Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Pole sana Judith....Mama amekusikia atafanya jambo..!
Duh!pole Sana dada!Mungu akutie nguvu!
Mtangazaji unazingua saaaana Yani mtu anataka kumuomba raisi Jambo unamkatisha lengo la tamasha Hilo Ni hao waathirika wa madawa ya kulevya how to get the solution to stop drugs abuse
Mratibu ni mjinga sanaAnamkatiza tu
Umeongea point na MUNGU akupiganie na akufanye shuhuda zaid kwa wengine. 🙏
Dada pole Mama kakuelewa sana pia Mh kassm pia Mh Muhagama
Kivip brother
Namjua uyu Dada mianzin asee
Methadone ni madawa ya kulevya tu,hapo umefanya substitution tu dada.
Uakika Tanzania bila madawa ya kulevya tunaweza
PoleSana ila nahisi alosto bado imo
Yupo kwenye recovery
Arusha oyeeeee 😂😂😂😂😂
Pole
Shida zako😢😢
Dunia simama nikachimbe dawa
Jamani,madawa kumbe yanamaumivu hivyo,naona Yesu anawapenda ndo maana mpo mpaka leo.
P0le dada hatari sana
Serikali inabana ajira sana huku pesa zinapigwa tu na viongozi.Ili kupunguza haya toeni ajira
Mwambie huyu dada piya waka mutafute CHID BENZ pia tuna muitaji piya dawa.
Chid atibiki yule kila wakitibu anavita
Mnanikera kumtaja huyo mama mekarpu
KAMA UNAKEREKA KUFA KENGE WEWE
Sasa unataka.utaje wew ambaye hujulika hata nyumba 10 tu za majiran zako
@@mohamedsuleiman2785 😄 😄 😆 🤣 😂
Pole sana Judith....Mama amekusikia atafanya jambo..!
Duh!pole Sana dada!Mungu akutie nguvu!
Mtangazaji unazingua saaaana Yani mtu anataka kumuomba raisi Jambo unamkatisha lengo la tamasha Hilo Ni hao waathirika wa madawa ya kulevya how to get the solution to stop drugs abuse
Mratibu ni mjinga sana
Anamkatiza tu
Umeongea point na MUNGU akupiganie na akufanye shuhuda zaid kwa wengine. 🙏
Dada pole Mama kakuelewa sana pia Mh kassm pia Mh Muhagama
Kivip brother
Namjua uyu Dada mianzin asee
Methadone ni madawa ya kulevya tu,hapo umefanya substitution tu dada.
Uakika Tanzania bila madawa ya kulevya tunaweza
Pole
Sana ila nahisi alosto bado imo