Twizi hata Kam mapenz ni uchizi ila tambua sisi wanawake ni wauwaji cn ten cn tuko ladh kumumiza mtu et tu akusikilize kwa Kila kitu hebu mwache kwaz kimlambe maan aliyatak ❤❤❤❤❤
Mama mbaya huyu....na hii ndio hali halisi inayotokea au inayoendelea majumbani kote.....tamaa juu ya Mali au vitu itaisha Lin lakin??? Yani cjapenda kabisa.....wapi tunako elekea jamani.... GOD HEAL THE WORLD...IS FULL OF WEAKEDNESS DARK PEOPLES 😢😢😢
Mama mbaya huyu ata kma nasra si mtt wko w kumzaa ila wazee wasema mtto w mwenzio pia wako jmni ila kila umfanyialo kwenzko kitakurudia sijpnda kbsa😢😢😢😢😢
Mnafikiri mganga anapenda mnavyomfanyia mtu ana makosa wee mama alitaqa hivyo unammumiza mtoto wa watu ikarudi kwako kula chuma hicho uwezi tendea mwezanko mabaya ukae salama lazima yakurudie
Jamani bdo Kuna waume wazri kama hyu,,, alfu ww mamaa, malipo ni hapa duniani tuu, unamfanyia mtoto wa mwenzio mabaya ili wako aje aridhi,, utashangaa ni vile tuu Twizy hajampata mayi
Malipo ni hapa hapa duniani kwa Mungu hesabu to nasla kula chuma hicho unamuwekea midawa mtu asiekuwa na hatia sasa afazali yamekuludi mwenyewe bado na mama yako shetani 😈😈😈 kabisa nyie
TWIZY NAPITIA MAGUMU MIE😭😭 MKE WANGU ATAPONA KWELI
Piga Dua atapona tyy
😢
Kati ya wake uyo nae unamuisabu bora yule mfanyi kazi wako wa mwanzo😮
Mama mukwe mshirikina
Dawa.ya moto ni moto 😂😂hatapona
Aiseee kali hiiii Jmn ongeren kwa Kaz mzuriiii ❤
Allaaaa!!!! Mama kiovu, kumbe yule sio mtoto wake, from maid to a daughter ogopa wanawake
Twizi hata Kam mapenz ni uchizi ila tambua sisi wanawake ni wauwaji cn ten cn tuko ladh kumumiza mtu et tu akusikilize kwa Kila kitu hebu mwache kwaz kimlambe maan aliyatak ❤❤❤❤❤
For the first time wadau ata mbili tyu ❤
twizy nakuomba mfukuze huyu mama na huyu msichana WA KAZi,rudisha mahi mahi Hana Tama lakini Hawa makunguru wawili ni chuma moto,
Ndiyo Twizy endapo kama ukimuamini mwenyezi mungu akuna kinashindikana kwake.
Malipo ndo hao Nasra😂😂😂😂😂
Awa wanawake wa ajabu sana😂😂😂😂😂 branco mozambique
Malipo ndo hapa Dunia nasra mbinguni n mungu kuchukua tu hesabu I say!
Duuu maskini wee mama mbaya sana ila mungu atamuukumu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 waaaah dada wakazi chezaa kaa ww sasa
Nasra pole dadaangu ❤❤❤❤
Pole sana twizy kwa matatizo unayo pitia chukuwa maua yako🎉🎉🎉
Uyu mama nasrah n mnafiki sana na anajuwa kila kitu 😢
Tamaa jimama weee
Maman Nasra unaona malipo ya uchawi una haribiya mwanayo sana kabisa
Twizy mtegemee Mungu ndiye muweza wa yote.
