HAPPY BIRTHDAY YA KAMUGISHA IMEFANYIKA NDANI YA KAMBI MKOJANIGANG (UTACHEKA SANA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 166

  • @THEESIALOVEFAMILY2336
    @THEESIALOVEFAMILY2336 Рік тому +5

    Namkubali Jojo sana that shows how tiniwhitefilms relates with mkojani gang🔥😘😘🥰🥰

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 Рік тому +1

    Huyo ndio Kamugisha bana ninacho mpendea anaigiza sna kwenye uhalisia wa mapenzi ❤❤🇹🇿

  • @89_Media
    @89_Media Рік тому +2

    Kampani nzuri saana🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
    Kazi nzuri saana🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
    Uongozi mzuuri saana🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
    #MKOJANI GANG🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @yusu9704
    @yusu9704 Рік тому +3

    Kia na baruti....tunaomba watoe wimbo wa umbambamba...from Kenya.haji

  • @ladyj5089
    @ladyj5089 Рік тому +6

    Kka mkojani plz usiwache baruti na Kai wanajua sana nawapenda mbona🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faithndanukombe254
    @faithndanukombe254 Рік тому +1

    Jamn nyie mwaleta umbamba mpak Kwa keki ati uyo n .tot wa mwanne jamn nyie nawapend bure team gang one lov from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 Рік тому +3

    Brother mkojani Mungu akubariki sana ku organise gang then pawe na upendo kazi ngumu sana

  • @nuriatihdjasumin1548
    @nuriatihdjasumin1548 Рік тому +7

    Miss you guys coming back I’m from USA I love you all missing you too much❤ ❤ Thank you so much

    • @elizabethmushi3921
      @elizabethmushi3921 Рік тому

      dah sorry sijui waweza nidokeza uliendaje us ,jmn nataka mchongo wa kwenda us jmn

  • @gerymusic_official
    @gerymusic_official Рік тому +6

    NAWAKUBALI SAANA MUNGU AWAWEKE MUENDELEE KUTUPA BURUDANI♥️♥️♥️♥️🙏🏼🙏🏼

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому +2

    Nawapenda sana mkojani gang ❤❤❤❤💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥happy birthday kamugisha

  • @mafiazonethedon7112
    @mafiazonethedon7112 Рік тому +4

    Chadoo Master daaah umbambamba sikuon kaka

  • @sayyidalli2851
    @sayyidalli2851 Рік тому +1

    Banaeeh yaani Raha tupu nawakubali sana wanangu wa Mkojani Gang. Harufu hapa kutoka Kenya/Likoni

  • @furahandalu4765
    @furahandalu4765 Рік тому +1

    Hbd kwako kamugisha weeee ish sana tu kama mungu alivopanga

  • @FRANCE-yn5zu
    @FRANCE-yn5zu Рік тому

    Aitoe bas hiyo nyimbo afu tu❤ambiwae inaitwaje tuwe nayo ssi kama mashabiki

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 Рік тому +1

    Ila uyo kendy katisha...mashalallah

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Рік тому +1

    mkojani kijana wa kislam japo ni msanii ila kunamipaka huyazingati kumbuka hao mabinti wako uchi umarufu na madhambi kitu kimoja zingatio muhim wewe pia ni mzazi

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 Рік тому +5

    Chado mwanangu sanaaa shorout to you

  • @Saidosaid-n7b
    @Saidosaid-n7b Рік тому

    Waaah Mashallah Mungu amizidishie inshaallah

  • @shedracknnko1445
    @shedracknnko1445 Рік тому +1

    Kamogisha kazaliwa Siku Moja na wanangu Tena mapacha Ishi Sana kamogisha🎂🥳🎂

  • @Ammarah0688
    @Ammarah0688 Рік тому +1

    Mungu awatangulie katka kazi yenu mkoja gang InshAllah

  • @akeemstallone4922
    @akeemstallone4922 Рік тому

    🇺🇬🇨🇩tuna kubali sana umbambamba @mkonjani ❤❤❤❤❤❤

  • @darcityogbanks5415
    @darcityogbanks5415 Рік тому +1

    Mmetish wazee wa umbambamba

  • @limimayunga4708
    @limimayunga4708 Рік тому +3

    Hiyo nyimbo baruti naipenda sana aiseeee

  • @sifakashagabulimwengu1512
    @sifakashagabulimwengu1512 Рік тому

    Nawakubali sana munajuwa kuigiza mungu awalinde

  • @alexkapkoyo8165
    @alexkapkoyo8165 Рік тому +1

    what is name of the theme song?

