Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Вставка
- Опубліковано 17 кві 2024
- "Women is the cornerstone of society and the heart of every family."
"Na Nusu" By Harmonize Is A Bongo Flava Song That Celebrates The Strength And Resilience Of Women. With Its Catchy Beats, Infectious Melody, And Harmonize's Smooth Vocals, The Song Pays Homage To The Important Role That Women Play In Society. Through Its Uplifting Lyrics And Energetic Rhythm, "Na Nusu" Encourages Listeners To Recognize And Appreciate The Power And Influence Of Women In Their Lives.
Harmonize - Na Nusu (Official Audio)
Stream/Download: ziiki.media/NaNusu-Harmonize
Prod By B Boy Beats
Mixing And Mastering By B Boy Beats
Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
Follow Harmonize
Instagram: / harmonize_tz
Twitter: / harmonize_tz
Facebook: / harmonize255
TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
Listen to Harmonize
UA-cam: / harmonize255
Audiomack: audiomack.com/harmonize
Apple Music : / harmonize
Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
The official UA-cam channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Harmonizemanagement@gmail.com
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762
#Harmonize #Nanusu #BBoyBeats
Kama unaamini mama yako ni mtu na nusu like na maua 🎉🎉hapa❤
Ww nijinga
@@abdulikilala5902kwahiyo wewe mama yako siyo mtu
🎉🎉🎉
Motoooo💥💥💥
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Daaa cjui nimechelewa wapi 😢 ilaa naomben hata like 100 jamani much love for konde boy na wanawake wote😂
Like Zina faida kumbe
😢
😢😅😅😂
Zinauzwa wapi jameni??😂😂😂😂
ua-cam.com/video/AeMSHTkvC3U/v-deo.htmlsi=Dw-GfKE-45TrRr5v the first challenge na nusu harmonize 🇨🇩
This song inanikumbusha mama yangu alivyonipambania kunisomesha mpaka Sasa naomben like 1000 jamani much love for Konde boy❤❤❤🙏🙏🙏🎉 nawabariki kina mama wote duniani
Much Respect for You cuZ You gave So much Credit to your mama ... 🩷🩷😇🙌🏽🙌🏽🇺🇸🇵🇷🇳🇬✨✨✨✨👑 Yes God Bless You & Your Family 🫶🏽 💯 from USA 🇺🇸❤️🤍💙
my mom from mumias i love you 😢😢😢
❤❤❤❤❤❤❤ Ama kweli Mmakonde ni Comandoooo, truly saying no One like you Kwa Muziki Tanzania, Kenya, Uganda and Rwanda.... Tembo ni Tembo. Hii umekanyaga sijuwi upande wa pili kutawai tokea jibu la kupinga kweli hii.... Umemkanyaga SIMBA kweli kweli ❤❤❤@POSH mahaba!!
Mimi kiukweri nimeshindwa kuvumilia na huu wimbo,,, unanitonesha machozi,,,melodies,vocals and beats,,shwari kabis❤love konde boy....my mentor
Sio kweli jomn wapenz wa conde na mm naomben like🎉🎉 hata 4k tuh
Am from Zambia 🇿🇲 I love harmonize mtu nanusu and Tanzanians songs please I want 2k💿💿💿🙆🏻
harmonize naye anatisha....uniting nations through his sweet melodies no forcing just but sure and flowing....team Kenya Gonga like hapa hii Ngoma ifike 1m by Leo🙏😍
Mungu awape maisha marefu akina mama wte duniani🎉🎉❤
Aamin ❤
For real King 👑 Harmonize akiitunga wimbo wenye hisia utadhani ni malaika kamsaidia na uwandishi kisha Mungu akashusha kipawa zaidi kwenye nyuzi zake za sauti. What a great talent legend 👏🏾
Niko na wewe kaka uyu mtu ni zaidi ya muimbaji namukubali bala nivile tu halijuwi hilo 🤝🤝🤝🤝🤝❤❤
It's only legend artist in Tanzania with talent and I love his music I'm top fan's from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 big ups to you my kondeboy.
Sijui nimesikiliza mara ngapi much love from kenya ❤❤❤❤❤
You don't dissapoint
Tunapenda nyimbo kama hizi.. Huu nao ni Wimbo wa mwanaume na nusu Harmonize.
