#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

КОМЕНТАРІ • 78

  • @MariaNgunge
    @MariaNgunge 25 днів тому +2

    Ee Mungu naomba utujalie sisi watoto tumujengee mama yetu nyumba na kumfungulie biashara Amina

  • @AmosChamba
    @AmosChamba 24 дні тому

    Naomb mungu ndoa tangy isimame isiyumbe ten n utuepushe n mahadui n nikapokee reo mtumishi atakapo achia barak amin

  • @ShanSaid-w2o
    @ShanSaid-w2o 24 дні тому

    Napokea uponyaji wa baba yangu na familia yangu ameen

  • @pauljohn4749
    @pauljohn4749 25 днів тому

    Mwenyezi mungu komboa kizazi changu na tumbo langu nda ya mwezi huu nikapate kupokea watoto mapacha naamini amini

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nakushukulu sana kwa mema uliyo nitendea mungu nakushukulu aminaaa

  • @MariamAloyce-rs4te
    @MariamAloyce-rs4te 25 днів тому

    Mungu naomba unifungulie zaidi na zaidi milango yangu ya riziki, mfungue vifungo vyote vya kiganga na kichawi mume wangu cispin, apate kazi kirahisi

  • @user-ig4pq2rx1b
    @user-ig4pq2rx1b 25 днів тому

    Nakupenda sana mtumishi mwaposa , hakika umekuwa mwangaza wa maisha yangu Kwa wale ambao awajakufaham nawapa pole San
    Nakuombea uish zaidi🙏

  • @ArafaArafa-o4g
    @ArafaArafa-o4g 25 днів тому

    E Mungu msaidizi mama ujenzi wa yumba ufanikiwe naamini itakua hivyo amina

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nakuombamdeni wwt asifike kwenye biashara yangu kuja kunixalilisha mungu nisaidie

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому +1

    Ubarikiwe baba mwamposa Kwa kipaji kikubwa ulichobarikiwa na mungu,,,umemponya mdogo wangu Elizabeth, aliyekuwa hawezi kukaa iringa rufaa walishindwa,,Benjamin hospitali napo ilishindikana,,,Kwa mwamposa amepona anatembea Hana kizunguzungu,Wala maumivu ya kichwa,,,,NINAOMBA familia yangu ifunguliwe vifo viishe,,umasikini,,nipandishwe cheo,,adui zangu waaibike,,

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nakuomba umpe moyo wa subila darazia azidi kunivumilia mungu nisaidie

  • @FransiscaUmuzigaba
    @FransiscaUmuzigaba 24 дні тому

    Naombaaa mungu akasimamie maombii yangu ya kuomba kazi serikalini naomba ukaniokanie nipate kazi amina

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu naenda kazini nikinge na mabaya yote yasinikute mungu nisaidie aminaaa

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nakukabizi watu hawa keenye maxabao hii hadija asia hamida xuu rehema agi diki daraxia mama wa mashuka mungu nisaidie kwa hilo aminaaa

  • @CatherineMnungu
    @CatherineMnungu 25 днів тому +1

    Eeee mungu naomba unilinde usiku huuu mim nafamilia yangu

  • @MariamAloyce-rs4te
    @MariamAloyce-rs4te 25 днів тому

    Mungu naomba mwisho wa mwez huu nipate hela ya mtaji nijaze duka langu

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nakuomba mama wa mashuka niongee nae na tuelewane asie mkali mungu nisaidie

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu naenda kwenye biashara yangu nipate wateja mpaka wanizidi na supu iishe yote mungu nisaidie

  • @GraceZunda
    @GraceZunda 25 днів тому

    Mungu Wangu nakushukuru kwa kila jambo Ameen

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nakuomba rajabu wapate jiwe kubwa na ela nyingi mungu wasimamie

  • @rahmarusabi2142
    @rahmarusabi2142 25 днів тому

    Mwez WA tisa na wa kumi naomb nipate pesa kwa kasi ya ajabu Ila zisinipelekeshee nizitawale au nizimiliki na nifanikishee malengo yangu amina

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu nisaidie bonge asiwe mkali na sainifokee wala richi wafanye wawe wapole km alivyo kuja suzi mungu nisaidie

  • @nuruAthuman-p2x
    @nuruAthuman-p2x 25 днів тому +1

    Eeh!Mungu naomba nijalie nipate Mume amen🙏🙏

  • @ArafaArafa-o4g
    @ArafaArafa-o4g 25 днів тому

    Naamini tareh 1mwenzi9nahamia kwenye Zimbabwe kizuli naamini kwajina la yesu

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya kuvamiwa kazini na majambazi imekwisha kwajina la yesu

  • @FransiscaUmuzigaba
    @FransiscaUmuzigaba 24 дні тому

    Naomba mungu nipate hela niweze kwenda kusimamisha biashara ya mama yanguuw

  • @Justergordfrey
    @Justergordfrey 25 днів тому

    mungu naomba unitendee nipate mchumba amina🙏

  • @amosmichael-o7g
    @amosmichael-o7g 24 дні тому

    nnaokea kufunguliwa kiafy na kiuchumi na mambo yangu yaendelee kuwa mazuri

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Ewe mungu nakuomba leo ni pate ela hiyo ya mkopo nijokomboe mungu nisaidie

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kufikia trh 30-08-2024 Nyumba yangu Bunege senta Iwe imekwisha kujengwa kilahisi

