#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 131

  • @selemanformassan1734
    @selemanformassan1734 3 роки тому +4

    Nipo Mozambique, Allhah awaifadhi ma kiski wa mikoani pamoja na Sheikh Nurdeen kiski.

  • @mwanamisimusa6916
    @mwanamisimusa6916 2 роки тому +1

    Aslma alkm sheikh ridden kuishi yani mm sijasoma elimu ya quruni sana lakin katika moyo wangu nabidika kosoma na kujisitiri na aya yote napitiya kwako nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 3 роки тому +1

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri

  • @ALIN-7
    @ALIN-7 2 роки тому +1

    Hii ni Dawa tosha Nimependa saaaana kutoka Mozambique. Endeleyeni.

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 3 роки тому +10

    Mashallah mashallah allah awajaliye masheikh wetu kila lakheri allah awaifadhi allahuma meen 🤲

  • @mwanamisimusa6916
    @mwanamisimusa6916 2 роки тому +1

    Nilianzaa kusikiliza mawaidha ya sheikh nurdeen kishi 2019 na mm natoka kenya yani elimu nimuhimu japo niko na dungu walisoma lakin mm sikupata bahati na mpka sai mm nasikiliza sheikh wangu

  • @hatujuanisalum9354
    @hatujuanisalum9354 3 роки тому +2

    MAASHALLAH MMASAI HADI RAHA MWILI WOTE UNASISIMKA .JAMANI UISLAM RAHA KWELI

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +2

    Mashallah Allah akuhifadhi na akumpe umri mrefu sheikh kishk wetu

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 роки тому +8

    MashaAllaah tabaraAllaah yaani khery Allaah azidi kutuhifadhia masheikh zetu wabadayeh kishki wamejaa kwa Neema za Allaah

  • @ashalaurent4722
    @ashalaurent4722 3 роки тому +2

    Mashaallah kweli nyinyi madaai kila mtu anaujuzi wake bora muwe wengi kabisa wallahi ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia zinaa nideni na nalizima deni hiyo familia ilipe kama uliifanya baba au mama bas lazima watoto au ndugu zako. Sikuwahi kujua kabla wallah allah awaongoze mkono kwa mkono hadi peponi ishaallah

  • @afiahamad5983
    @afiahamad5983 3 роки тому +2

    Mashallaah hongereni sana Allah awasimamie kwao hilo

  • @mbwanabaruti7496
    @mbwanabaruti7496 3 роки тому +2

    Masha Allah ,nimefurahi sana kuwaona na kuwasikia makishk wa mikoani. Ni vijana wa kislam wanajitahidi kumuiga mtu mwema wa mihadhara ya shekhe Kishki. Allah akujalia na kukinga kila aina ya shari.

  • @nduguislam3226
    @nduguislam3226 3 роки тому +2

    Moyo alioo onesha sheikh nurdin kishki mwenyezi mungu amlipe Kila la kheri

  • @ashalaurent4722
    @ashalaurent4722 3 роки тому +2

    Mashaallah mwenyezi mungu awajaze iiman zaidi na awape umri mrefu wanye faida na jamani mim pia nilikuwa napenda sana mawadha yako nalizaa mtoto nikamwita nurudini wallahi nakupenda kwaajili ya allah

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 3 роки тому +3

    Maa shaa Allah shukran sana sheikh wetu mungu akuzidishie inshaa Allah

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому +4

    Mashaallah leo nimefulai sana allah awaongoze katika njia iliyo yoka amiin

    • @faridahalwaily85
      @faridahalwaily85 3 роки тому

      Allaah Akuhefadhi sheikh kishki.ninaafuraha kusikiza mawaidha yako na kuelimisha watu wengi.Allaah Akuhefadhi na kukupa umriey mwemaa

