Kazi nzuri Bertin 👋👋👋 don't forget to show us kijichi, mbagala kuu, vikunai, tuangoma, chekechea, kisiwani and so on they need to know Tz 🇹🇿 is blessed
You need to consider elaborating graphics on your videos especially these series featuring different districts and places so as to grasp the better picture in terms of directions, sizes, distances and proximity to the CBD, airports, SGR terminal, busses terminal etc, make good use of maps to locate places you're dealing with for easier understanding of those new to the city
U should have showed my former school, Kibasila Secondary School one of the oldest Secondary and High school in Temeke it was constructed during colonialism but it's still there going strong Like Azania and Jangwani High school.
If there were no motorcycle taxis, this city would be at the same level as Addis Ababa. Why did the Kenyan and Tanzanian leaders let this activity flourish? The Ethiopian leaders banned this activity in Addis otherwise there would be millions of motorcycle taxis in Addis Ababa today, just like in Kigali, Kampala, Nairobi and Dar es Sallam.
U would be shocked mbaagala hasa really transformed so is Tandika and Temeke u must know Dar was built in the form of satellite city no wonder is nicer one more thing my goodness dar is very clean I can say even than Kigali
Inasikitisha sana ukitembelea mikoa mingine ya Tanzania 🇹🇿 yaani imesaulika kama Morogoro mji mbaya mchafu tena hadi city center utafikiri Morogoro haina mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa manispaa na mkuu wa wilaya na mbunge! Serikali ya Tanzania 🇹🇿 fanyeni juhudi kuendeleza mikoa mingine ya Tanzania pia inaonekana kila kitu kizuri kinajengwa Dar na Dodoma au Arusha ingawa Arusha haina barabara nzuri hata mji bado wa ovyo , Mwanza mmeisahau haina barabara nzuri hata AirPort terminal mnajenga ya ovyo kabisa kama shopping mall pasipo na air bridge ovyo tu wakati Mwanza ni jiji kubwa, huko mbeya ndio mmekusahau, Iringa mmekusahau, Tanga kuko ovyo ovyo , shinyanga na singida tabora mtwara lindi Ruvuma na mikoa mingine imesaulika!! Nenda nchi zingine miji yote inaendelezwa mfano Botswana 🇧🇼!
Acha uongo, na komenti yako hii ya kukopi na kupest ktk kila video inayowekwa na Bertin. Maendeleo yanafanyika kote SGR imeenda wapi chumbani kwako?! Vituo vya SGR na mabasi vimejengwa wapi?! Masoko, mahospitali na mashule yamejengwa Dar peke yake?! Acha uchawa!!
@ nimefika mkuu na kuwa vitu organised na population havina uhusiano na wala kuwa organised miji nk havihitaji kuwa matajiri sana ni kuwa makini na kusimamia sheria mfano Tanzania mkoloni aliacha miji mingi Tz zikiwa na open space majina ya mitaa ila mkaanza kujenga ovyo ovyo Hadi sasa miji mingi Iko ovyo. Rwanda 🇷🇼 wako organised sababu wanasimamia sheria ndio maana Burundi 🇧🇮 kuko ovyo ingawa almost the same population kwa sababu hawasimamii sheria na wako corrupt kama Tanzania 🇹🇿!
@ Umefika mji gani? Gaborone? Vitu gani vimekuwa organized? Unajua effect ya population kwenye miundo mbinu na service provision? Mfano hivi unafikiri kwa siku moja ni taka ngumu na nyepesi tani ngapi zinazalishwa Dar na zinaishia wapi? Maji lita ngapi zinatumika kwa siku?! FYI Botswana hawana hata level ya organization nzuri kuwafikia hata Rwanda!
@ wewe unaleta ushabiki usio na maana tunaongelea uzuri wa miji ni mji gani wa maana Tanzania zaidi ya Dar na at least Dodoma , Mwanza barabara ziko ovyo Arusha Iko ovyo haina barabara na Iko ovyo haiko organised tena Arusha ina slums kama unga limited !
