WE ARGUED ON CAMERA (MY HUSBAND WILL ADOPT ABABY GIRL 👩‍🍼

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @carolyneochieng7266
    @carolyneochieng7266 Місяць тому +2

    Kwani beb anataka aachiwe nyonyo😂

  • @Lelawes
    @Lelawes Місяць тому +1

    nyonyesha kabisa hata to 8mnths, as long us uko na milk tosha bora asisikie njaa. Rapho utapewa strike hivo unarusha rusha baby, youtube wanaona ni kama unatesa mtoto, he's still a kadogo one.. take care. love you guys.❤

  • @FaithKaranja-s4v
    @FaithKaranja-s4v Місяць тому

    Babe Mlugha ni shida anataka mtoi akule Clint's 😅😅😅😅uko sure

  • @OtumaOtieno
    @OtumaOtieno Місяць тому

    Boy is healthy and cute same to you mommy you're healthy.. mtoto aneza pewa food mapema kama mama Ako na shida ya kunyonyesha but since mama Ako healthy Wacha baby anyonye Hadi 6months ukitaka

  • @beatricewanjiku1875
    @beatricewanjiku1875 Місяць тому

    Mtoto anyonye hadi six months vizuri Mary wachana na Rapho watoi wa kitambo ndio walikua wanaanzishwa kitambo tuko century ingine.

  • @EphyAmaidi
    @EphyAmaidi Місяць тому

    Usimpee anything mamaa UpTo 6months

  • @dejaydannyboyofficial254
    @dejaydannyboyofficial254 Місяць тому

    Nipitie nkupitie Lets grow together akh

    • @chebbysly
      @chebbysly Місяць тому +1

      Done nipitie pia