Asante sana mwenye anayipenda wimbo huyu na kuwusikiya kuzidi mara moja anipe like
ua-cam.com/video/AeMSHTkvC3U/v-deo.htmlsi=Dw-GfKE-45TrRr5v the first challenge on UA-cam 🇨🇩
Acheni Harmonize aitwe Harmonize....... Mama Aliko ni Mtu na nusu❤❤❤❤ Kenya 🇰🇪 tunatambua Tembo.
I love it ❤
Kuhimba unajuwa kaka hongera sana
Kabxa ❤❤
So sweet. I am also mtu na nusu
Napenda this guy,,,anapiga wimbo mtamu recognising women,,,women are much important to this world
U wimbo unanikumbusha MAMA YANGU KIPENZI 😢R.I.P my beloved MAMA sizani km nitakuja kupata mama kama ww umetupambania ukatusomesha kwa shidaa mpaka 😢😢sasa tuko chuo kikuu MUNGU akulaze mahali pema peponi AMINAA We still love ❤ u so much 😢😢😢
I"M from Angola, Harmonize i don.t know how you feel just moment after write this music! so cool you are my best singer of all Tanzania.
Jamani nimesikiliza hii nyimbo karibu mara kumi,,,,,Konde wewe ni number one kweli.... much love ❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
1:36 😊😅😅ddddt😮tdddddddddddddddddddddddddd
✔️✔️😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
True jeshi tembo siku zote
I love you teacher konde boy ❤❤ from 254kenya🎉🎉
Merry
This what we call music wacha na goma watu wanatoa hazina massage harmonize we give you your flowers jeshi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Harmonize is the king of lyrics . Let’s give him his flowers. Love from 🇰🇪
Uchungu wa mwana ajue mzazi mostly mother, love my mum ❤❤❤❤❤❤❤❤
This Song inanikumbusha mama yangu alivyonipambania kunisomesha mpaka Sasa Niko Chuo kikuu,,,, Allah mjahalie mama yangu Umri mrefu 🙏🙏🙏🙏🙏 na wabariki kina mama wote Duniani
Boom🔥
Boom🔥
Ameen thumma ameen
Hafu ukipata kazi kajenge ukweni
Siyo amjahalie, neno sahihi ni AMJAALIE. Aamin
Kipaji kya kuimba na kuwandika, mungu kakubariki ndugu yangu.
Unawaza Sana na maneno mazito, all the best
Dah jamaan nani kama Mama in our life big blessing for my mother and also be blessed konde boy
WCB fans tupo?
nyimbo nzuri ni nzuri akuna gisi yaku wepuka !!! 10/10
well done KONDE BOY .
Dha kweli kaka tembo unajuwa sana wa Tanzania wasikulaumu 😢😢umajitetea vizuri sana 💛💛 naomba likes 10 kama nimeongea vizuri
Aweee wa kwanza nipeni mauwa yangu🎉🎉❤
Bongo fleva Huwa sipendagi kuliko nyimbo za injili. Lakini kwa nyimbo hii, kaka nimeelewa. Mama yangu alinisomesha Mimi Hadi chuo kikuu kwa kuuza pombe za kienyeji. Nani kama mama. Naomba like zangu tafadhali
Hakuna kama mama
Ujumbe uo ni wangu Cha ajabu umesomeshwa kwa pombe unafanikiwa anakufaa mama inaumaaa
The melodious lyrical harmonize ...konde is a real talent..ninaupenda uandishi wake
Hakika Mwanamke ni Muhimu sana Kwenye Nyumba, Yani Usipokuwa na Mwanamke Amini kwamba hutofanya Jambo likaenda vyema, Hasa Kwenye ishu ya Maendeleo Ili ufanikiwe Nyuma awe mtu wa kukufuata Yani Mwanamke atakuongoza... Hii Nyimbo imenifanya nizidi kumpenda Baby Mama wangu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kula chuma ichoo boss kibwe
Hatari sana 💥💥@@SportsDataMedia
Big up
Maman ni mutu na nusu wangu alikufa mapema nikiwa mdogo kuna vitu mingi nimekosa kwa maisha yangu harmonize wewe ni mwerevu kabisa kwanza ngisi iyo ngoma umeichapa sidani kuna msani anaweza 👊🏾
Pole xna braza,hii song inahisia
Na mimi alienda halaka😢😢😢😢
Jama por kadunia binakuwa
Very good Song , good Sound Konde boy Bad Man even me My Mama ni Mtu na Nusu love from Tanzania 🇹🇿 Naombeni Like zangu na Mm hapo
Hii nyimbo nikali❤❤ wahuni wasiyoielewa waace kelele kipihakieleweke nahivivicha mara eti muke kumfananisha na mungu! Kipihakieleweke? Niluga msiofahamu mkampongeze harmonaize nakuaca kelele
Mr jow musician from migori kenya was here and approved this is fire 🔥 nipe hata like 200 za migori kenya
Nipo kadika
Kali sana❤❤
Kali sana❤❤❤
Beautiful song, what is he singing about?
