Diamond Platnumz - Lala Salama (Official Audio Song) - Diamond Singles

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,7 тис.

  • @vincentyegon2540
    @vincentyegon2540 Рік тому +135

    People of 2090,this guy was called Diamond aka Simba.He made history by being the best Bongo artist.We might not be here with you in 2090 but never allow his name to be forgotten.

  • @DanielKarume-c6t
    @DanielKarume-c6t 10 місяців тому +149

    Wale ambao wanasikiza hii ngoma 2024 Tujuane jamanii

  • @Swinton-ps7mi
    @Swinton-ps7mi Рік тому +310

    Kama bafo unaskiza hii wimbo 2024 weka like much love diamond❤❤❤❤❤❤❤

  • @asminkachengome7428
    @asminkachengome7428 Рік тому +116

    We zombii😂😂😂😂😂 kama upo hapa 2024 nipe 👍

  • @jumamhando4290
    @jumamhando4290 2 роки тому +5

    Hapa ulikuwa unafanya mziki nakwasasa unafanya biashara. Hongera

  • @mczundaoriginal2491
    @mczundaoriginal2491 10 років тому +122

    Hii nyimbo toa video yake uifanye kama remex nyimbo nzuri sana hii itafanya mziki wako uwe juuu kila siku wimbo mzuri sana huu

  • @AbbakharmicheelMlyambina
    @AbbakharmicheelMlyambina 9 місяців тому +13

    2024 kama unaichek ❤❤❤❤

  • @joefreymsomba5464
    @joefreymsomba5464 3 роки тому +28

    Uliwazaje kuandika wimbo wenye hisia Kali hiv I appreciate your solut

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz Рік тому +564

    hii nyimbo ni kali sana..kama una iskiliza 2025 nipe like ❤watching from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Jesse-rb4ti
    @Jesse-rb4ti Рік тому +8

    Najua wivu ndio mapenzi ila chunga usizidi...
    Niliupokea kwa unyonge mziba wa kaka bona,. 2023 Feb 1st ,still this song takes me back to 2010 September 22nd when we lost my friend Boniface, continue resting in peace bro

  • @alphamoyo9190
    @alphamoyo9190 6 років тому +85

    Im Zimbabwean but my Tanzanian Rafiki interpreted the song for me..lyrics so deep💗💓im in love with it.Diamond is just toi much

  • @timothyjoseph2233
    @timothyjoseph2233 Рік тому +26

    Ni Disemba tarehe 31 mwaka wa 2023 na kesho ni tarehe moja januari 2024, na bado hii ngoma naitambua🎉

  • @jkbfadhili5682
    @jkbfadhili5682 4 роки тому +159

    Simba used to sing songs full of love messages.....i am 45 yrs old but i can feel it ......
    If you come from around Nyali...just give me a like in a specia way to appreciate this sweet melody by Mr Chibu in 2020

  • @marcelleali7946
    @marcelleali7946 3 роки тому +2

    Lala Salama . Steven kanumba . John pombe magufuli. Kazi ya mungu aina makosa tuta wakumbuka daima

  • @youngmontana5909
    @youngmontana5909 9 місяців тому +1

    Inakumbusha mbali sana hii nyimbo nampenda sana mpnz wang sana ❤❤❤❤❤ kila nikiisikilizaga nadat sana ❤❤❤❤❤

  • @maggiezimba172
    @maggiezimba172 9 місяців тому +55

    If you are listening to this song in 2024 press like but so that I comes back

  • @chantalndayishimiye9233
    @chantalndayishimiye9233 8 місяців тому +51

    Asikiliza hii nyimbo tena leo tare 1/5/2024🎉❤

  • @ccambassadorpriscilla4431
    @ccambassadorpriscilla4431 3 роки тому +18

    Tanzania is lucky to have Diamond Platnumz, bravo Simba

  • @salwasalim8735
    @salwasalim8735 3 роки тому +2

    Mungu atatulipia tume teswa sana mm na mwanangu na wajukuu wng. Family yng mbaya sana Tena sana hata mnyama huwezi kumfanya haya tulio fanyiwa

  • @azenathnyaway2328
    @azenathnyaway2328 3 роки тому +5

    Eti hii song ndio ilifanya alikiba wakosane na diamond up to date

  • @samuelypaulo7981
    @samuelypaulo7981 5 років тому +64

    Diamond platnamz mumgu amekubaliki kipaji cha kuimba big up simba umeteka game La music ndani ya miaka kumi

    • @aishabenson960
      @aishabenson960 4 роки тому +3

      2021

    • @karendiagnes7257
      @karendiagnes7257 3 роки тому +1

      Macbull you will remain in my heart forever you left without a word 😭😭😭am tearing up 💔

  • @brayoshomediys9686
    @brayoshomediys9686 4 роки тому +6

    Ngoma zake mondi zilivuma, i prefer the old times songs kuliko hizi anaimba sku hizi.
    All in all big love simba.

