yaani mimi nawachukia wachawi sana, kwani wakianza kukufuatilia huwa hawachoki, watahakikisha wanakutesa na watoto wako, na huwa hawapendi maendeleo, yaani ili mradi wakutese wanavyotaka, au wakutie maradhi ili uhangaikee , kwao ndio furaha.mambo mengi ya uharibifu wanafanya.tena mungu angamiza ngome zao kabisa, na wasiwe na power yoyote ile.mchungaji endelea na huduma ili wachawi wote wamjue mungu, ili tuishi kwa amani.Amen.naangalia kutoka uswis 17.12.18.
Mchungaji Robert, unafikiri watu hao wanamfuata Yesu? Siku zinakuja ambazo Mungu hatatenda miujiza kwa mkono wa mtumishi wake, kwa kweli, watu hao ambao wanadai kuwa ni Wakristo watakimbia. Heri mtu ambaye ameokolewa kwa hiari badala ya kuokolewa kupitia miujiza. Mapendo ni kwenye shida, matatizo, mateso, hatari na sio nyakati za amani, furaha, mafanikio na utajiri.
I don't understand the language but the girl is so courageous Amen, watching from kenya
Asante mutumishi wa mungu ananibariki ..kweli njoo kenya utukombowe
Amina
yaani mimi nawachukia wachawi sana, kwani wakianza kukufuatilia huwa hawachoki, watahakikisha wanakutesa na watoto wako, na huwa hawapendi maendeleo, yaani ili mradi wakutese wanavyotaka, au wakutie maradhi ili uhangaikee , kwao ndio furaha.mambo mengi ya uharibifu wanafanya.tena mungu angamiza ngome zao kabisa, na wasiwe na power yoyote ile.mchungaji endelea na huduma ili wachawi wote wamjue mungu, ili tuishi kwa amani.Amen.naangalia kutoka uswis 17.12.18.
Ngome zimevunjika ktk jina la Yesu
Jamani, Mungu ni muweza.HALELUYA
Amina mungu awa umbue make tuna teseka sana uku wana sumbua sana waseme ukweli awa jui nn waseme wapone amina
Ameeeeen
Waongee kiswahili
Utukufu kwa Mungu
Njooni kwa YESU kunauzima tele
Powerrrrrr
Amen
Daah lugha atuelew
Nimrshindwa futilia ukalimani hauridhishi asante
Ukwelileokwawasioamini nikamaupuuzi
Kweli kabisa, njoo kwa Yesu uwe kiumbe kipyaaaa
Yaani mm najukia wachawi wanalkuroga mpaka basi
Jamani huko hata watoto hawajui kiswahili
Watu weusi wanga wachawi Sana kama hizi story zinazo tolewa wengi wataenda motoni kwa hali Hii uchawi mwingi ubaya unafiki
We akili huna hata ubinadamu huna
Too much kihaya the testimony is good the barrier is language
Last time you will sayed
kamweeeeneeee tupoooo pamooooojaaaaaa
Aisee we unapiga hela
Kwani lake Victoria ikichemka uchemka mapepo yesu awaponye
Kwan hawa ni wa mkoa gan mbon hi lugha sijawah kusikia
Mchungaji anapenda viruga
Wa Tanzania wanaongea kirundi ?
Viruga vinanitoa kwenye uwepo
Mtoto maskini huyu,mchungaji mwongo, haya ndo wanafiki wathalilisha watoto.
Mchungaji Robert, unafikiri watu hao wanamfuata Yesu? Siku zinakuja ambazo Mungu hatatenda miujiza kwa mkono wa mtumishi wake, kwa kweli, watu hao ambao wanadai kuwa ni Wakristo watakimbia. Heri mtu ambaye ameokolewa kwa hiari badala ya kuokolewa kupitia miujiza. Mapendo ni kwenye shida, matatizo, mateso, hatari na sio nyakati za amani, furaha, mafanikio na utajiri.
Kbs
Viruga mnazingua
Wawe wanaongea kiswahili jamaniii atuelewi wengne
Kihaya
Kwann wengi wahaya tu
Mchungaji hutafcili yote. Amesema baba yake alimuuliza unaenda wapi ucku hujaleta mjadala wake na baba yake