@@deemas5462 women are people and haf
Hii track ni nyimbo na nusu, already ipo repeat 🔁 mode hapa kwangu, message imekwenda group of schools...wanawake wote ni watu na nusu,nawapenda na kuwaheshimu sana❤❤❤❤.
Konde ndugu wangu kazi unachapa usiku mchana Mungu akubariki JESHI
Natamni namm ningekua ni mwanamke huu wimbo unihusu congraturate harmo pwngne ww ndomungu tunayekusubili so kwamashair hayo japo nilipotoshwa kwa kibango
Mimi nimelelewa na mama I proud to you bro umewakilisha vizur ❤🎉❤🎉❤mama Philemon ni mtu na nusu❤🎉❤🎉❤
Philemon alex
Na mm nipeni like tangu kumekucha wimbo nausikila mmoja🎉🎉🎉mama Justina n mtu na nusu
We conde mbonabalaa lakohalishiki wala halifikiliki 💯 hushikikikaka tutakosa chakuimba wadogozako❤❤
Hii nyimbo tangu nimeiskia Yan naiplay Kila mda Hadi imekuwa kero Kwa majorani, love you much konde boy live long
Amazing 🎉🎉 song from Konde gang kama umeisikiliza zaidi ya mara mbili Tia like hapaaa🎉🎉🎉❤❤
Siyo marambiri two marakumi
Ngoma ni kali aki
Hii imeweza,nmeuskiza zaidi ya kumi
this the only one first challenge. ua-cam.com/video/AeMSHTkvC3U/v-deo.htmlsi=Dw-GfKE-45TrRr5v the first challenge on UA-cam 🇨🇩
Jamani mimi sio manzania alakini huyu dogo kwa kweli ametisha mpeni mauwa zake kwa nyimbo nzuri mtu na nusu❤❤❤❤❤ all the way from Namibia Windhoek
Nanyie mnasikiza nyimbo za bongo
brother...me Mtanzania nipo Beijing ila nahis nipo nyumbani , huyu dogo hapana aisee....
❤❤❤ Sina ata maneno ya kuongeza umesha maliza maneno
Utuzi wa kinyama ulio na wasia na hisia .God bles harmonize abundantly thé real music genius
🤤Wakwaza 🇨🇩🏌️ naomba lik ♥️
HARMONIZE:msione naimba kizungu mkadhani mwamba nimesahau kuandika shairi kwa lugha ya Nyumbani ❤❤
FANS: Thank you for representing EA both local and International,we love you ❤❤
Napenda sana maeneo ya Marekani Kusini nawapata mbashara Mbaka Kisii County Kenya 🇰🇪 kila siku nikenda kazi huu ndo wimbo wangu namwombea sana Harmonie qtoe nyimbo tamu kama hizi mavazi safi unyenyekevu kama unapenda like and comment.❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉
To my mum...she is a present mum in my life❤🎉🎉🎉🎉🎉love you mama
Konde boy wewe ni msanii na nusu tunakukubali sana 🎉🎉🎉🎉 kwenye hiii nyimbo umeua sana yani sanaa bado kushitakiwa na kusomewa mastaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I wish mamangu angali hai tufushare matunda alioyapalilia miaka yote.Walio na mama muwapende n kuwajali wallah kwan akikutoka maishani ndio basi.❤❤for this song
Likewise I here am sharing the same pain😢😢😢
From Rwanda 🇷🇼 nipatieni like 🙏😢😢😢
🇹🇿pamoja sana
Una staili kila zawadi za apa ulimwenguni kwa ili nyimbo nzuri saaaaaaaaa...n'a🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏kipaji cha nyimbo za ivi kweli zikutawaleeee🤭🤭🤭🤭🤭
For the first time ameimba bila kutumia moshi with clear mind..... MWANAMKE ni mtu na NUSU.
