

    Mungu amfanyie wepesi apate mtoto wake salama uyo mama alie mwandika kazi simtu mzuri

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 3 роки тому +3

    Pole mdogo wangu, mungu nimwema utapata mtoto wako,dada gea fatilia hii mbaka mtoto apatikane

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 3 роки тому +4

    Huyu binti mzuri sana. Na kama ameanza kulala na wanaume masikini siatapata magonjwa masikini. Bado mdogo masikini . Hizi shida hizi.

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 роки тому +47

    Kesho na kesho kutwa baba aje kudai mtoto jamani wakina mama tunapitia magumu

    • @dullahjuma6137
      @dullahjuma6137 3 роки тому +3

      Akuna kesho wala nn ampe mtoto wake taper uyu ampe mtoto wake kama Mwiz. Akapimwe DNA

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому +2

      Duh ani tunakoelekea jamn

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому +4

      Ama kwel akina mama tunapitia magumu mungu atatulipa

    • @texastexas2545
      @texastexas2545 3 роки тому

      Umalaya wenu ndo unasababisha wakati mwingine sio kulaum wanaume tu.

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 роки тому +4

      @@texastexas2545 nyooooo! Kati ya cc na nyie nan Malaya? Kwendraaaaa! Labda mama ako na Dada zako ndo malaya

  • @twahaanyoni6117
    @twahaanyoni6117 3 роки тому +4

    Pole Sana mitihani kweli Dada zetu mna kutana Nayo Sana 😢😢uyo boss wake mshenzi Sana Ana hubina Damu kabisa ukisikiliza maerezo tou uyo boss msumbufu Kwa nn alipo pata Pesa ya kudanga ukachukua Wakati Ame kuaga Anataka kuludi home uka hanza masha uli

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 Рік тому

    Pole sana binti. Mi natamani nipate binti nikaenae kwangu mpaka aolewe na harusi yake ni isimamie mimi kama mwana familia. Ila naona tu serikali izuie watu kujifana matajili wanahela za kuwaajili mabinti mana sasa naona matukio yamezidi sana hasa hapo dar nishida sana

  • @zahrasalum1089
    @zahrasalum1089 3 роки тому +10

    Pole kipenz maisha haya mtihani kwakweli

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 роки тому +7

    Asabambaze picha y huyo tajiri wake mtoto sio nguo mtoto anauma jamani

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 3 роки тому +26

    Uchungu wa mwana aujuaye mzazi pole sana mdgo wangu tumuombe MUNGU mtoto wako apatikane

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 3 роки тому +15

    Boss huyo anastahili kufungwa
    Maana yeye ndiye alisababisha huyo binti anapitia hiyo kuzurura😒😒😒

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 3 роки тому +14

    Uchungu wa mwana aujuae mzazi apewe mtotowake, mtoto afanani na cm wala na mamilioni ya shilingi

  • @zamdachiguru2054
    @zamdachiguru2054 3 роки тому +19

    Pole mdogo wangu najua shida ndio imekufikisha hapo

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 роки тому +3

    Masikini pole mdogo wangu usilie mwenyezi mungu atakusaidia da gear msaidie

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 3 роки тому +1

    Huo mdada mpeleke polic wamtrack na hapo alipompeleka police usiogope dada huo mdada anataka kukuingiza ktk matatizo makubwa mdada Geah jitahidi Sana akirudishe huo mdada mtoto akapimwe

  • @gadilunga9307
    @gadilunga9307 2 роки тому +2

    Inauma sana kwakweli mungu mkubwa apewe to mtoto wake anataka kumtoa kafali au

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +8

    Jameni geah nakuomba tu umusaidie huyu dada apate mtoto wake na pia umupeleke hosipitali hili apimwe Kama ameambukizwa maradthi ndio hasije kumnyonyesha huyo mtoto.Huyo tajiri inafaa achukuliwe hatua za kisheria pamoja na mume wake@Kenya🌞🙏.

    • @jovinajovin9617
      @jovinajovin9617 3 роки тому

      Mmh kwa siku zote izo haifai tena kumyonyesha maziwa yashaharibika

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 3 роки тому +16

    Eti nilimuona mtoto wenu malaya wakat umalaya amemfundisha yeye .

  • @abigaelmabuga9619
    @abigaelmabuga9619 3 роки тому +1

    Aiseee inauma sana,uchungu wa mwana aijuaye mzazi,huyu binti apewe mwanae na ikishindikana anawazazi na ndugu,huyo bosswake sio kituo cha kulea watoto.

