PART2:BINADAMU ALIEENDA MBINGUNI/PEPONI AKAONANA NA MUNGU NA AKAFIKA JEHANAMU AELEZA SAFARI NZIMA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 115

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 роки тому +2

    Prophet MUNGU akubariki sana tuombee neema na amani ya MUNGU itutawale milele na milele ndani yetu..

  • @shalomkind4575
    @shalomkind4575 3 роки тому +6

    Kweli hekima ni muhimu ukimuona MUNGU .huwezi kusema vyote .watu hawataamini watafukuru .kuna pastor hutokea pahali pengine kama phillip .MUNGU humtumia zaidi kwa kimiujiza wala haelezi zaidi sababu ya unbelief za watu .nakuelewa

  • @milkahotieno2198
    @milkahotieno2198 3 роки тому +6

    Twende binguni kwa jina la yesu

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +6

    Eti kamuona Mungu jaman🤣🤣🤣🤣 hapo c kweli jaman Musa mwenyewe alitaka kumuona Mungu lakini ilishindikana loooh dunia ina mengi hii jaman🤔

    • @ehbbmhbskenya3839
      @ehbbmhbskenya3839 3 роки тому +1

      Musa alikua kwa mwili sio roho.hiyo ndio tofauti

    • @lylieouko9569
      @lylieouko9569 3 роки тому +1

      Is it your story to tell? kama jacob faught with God,what makes it impossible for one to see God? especially now that jesus has made it possible 🤔 Many have been taken to heaven and hell too.They've seen God and Lucifer pia so let Him testify what he saw, how you take it is totally upto you🤗

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 3 роки тому +1

      Unaweza kumuona sasa sababu ya neema ilioko katika damu ya YESU .ROHO MTAKATIFU pia anatu shield .tunaona kwa macho ya kiroho LIVE kwani MUNGU NI ROHO

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 роки тому +3

    Hilo la kumwona Mungu! Umetudanganya! Kama Musa alikaa sana mlimani na hakumwona mungu! Watu akina Elia au yakobo hawakumwona! Wewe ndo umwone kweli? Hapana! Wala kwenda mawinguni hujaenda! Hio ndoto ilikudanganya!

  • @annamadraga1627
    @annamadraga1627 3 роки тому +1

    ndan kuzuri,prophet nae mzuri kweli Mungu ni mzuri

  • @daniellupagi8989
    @daniellupagi8989 3 роки тому +1

    Yesu asifiwe

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 роки тому +1

    Story nzuri sana ✨

  • @sia1net614
    @sia1net614 2 роки тому

    ni nzuri sana na kuhusu malaika wenye mbao mfano upo hapa duniani pia angalia maisha ya sisimizi, mchwa, nyuki utajifunza mengi

  • @officialmichaeltz4676
    @officialmichaeltz4676 3 роки тому

    Eeeh mwenyezi mungu nisaidie nami nitoke kwenye mateso ya kidunia

  • @janejoseph561
    @janejoseph561 3 роки тому +1

    Lakumuona mungu hapo dogo unatydanganya uwezi ukamuona mungu ukaishi Musa tu alipandiswa mlima sinai wingu likashuka ili asione uso wa mungu na mungu alimwambia ukiniona uso wangu hutaishi dah jaman samahanini Lakin niuelewa wangu tu

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 роки тому

      Amina, tusiosoma Bible sis tutajuta maan kila kitu tunakubali

  • @mohammedshabani9013
    @mohammedshabani9013 3 роки тому +1

    Stor ya yule shekh mbn atuiyoni

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +1

    Mr facts unafikiri ukiwambia ya kwuamba unachukliwa msukule utangojea? lazima utafute mungu kwua unyenyekevu

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому +5

    Alhamdulillah w kwanzaaa😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 роки тому +1