  • @dgee2372
    @dgee2372 3 роки тому +2

    Dahh masai yupo vzr 🌹🌹

  • @alihussein832
    @alihussein832 3 роки тому +2

    Ma sha Allah ma sha Allah ma sha Allah tabaraka Allah Allah atulindie ma kishki wetu watupe elimu juu ya elimu insha Allah

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +4

    Mashaa Allah tabarakallah allah awaongoze makishki wote

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 3 роки тому +6

    Allah akiniruzuku mtoto wa kiume ntamuita Nurdin kishki insha Allah

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 3 роки тому +2

    Mmasai kanifurahisha sana aisee

  • @Nahishakiye1
    @Nahishakiye1 Місяць тому

    Allah yahfadhuka yaa sheikhanal habib Nurudin Kishki...pale unakosea Allah akuelekeze na ❤❤❤ akuongozee

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja Місяць тому

    MASHA ALLAH MUNGU AWAHIFAZII

  • @tahiyaally7254
    @tahiyaally7254 3 роки тому +2

    Maa shaa Allah tabarakallah Alhamdullilah

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 3 роки тому +2

    mm ni kishiki khut nakupenda kwa ajil ya allah natamani nikuletee mwanagu apate elimu

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 3 роки тому +3

    MASHAALLAH Allah awazidishie
    Nimefurai sana kukuta pachaza kishki

  • @mdmalik8484
    @mdmalik8484 3 роки тому +1

    Mashaallah mungu awangoze vijana wetu mupate Elimu muzidi kutufahamisha

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 роки тому +2

    Nimefurahi mpaka mchozi wangu wa furaha umedondoka

  • @naswidiaabdulkarim5005
    @naswidiaabdulkarim5005 3 роки тому +2

    ALLAH AKUPE MWISHO WA KAULI YA LAAILAAHA ILLA LLAH MUHAMMAD RASUULULLAH

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha Рік тому

      Allahumma Aaaamin ya Allah🤲🤲🤲

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 3 роки тому +1

    Maa sha Allah
    Maa sha Allah
    Maa sha Allah
    Uislam raha sana
    Allah awahifadhi

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 3 роки тому +1

    Umewanasihi kweli kweli Mungu akulip kila la kheri

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +2

    Mashaallah mashaallah thabarakaallah wallai inapendeza sana Sheikh kishk Allah akuhifadhiii dunia fil Akhera

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +16

    Nyie mnao unlike mtabaki na roho za kisokorokwinyo. Sheikh kishk atabaki kua hivyo.... Nampenda kwa hekma yake Allah azidi kukulinda sheikh

  • @adanabdullah4867
    @adanabdullah4867 3 роки тому +3

    Walahi sheik tuna kupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah mwenyezi mungu akupeni Maisha marefu makishik nyote na kishki mkuu piya hadi rahaa

  • @sarakuchanda9605
    @sarakuchanda9605 3 роки тому +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah awaongoze makishki wote nimefurah sana mmefanya Dawwa kubwa sana ya kutembeleana
    Shukran sana

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +2

    Maa shaa Allah hata mm napenda sana pamoja na sheikh Othman Maalim wa Zanzibar Allah awahifadhi

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha Рік тому

      Kama mimi Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 😍 😍

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha Рік тому

      Àaaaamina Kwa niaba yao

  • @zuenajumashf3105
    @zuenajumashf3105 3 роки тому +3

    Maa shaa Allah Tabaraka Allah

  • @zainabuzainabu4372
    @zainabuzainabu4372 3 роки тому +3

    Asalam alaikum mimi nimefurahi sana ALLAH awaongezee mapenz fidunia wal akhera naomba ALLAH anijaalie mtoto wa kiume nayeye afuate nyayo za shekh inshaallah..