  • @salumkibiki7539
    @salumkibiki7539 Рік тому +1

    Nawapenda Sana movie zenu 🔥 fire Sana aisee

  • @emmanuelmashaka1229
    @emmanuelmashaka1229 Рік тому +1

    you guys MSIGOMBANE kwa ajili ya fame

  • @husnaadam1994
    @husnaadam1994 Рік тому +1

    Mashallah ogereni sana nawapenda bure wallah mungu awabariki daima ♥️♥️♥️

  • @faithndanukombe254
    @faithndanukombe254 Рік тому +1

    Narudia tena jamn naomb jina z hizo song y huzun n ya umbamba plzz jamn niliomb kitamb n vile napend 🙏🙏💕

  • @esthermwakayo209
    @esthermwakayo209 Рік тому +1

    TEAM MKOJANI HOYEEEE🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

  • @dullodullodullo686
    @dullodullodullo686 Рік тому +1

    Mkojani na samofi uwa munanifrahisha saana kwenye move muko sirias

  • @aysha1537
    @aysha1537 Рік тому +3

    Happy birthday to you kamugisha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salummohamed1495
    @salummohamed1495 Рік тому +3

    Nakubar mkojani gang from Mozambique 🇲🇿

  • @hanifakassim8036
    @hanifakassim8036 Рік тому +2

    Baruti na Kai nawapenda sanaa

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 Рік тому +1

    Happy birthday brother

  • @faudhiakambogoro
    @faudhiakambogoro Рік тому +1

    Wiimbaj jmn nimempenda mm❤❤

  • @khadijarajabu3690
    @khadijarajabu3690 Рік тому +2

    Nawapenda sana nyie watu ❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹

  • @abdulahmanmahalufu9524
    @abdulahmanmahalufu9524 Рік тому +2

    Mkojani izzo nyimbo mbili naziiitaji nazipataje

  • @gangmusicband3012
    @gangmusicband3012 Рік тому +1

    Full happy Happy birthday 🎉🎂🎂🎉 Gang 🎂

  • @abdulally7848
    @abdulally7848 Рік тому +1

    Yani leo mkojani nasamofi leo wamekaa pamoja

  • @jannyjmamdak2570
    @jannyjmamdak2570 Рік тому +1

    Happy birthday kamugisha🎂🎂🎂🎂

  • @NassirMohd-qc9zs
    @NassirMohd-qc9zs Рік тому +1

    Baruti anajuwa sana mungu amsaidie

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 Рік тому +1

    Kai baruti ni 🔥🔥🔥💪🏻💪🏻

  • @safiatulas594
    @safiatulas594 Рік тому +1

    Waimbaji ni firee

  • @MadlineMaghangaa
    @MadlineMaghangaa 11 місяців тому

    tunawakubali nyote mkojang gang happy birthday kamungisha❤️

    • @MadlineMaghangaa
      @MadlineMaghangaa 11 місяців тому

      leo ndio nimeona mkojani vizuri kumbe hua c mzee ni kijana aky uko very funny plus samofi

  • @SuperSperro
    @SuperSperro Рік тому +2

    Happy birthday 🍰🎂🎉🎉🎉

  • @RikaboyQuatorze-db2xv
    @RikaboyQuatorze-db2xv Рік тому

    Nime ipenda sana😂😂❤🎉🎉🎉🎉

  • @mariammganga5061
    @mariammganga5061 Рік тому +1

    Jamani hata kama Mimi ni mshamba lkn huyo candy nguo aliyoivaa hakuna mwanaume yeyote anaeweza kuvumilia,, halafu mnakuja kusema maboss wenu Wana wataka kimapenzi,,,sio vizuri

