Safari ya Kangemi Youth Centre na NairoBits Trust

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • Video ya Kiswahili kuhusu taasisi ya Kangemi Youth Centre chini ya NairoBits Trust imezidi kuchipua vipaji kupitia masomo ya kidijitali na teknolojia katika mtaa wa mabanda wa Kangemi na hivyo basi kuwapa vijana mbinu za kujikimu pamoja na familia zao kimaisha.

КОМЕНТАРІ •