  • @IconKenya
    @IconKenya 2 роки тому +68

    Listening to this song again on Tuesday 6th December 2022....Long Live Simba

  • @James-g9n5e
    @James-g9n5e 6 місяців тому +1

    "Msalimu mama nyumbani usiseme kama nahenya, mfiche mpe imani, karibu nitakua chema"............that line hits hard when your are going through a struggle but you have to stay strong...much love from 🇰🇪

  • @edwardedwardloseny7670
    @edwardedwardloseny7670 9 місяців тому +85

    wangapi tuko apa 2024,piga like nikuone😍😍😍

  • @zyolasinyinza9768
    @zyolasinyinza9768 Рік тому +9

    the track never gets old.....got u platinum 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @gabrielstephen7691
    @gabrielstephen7691 Рік тому +32

    Niko apa 2024 bana kama pia wewe uko apa weka like yako

  • @raphaelhombo5060
    @raphaelhombo5060 2 роки тому +9

    Diamond umefanya kaz nzuri sana brother ,hii ni zawadi kubwa kwetu , Wimbo huu utaishi milele Labda Mapenzi yaishe hapa duniani kitu ambacho hakiwezekan so This is an Everlasting Song 🙏Big up to you brother ,May Gob Guide you to the right path in your music ,Live longer my brother 🙏🙏🙏

  • @hauteur-svp
    @hauteur-svp 10 місяців тому +1

    Excellent song! Great Africa. One of the greatnesses of Africa : music.

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 9 місяців тому +8

    2024 hii bado nasikilliza hii ngoma! Gonga lik hapa kama bado unasikiliza!👊

  • @mrn8752
    @mrn8752 Місяць тому +5

    This is me here my future kids, this was the song I listened to when I was heartbroken, am typing this while being at work .2024 December 7

  • @maryamdahirilmi5808
    @maryamdahirilmi5808 Рік тому +201

    Nani yuko hapa 2024 😊

  • @ashaodhalo3771
    @ashaodhalo3771 7 років тому +65

    Tanzania mnatalent si utani bali mola atujalie na ss wakenya tuibuke vivyo hivyo twapenda sana kazi zenu na sauti zakupendeza.

  • @victorsusa3867
    @victorsusa3867 9 місяців тому +1

    From primary, high school, campus now working... This song is still a gem... ❤🎉

  • @disrkmedia2694
    @disrkmedia2694 Рік тому

    Natamani Diamond siku moja aipafom live hii ngoma

  • @chuckmajuma4913
    @chuckmajuma4913 7 років тому +49

    ONE OF THE BEST EVER! THIS IS ROMANCE AT ITS BEST. THE BEST VOICE TANZANIA HAS EVER PRODUCED. IT CANNOT GET BETTER THAN THIS.

    • @loycelicky4481
      @loycelicky4481 3 роки тому

      IAM American Express card and I will be there at dares to get a new one diamond

  • @sarahmartin8114
    @sarahmartin8114 3 роки тому +50

    Africans! Keep on doing your thing. A place of peace and no stress 👏👏👏

  • @djbmblackmonster5920
    @djbmblackmonster5920 2 роки тому +134

    still sounds good in 2022. watching from Kenya 🇰🇪

  • @okangakelvin2216
    @okangakelvin2216 2 роки тому +2

    The message in this song is too deep.
    "usije, Nilai kipenzi changu, ukadhani nimekumbwa na pepo, la starehe...."

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 2 роки тому +1

    Hii ndio nyimbo iliyowagombanisha wewe na kiba muombe kiba msamaha tu yaishe mmalize tofaut zenu

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 2 роки тому

      Kiba ndio anayaendeleza bifu kama mtoto wa kike...