  • @aishahassan1928
    @aishahassan1928 Рік тому +1

    MashaAllha 😘 chiiiiiiii ❤️🌹🌹😘 Aiiiiii 😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️

  • @nelycris3429
    @nelycris3429 Рік тому

    Inapendeza sana Leo nmeamini msemo niliokua nikiambiwa namwalimu Wangu kwamba wasanii ni Ndugu Hakika🔥🔥💥💯💪🏾🎂🤝🏾

  • @benjaminanania1355
    @benjaminanania1355 Рік тому +1

    💯 Tunaomba hiyo audio kwenye chaneli yako ili tujumuike wote kwenye umbambamba kuimba na kucheza

  • @dicksonmasatu5671
    @dicksonmasatu5671 Рік тому +1

    Nakupenda bila kunitolea mahari❤️❤️❤️❤️🤣🤣

  • @najmaabduli9593
    @najmaabduli9593 Рік тому +2

    Nawapenda atali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hawasalum6402
    @hawasalum6402 Рік тому +1

    Nilikosa Mimi tu madam jamani...mlienjoy kwakweli

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 Рік тому +1

    Nawapenda mungu awahariki 🙏🙏

  • @tasharhymes6555
    @tasharhymes6555 Рік тому +1

    Daah mnaishi Maisha mazuri sana wanangu

  • @basirazubeir5148
    @basirazubeir5148 Рік тому +1

    Allah awajalie furaha kila siku ❤❤🙏🙏🇦🇪

  • @judditedunia5292
    @judditedunia5292 Рік тому +2

    Mume wangu nakupenda sana ❤

  • @alimwinyi5996
    @alimwinyi5996 Рік тому +1

    Labda fungu langu....duh huu mzigo ni habari nyengine

  • @magrethcalistus6246
    @magrethcalistus6246 Рік тому +1

    Wadada wa umu wote wanajua kuigiza nawapenda😙😘

  • @cleanmaidswedding
    @cleanmaidswedding Рік тому +3

    BROTHER MKOJANI NILIKUA NAOMBA IZI NYIMBO MUWE WATUPOSITIA ATA CLIP AMBAZO TUNAWEZA SIKILIZA MAANA BARUTI NA MWENZAKE WANAJUA SANA

  • @filimon5810
    @filimon5810 Рік тому +3

    kamugishaa happy birthday

  • @bintimasharubu
    @bintimasharubu Рік тому +1

    Happy birthday kamugisha

  • @jasminjumanne4157
    @jasminjumanne4157 Рік тому +1

    Jojo mbona ajala

  • @XarahJohn
    @XarahJohn 5 місяців тому

    nakukubali sana kamugisha

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 Рік тому +1

    Hao madogo wanaoimba Kai na na Barut madogo ni mafundi

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Рік тому +1

    Jamani jamani wanake wenzangu kueni na aibu japokidogo mbele za wanaume nimavazi gani Hayo kifua wazi tutaenda kujibu nini mbele yamungu wetu mkojani nakuomba wrekebishe juu ya kujistiri

    • @albertlokoya7937
      @albertlokoya7937 Рік тому +1

      Mbona katokelezea jamani...Huo ndio usanii na sisi mashabiki ndio tunataka. Kwangu hapo yupo sawa, na mwanamke lazima ajikubali na kuwa free na mwili wake.