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 3 роки тому +8

    Huyu boss akapimwe ugonjwa waakili. Haki ifanyike kwa huyu bint apewe mwanae.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +4

    Subuhanallah inalillah wainailahi rajuun 😭😭😭😭😭😭inauma jamani selikali msaidieni piamtupe mlejesho roho zetu zitulie Mungu mwema lnshallah🙏

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 3 роки тому +2

    Mungu ni mwema atakuvusha

  • @mussamivache4986
    @mussamivache4986 3 роки тому +6

    Kweli we nimpumbavu mjinga kabisa na uyo mtt alitaka amuzee utamng'ang'aniaje mtt wa mtu inamana we unauchungu kuliko mwenye mtt mjinga sana uyo kinyago

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Рік тому

    Yani binti mzuri sana

  • @irenekimena2607
    @irenekimena2607 3 роки тому +1

    Maisha mhh!sikia 2mtu anasimulia omba yasikukute ,!vile mwanamke unapitia mengi unatukanwa unasemwa unaonekana taila daaaa!!mungu pekee ndo ajuae!

  • @glorykarim1570
    @glorykarim1570 3 роки тому +5

    Mimi ni mpumavu dada mm mpumbavu nimeona MTT wenu malaya hahahahaa uyo dada mwizi alimuiba uyo MTT labda kamuuza Mana watu wa dar awaeleweki maisha magumu wanawauzia watu wagumba mungu amsaidie jaman nimeumia Sana duuuh😭😭

  • @teddlyimo6020
    @teddlyimo6020 3 роки тому +18

    Dada geah fatilia mpaka upatee huyo dada apate mtoto wakeee

    • @rhodajoseph9043
      @rhodajoseph9043 3 роки тому +2

      Huyo boss atoe mtt ache ubabaifu wake amtoe mtt watu au amepewa pesa akipeleka mtt ustawi wa jamii ningekuwa mie ninge mpiga huyo boss makofi amtoe mtt

    • @teddlyimo6020
      @teddlyimo6020 3 роки тому +2

      @@rhodajoseph9043 yan mm.ningemuumiza mana boss anaonekana hana akil kabisaa

    • @ifrahashery9269
      @ifrahashery9269 3 роки тому +1

      Natetemeka wallah

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +1

    Pole sana mdogo wangu Mungu alisimamie mtoto hapatikane, bibi unaongea pont

  • @zulfatdidas369
    @zulfatdidas369 3 роки тому

    Dhambi sana binadam cye,pole mdg wang yalokufka na umr wako n tafaut kabsa

  • @mariamubakari599
    @mariamubakari599 3 роки тому +2

    Huyo boss ni mwizi wa mtt alikuwa anashida na mtt jaman pole sana

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 роки тому +16

    Uyo mama mwizi WA mtoto atafutwe akatoe maelezo police

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 роки тому +1

    Dada Geah please tunaomba umsaidie huyu bint apate mtoto wake.

  • @grasefesto6506
    @grasefesto6506 3 роки тому +14

    Ni kumuomba tuu Mungu huyo mtoto atapatika

  • @batulimakame7947
    @batulimakame7947 3 роки тому +8

    Nimehisi uchungu wallah kuna watu wana roho ngumu jmn

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 3 роки тому +2

    Bibi nakupenda sana unafaa kuwa mama

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +4

    Poleni Hapa Haija Eleweka Muongo Na Mkweli,ila We Boss Peana Mtoto Yaishe.Si Ungeita Familia Yake Waje Wachukue Mtoto.Mbona Ukimbilie Ustawi Wa Jamii.

  • @beatricemariki7529
    @beatricemariki7529 3 роки тому +1

    Atoe mtoto bhana.... Mtoto anaumaa etii.... Atoe mtoto plz...kama hatoi mtoto apelekwe polisi shenzi yeye...... Anajua uchungu huyo;

  • @rebecasteven709
    @rebecasteven709 3 роки тому +1

    Mungu anawaona mnaowatesa watoto wa wenzenu!!!

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 3 роки тому +1

    Jamani huyu mama achukuliwe hatua haiwezekani amnyanyase hivi huyu binti mtoto wa myezi 8 kweli unamuachisha ziwa ili akufanyiekazi ya bar kweli jamani hii sisawa kwakweli.

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 3 роки тому +11

    Rudisha mtoto mshenzi..unataja mambo ya mimba yako yanahusiana nini na mtoto wa mwenzio...

