VIDEO: HUEZI KUAMINI HUMU NDIMO ALIPOKUA AMETEKWA MO DEWJI -

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @mohammedomary8189
    @mohammedomary8189 6 років тому

    Hahaahha mwenyezi mungu awalaani wote walio huska na kitendo hicho

  • @farajamuyinga420
    @farajamuyinga420 6 років тому

    Yaah Rabii,tunusuru na Moto,Mambo sasa mbona una babaika???

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 6 років тому

    Kituko kingine cha kushangaza watekaji walienda ubungo kupanda mabasi.Mungu atawaumbua kwenye ile Albadir.Mambosasa Fanya mipango ingine hiyo haina mashiko tena

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 6 років тому

    KAMANDA MAMBOSASA AHANTE SANA KWA MOVIE NZURI AMBAYO MNAENDELEA KUIIGIZA WATANZANIA SIO WAJINGA KIASI HIKI KUJUA YA KWAMBA MAIGIZO NA TRUE STORIES TOFAUTI IKO WAPI TUNASUBIRI PART2 YA HII MOVIES JITAHIDI SANA TULETEENI HARAKA MAMBASASA SIN ZAKO WEWE HUWA FUPIFUPI LAKINI HONGERA KWA HILO

  • @2pacshakur912
    @2pacshakur912 6 років тому

    Hiyo gar ccy ilitolewa maelezo kabla ya mo kupatikana..suali la kujiuliza je huyo mwenye gar alijiamini vipi kutembea nayo hiyo gari tena na namba hizo hizo wakati kashaifanyia issue kubwa kama hiyo

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 років тому +2

    Mie jamani saivi nipo hoii🤔 kwahiyo sasa polisi mnaikamata nyumba? na mtaishtaki nyumba? hii kali ya 2018 bora nikae kimyaa🙄🙄!!

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 6 років тому

    Safi sana police

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 6 років тому

    Tens unasema Driver tacx alikuwa na cha juu ya $200 Aachae B1.acheni cinema zimeshapitwa na wakati

  • @munamuna414
    @munamuna414 6 років тому +1

    Dereva hana kosa mana hakujua kama ni watekaji

  • @piarajaneth6030
    @piarajaneth6030 6 років тому +2

    Huyo anatuhuma gani wakati yeye ni dereva tax

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 6 років тому

    😷😷😷😷😷mana chakuongea sikioni

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 6 років тому +1

    Mambo sasa usha haribika, ha ha haaa unaona unavo babaika? Muogopeni mungu, nchi munaitia laana , bado maswali hayamalizi, mbaka mtuoneshe hao watu, yaa tabby tunusuru na unafiq

  • @aliyahmedahmed3722
    @aliyahmedahmed3722 6 років тому +2

    Sass hiyo nyumba ilikuwa chini ya Ardhi... maana kulikuwa na msako mkali usiku na mchana, Polisi hawalali lakini haikuonekana ndani ya siku 9 ambazo alikuwemo humo ndani, baadae wakamtowa kumpeleka Gymkana.... na gari ileile...... itakuwa walikuwa wanatumia dawa za kienyeji za South Afrika wasionekane....

    • @zahramunir8596
      @zahramunir8596 6 років тому

      Sasa tutaambiwa walikua majini sio binadam!! yani uongo to much

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 6 років тому

    Wewe unajua AZ mchezo wote.Mbona Bashite hajatoa tamko kuhus Mo?

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 6 років тому

    Kwani alikuwa hajasikia kama mo katekwa? Kwanini apakie wageni Wa sauzi walio shukiwa?alafu mbona hana wasiwasi huyo mnaesema mwenye nyumba? Yaa rabiy, Fanya miujizayako tushuhudie

  • @ramlaali5323
    @ramlaali5323 6 років тому

    inshaallah

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 6 років тому +2

    Waliompiga risasi mhe. lissu (rambo wa Tanzania) mbona hawajakamatwa? waliomteka Ben sanane wako wapi?

  • @خالدالشقصي-ت2ك
    @خالدالشقصي-ت2ك 6 років тому

    Mwaka mzima

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 6 років тому

    Huk mbez bich mbon kunatahikan san wat wanatekwa mpk mwanamk moja kawah kutekw

  • @خالدالشقصي-ت2ك
    @خالدالشقصي-ت2ك 6 років тому +1

    Maskini lisu jeee

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 6 років тому

    Mambo mengine yanatia kichefuchefu.Familia ya Mo walitanaza kitita cha Billion moja.Ina maana huyo Driver tax hakusikia Hiyo Bingo?Sisi tumeshampata Mo wetu nyie endeleeni na cinema zenu.Mambosasa jina lako sasa litakuwa Mambo pita.Huoni hats aibu kuita waandishi wa habari unawapotezea muda wao?Kisomo kilichosomwa na Simba Sports Club ndio kiboko chao.mtaumbuka mmoja mmoja kama korosho

  • @a.856
    @a.856 6 років тому +1

    🤯🤯🤯

    • @zahorrashid5459
      @zahorrashid5459 6 років тому

      wenye hiyo nyumba ndo wahusike zaid kuliko huyo dereva.

    • @mbongobanda9265
      @mbongobanda9265 6 років тому +2

      Haa haaa haaaa uongooo mtupuuuuuuuuuuuu pyeeeeeeeeeeee

    • @mbongobanda9265
      @mbongobanda9265 6 років тому +2

      Iyooo ni katuni ya Tom &Jerry mtuu gaaani akiriii eti niliwapelekaaa Ubungo. Heeeee tuachenii Kwanzaa tumeshasahauuu asaa iyooo ishuuu

  • @fahmikhamis3852
    @fahmikhamis3852 6 років тому +1

    Sasa mbona muna mueka hadharan

  • @fahmikhamis3852
    @fahmikhamis3852 6 років тому

    Sasa mbona muna mueka hadharan