Wow tz finally looks promising nice video good picture camera view smart shooting love the scenery
Bertin i remaind you, don’t miss tomorrow for the start of the first Tz EMU train journey….am waiting for the fantastic video🔥
😂😂😂😂 he won’t I know him
@ let us see if it’s gonna happen or not
Kazi nzuri Bertin 👋👋👋 don't forget to show us kijichi, mbagala kuu, vikunai, tuangoma, chekechea, kisiwani and so on they need to know Tz 🇹🇿 is blessed
Oh yes bertjn Temeke ansante sana ❤❤❤🎉
Love your videos where about is Timeke. Is it in far from Ilala thanks
You need to consider elaborating graphics on your videos especially these series featuring different districts and places so as to grasp the better picture in terms of directions, sizes, distances and proximity to the CBD, airports, SGR terminal, busses terminal etc, make good use of maps to locate places you're dealing with for easier understanding of those new to the city
Wow did not know this about Dar,...thanks,..
Watching from 254🇰🇪🇰🇪 need more plz🎉👌👌
Ya’ll Lil’ bubble finally been busted huh?
U should have showed my former school, Kibasila Secondary School one of the oldest Secondary and High school in Temeke it was constructed during colonialism but it's still there going strong Like Azania and Jangwani High school.
Close to Chang'ombe Catholic church
Temeke is my hood bandari college area
Great
First comment, give me the like jamani
Temeke nyumbani❤❤❤
Kaka mkubwa Bertin. Kuna watazamaji wako wengine wanaomba ukipata muda usisahau kwenda na Tabata na Kigamboni kwenyewe achana na Pale Nyerere bridge.
I would like to see Tabata
😢❤
Would’ve been better with some drone shots but we are used to the bare minimum by now!
home
If there were no motorcycle taxis, this city would be at the same level as Addis Ababa. Why did the Kenyan and Tanzanian leaders let this activity flourish? The Ethiopian leaders banned this activity in Addis otherwise there would be millions of motorcycle taxis in Addis Ababa today, just like in Kigali, Kampala, Nairobi and Dar es Sallam.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡💯
Mbagala ni wilaya ya Temeke pia.
@@mpamba89 anakwepa huko maana uko kuna ma slums mengi huko tandika
@@Kabwela776kuna slums yes, yet ni kuzuri balaa, mbagala wana mabasi ya mwendokasi na kuna lami hadi mitaani
Duuuh we shoga unashupaza shingo.....humu hamna mabasha wa kukushighulikia.....Tanzania inakuuma eeeh.....Chomoa @@Kabwela776
Tuletee za mbagala, tandika na vingunguti na Temeke 😅😂😂😂😉😉
Watch my videos of Mbagala
kwani we jamaa una shida Gani na Tanzania naona unaiponda sana
U would be shocked mbaagala hasa really transformed so is Tandika and Temeke u must know Dar was built in the form of satellite city no wonder is nicer one more thing my goodness dar is very clean I can say even than Kigali
Mwaka wako wa mwisho kufika mbagala ni lini shangazi ? Uliambiwa mbagala ni porini 🤣
@@MamodelPark🤣🤣🤣
Inasikitisha sana ukitembelea mikoa mingine ya Tanzania 🇹🇿 yaani imesaulika kama Morogoro mji mbaya mchafu tena hadi city center utafikiri Morogoro haina mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa manispaa na mkuu wa wilaya na mbunge! Serikali ya Tanzania 🇹🇿 fanyeni juhudi kuendeleza mikoa mingine ya Tanzania pia inaonekana kila kitu kizuri kinajengwa Dar na Dodoma au Arusha ingawa Arusha haina barabara nzuri hata mji bado wa ovyo , Mwanza mmeisahau haina barabara nzuri hata AirPort terminal mnajenga ya ovyo kabisa kama shopping mall pasipo na air bridge ovyo tu wakati Mwanza ni jiji kubwa, huko mbeya ndio mmekusahau, Iringa mmekusahau, Tanga kuko ovyo ovyo , shinyanga na singida tabora mtwara lindi Ruvuma na mikoa mingine imesaulika!! Nenda nchi zingine miji yote inaendelezwa mfano Botswana 🇧🇼!
Hivi umeshawahi fika Botswana au unapasikia? Unajua population ya Botswana ni watu wangapi? Fanya utafiti kabla ya kupost vitu !