    Story nzuri hii SEMA mashauz ya prophet mh yanaharibu mambo

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 3 роки тому

      Wewe kuwa na adabu na MTU anayeitwa prophet kitu amekibeba cha kiungu ambacho hakionekani Kwa macho so usione ujana na vile anaongea ukamchukulia powa watu kama hawa Wana ipande WA pili hutatamani kuona co jifunze kuwaheshimu watumish WA Mungu hivyo ndivyo anavyongea ndo alivyo ni Baba yangu wa kiroho na tunamheshimu Sana Yuko very simple na upendo sana

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 роки тому

      @@glorynguma3593 kwaiy untk kusemaje ,km adabu ni kitu Cha maan San shika yako sisomi comments ndefu mim muda huo Sina😏

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 3 роки тому

      @@deelissa2746 unapanic nn sasa😂😂😂😂

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 роки тому

      @@glorynguma3593 sin huo muda😏

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 3 роки тому

      @@deelissa2746 muda unao bi Shoga ndo maana bado Una reply 😂😂😂🔥🔥🔥

  • @shukuruilomo768
    @shukuruilomo768 3 роки тому

    Nakuelewa sana

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 роки тому +1

    Takbiriiiiii tangu nimepata akili sijawahi kumsikia mtumishi wa kweli km huyu nikweli Mungu 1 tu hakuzaliwa na hafanani na umbo lolote hapa duniani yaani sisi tunavyo muheshimu Muhammad ndo wao wanavyo muabudu lssa ila kwetu lssa ni nabii tu Allah Akbar

  • @matukicmagere3331
    @matukicmagere3331 3 роки тому +4

    Hichi ni kipande cha pili ila bado sijamwelewa hata kidogo,
    Bado ZABRONI ni namaba moja kwangu

    • @sallo27.70
      @sallo27.70 3 роки тому

      Rwanda Magere ma Mnyeshani no.2

  • @athumaniferooz7790
    @athumaniferooz7790 3 роки тому +1

    Jah bls u bro

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 3 роки тому

    M mungu atakufungue akili mrudi kwenyenjia ya haki.

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 3 роки тому +1

    Il chek ya jamaaa ni hatar 🤩🤩🤩

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 3 роки тому

    Baba mchungaji anaswaga sana

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 3 роки тому +3

    Nampendanga davistar sana sasa hapa nachanganyikiwa 🙆🙆🙆I see twins 🥰confused🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 роки тому +2

    Davister hebu tuache bwana na Nguru wa hadhi yako....yaan unawaza hadi kuchukua dhahabu ya YESU🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @makame3524
    @makame3524 3 роки тому +1

    Tukumbuke ata mnyeshani nae alisema alipelekwa mbinguni na furkum😏😅

    • @ramadhangona9085
      @ramadhangona9085 3 роки тому +1

      Hahahaha..huyo alienda angani tu.....kukutana na Jini....huyu naye mmmmmh sisemi kitu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Duu chezea kuregeshwaa msukulee yani ulijikubalii ukaamua kumtumikia Mungu😂😂😂😂kila kitu ukaachaa

  • @rukiabura8381
    @rukiabura8381 3 роки тому

    Duh we jamaaa umezidi umemuona mungu iyo mitume wenyewe hawakumuona ungemuona wewe usidanganye watu wewe ulioteshwa na majini uko sasa unadanganya watu tushushe tumefika dunia hii watu mnajitoa ufahamu ee unaona vitu va mungu kama unaenda dukani usitukufurie hapa

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому +2

    Prophet tuombe tupate pesa nina shida nazo sana😜😜

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 роки тому +2

    *Tupo pamoja mtumishi naombaa namba zako nimekuelewaa.. 😘😘😘😘❤️❤️❤️*

  • @charlesb.mwaipeta8415
    @charlesb.mwaipeta8415 3 роки тому +1

    tuliesikia "takaanza kujuan..." tukutane hapa hahahahaaaaa

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому +1

    SANA

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому +2

    Watu wangu njooon mambo tayar😘😘🇪🇭🇪🇭

    • @shamilakalinga437
      @shamilakalinga437 3 роки тому

      Nishakujaaaaaaa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@shamilakalinga437 Nmefurai kukuona wngu❤❤❤❤