  • @victoriamkolwe3412
    @victoriamkolwe3412 3 роки тому +1

    Aaah daaa
    Imeniliza,,,,Atafutwe arudishe mtoto...JAMANI MTOTO ANAUMWA

  • @nameno8608
    @nameno8608 2 роки тому +1

    Wema huponza mtoto alimwachia alifikiri watamtunzia bure hata kama ni mimi nitampeleka police mwisho ni ustawi wajamii

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 3 роки тому +1

    Jamanii tuache roho mbaya..aisee binaadamu hatuna hofu ya Mungu hata chembe

    • @rizikially9288
      @rizikially9288 3 роки тому

      Uyo Dawa kumroga tu atarudisha mwenyewe

  • @magiekinda9685
    @magiekinda9685 3 роки тому +4

    Kuna vitu vinatia asila aiseeeeee mtoto wangu utakula petrol moja takatifu mpaka utatoa mwanangu aiseeee

  • @sabrinabdi3944
    @sabrinabdi3944 2 роки тому

    Dada dah ple sna jamni naumia xna nikiwa mzazi mtoto ana uma jamani mfwatilien ampo mtot wake

  • @josephinajackson8549
    @josephinajackson8549 3 роки тому +10

    Hadi nimelia jamani inasikitisha 😪

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 2 роки тому +1

    Bibi umeongea haswaa... Mwana kulitafuta mwana kulipata...dada bosi jiandae...na uandae na haki za huyu binti

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 3 роки тому +9

    Kwa nini AMUHUSISHI POLISI KWANZAAA

  • @jennysamuel5404
    @jennysamuel5404 3 роки тому

    Jamani nawezaje kupata namba ya Geah habibu??

  • @rashifainaiddyiddy999
    @rashifainaiddyiddy999 Рік тому

    Yaarib mola wetu msimamie huyu mdada jmn inauma sana 😢😢😢😢😢😢

  • @mariamjuma5123
    @mariamjuma5123 3 роки тому

    Mmh kaz kwel kwel chui hawez kulala na mbuz chumba kimoj, bint n mzr msimlaum sana anaemhfadh kikubw apate mwanaye na wakapime maradh

  • @schosay_
    @schosay_ 3 роки тому

    Pole sana mama boss tenda wema nenda zako wanandamu hawanaga wema.

  • @salmanyambwe2861
    @salmanyambwe2861 3 роки тому

    Hongera kwa Nazi nzuri gea

  • @asmahanyally3225
    @asmahanyally3225 3 роки тому +8

    Huyo boss arejeshe mtoto asilete ujinga wake hapo tena akamatwe akanyee debe kenge mkubwa

    • @AnitaAnita-vy8gy
      @AnitaAnita-vy8gy 3 роки тому

      Jaman huyo mama vip!? Mwenda wazim ama!? Jera inamhusu

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 3 роки тому +12

    Tuletee marejesho da gea

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 роки тому +5

    Laki Saba zakujifungua n'a mimba Ina mwezi moja 🤔ila wewe hunahuruma kbsa maana ilikua lengo lako huyo binti ajiuuzi wewe ili upate faida kutoka kwake maana alikuja kwako n'a mtoto

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому

    Mrejesho dada Gea

  • @devothamasaki5513
    @devothamasaki5513 3 роки тому +1

    Ee! Nipokenya naombeni kujua huyumtoto alipatikana?! Huyu Dada anatoahabari hadiraha

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 3 роки тому

    Pole mdogo wangu

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 3 роки тому +1

    Hii nchi sasa kuna mijitu mingi sana ikijua Kiswahili tu inajifanya wa Tz kumbe imetoka mainchi mengne inayo kuwa na roho mbaya

  • @alicemgiri845
    @alicemgiri845 3 роки тому +6

    Why are you guys hiding that ladies face.. let us shame the devil.. she will continue to do that to others innocent young mothers..🥲🥲🥲 pole Sana

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 3 роки тому +1

    Kwann wanawake tunawanyanyasa watoto wa kike jamani tunajisahau Sana tumuogope Mungu

  • @luluanania-cb1bw
    @luluanania-cb1bw Рік тому

    mpuuzi sana huyo dada

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 роки тому

    Ndomkome maisha hata kijijini mtu unajitafutiatuu...mkickia mjini mnaona ndiopakukimbililia..huo mtihani sasa pengine hata ugonjwa umepata..

