Hongera sana Rk kazi nzuri sana na wenzako nangoja part 12 tia bidii kaza mwendo utafika mbili zaidi ya hapo ulipo nakuombea mungu akulinde na akubariki Sana nawapenda ❤❤❤❤❤
Rk msichukuwe muda mrefu kutoa episode mnapoteza radha mtu anaona bola akaachana nayo kuangalia zinazoisha, hivyo mkitoa kama mkichukuwa muda basi mnapotoa toeni hata tatu nne ivi kisha mnakaa kuandaa nyingine
We hii kazi nikisanga ❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana Rk kazi nzuri sana na wenzako nangoja part 12 tia bidii kaza mwendo utafika mbili zaidi ya hapo ulipo nakuombea mungu akulinde na akubariki Sana nawapenda ❤❤❤❤❤
Swadacta ustadhi ❤
❤❤❤❤❤nawapend San
Safi sana kaka yangu mzuri ❤
Jaman mbna fupi sasa
Kazi nzuri ila hamuendi na mda mpaka nasahau kua kuna rong house nafuatilia mpaka mnaboa
Jamani mwendelezo naupataj
Mnachelewesha had tunawasahai
❤❤❤❤sasa mbona fupi
Twaisubiri y12 kwa hamu, hongera kwa kazi nzr
❤❤ jamani rusheni episode inayofuata
mnachelewesha
Jamani tunamba kipande Cha 12 🎉🎉🎉🎉 kaka pokea mau a yako
Mbona mnatua kwa utamu
Mbon imeisha nusu
Mbn iko mbio hivi
Vip inakuwaj
Jmn mbn fupi tunaomba ya 12
Sio pw hy jmn toeni bas
Jamn muenderez Lin mbn Ina cherw
Tunaisubili kwa amu jaman tafazali mtuwaishie
Jamani mbona kimya sasa rusheni bwana situnataka kuangalia
Kazi nzuri lakini sasa mbona muendelezo Amna weekey zinakatika imebaki iyo episode 11 tuu 12 na kundelea ziko wapi mnazeesha sana
Munachelewesha
Nakupenda zaid
Mnafeli na nyie
Mnatuchelewesha ❤
Vipi episode 12 wrong house
Mumetucheleweza
Twanga 12 hamu imenimaliza
Jaman naogop mm
Sawa Kaka ila sio unatuwekea sehm ya kumi na mbili alafu unaweka vitu vingine unatukata stimu
Hadi kuna mda story inapoteza radhaa unasubiria kwa mda mrefu kama ujio wa kristo
Jamani mbona zinachelewa?
Nilitak kushangaa iwah mapema Ivo duyuh 😏😏😏
@@JenniferMbulage-jy6br weye subir juma pili
Jaman ila imenoga san
Mshaanza uongo uongo kama Ile ya boss mchawi, mnaweka 12 kumbe ni episode zilizopita
Mnachelewesha sana seasons
@@AaronMajaliwa musijali ila kitu kizur akitaji araka
ni kweli lakini hongera kwa kazi safi......wrong house ni kali kuliko boss mchawi ✌
Kwa wiki toa Episode 2 , unazingua
Hii movie nayo aieleweki epsod nusunusu
Duh ndo nn hii sasa
@@PrettygirlPretty-ck9dj weye ni follow kesho ita toka
❤❤❤❤❤❤❤
Oh god 😢😢
ovyoo
Movie nzur ila mtapoteza mashabik kwasababu mnachewesa kazi
Kwel aseee
Inatoka lini ya12 nipen siku nijuwe
Siku ya mungu
Vp mbona haijatoka
Mtu mpka unakata tamaaa bhna toen bas
Kwani episode 12 aifiki amA
Rk msichukuwe muda mrefu kutoa episode mnapoteza radha mtu anaona bola akaachana nayo kuangalia zinazoisha, hivyo mkitoa kama mkichukuwa muda basi mnapotoa toeni hata tatu nne ivi kisha mnakaa kuandaa nyingine
It time bana toeni ya 12 tunachoka kusubili
@@user-el9rg9kq8m usijali jumapili itatoka ❤️
Please how often do you release new episode, is it per week?
Napenda sana hiiii wrong house 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@@MussaSelemane-yz1cj weye subir juma pili
Drop us 12 oba that's the end
❤❤ jamani rusheni episode inayofuata