  • @nellynjeri9227
    @nellynjeri9227 7 років тому +13

    nakupenda sana fr sure unafanya nikumbuke wakati nilimpenda sana kaka flani izi zilikuwa kama praise songx

    • @mariamnjeri8935
      @mariamnjeri8935 4 роки тому

      same here dear, may his soul rest in percfect peace

    • @PhyllisWakonyo
      @PhyllisWakonyo 4 місяці тому

      am in the house love Simba

  • @ariarenalda5812
    @ariarenalda5812 8 років тому +275

    Mimi ni teamkiba damu,lakini huu wimbo naupenda sanaaa!huu wimbo unaimbwa kwa hisia sana

    • @carolinegatwiri8765
      @carolinegatwiri8765 7 років тому +2

      Aria Renalda yap

    • @eluminatamlay5019
      @eluminatamlay5019 7 років тому +4

      That's true because me ilike team kiba but this song is better for daily life

    • @salimmussa9719
      @salimmussa9719 7 років тому +12

      Aria Renalda diamond ana kipaji sana, hata kama ukimchukia yeye,baadhi ya nyimbo zake utazipenda tu

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 6 років тому +1

      Aria Renalda sanaaaaaa

    • @abudullismaili6699
      @abudullismaili6699 6 років тому +1

      jamaa anauwezo wakuimba akiamuwa sasa kidogo ametoka njee namaadiri yakiafrika tunampenda ila hatupendi kazi yake diamond acha kuiga wazungu Fanya kama zamaniii

  • @denisachola9895
    @denisachola9895 Рік тому +64

    Still a fan of this song in 2024. Fellow fans, hit the like button.

  • @prodixtvshow3352
    @prodixtvshow3352 3 роки тому +2

    Haraho diamond avuga ngo nyimara kukubona nagizengo namagorofa diamond aratwik kbx

  • @jaypolmc1861
    @jaypolmc1861 2 роки тому +1

    Msalimu mama nyumbani, usiseme kama nahenya... Maneno makali sana haya

  • @joelmogunde
    @joelmogunde 3 роки тому +5

    When top songs don't get a video ...manze huu wimbo mtamu Sana. Kutoka Kenya nasema ahsante kwa hii. Afrika mashariki oyee

  • @mercyhashim3041
    @mercyhashim3041 Рік тому +16

    Much love from Kenya 🇰🇪 all the way to Australia 🇦🇺 😍😍

  • @teresiahmaina2379
    @teresiahmaina2379 2 роки тому +91

    My boyfriend now my husband had this song as his skiza tune.he dedicated it to me and everytime I called him,I did fall in love in him more and more.For years it was his skiza tune
    We are now happily married. its a song that has a special place in our hearts.

    • @gladyskgk8132
      @gladyskgk8132 2 роки тому +5

      Wow, that's amazing and romantic 😊, I wish that the same will happen to me in future,,,

    • @yoyo-yx1qx
      @yoyo-yx1qx 2 роки тому +1

      wishing you more years of happy marriage and a happy lovestory👍

    • @maureenakinyiochiwo6250
      @maureenakinyiochiwo6250 2 роки тому +1

      I really loved this song and still Loving it

    • @afrodavidtv
      @afrodavidtv Рік тому

      😂😂😂😂😂

  • @FreshDango_MrMoney
    @FreshDango_MrMoney 2 роки тому +28

    Representing EAST AFRICA much love from Nairobi Kenya 🇰🇪🔥🙌🌍 2022 Bado na huskiliza huu wimbo

  • @kevinewinja7060
    @kevinewinja7060 3 роки тому +36

    One of the best artist of all times. A legend, A true African Icon. The Lion Himself..The Real Naseeb Abdul. Baba TIffah,Baba Nillan..LOL..2022 and this is still a big hit.

  • @irenenjeri7322
    @irenenjeri7322 7 років тому +26

    ooooh Diamond you make me remember My babe in Kenya. BT niko majuu nasakanya coz hakuna chakuokota.