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    pole daar😥😥😥😥😥

  • @zakiaomary547
    @zakiaomary547 3 роки тому +2

    Jaman

  • @Maryam-sg8zq
    @Maryam-sg8zq 3 роки тому

    Jamani

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 3 роки тому

    Duh izi kesi za kuchukuliwa watoto ni nyingi Tanzania na watoto walivyo wagumu kupatikana ,Mungu amsadie hampate mwanae

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому

    pole sana dadangu

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 3 роки тому

    Mimi naona huyuu boss upande mwingine Hana kosa kapeleka sehemu salama sema tu ukishaonekana mbaya ni mbaya tuu pole boss

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Рік тому

    Mjini kz sana jamani

  • @ashurakhamismussa9572
    @ashurakhamismussa9572 3 роки тому +3

    Mimba ya mwezi mmoja ndo nini?🙄🙄 mzazi mwenyewe ndio aliekupa ruhusa kumpeleka mwanae orphanage? Wewe ndio unamjua Mungu kumtesa mtoto wa watu ivo??

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому

    Masela noma sana

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 роки тому +2

    😭😭😭duu jaman mbona huyo mama anajiamlia mtoto sio wanduguye ashikwe huyo tapeli

  • @happynessayubu1724
    @happynessayubu1724 3 роки тому

    Uyo boss tapeli

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 роки тому +2

    Pole dear jamani wanawake mbona hutupendani

  • @nusrathmohamedy6253
    @nusrathmohamedy6253 3 роки тому +1

    Uwiiiii! Jamani mpeni mwanae uchungu wa mwana aujua mzazi

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 роки тому

    Mhh katoboa pua apo Kuna namna uyu nae wakuhojiwaaa vizuriiii

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 роки тому +1

    Mwanangu nawezamuwacha afazariunaniuwa

  • @margaretamakobe7344
    @margaretamakobe7344 3 роки тому +1

    God have mercy

  • @asianfadhil4282
    @asianfadhil4282 3 роки тому

    Polesana mdogo wangu

  • @schosay_
    @schosay_ 3 роки тому +1

    Mbona hawakumsaidia binti hadi akaenda kwenye u-house girl?? Akaenda kuhangaika na kitoto chake kichanga??? Binadamu hawanaga wema!! Tujenge mazingira ya kuwasaidia watoto wetu kabla hawajapata matatizo. Mama Boss pole kwa wema uloufanya.

  • @aishawapalila8622
    @aishawapalila8622 Рік тому

    daa yaan mtot wangu anipelekee kwa yatima akalelew duuu

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 роки тому +4

    Sasa wew mdogo wangu unamtoto mdogo bana unaenda kufanya kazi za ndani na mtoto wakat mama ako mzazi yupo na bibi yako acheni jaman kurubuniwa na wanaume mhhh

    • @jesusjesus7477
      @jesusjesus7477 3 роки тому

      Ukute mtoto kazaa hapo na mume wa boss
      Maan hapo kasem mtoto kazaa hapo hapo kazin

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому

    Ooh mungu wangu jamani kwakweli watoto wetu huwa wanapitia shida tafadhali geah msaidie huyu binti apate mwanae alafu utupe mregesho utuonyeshe na huyo boss akamatwe, kwann huyu boss kamfanya hivi jamani mungu wangu huyu binti akapimwe ajulikane hali yake.

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 роки тому +2

    Huyo dada angechapwa kofi moja tu wala asingeendelea kunyanyua domo lake na angenyoosha maneno mapema wapi kampeleka mtoto. Gea please fatilia mpka mwisho ampate mwanae..na Picha ya huyo kigaganizi.

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому

    Marejesho please

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Рік тому

    Huyo boss akamatwe.

  • @sebajseba719
    @sebajseba719 3 роки тому +2

    Pole sana

  • @emyemy2229
    @emyemy2229 3 роки тому +17

    Huyo mwanamke afungwe atafutwe

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 роки тому +3

    Uyo mama ni mwizi wa mtoto. Muwe MACHOO SANA

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 3 роки тому +10

    Allah tunaomba mwisho mwema

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 3 роки тому

      Allahumma amiin

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 3 роки тому

      AMIIN..hakika hali ya cc binaadam ni mbayaa sanaa hatuna utu wala hatuna hofu ya Allah

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 роки тому +4

    Maelezo mengi nyoosha maneno mtt yuko wapi kuna wamama makatili humu