    • @muagirjose6670
      @muagirjose6670 2 роки тому

      Manchallha allhah t abencoe naterr e no jan

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +2

    Mm ni kishkllathiii nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 3 роки тому +4

    Mansha Allah sheikh Allah awaongo na atuongoze sote

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha Рік тому

      Aaaamina ya Rabby 🤲 🤲 🤲

  • @biashabasai2760
    @biashabasai2760 3 роки тому +2

    Maa shaa Allah baraka Allah fiq

  • @asiabeauty9851
    @asiabeauty9851 3 роки тому +2

    Bissmillah. Natokwa na chozi la furaha wallah, tujifananishe na walio wema huenda tukawa miongoni nwao

  • @Ahmad_sheikh.
    @Ahmad_sheikh. 3 роки тому +3

    MashaAllh MashaAllh

  • @aminaabdi9465
    @aminaabdi9465 2 роки тому

    Mashaallah Allah Allah awahifadhi

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 3 роки тому +3

    Mashaallah masai kaua👌👌

  • @suzaneamina8655
    @suzaneamina8655 3 роки тому +2

    Asalam aleykoum masha'Allah Allah awalide ma sheikh nawa penda kwa ajili ya Allah

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Рік тому

    Bismillah mashallah mashallah ❤

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 3 роки тому +2

    Na Burundi kuna ma kishik wengi sn shekh ,yn wakuache

  • @zainabujahshi6587
    @zainabujahshi6587 3 роки тому +1

    ماشاءاللہ

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 3 роки тому +2

    Wanao kuchukiy Mungu awaongoz

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 3 роки тому +2

    Amiin Amiin Amiin Alhamdulillah RabilAalamiin

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 3 роки тому +2

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah

  • @ummuramadhan1842
    @ummuramadhan1842 2 роки тому

    ma shaa Allah,,,na wengne wamefanana na kishikh mwenyewe

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 3 роки тому +1

    Mashaa Allah Allah awakhifazi nyinyi wote na roll model wenu

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 роки тому +2

    Manshallaah mashallah manshallaah Kazakh Allah kher

  • @aminajaber9618
    @aminajaber9618 3 роки тому +1

    Allah akuhifadh shekh nurdin

  • @mkazahamisi8508
    @mkazahamisi8508 3 роки тому +1

    Assalam Alykum warahmatullah wabarakatuh shekh kishk taka kupe mwanangu unisomeshee Quran

  • @gamilymbui6458
    @gamilymbui6458 3 роки тому +4

    Mashaallah tabarakallah

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw Рік тому

    Mashaallah Mashaallah ogereni sana

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 3 роки тому +2

    Maa shaa Allah maa shaa Allah

  • @aminasalim2827
    @aminasalim2827 3 роки тому +1

    mashallah mwenyezi mungu awazidishie

  • @fatmaameer5333
    @fatmaameer5333 3 роки тому +1

    Mashallah ALLAH ahifadhi

  • @abubakarnsabumuremyi4102
    @abubakarnsabumuremyi4102 3 роки тому +1

    Maashallah

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 3 роки тому

    Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah Allah awatunze yarabiy

  • @omarsaid4661
    @omarsaid4661 3 роки тому +1

    Mashallah.

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 роки тому +1

    Ma sha allah
    Allah ibariki fiikum

  • @abigaelnasir1698
    @abigaelnasir1698 3 роки тому +1

    Nashuruku Allah kwakutuletea makishk ktk hii Dunia Allah awahepushe na shari za majini na watu

  • @SaraBashiru
    @SaraBashiru 6 місяців тому

    Mashaala allah Mashaala allah 🙏 💖 ❤️ ♥️ 💓 💕 🙏 💖 ❤️ ♥️ 💓 💕 🙏 💖 ❤️ ♥️ 💓 💕 🙏

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 роки тому +1

    Maasai umenichekeshaaaa

  • @abdallakombombarouk5560
    @abdallakombombarouk5560 3 роки тому +1

    Mashallah Allah

  • @iddisoko5677
    @iddisoko5677 3 роки тому +1

    Mashallah

  • @mohamediramadhani6120
    @mohamediramadhani6120 3 роки тому +1

    Mashaallah!