MWANAMKE ni Mungu wa PILI
MOTHER NATURE ndio Mungu wa KWANZA. Big Up Konde
Am a Kenyan Much love harmonize hii ngoma ina message nzuri kwa wanawake wote
Mama ubarikiwe mahali ulipo
Seriously konde boy umefanya nimelia sana bro your so talented we need people like you in this generation seriousley harmonize ,coz people are tired with love songs l love the massage much love bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yoka yoka kaka beats 🎧 ya nzembo.Harmo ba tika yo yaya.🔥🔥
Huu wimbo uwe dedication Kwa mama yangu mzazi😭.Miaka 20 kaburini , Endelea kulala salama. NAKUPENDA SANA MAMA.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
😭😭😭😭
Pole sana ndugu
pole friend
😢😢😢pole
Pole sana
Absolutely Jesh conde boy commando komesha wote wewe ni namba 1tu anaye bisha nani twende sasa kwa like zote 👯♂️🐘
Duuuuh Mungu akubariki sana Khonde na wanawake wote duniani
shut out kwa Harmonize umeua mwanangu IRP kwa bi kidude mungu ampe kila la kheri yeye ndio alioupeleka mziki wetu kimataifa mungu amlaze pema peponi amiin🤲
Wimbo mzuri wenye sifa nzuri za mama, Asante sana Konde Boy kwa kutuwakilisha huku Kenya, zetu salamu pokea na hongera sana
Hahahaa ninyi mademu mnapeda kutapwa sana hahaha
Pole pole jameni tusikanyagane humu... likes za Harmonize apa
Amen mama angu ni mtu na nusu ❤love you mama❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Cheers 2 Konde boy ❤❤...Cheers 2 all women 😢 😢mwanamke hajui kusema hana mbele ya watoto wake, majukumu mazito,😢😢 afadhali akope famiglia yake isilale njaa.. Nipe tu ka LIKE kamoja 😅😅siitishagi mingi nimezoea tuvìtu tudogo tuzuri
🌹
Jamani huyu mtoto ana upeo mkubwa sana wa mziki kupitiliza. Mashari mazuri sana. He is the best ❤
Harmonize namkubari kabisa hap ametisha kinoma saana🎉🎉 tumor maua yake amefanya vizurikabisa hapo🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉
Kwely wew yao yao uandishi umetulia mno nimependa sana hizi mistari "si ujinga kukubali matokea na sio swala la kupinga wanatuzidi upeo ,mwadilifu kama mama yangu sijamwona mpaka leo" ❤❤❤
Mimi ni sambiki wa harmo lakini sijawai pata like ata moja kwa yimbo yake ata hiwe Kali aje mbona wadau🤔
hii Noma sana baba !! lakin kwanini huku kohoa ??🙄
Like inakupa kula?😅
Hakika hapa asilimia zotee ❤❤
Unajua sana Konde❤❤❤❤❤❤
chukua dislike hiyo hapo coz naona like umeshapata nyingi
This guy is very talented artist 🎵🎵🎵 let's us support him konde boy jeshiii tembo harmonize you're the best
Nice song❤❤
Nice songs
Big boy pia ni mtu na nusu ,,much love..likes zangu kama unafeel konde ni mtu na nusu kutoka wasafi🤭😊
Asanhte kwa kutisifu mungwana mungu akuongeze miaka ushi maisha marefu ,,,,much love from Kenya ,,,asanhte kwa wingi.......
