o oooh yes mwakideu 😂😂😂😂😂😂😂jalas hapo umenena katiba lazima izunguke county zote kila mtu atoke ameridhika😂😂😂😉😂😂front page back page😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅wah jalas I rest my case 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hiyo ni kweli Alex na Jalas,hata mie Bwanangu ni 29 yrs,hata ya kwanza haezi maliza,na ajua but yuaniambia nimvumilie,kuwa wakati alikua kazi Mariakani kuna Dame alikua naye....baada ya kumwacha shida ikaanzia hapo,ukimwambia ambie mandugu zake ataki,Wazazi wake hataki,though Niko karibu kanawa mikono kutoka kwake.
Jalas umefanywa niitwe kwa offisi ya mdosi ni venye nimetoa ile kicheko cha waafrika na hapa ni wazungu tupu. Ananiambiya nitranslate venye unasema yeye pia acheke 🙆🏾♀️🙆🏾♀️🙆🏾♀️ mayoo Jalango
Kunawana sarakasi....unaweza zungushwa hadi Timbuktu na utoke bureeeee.... !! Katiba ni art....learn ur partner very well na ujue formulae ya kumfikisha kileleni. What worked for your ex might not work for your current.watu wajifunze lugha za kusoma katiba.
😂😂😂😂😂😂 team gulf tumark register tukisonga
Nimependa huyo madam ju nampenda na akaamua kuvumilia..... That's real love
amesema alipenda udaktari wake, anapenda profession hapendi bwanake
@@KefaTraveller True
Jalas.... Kuzungusha pia kwataka support..... Nikizungusha ww pia kamatia vizuri
Kabisa
Haha..usilete ukristo kwa katiba, katiba izunguke kali sana
Usijaribu kuleta ukristo
Eeh dada
o oooh yes mwakideu 😂😂😂😂😂😂😂jalas hapo umenena katiba lazima izunguke county zote kila mtu atoke ameridhika😂😂😂😉😂😂front page back page😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅wah jalas I rest my case 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Haaaaaah
Tulia tuko makueni
@@estheralbrechtsen8999 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@henrydsouza 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 katiba izingushwe my fellow ladies , Jalango ashasema
Kila county ipate yake kabisa
😂😂😂😂 Jalas eti wewe huchanganyaje... Nimecheka hadi wife akanipiga Kofi...
😀😀😀😀huyo boi child mulambero from luhya land
Huyu madam ako sawa kabisa mvumilivu
You people are the best may you live long
Jalass 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,,umesema katiba isomwe hadi kwa macounty,,,
😂😂😂😂😂😂😂😂 jalas is encouraging county government
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasomaji na wasomwaji😹😹😹😹😹😹😹ahh am done with this duo
Jalas uko na mbinu zote za kusoma katiba, inaonekana n mchezo ambao wapenda sana
Mungu awape maisha alekii na mwakideu mzd ktchekesha😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wah hahahaha eti kuna yenye unakwama Nairobi haipiti hapo. Leo jalas umeweza
You guys made my afternoon aki 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😊😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jalas taniua kuzungusha katiba
Mahanjam zinashika weeee Jalas acha izo.♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️
😂😂😂😂
Jalas you won't kill me with laughter 😂😂😂😂
Aiii aiii jalas ati imesimama tu Nairobi ,,,,, bt is true mwanamke inafaa umzungushie miuno polepole kwa taratibu mwanaume aenjoyi
Umesema kiuno itembee?
@@okothmcokothja-ragen6172 sindio
Pwahahahhah. ..jalas. eti itembee wapi?
Wakenya shikamon 😀😀😀 nawapenda mashemaji zangu
Hahaha katiba inaenda kaunti mbalimbali lol jalaaaaaaassss you're something else
Hii station ifungwe.
Katiba n y inchi yote, maendeleo mashinani , guys congrats
😂 😂 😂 😂 Katiba imekwama tu Nairobi,,,, izunguke makaunti
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Mwakideo umenipunga ukipokeya tosheka🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Njoo coast upewe katiba......
Katiba yenye inatembea kwa macounties hahaha.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hiyo dawa hili tengenezwa specifically ili kumezwa na maji tembe moja and no alcohol na sio kuchanganywa na chakula.
Pole yake huyo jamaa,kwann atumie viagla.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌aki leo mume niuwa😂😂😂😂
This duo are killing me 😂😂😂
Hiyo ni kweli Alex na Jalas,hata mie Bwanangu ni 29 yrs,hata ya kwanza haezi maliza,na ajua but yuaniambia nimvumilie,kuwa wakati alikua kazi Mariakani kuna Dame alikua naye....baada ya kumwacha shida ikaanzia hapo,ukimwambia ambie mandugu zake ataki,Wazazi wake hataki,though Niko karibu kanawa mikono kutoka kwake.
