Samburu imefufua huduma za matibabu katika hospitali ndogo ya Wamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Serikali ya Kaunti ya Samburu imefufua huduma za matibabu, katika hospitali ndogo ya Wamba Samburu Mashariki. Hii ni baada ya kufungwa Kwa hospitali ya kimisheni iliyotegemewa eneo hilo kwa zaidi ya miongo mitatu. Wakazi wanasema wamepitia changamoto si haba kutafuta matibabu tangu kufungwa kwa hospitali hiyo

КОМЕНТАРІ •