Team Konde from Tz tisha sana Mwenetu 🔥🔥🔥 Naomba like zangu apa
Konde ndio msanii wa kwanza Tanzania kutoka katika sayari ya watu wanao jua kuimba na kuandikia vizuri ongera sana brother kwa hilo tu ume weza wa kukaya🎉🎉🎉🎉🎉
Sio kweli kuna wana muzik wame pita hpa wakina maneti na marijan na wengine wengi ambao paka leo haja tokea mtu yoyote kufika hata nusu yao
@@user-oj9ky8tj9g kina marijani usiwafananishe harmo
ongera sana bro, une très belle chanson from Drc,nairudiria kuosikia mpaka sijajua ni mara ngapi kwa kweli nmeisikia mnoo
Mama ni mtu na nusu. Wowwww tungo ya hakili kbisa
Tanzania ndio imeongozwa na mwanamke na nusu that is true konde boy ,love you so much more likes to me Ram Gee ❤️❤️❤️
German pia kuliongonzwa na mwanamke
@@happinessshirima1919 nice ☺️☺️ tz is the first according to there history
Konde Balaaa, mtalaam wa kuandika! Konde boy for everybody ❤🎉❤🎉❤🎉
Siku zote mama nitampa kipaombele kuliko mtu yeyote yule....mtoto ni wa mama,,, nakupenda sana mamangu na mama wote ulimwenguni❤❤❤❤
❤❤wimbo huu jameni 🎉🎉... Hamo unastahili kupewa jina jipya 🎉🎉 kwa Muziki wa kizazi kipya....
Damn, this is the banger of the year 2024 🌍. Yaani Kiswahili kitupu alafu melody mayonnaise, Jeshi #1 🎉🤓
I love this one ❤❤❤❤❤❤❤
Tanzanian's dont really know how Kenyans love them...konde boy to the world ...💥💥💥💥
Kweli ❤
Yesss
The big name shall remain the same call him no..1 hamoninga much love from 254 .. for sure I have played this song for 100 times😢😢😢
Anaejua, anajua tu,,like wapi jamani,,,🎉
Harmonize c’est un grand artiste de l’Afrique australe une chanson rythmique et plein d’élégance je l’ai dédié à mon épouse ce matin dès la sortie sans comprendre le kiswahili.
Béninois vivant à Paris 🇧🇯 🇫🇷
C’est par feu Grand Président John Magufuli que j’ai aimé la Tanzanie ❤️🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️
😂😂😂😂😂😂c’est Monsieur est vraiment terrible pour la bonheur de musiques de l’Afrique de L’est ! 😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Number one musician in Tanzania much love from Canada 🇨🇦
Kutoka drc naomba like zenu. Mwezi tisa tumboni mwa mama ni siri kubwa sana na alama ya upendo. Mu barikiwe na mola 🙏🙏
Nyimbo ambayo waeza skiza mbele ya wazazi thanx Harmonize ndani Ya Doha tunawamiss mamazetu ila tumepata faraja ipo siku tutaenda kuwaona inshaAllah
Nyimbo amblyo waeza akiza Mbele VA wazazi thanks harmoze
This guy comes up with songs that gets us back to our senses and thats what is unique about him..... Much love from Kenya
Beautiful song jaman naombeni like hata 5000 tyuu jaman
Nawatakia maisha yenye kheri dunian kina mama wote much love ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ unayoyasema niukweli kweli wimbo huo 🎉🎉🎉🎉🎉 unatisha nakupaogera konde nakubali sog hiyo
mungu akupe maisha maisha marefu baba ile ni mwimbo ya maana saaaaaanah big up tuna kupenda sana congo goma
Hiii imeenda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥imeenda kabisaaa 💯 pokeeni salamu kutoka Mombasa Kenya🙏👊👊💪💪konde tunamtambua Sana💯💯🔥
The love i have for harmonise ❤ his creativity is beyond this world
Jaman konde ww mziki unaujuw kwa huu wimbo konde gang forever🎉🎉🎉🎉 i love your songs
Konde boi has a big brain...he knows how to play nd control a group of people.... I have knew the reason why he was saying God is a woman..... this was his one way of promoting this song.....
Wimbo mzuri sana Niko namwimbia mama yangu kuwa yeye ni Mtu na nusu
Mtu na nusu jameni mama angu pia ni mtu na nusu Nastia hilli wimbo south sudan juba and this song is such a blessing big up ndovu
Daah harmonize unajua Sana congratulations ♥️♥️♥️ umejua kuigusa mioyo ya mashabik zako🎉🎉🎉
Wakenya tupo ❤❤watanzania mpo 😝🥰
Tupooo. jirani. mambo vp?