Acheni kutuona sisi ni watoto wadogo wanajifanya zimeibiwa kumbe zimeenda kubadilishaw ila mnae taka kumweka anjia ambayo sio Halali hata dumu hata mwezi ataondoka Mahali panaulinzi eti kura zimeibiwa alafu zikapatikana huo UK....kawafanyieni watu wasio jielewa
Mungu uwalaani mafisiemu yote na vizazi. Vyao maana ni janga la taifa wanalazimisha kutawala
Safiii sana vijana mana hakuna umuhimu wa kupiga kula wakat mnafanya wizi si bora mteue tu
Bila katiba mpya hakuna maana ya uchaguzi Samia atoke
Mbona mwandishi umepakata apo aliposema vijana wa ----- ?kuvamia kituo tueleze uzur isiwe mnaficha fika
Acheni kutuona sisi ni watoto wadogo wanajifanya zimeibiwa kumbe zimeenda kubadilishaw ila mnae taka kumweka anjia ambayo sio Halali hata dumu hata mwezi ataondoka Mahali panaulinzi eti kura zimeibiwa alafu zikapatikana huo UK....kawafanyieni watu wasio jielewa
From 🇧🇮😂😂wamewachoka😂😂ccm kwa wizi 😂😂 majirani zetu musiwi tayari 😂kuwatawala😂tena
Walitumwa na tayari wamebadilisha
Ao wananidai soda wanifate ubaya ubwela
Uhaguzi hauna hamasa hata kidogo ccm mbadilike ukweli ni kwamba hamueleweki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Vijana chokka na maisha
Conagi ata uo umuhim wa kura c watutawale tu ,maana atuwapendi na kushinda wanashinda ndo utajiuliza wanashindaje
HAMFATI HAKI MUNGU YUPO
Utawala wa kulazimisha watu ndio maana mpaka kiama nchi hii itakuwa hivi ilivyo .tumezidi uzembe na unyonge acha tunyanyasike
UKIWA HUNA SERA WALA HOJA , WW UNAWAZA VURUGU TU..
Bongo sihamii😂😂
Lazma kulikuwa na uhun mliwafanyia ndo maana, wanachi tumeanza kuishiwa uoga kwa tabia zenu zakujipa madaraka bila kuchaguliwa .😢
Tunatak katiba mpya bila hivyo haina maan yauchaguzi
MSIKIE HUYU ANASEMA TATIZO KIDOGO
Vijana wa hovyo 😮😮😮😮
Weka ndani wote tumbili hao
Ila ww
Wahuni tupu
Macho fanya siosawe
Bongo ban 😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hahahah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣this is Bongooo