  • @hamadshembago7647
    @hamadshembago7647 7 місяців тому

    Bro mkojan sio siri tunawakubal sana ww na genge lako plz tunaomba mtusikilize na sisi tunachowaomba na mungu atawabariki mno hizo nyimbo anazoimba mtu wako baruti tunazihitaj tunazipataje?????fanya kitu boss hamad toka tanga❤❤

  • @samueltumaini3396
    @samueltumaini3396 Рік тому +1

    Mumejua sana

  • @athumanisilaha9847
    @athumanisilaha9847 Рік тому +1

    Baruti achelia hiyo audio

  • @jayfadhil8404
    @jayfadhil8404 Рік тому +1

    Hata mimi ndo ningekuw Chadimu ningemtia kweli mimba mwa four

  • @clintonyjastine7137
    @clintonyjastine7137 Рік тому +1

    Duuuuh huo mpenzi wa chandimu ka mlevi

  • @saidilome2110
    @saidilome2110 Рік тому +1

    Prince angusha mue delezo wa Umbambamba mwamba.unatutesa tumeshamiss kukupa Mb zetu

  • @sidekocho2694
    @sidekocho2694 Рік тому +1

    Chandimu na mwafoo kuna kamchezo cha kweli

  • @OmaryIssa-xb7sq
    @OmaryIssa-xb7sq 4 місяці тому

    Nice

  • @aminakesi5945
    @aminakesi5945 Рік тому +1

    Tunawapenda nyote

  • @swariotibi6134
    @swariotibi6134 Рік тому +1

    Nimependa San happy

    • @nardotz285
      @nardotz285 Рік тому +1

      Kwani io myimbo ukiitaka unaipataje lamda fungu langu alijapagwa bado unaipataje ii ngoma

  • @abuuvanlampard2564
    @abuuvanlampard2564 Рік тому +2

    HAPPY BIRTHDAY TO HIM

  • @amneykhamisiamneykhamis8016
    @amneykhamisiamneykhamis8016 Рік тому +1

    One love ❤️ 😍 💖 ❣️ 💕 💘

  • @bekaali8930
    @bekaali8930 Рік тому +1

    Aliemuona mjumbe yupo nyumanyuma aweke like hapa

  • @Sunnah1212
    @Sunnah1212 Рік тому +2

    Chado master 😂😄😄😂

  • @ibrahlissu2710
    @ibrahlissu2710 Рік тому +2

    Tunaitaka iyo nyimbo ya uzuniii

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 Рік тому +1

    More life kamgisha

  • @jumamkongowe2272
    @jumamkongowe2272 Рік тому +2

    Mwa4🔥🔥🔥

  • @elimbotothomas1604
    @elimbotothomas1604 Рік тому +1

    baruti yuko wapi

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 Рік тому +2

    Jojo km jojo na chado

  • @aminahussein327
    @aminahussein327 Рік тому +1

    Jmn Mbn mambwende cjamuona🤣

  • @bintimasharubu
    @bintimasharubu Рік тому +1

    Naipenda hyo nyimbo ya barut aisee nawakubal nyote

  • @abdallahhamic3586
    @abdallahhamic3586 Рік тому +1

    Mwanne pisii safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiio

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 Рік тому +1

    Mambwende kashakula nyayo km chumvi nyingi

  • @matanogayu9155
    @matanogayu9155 9 місяців тому

    Mr matelefon.... A. K. A kijiko ako wap😂😂😂😂😂

  • @veroslaa1041
    @veroslaa1041 Рік тому +1

    Hahahahaha jamani mnachekesha

  • @mothersmothersnasry9341
    @mothersmothersnasry9341 Рік тому +1

    Nami napenda kuigiza jmn mtanisaidiaje

  • @djmoviestrailer3574
    @djmoviestrailer3574 Рік тому +1

    Wasanii was bongo bhana wote wamevaa malapa ya buku hahahahhaaahahaahhaahahahaha

  • @athumanisilaha9847
    @athumanisilaha9847 Рік тому +1

    Chandimu nakukubali akuna masiara mbele ya mapenzi

  • @billylovebillybillylovebil580

    Baruti jomon nasauti nzuri yaku imba

  • @Hasnspop
    @Hasnspop Рік тому +1

    Ankali wangu sikumuona baga

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 Рік тому +1

    Barutiii one 💘

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 Рік тому +1

    Tumekaa tension twangoja umbambamba

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 Рік тому +1

    Nampenda mwaluvanda