SIMANZI! MAZISHI YA KIJANA ALIYEPIGWA RISASI KILIMANJARO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 3

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 4 місяці тому +1

    Marehem hana haki 2muachie Mungu

  • @sesicasi1364
    @sesicasi1364 4 місяці тому

    Mungu wa huruma ampokee kijana huyu mbinguni. Ageuze mkono wa huruma kwa familia hii. Yaani unampiga mtu risasi kisha anakata majani ya mg'ombe? Kweli? Hii nchi inahitaji viongozi. Huu mchezo umeenda mbali mno. Watanzania tuamke. Tumelala mnoooo. Tuamke. Hili taifa ni letu sote sio la wageni wanakuja kuvuna hewa ya ukaa. Wazee wetu wametunza hii hifadhi kwa uaminifu mkubwa. Iweje leo watu wauwawe huko? Ni muda muafaka sasa kila mtu ajitambue. Tumeonewa kiasi cha kutosha. Octaviani Temba pumzika kwa Amani. Daima watazame watoto wako uliowaacha wangali wadogo mno.

  • @ElizabetNguma
    @ElizabetNguma 4 місяці тому +1

    Sio arusha ni moshi