SOMO:NGUVU YA MAWAZO//2 Wakorintho 10:3-6//MKESHA WA MAOMBI KKKT WILOLESI.29/12/2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • wanafunzi wa vyuo Iringa PHCI,MUCE,RUCU,CDTI na wengine wengi,walifanyika baraka kubwa sana ndani ya mkesha wa kuelekea kuvuka mwaka 29/12/2023.
    Nguvu ya mawazo,mawazo ya wengi shetani ameyakamata na kupelekea Hadi wamejinyonga na wengine wamekunywa sumu ,ndoa nyingi zimevunjika Kutokana na kuwaza mabaya.
    kupitia somo hili,ni maombi yangu isikilize Hadi mwisho na Roho Mtakatifu akuhudumie kipekee.

КОМЕНТАРІ • 10