Wewe kama hutaki kumsikiliza salamba acha kumfollw, lakini usishawishi wengine tuache kumfatilia salamba. Salamba bonge la mchambuzi na hekima anayo, au wewe kolo?.
TATIZO UELEWA WA MAKOLO WENGI NI MDOGO SANA.PILI HOFU HUWA INAWATALA SANA KILA WANAPOSIKIA YANGA INATAKA KUSAJILI KIFAA CHA NGUVU.NA HAPO NDIPO WANAPOANZA,CHOKO CHOKO,OH!! ETI ANA UMRI.GANI?!! UMRI UNAWAHUSU NINI.NYIE MAKOLO WAKATI MCHEZAJI ANAHITAJIKA NA YANGA?!! MAKOLO INAWAHUSU NINI?!!
Rupia Ni bonge la 4ward ana nguvu,speed,Na anajicho la goli
Unsung hero
Salamba umeongea vizuri sana
rupia ni bonge la kuchakaza mabao machine kubwa sana
Kazikwao madunduka😂😂😂
Rupia ana miaka mingapi
Jifunzeni kiarabu
Wewe kama hutaki kumsikiliza salamba acha kumfollw, lakini usishawishi wengine tuache kumfatilia salamba. Salamba bonge la mchambuzi na hekima anayo, au wewe kolo?.
TATIZO UELEWA WA MAKOLO WENGI NI MDOGO SANA.PILI HOFU HUWA INAWATALA SANA KILA WANAPOSIKIA YANGA INATAKA KUSAJILI KIFAA CHA NGUVU.NA HAPO NDIPO WANAPOANZA,CHOKO CHOKO,OH!! ETI ANA UMRI.GANI?!! UMRI UNAWAHUSU NINI.NYIE MAKOLO WAKATI MCHEZAJI ANAHITAJIKA NA YANGA?!! MAKOLO INAWAHUSU NINI?!!
Hebu kuwa na data sahihi wew kichwani mwako , Pacome ana umri gani?!!
Nakukubal
Huyo ni kolo
Rupia wa nini tena mzee eti
Koloooo
Hatumuitaji rupia Hana uwezo huyo wanini
Humuhitaji ww, kwa anayejua mpira huwezi kufananisha Elvis na Baleke!.
Unamwitaji nani ,striker anahitajika.baleke amefeli mbele ya makocha
Baleke hajapewa nafasi sana pale yanga
Siwangemchzesha hat mech tatu zakumtaftia sabab asa wamwache bila sabab
Kumwalika huyo jamaa mnapoteza wafuatiliaji wenu mliojijengea. Huyo hutumia hoja za nguvu badala yanguvu ya hoja
Simba bhana😢
Potea wewe