Umepolea wapi kipenzi chetu chimbende just miss you sana Marwa from U.S.A nikuangalia nakumbuaka nilivyokuwa mdogo, New Arusha tulikuwa tunapanga foleni ya kuingia kukuangalia ulivyokua ukicheza❤❤ Umenikumbusha mbali sana kaka.
huyu chimbende nilimuona Arusha miaka ya 90 akiigiza wimbo wa Papy tex Kanda ya nini huku akiingiza vionjo vya kiswahili shamba sio mchezo. H e is talented musician with Congolese touch.
Rhumba kali..sound ipo vizuri. .next shooting jitahidi kuwaweka waliokupigia viombo..na ongeza watu wawili..kwenye line up ya waimbaji..Hongera sana Chimbende muzee ya Kurugènzi jazband ..tulioishi Arusha miaka ya tisini tunajua kipaji chako
Salim, kwa kweli umetisha....ila next video weka video ya "Pesa." Ule wimbo utaua kila kitu, yaani ngoma hatari sijapata kusikia karibia ya miaka 10 zaidi kwa hapa Tanzania. Weka na ukimbize wachafuzi wa lugha redioni. Unatisha babake. Zomboko anajua habari zako Salim nami nakufagilia kinoma.
Tumekumiss darajani fildforce kwa mrombo 😂
Naomba nijue stodio uliyoingiza sound na video shorter brother 🙏
Umepolea wapi kipenzi chetu chimbende just miss you sana Marwa from U.S.A nikuangalia nakumbuaka nilivyokuwa mdogo, New Arusha tulikuwa tunapanga foleni ya kuingia kukuangalia ulivyokua ukicheza❤❤ Umenikumbusha mbali sana kaka.
Ii video ikopoa sana
Mmakonde kaza unatuwakilisha vema bgp kwako
Ikweta oyeeeee❤❤❤
Hongera babamkwe nmeipenda
Chinga nasikia story zako Radio One..Arusha uliwashika sana enzi hizo..
huyu chimbende nilimuona Arusha miaka ya 90 akiigiza wimbo wa Papy tex Kanda ya nini huku akiingiza vionjo vya kiswahili shamba sio mchezo. H e is talented musician with Congolese touch.
Uko vizur salmu chimbend
Mmakonde wa Chihangu Newala
Najiona jamni long time ,
Mtu wa Newala Chihangu
Mimi niko Dar....hapo Arusha mnapiga wapi na siku zipi?
nihatari uko vizuri sana
Salim tutakutana studio we mkali
Nilikuwepo Arusha miaka ya 90, je Chimbende wewe ni yule aliyekuwa anaimbia Kurugenzi???
Ni huyohuyo, Mmakonde Mkongo
Rhumba kali..sound ipo vizuri. .next shooting jitahidi kuwaweka waliokupigia viombo..na ongeza watu wawili..kwenye line up ya waimbaji..Hongera sana Chimbende muzee ya Kurugènzi jazband ..tulioishi Arusha miaka ya tisini tunajua kipaji chako
Great hit.... Mutu ya Chikandanga...
Kaka ngutumile jihimu jako