  • @georgemhalla3515
    @georgemhalla3515 5 років тому +12

    Hii ngoma Kali sana aiseeee, Mondi unaweza Mzee Baba

  • @samiroally3320
    @samiroally3320 8 років тому +34

    wimbo naupenda sana ni Ujumbe kwa kpenz cha moyo wangu I love my wife skiliza wmbo wa diamond lalasalama

    • @annajohn2256
      @annajohn2256 5 років тому +1

      Mmmmmmmmmmmmmh! Lala salama sichoki kusikiliza hatanisahau kula sichoki kuusikiliza nasahau matatizo jmn

  • @mandelynhenrick5389
    @mandelynhenrick5389 9 місяців тому +2

    Mziki mzuri unaishi❤

  • @brianmokaya8432
    @brianmokaya8432 3 роки тому +1

    Hii ngoma ndio ilifanya alikiba na diamond wakakosana

  • @jazzmineemma8424
    @jazzmineemma8424 7 років тому +24

    this song makes me cry.diamond, you really rock bro.keep the spirit

  • @nasimiyusimiyu6407
    @nasimiyusimiyu6407 5 років тому +24

    Please do not stop singing. Loving the poetic messages!!!

  • @missyessy5979
    @missyessy5979 8 років тому +105

    diamond doesn't force...he just blessed😩😩😩

  • @gladyskgk8132
    @gladyskgk8132 2 роки тому +2

    Tamu akh nikimkumbuka crush Wangu, ila ako mbali sana, beyb lala Salama.

  • @joseloya1349
    @joseloya1349 Місяць тому

    Huyu jamaa kipindi hicho alikuaga fire sana. Alifanya muziki wa uhalisia wa maisha. Kwa sasa ya ya nyingi

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 4 роки тому +15

    When diamond was getting into music with all humility...the producer who made the beat is top.... diamond is a talent🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪2020

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 2 роки тому +14

    I love these old songs by Diamond

  • @sabragire3081
    @sabragire3081 6 років тому +15

    Diamond you kill me softly

  • @issayaamos5119
    @issayaamos5119 3 роки тому +2

    Lala salama kama imetoka Jana vile ulikua unaimba sana Kaka zaman saivi hapan badilika

  • @florianflorian9606
    @florianflorian9606 Місяць тому

    Hapa ukisikia diamond ilikua diamond WA kweli

  • @johnhosea1321
    @johnhosea1321 5 років тому +102

    Nani anasikiliza hii Sept 2019?

  • @Saznaki
    @Saznaki 3 роки тому +28

    How is every song by Diamond a diamond 🧡

  • @fidecharles5210
    @fidecharles5210 8 років тому +74

    sauti yako tuu nishidaaaaa yani mungu kakujalia sana goooooooo diamond kipenz cha watu

    • @upendonjau5290
      @upendonjau5290 7 років тому

      ilike you dimond unaimba vizuri sana kwa hisia.

    • @kujilazaro6830
      @kujilazaro6830 6 років тому

      Fide Charles Umeonaeeee yuko vizur sana my

    • @dimpoboy6539
      @dimpoboy6539 6 років тому +1

      Pita na kwangu mama unisapot tafadhar

    • @dimpoboy6539
      @dimpoboy6539 6 років тому

      Usisahau kusabcribe

  • @JKRules9
    @JKRules9 3 роки тому +2

    2021 kuingia 2022 bado tunavaibu na Diamond Platnumz Simba 🦁

  • @khassanmottor4794
    @khassanmottor4794 3 роки тому +2

    daaa hii nyimbo Leo imenipa faraja

  • @lileynessy889
    @lileynessy889 5 років тому +17

    Anytime I listen to this... Reminds me of my brother who we buried last week after giving up the battle to brain cancer...

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 роки тому +20

    I love this child of Afrikaans kingdom. .MY heart is beeing lifted through your song is real touching Thank you so much for encouraging my broken heart through this Attachment. .Greetings from foreigner lands

  • @LisaWilliams1990
    @LisaWilliams1990 4 роки тому +86

    The lyrics are very beautiful and the voice completes it, but nothing beats it when someone special sends you this song as a goodnight lullaby. Thank you bae, so long 🇰🇪❤🇹🇿. Till we meet again 😍😍

    • @elisenambela2421
      @elisenambela2421 3 роки тому +1

      Watching and still love the track 🤩🤩🤩❣️🇿🇲30-12-21

    • @sethadamsanunda2256
      @sethadamsanunda2256 2 роки тому +1

      Are you alive? If so say HI it will make me happy and sad still say I can be your angel.

    • @probilmusic3396
      @probilmusic3396 2 роки тому +1

      you thank Alikiba for that🤣🤣😂😂😂

  • @Mohamed_daah10
    @Mohamed_daah10 2 місяці тому

    Kuna south Sudanese amepita mbele yangu akisikiliza huu nyimbo....

