Kaunti ya Kilifi yaanzisha awamu ya pili ya kufadhili miradi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Zaidi ya vikundi 100 kutoka kwa jamii zisizojiweza eneo la rabai kaunti ya Kilifi vinatazamia kuvuna pakubwa na kubadilisha hali yao ya kiuchumi kufuatia kuanzishwa kwa mradi wa samaki unaoendeshwa na kaunti ya Kilifi na kufadhiliwa na Benki ya Dunia.

КОМЕНТАРІ •