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@shamilakalinga437 za mdaa huuu wngu❤❤

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 роки тому

      Nimefika

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@fatmamucha4419 Nmefurai kukuona wngu❤❤❤❤❤❤

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +1

    Nangojea hizo pesa za kununua vinjwaje atakayezipata anijulishe🤸‍♀️🤸‍♀️🤣

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 роки тому +1

    Tatizo anaonekana anajiskia Sana anaongea kwa madoido

  • @mwambakakudji6288
    @mwambakakudji6288 3 роки тому +1

    Davidstar umuache atupe story. Maulizo imepita kiasi. Umemkata-kata saaana ...

  • @faridaahmed2671
    @faridaahmed2671 3 роки тому

    😂😂😂 mpaka davista anaona aybu

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 3 роки тому +1

    Manyangemaa njooni kuna bishoo mwenzetu alifika mbinguni akamuona mungu 😂😂😂😂 jamanii munguu kabisaa yesu mwenyewe akumuona mungu ila wabongo wamemuona

  • @TheChapakazi
    @TheChapakazi 3 роки тому

    Itakuwa ulikunywa Tramadol zaidi ya moja, hata mimi ilinitokea ,yani hata mkono uwezi nyanyua,

  • @georgejojah2869
    @georgejojah2869 3 роки тому +1

    Muulize nabii kama hakuwa na mwili wakuhisi ule upepo mkali alipataje miguu ya kutembea alivyo ambiwa come,na pia ulimi wakuonja iyo sampuli ya asali.?

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 роки тому +2

    Kaja kuvujisha mtihani wa mbiguni😂😂😂 ety alimuona mungu🤪🤪

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 роки тому +1

    Yani kama padri wanavyovaa

  • @fidelbarutwanayo4068
    @fidelbarutwanayo4068 3 роки тому +1

    Hata wazungu wanasema Malaika weusi wapo na wao wanashuhudia walioenda mbiguni wanatoa ushuhuda mkubwa sanaa

  • @jameselkana7586
    @jameselkana7586 3 роки тому +1

    DAVISTA STOR NZUR ILA UNAICHELEWESHA SANA IA UPROAD MAPEMA MTUMISHI YUPO SAHIHI NA MI NABARIKIWA KUMSIKILIZA SANA

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому

    Subhanaallah

    • @lailasaid6089
      @lailasaid6089 3 роки тому

      Story sio ya kweli mambo ya mungu tena subhanallah

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 роки тому

    Ila kwenye kumuona Mungu mh hapana

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 3 роки тому

    Nabii naomba umsaidie rwanda magere kirohoo yule jamaa kamrudia mungu lakini sehem anayoabudu sabado awanaga nguvu sana kwa maoni yangu lakin hila naimani akija kwenye makanisa ya kilolole atakuwa imara zaid

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 роки тому

    Dunia iko ukingoni kweli

  • @brianbrighton7797
    @brianbrighton7797 3 роки тому

    Huyu jamaa anonekana ni mtumish wa mungu wa kweli

  • @evasaimon6764
    @evasaimon6764 2 роки тому

    Ila huyu Nabii mdebwedo sanaa khaa! amelegea katika kuongea had kero

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 роки тому +1

    huyu na Aposto Maziwa ni ndugu, wana fix hata shetani anawashangaaaa..