  • @asumanonchari7463
    @asumanonchari7463 Рік тому

    Am happy and glad to hear my name sung by bro diamond,be blessed bro,am Damaris asuman hamisi

  • @eddyuwimbabazi7674
    @eddyuwimbabazi7674 5 років тому +10

    😭😭😭😭 oooh God!! Even if I don't know Swahili but the sound of this song made it nice.💋 too much love from 🇧🇪🇧🇪

  • @zainbuhaji9809
    @zainbuhaji9809 3 роки тому +5

    Hii nyimbo inanikumbusha mbali wallah ❤❤❤❤❤

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 років тому +112

    Lala salama..jun 7 2018??? 🔥

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 3 роки тому +1

    Kipindi hicho anaitwa diamond tu, hakuna kikolezo chochote kile. Leo majina mengi had kero

  • @BidhaaTz
    @BidhaaTz Рік тому

    Unae mfikiria wakati unasikiliza wimbo huu nakuhakikishia ipo siku ata furahi juu yako❤

  • @justinromans1052
    @justinromans1052 2 роки тому +14

    Today am listening to this hit...and diamond still remains to be the greatest..⚡️⚡️

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 років тому +4

    Huu wimbo hauna timu Fulani wala nini mistari aliyoimba jamaa inagusa Sana mapenzi ya sasa na hali ngumu ya sasa

  • @ibrahimmohamed3399
    @ibrahimmohamed3399 4 роки тому +9

    26 July 2020 hapa nackiliza, nko zngu India ila homie sweet homie 🏡 Nawapenda Tz

  • @bizibetty5474
    @bizibetty5474 Рік тому

    Iyi ndirimbo ni nziza bikomeye Simba yubahwe knd Imana ikomeze kumurinda hano mu Rwanda turamukunda iyi ndirimbo sijya nyihaga kuyumva ubarikiwe sana

  • @ommylevel9354
    @ommylevel9354 Рік тому

    Hiii nyimbo hua inanikumbusha my friend alinitumia baada mwezi akakufa daaaaah rip evans kipto 😅😅😅😅

  • @mklinmklin1119
    @mklinmklin1119 8 років тому +15

    Diamond nakukubali sana , Napenda songs zako,keep up baba tiffah.

  • @dradeline2804
    @dradeline2804 4 роки тому +67

    this song makes me nostalgic of the good moments I spent with my campus girlfriend even though we broke up some years back. She was madly in love with this song. We listened to it over and over and the song never got monotonous to us. Ester Majuma I miss you.

  • @fidelemereweneza6178
    @fidelemereweneza6178 5 років тому +7

    Wow nyimbo zakitambo ntafauti KBS diamond number one

  • @ndinandashivika2129
    @ndinandashivika2129 Місяць тому +1

    The whole africa is proud of you

  • @ommymbaruk9905
    @ommymbaruk9905 2 роки тому +2

    nisalimu mam nyumbani uxixem kam nahenya daimond platmzzzzzzž

  • @n.tarryck1708
    @n.tarryck1708 5 років тому +393

    guys who else still listening to this ....... 2020

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 5 років тому +10

    Naipenda hii nyimbo kufaa..😭

  • @sekorobert4459
    @sekorobert4459 2 роки тому +6

    Dude is a genius!
    East Africa's G.O.A.T

  • @masterlg-t8c
    @masterlg-t8c Місяць тому +2

    now is the end of year but still nasikiliza this music before sleeping i like most and i think is not to my self

  • @vickdimpolesnewshub
    @vickdimpolesnewshub 2 роки тому +1

    Chanzo Cha ugomvi wa Mondi na Kiba ni huu Wimbo

  • @bugeinathan4031
    @bugeinathan4031 3 роки тому +23

    To my parents and brother rest well till we meet.. Lala salama 😭😭😭😭😭

  • @kingeze2746
    @kingeze2746 8 років тому +113

    I'm gonna learn swahili because of this dude...big up my guy

  • @dlinecydoris8916
    @dlinecydoris8916 10 днів тому +3

    2025 anyone 😊❤

  • @MukavuguzigaAlex
    @MukavuguzigaAlex 5 місяців тому +1

    Hii nyimbo nisawa kbs Alexie from Rwanda naipenda sana
    ❤.

  • @SudyKamonongo
    @SudyKamonongo 5 місяців тому

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana ndo nimeanza mahusiano na mpenz wangu sara daah nitamkumbuka siku zote za maisha yangu