  • @rahmarusabi2142
    @rahmarusabi2142 25 днів тому

    Eeee mungu nijaliiie mme mwenye hofu ya mungu ❤

  • @SaidOmary-nh5kr
    @SaidOmary-nh5kr 25 днів тому

    mungu naomba leo uwahukumu wanao cheza na mm

  • @Sabina-h2p
    @Sabina-h2p 25 днів тому

    Sabina napokea uponyaji pamoja nafamily yangu

    • @MariaNgunge
      @MariaNgunge 25 днів тому

      Nafatilia moja kwa moja you tube

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 25 днів тому

    Mungu leo ni siku ya kutafuta ela ya kumpa marim bonge na richi mungu nisaidie niipate iyo ela nikipe mungu nisaidie

  • @rahmarusabi2142
    @rahmarusabi2142 25 днів тому

    Eeee mungu najiunganisha na mazabahu hiii naomb Unisaidiee

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya kuto mpenda mkewangu mwiiza imekwisha,Mimi namkewangu tupendane sana.niwe nahamu ya tendo la ndoa na mkewangu mwiiza au Getruda

  • @MandaMukuli
    @MandaMukuli 25 днів тому

    Amen

  • @LuciaestevaomwalangaMwalanga
    @LuciaestevaomwalangaMwalanga 25 днів тому

    Heee mungu naomba unidaidee na kazi nimetafunta sana lakini bando sijabarikiwa.

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Roho yahofu ya kuvamiwa kazini Imekwisha

  • @MuniraMaliki
    @MuniraMaliki 25 днів тому

    Ee mungu niponye kichwa changu

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Leo trh 17-08-2024 jioni yanga ushindi mkubwa wa magori kumi 10 ikiifunga timu ya vital'o

  • @ArafaArafa-o4g
    @ArafaArafa-o4g 25 днів тому

    E Mungu tarehe 18 nitapata chumba

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesho trh 17-08-2024 VITAL'O F.C ,Ifungwe gori kumi 10 bila,Naifunga timu ya Vital'o kwenye Ulimwengu wa roho Isifunge gori hata moja Zidi ya yanga,Maneno ya kocha wa vital'o yakuifunga yanga yamludie mwenyewe na timu yake kwajina la yesu

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Nafungua milango ya kununua gari aina yakosta basi kufikia trh 30-12-2024

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Timu ya yanga sc,max zenger aifunge gori 2mbili vital'o,Azizi ki aifunge gori tatu 3 timu ya vital'o f.c,Dube aifunge timu ya vital'o gori 4 ,Kratusi chama aifunge timu ya vital'o f.c gori 1

  • @KimwanaShabani
    @KimwanaShabani 24 дні тому

    Mtume naomba unibariki nipate mtoto wa kiume

  • @LidiaJoshua-w9i
    @LidiaJoshua-w9i 25 днів тому

    Ameninini😊

  • @ArafaArafa-o4g
    @ArafaArafa-o4g 25 днів тому

    Emungu nihamie maisha mema

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Yanga sc,Pakome Aifunge timu ya vital'o gori 7 bira leo trh 17-08-2024 Yanga sc Isiwe na hofu yoyote Zidi ya vital'o,Yanga Sc Icheze kwa kujiamini kupita kawaida

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya Mkewangu mwiiza kutopata mimba ya mtoto Imekwisha leo trh 17-08-2024

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Wiki ya trh 19-08-2024 Nipate fedha kwa kasi ya ajabu sana fedha Inifuate kwa kasi Sana

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Najiunganisha na madhabahu ya Ukombozi Sasa,

  • @LidiaJoshua-w9i
    @LidiaJoshua-w9i 25 днів тому

    Ameee❤

  • @rahmarusabi2142
    @rahmarusabi2142 25 днів тому

    Kufikia tar 20 /10 niwe nimemaliza nyumb

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya timu ya yanga Sc,kufungwa na VITAL'O Kesho Uwanja wa Azamu Imekwisha

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Nataka nijenge nyumba kirahisi,,

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Kesi ya uchumi kwangu na familia imekwisha,kesi ya ndoa imekwisha

  • @LidiaJoshua-w9i
    @LidiaJoshua-w9i 25 днів тому

    Ammmeeee

  • @StanleyShishila-u3k
    @StanleyShishila-u3k 25 днів тому

    mugu naomba ulifungue tumbo langu nishike ujauzito

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Timu ya VITAL'O F.C Ifungwe na YANGA SC Gori 10 Kumi bila

  • @athanasmjuni
    @athanasmjuni 25 днів тому

    Shetani acha akudanganye,ipo siku utazikumbuka sauti zinazokuonya.

  • @lulunganyagwa6891
    @lulunganyagwa6891 25 днів тому

    Naomba mtu anaeniharibia kazi kwa kakaangu afe siamke apate ajali mbaya

  • @EsnathRobert
    @EsnathRobert 25 днів тому

    Ee MUNGU naomba nitenge na roho ya madeni

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya kukosa fedha milioni mia Imekwisha

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya kuto kujenga nyumba bunege senta Imekwisha

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya imaskini imekwisha

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu 25 днів тому

    Amen

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Kesi ya uchumi kwangu na familia imekwisha,kesi ya ndoa imekwisha

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya kukosa fedha milioni mia Imekwisha

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 25 днів тому

    Kesi ya kuto kujenga nyumba bunege senta Imekwisha

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Kesi ya uchumi kwangu na familia imekwisha,kesi ya ndoa imekwisha

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Kesi ya uchumi kwangu na familia imekwisha,kesi ya ndoa imekwisha

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Kesi ya uchumi kwangu na familia imekwisha,kesi ya ndoa imekwisha

  • @Sarakiseo-e3q
    @Sarakiseo-e3q 25 днів тому

    Kesi ya uchumi kwangu na familia imekwisha,kesi ya ndoa imekwisha