Jelas ndiye anajuanga haina za katiba 😁😁😁 ningekua bibiye devornce direct
Jalaas na mwakidero akii mungu anawaona heheheheheh nimeisha eiiiish apana
Napenda laughter ya Mwakideu hahahahaha
There are types of food staffs that boosts men stability
😂😂😂😂😂😂ati county mbali mbali
Hapo kwa macounty.....uuuuhhh jalas
Jalas wewe utanimaliza jameni ati imekwama nairobi😂😂
Nawapenda milele FM kutoka TZ
Ati Viagra katiba haijatayarishwa na iliyotayarishwa vizuri jalass like zako
Kweli jalas anajua katiba zote 😂🤣🤣nimekwamia hapo tu katiba ya Nairobi imekwamia😅😜
Unajua jalas Ni fisi
Zingiring, zangarang !! 😂😂😂😂.. Mama mjanja yule. God bless your man with mandashu. You need the best 😠💪
Daktari wambie waizungushe wakuje hku busia niwafunze 🤣🤣🤣🤣🤣
Jalas aki ww uko na ujinga mwingi sana😂😂😂😂😂
Hehe unajua katiba zoke
🤣🤣🤣👊👊👊 ati Kariba izungushwe county zote 😂😂😂 Aki jalas n mwakideo
Katiba Katiba Katiba, ooooooh mmmmh
Nyiyi ham'taingia binguni.
😂😂😂😂😂 jalas Mungu anakuona lkn umeongea point, lazima igonge kila corner
Jalas nakupenda bure 😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
😂😂😂😂You guys. Eti County mbalimbali.. Sasa kukwama Nairobi tena, 😉🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Izungushwe County zote za jamuhuri
Ifanyiwe devolution 😂😂. Tulia, una haraka hadi mandera
😂😂😂😂😂 aki jalas na mwakideu made my nyt
Hahahaha jalas jalas jalas......una ujinga ambao uko na ukweli sana
😂😂😂😂😂😂nimecheka yangu yote😂😂😂mutani maliza thooo
😂😂😂katiba lazima izunguke county zote...ata kwa hewa
😂😂😂😂😂
Hakuna kuleta ukristo kwa katiba. Nimekwama hapo.
gulf mpo mark register mkienda
katiba, katiba, katiba....as Jeff would say hapo hot 96, anyway quiet true...that is an interactive exercise...😎😎😎
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣viagra aitaki kumixiwa na mbona ya kieyeji LOL 🤣🤣🤣🤣🤣
The best duo in 254....katiba izunguke county zote..hahaha
Sasa unanpenda na unasema unatakaje unataka Jalas au mwakideu nugu kutangaza mme wako
Izungushwe kabisa😂😂😂😂😂😂
ooooooooh!daktari jalas spare my ribs😂😂😂😂😂😂
"Wasomaji Na wasomwaji"am ded🤣🤣🤣🤣🤣
this literally killed me as well.
Hee jaalaas utaona ufalme wa binguni
Jalas umefanywa niitwe kwa offisi ya mdosi ni venye nimetoa ile kicheko cha waafrika na hapa ni wazungu tupu. Ananiambiya nitranslate venye unasema yeye pia acheke 🙆🏾♀️🙆🏾♀️🙆🏾♀️ mayoo Jalango
Hao wazungu watajua katiba imekwamia JKA😂😂😂😂
Lesson learnt
Katiba isonge county zote hahahahah mmenimaliza
Hehe jalas unatabua katiba zotee
huku hamuezi tatua shida zingine apart from katiba kuna shida mingi zinafect watu msikae tu kwa katiba ama mnaspecify tu na story za katiba 😁😀
Katiba Ya aina mbili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
State and explain ghe meaning of "kuenda sana"as used in this story(20marks).
Hahaha,Jalas uko na ujinga,eti katiba inazunguka kwa makauti!
Aki ww jalas
Hapo kwa macounty nayo 😂😂😂😂😂
Hahaha ni gani iyo 😙😆😂😂
Katiba yaenda county gani hizo hahaaaahaha Dr jalas
Jalasssssssss! Mnaniua jamani
aki hizi katiba inafaa kua tourist kabisaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alex binguni utaonea kwa viusasa
Mwakideu i can second u,pia mmi cjui znakaa aje,cjai ziona na macho yangu
Mungu atakuchoma galas 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safari za mbali mbali 😂😂😂😂😂😂😂💪💪
Kifo cha mends😂😂😂
Alex huyo madam was blue nyuma yako amebeba...
Jalas utaniua aki😂😂😂😂😂
Jalas imora yawa phoooo
🤣😂🤣😂 katiba imekwama nairobi
😂😂😂😂😂
Haven't listened wacha nishuke Bungoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bungoma kuna utamu wake wacha mimi nikwamie Nairobi 😃😃😃😃😅
Nipee no yako
Haki Jalas ati county zote 😅😅😅 natumai mmemshauri huyo mwanadada
😂😂😂 hapa jalas umeweza lazima tupite kila county
😂🤣🤣🤣😂Ety usilete ukristo kwa katiba
😂😂😂😂aki nyinyi
Jamani stara iko wapi udhaifu wa mumewako unautangaza hadharani. Kweli jamani?
Inna lillah wainna illah rajiuun
Benjamin Nzulu once said ndoa Sio yawatoto.
Kunawana sarakasi....unaweza zungushwa hadi Timbuktu na utoke bureeeee.... !! Katiba ni art....learn ur partner very well na ujue formulae ya kumfikisha kileleni. What worked for your ex might not work for your current.watu wajifunze lugha za kusoma katiba.
Haha 😂 auwhuuuiiiii
Mupikiye supu yapuwaza🍲🍖🥣🥣
Tales of crazy Kennar wakifanya parody ya geuza mama back page......utawekwa ndani na yule Ezekiel wa KFCB
Ntapata cousins wengi ,ukiregea,ogot kalasinga ko abule hahaaa
The blue power😂😂😂😂
Na vile me hukua katiba roundi 9 usiku moja
, 😂😂😂 jalas uko na experience ya katiba mob aki
Sana yeye Ni fisi