  • @jacklineakoth1016
    @jacklineakoth1016 3 роки тому

    2

  • @bensonryoba5968
    @bensonryoba5968 3 роки тому

    Pamoja mr. Dm

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 роки тому +1

    Nasubili kwenye kipengele alicho muona mungu cjui aliongea nini na mungu mwenzetu alivo bahatika, nataka kujua alitumiaje bahati yake iyo

  • @rukiabura8381
    @rukiabura8381 3 роки тому +1

    Hahaha we jamaa unajua kukufuru kwa hiyo malaika ni blonde hahaha ni mzungu haa 😂 😅 😆 kwanza malaika hana jinsia usitudanganye si mwanamke wala si mwqnamme hali wala hanywi dah wadanganye awo awo usikufuru siwezi sikiliza hii naona namie nakufuru sorry davista 👎

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 роки тому

    Acha kudanganya na kupoteza watu , Malaika hawana jinsia sio wakiume wala wakike , mbona wakristo mnadanganywa Sana 😂

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 роки тому

    Wazee Wa energy tupo hapa twawait

  • @tonyphilip7104
    @tonyphilip7104 3 роки тому +1

    Mambos safi

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 3 роки тому

    Huu ni msiba

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 3 роки тому

    Alafu davistar bwana ety ucludi kitandani kwanza baki mbinguni😊😊😊

  • @mwanaidikhamis5430
    @mwanaidikhamis5430 3 роки тому

    Mhhhh

  • @shambebro382
    @shambebro382 2 роки тому

    Tahadhalin namajabu Yama Shetan/ Majin ..... Be careful everything is in written in scriptures ...Majin Yako nambawa piya wanapenda Zahabu saana ..

  • @najimyahya7901
    @najimyahya7901 3 роки тому +1

    wa 6

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому

    Together 💪🇹🇿💪🔥 dm

  • @tanzaniabestchoice8548
    @tanzaniabestchoice8548 3 роки тому

    Pa energy hapo jaman davista msinikose

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 3 роки тому

    Team davister njooni sasa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      Ndan ❤❤💃💃💃

  • @apolinemalungano433
    @apolinemalungano433 3 роки тому

    Ila Davistar bana unavituko🤣🤣🤣🤣

  • @faridaahmed2671
    @faridaahmed2671 3 роки тому

    Uyu kijana nimuongo sana haoni ata aybu wewe uyakua ulienda gamboshi yakongo acha kutumalizia mb 😂

    • @xavierxavo5693
      @xavierxavo5693 3 роки тому

      Mpe nafasi ajieleze....mwachie awaelimishe walioamini Mola ...usimkashifu

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 роки тому

    Mikoa mitano inayoongoza kwa wachawi wengi singida ipo.

  • @cecycecy3610
    @cecycecy3610 3 роки тому

    mchungaj young kma golden boy

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    bandika bandua hoyeeee kujeni mambo tayari msije chelewa kwenda mbinguni

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 роки тому

    Nakuombea upate ctor za kibaalia, kimkakat, ivyo

  • @zaynabhadoso4783
    @zaynabhadoso4783 3 роки тому

    Leo nimekuwa wa 9

  • @jumazia2184
    @jumazia2184 3 роки тому +1

    Alienda kuzimu😷

  • @petersume2780
    @petersume2780 3 роки тому

    Tuwekee za kutisha

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      Tutaota😀😀

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 роки тому

    🙉🙉🙉🙉🙋‍♀️

  • @HusseinBoarnege
    @HusseinBoarnege 3 роки тому

    Natamani kuhishi karibu na huyo mtumishi wamuli ili neweze kujifunza mambo mengi ya mungu 🙏🙏🇨🇩 nita kuja TZ

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 3 роки тому

    Bora uongee kila kitu Cha kutia nguvu hata kama ni kwa watu wawili kunjanza imani zao,kwa sabbu hata sasa hivi unavyoongea wengi wanokuona muongo TU ILA wengine twafirhia kukuskinza

  • @raymondrichard4622
    @raymondrichard4622 3 роки тому

    D hiyo kamba sikubaliani nayo

  • @elizabethjohn7177
    @elizabethjohn7177 3 роки тому

    Yani davista unawaza dhahabu 😂😂😂😂tu

  • @noelashaoona
    @noelashaoona 3 роки тому

    People here are so sickening I’m having a feeling nobody learn from any of this story, y’all have hear many stories but y’all having a hard time believing him every his saying is supported by previous stories of many people from this Chanel