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 3 роки тому +3

    Allah akbar ma sha allah😂😂😂 nafurahi Sana Alhamdulillah RabilAalamiin

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 3 роки тому +2

    mashallah mashallah mashallah masai umenifuraishaa sanaaa😂😂😂👏👏👏👏

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 3 роки тому +1

    Mashaallah

  • @zeanamohamed8185
    @zeanamohamed8185 3 роки тому +1

    Mashalla

  • @hatujuanisalum9354
    @hatujuanisalum9354 3 роки тому +1

    kweli kabisa Shekhe Kishki anatuelimisha mno pia na Katibu wake Shekhe Masawa na street Daawa zake

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 роки тому +1

    Ma'a shaa allah

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому

    Maa shaa Allah mmasai Allah baariq wewe pamoja na crow nyote mlokuja hapo kwa shekh kishki pamoja na yeye

  • @mwanamisimusa6916
    @mwanamisimusa6916 2 роки тому

    Shekh yani mm nigependa hata kwa sehum ninayo kaaa kupatikane moja mwenye yuko na sifa kama zako

  • @mussamkireri7075
    @mussamkireri7075 3 роки тому +1

    Allah akuongoze shehk unanitoa machozi kweli wewe

  • @omarmohammed5650
    @omarmohammed5650 3 роки тому +1

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.

  • @mwanamisimusa6916
    @mwanamisimusa6916 2 роки тому

    Watot wa mazigira ya kwetu machafu yani sheikh mm niliamuwa na wazazi wangu pamoja na ndugu zangu kuelimisha watot wa majirani yani penye natoka sheikh hatri watot wanaaribika

  • @mussamkireri7075
    @mussamkireri7075 3 роки тому +1

    Kunawatu wahusda

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 3 роки тому +1

    😂😂😂Abdallah Masawe na rafkiyke Allah awahifadhi mumenifanya nafurahi sana Allah atupeher na baraka za wageni au jarsa hilo la makishk Allah awaendereze awadhidishie wawe wengi mfano wenu 💞💞na wapenda nyote kwa Ajili ya Allah Mtukufu 💞💕

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunze quran kusom kuandik gusa pich yang hapo kama hautjl

  • @saidmussaadam8591
    @saidmussaadam8591 2 роки тому

    Maa

  • @fahadjuma2075
    @fahadjuma2075 3 роки тому

    00o bi
    Moo moo
    Ni

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому +1

    🤣allah karim

  • @fatumaakimana1972
    @fatumaakimana1972 Рік тому

    Vv

  • @salumyusuph6612
    @salumyusuph6612 3 роки тому +1

    Shehee nataka kama unadalasa naomba kujiuga ili nipate elim

  • @dgee2372
    @dgee2372 3 роки тому +1

    Ss ww hawakupend watakupelek wap mbon Allah kasha kupend 🤷‍♂️hat mm nakupend wanawo kuchukiy Allahuu yallamuu

  • @gongayaigongayai6346
    @gongayaigongayai6346 3 роки тому

    masai kawa kishki hhahahhahahhaha eti htakama umekula riba

  • @samirybinaliy2564
    @samirybinaliy2564 3 роки тому

    Hahaha

  • @abusumayyah2338
    @abusumayyah2338 3 роки тому

    Uhizibi

  • @faridithomas4859
    @faridithomas4859 3 роки тому

    Huyo jamaa alitoka Imam Shafi ni mwongo tena mwongo sana, hakua na lolote hakuna aliyekua anayemfuata kwa ajili ya khutba au mihadhara!!! Alikua ni kituko tu

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 3 роки тому +5

    Next time we will be together if Allaah wishes.

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 3 роки тому +1

      Inshaallah mujitokeze kwa wingi kishk wadogo

  • @khdijahalmudhairb2147
    @khdijahalmudhairb2147 3 роки тому +1

    MashaaAllah TabarakaAllah

  • @LeviTreutel-im4op
    @LeviTreutel-im4op 2 роки тому +1

    Mashallah