Atar sanaaa,twzy hongera sanaaa kwa kujali wanaume wachache wenye huo moyo
Uyo mkeo twiz akome kaz kukurog t uyo muachee agh😅
😢daah jamani nasra anatia huruma
Leo mimi ni mimi ,msininyime wa kwanza kutoka kenya
usinyimwe nn dawa za mganga au
@jamilashabani8580 like bana
Waaaaaaaa mama mbaya😢
Kumb mama Basra sio mtit wake Basra jman dunia hii duuu
Mwisho wa ubaya fedheha
Pole kaka twz nakupenda saana naitwa malikia nipo Oman mwaaa
Nasra kimekulamba kula chuma hicho😂😂😂😂 Mambo ya kishirikina
Mama mbaya huyu....na hii ndio hali halisi inayotokea au inayoendelea majumbani kote.....tamaa juu ya Mali au vitu itaisha Lin lakin??? Yani cjapenda kabisa.....wapi tunako elekea jamani.... GOD HEAL THE WORLD...IS FULL OF WEAKEDNESS DARK PEOPLES 😢😢😢
Mtu ni mgonjwa lakin anaramba mdomo utadhani ako Saw 😅😅😅 jinsi anasikia uji ni mtamu😅😅
Wakwanza ❤🎉
Hyu mama yatamrengelea mwenyewe😢😢😢
Waaah makubwa kumbe hata nasra sio mtoto wa huyo mama mkwe😂😂😂 mbele nikutamu 😂😂😂alafu twizy dady wewe unatuchanganya hebu mtafute mai umuoe yeye
Duh nasra pole mwaya nimesikitika sana kipenz
Uyu mama mbaya cn ila siku zote malipo ni Ap Ap duniani
Wee mama wee kumbe Iko Ivo duh
Waaaa makubwa haya aya dada wakzi nawe chunga usije letewa bomu likakulipukia mwenyewe 😂😂😂 ujue twizy analindwa na Mungu
Jaman nasra wangu pole mamy
Mama Nasra wewe! Hee hadi shetani anakaa pembeni kukushangaa duuh
Mama kweli nyoka mwenye sumu kali 😢 sija amina jamani 😢
Hatari imetaganzwa
Pole kaka twizy naitwa hawa
Eeeeh mama hongera
Uyu mama ni ibilisi kweli
Muache yamrudie liwe fundisho kwa wengine
😢😢😢 uchawi sio Mzuriii
Mama roho gani kweli
Mama mchawi huyu
❤🎉🎉🎉ñimewah htr 9 Kaz zurii❤🎉
Nakubali Remy
Jamani Mama Nasra Unasababisha mwanaye kurudiriwa Nawuchawi Kwajiriyako wa Mama waivi Duuuuh chikamo
From Kumamoto japan kazi nzuri sana mnayofanya
Mwishowawubaya ni ayibi wamaman kwamaman Nasra mupatefundishokwenyehilo
Ma kubwa huyu mama analaana duuu
wemm unabara ulaniwe
Akumbe maman ndiye anazala msichana wa kazi lakini sio Nasra😊😊
Hakunapezi Ramadawa ona Sasa Mwanaye Mama Nasra 😢😢😢 Mapezi hayarazimiswi Mama wazazi waiving Mwenyezimugu Awarani 😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉
Mama mbaya huyu ata kma nasra si mtt wko w kumzaa ila wazee wasema mtto w mwenzio pia wako jmni ila kila umfanyialo kwenzko kitakurudia sijpnda kbsa😢😢😢😢😢
Yamemukuta ushirikina kila wakati muone mama yke kaah from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
Mucimba kisima udumbukiya mwenyewe ulitaka Twizy akuosheye vyombo sasa wendo umekua wakujinyeya pole sana
Vizuri dada wakazi
Amekua chiba gonga like apa
Mnafikiri mganga anapenda mnavyomfanyia mtu ana makosa wee mama alitaqa hivyo unammumiza mtoto wa watu ikarudi kwako kula chuma hicho uwezi tendea mwezanko mabaya ukae salama lazima yakurudie
Nasra karogwa na mama yake au hukuona alichomwambia yule babu kuwa mmoja atakuwa kama chizi na mwingine atamsikiliza yeye kwa kila kitu
Shimo ulilolichimbia mmeo umetumbukia mwenyew nasra
😂😂😂😂😂 nakujigamba atafua atapiga deki nakupika pia
We mmama una roho mbaya sana, pamoja na hicho kitoto chako, shetani kabisa
Mai Wetu yupi wapi
Mama jua
Mbio Za sakafuni Huishia Ukingonii
Elendeleeni Kurogaa Niko Hapa sina Neno 😢
Heeeeeee,,,,huyu mama kumbe ni shetani eee aloooo
Kazi tamu
Iyo nimafuna poa dada mama Rudi Kwa mnganga mama tena aulali juu ya nini sasa Nani wewe umefanya yote mama
Haaaa jamn huy mama 😢😢😢
tuma part 28
Kwani uyu mama unakaaje wewe mama itakuramba tena Fanya to itakufikiya tena
Nasra yame murudiriy yeye huyo ucawi sio diri pore 😅😢
Jaya ndio malipo ya ushirona. Ona mume ana hangaika. . Wanawake waheshimu waume zenu
Jamani bdo Kuna waume wazri kama hyu,,, alfu ww mamaa, malipo ni hapa duniani tuu, unamfanyia mtoto wa mwenzio mabaya ili wako aje aridhi,, utashangaa ni vile tuu Twizy hajampata mayi
Kwaiyo huyu nasra hamjui kama huyu ndunguyake ama ajui kama huyu sio mamake mbn hapa sijaelewa mimi nimeekwa mbali sana
Aibu inafichuka sasa mama mbona kimya mwanao yuko hoi😂
Mama nasira wewe ni mtu mbaya sana
Cheny naomba 2 mke w twz akufe kabx juu vyeny alikuw anamfanyia twz n kibaya xx kilimrudia mwwnyew xx twz kinachokuuma n nn xx muache
😂😂😂😂😂kabisa pia mm nko upande wako
😂😂😂l like that
Mimi sitaki akufe nataka twz amuoe mai awe mke wake tena aishi naye hao nyumbani
Oooh kumbe nasra SI mtto wakumzaa duuh
Kumbe uyu mama gaidi sana
Uchawi huo,,,hayo ndio malipo yake
Twz mi naona unanichanganya
Kumbe umeona pia wewe yaani haeleweki anapenda wapi anaboa sana 😂😂😂😂
Ni funzo kwa wanao takia wengine mabaya
Uyu mama ni nyoka kumbe Dah
Malipo ni hapa hapa duniani kwa Mungu hesabu to nasla kula chuma hicho unamuwekea midawa mtu asiekuwa na hatia sasa afazali yamekuludi mwenyewe bado na mama yako shetani 😈😈😈 kabisa nyie
Duh huyu mama kumbe mbay Kia's hiki
Kazi ipo
Mama nasra anataka nn uyu
Si humuite tu nyoka,, yani huo mwanamuke uko na roho mbaya kama nin,,, Jameni ss hio fuaraa hutaitowa wap apo shida tupu,, Ata hafuweni mai
Wewe mama umeharibi mtoto wako
Wewe mama unaroho mbaya unamnyanyasa huyo nasra kumbe mtoto wako
Mmh huyu mama vp😢
Duuh huyu mama popote alipo akamatwe
Huyu ma Nasra vp tena
Yuko wp madam mwaya mbon haonekani tena
@RoziMika policy
Ushirikina malipo yake
Atari sana
Duuh kumbe mama jambazi😢
Daaaa. Hii noma sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
filam zenyu ni nzur ila sinachelewa kufatana
Mama nasira ni shetani kabisa
Madawa hayo nataka asipone kabisa mwimba wa kujitakia hauambiwi pole
Kwanin kawaivo nasira
𝗠𝗮𝗺𝗮𝗸𝗲 𝘆𝗸𝗼 𝘄𝗽 😢𝗸𝗮𝗺𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗮 𝗮𝘂😊😅😅😅