Hii online sijawahi kuona ni ya ajabu toka niAliwe yaan mnalazimisha chasambi awataje wachezaj wa simba wakat yale ni maono yake na utashi wake huwez mlazimisha mtu ampende mtu ambaye hayupo kwenye akili yake. Mbn max kataja wakina awesu yanga hawajammaind na nyie Crown hamjajaji kitu kwa max? Weken usimba pemben ongeen soka
Hy alierudi wydad anaitwa Abdulmnem butumwi
kitu kidogooo studio nzima mjadalaaa nyie ndo mnalikuza hilo jambo
Hii online sijawahi kuona ni ya ajabu toka niAliwe yaan mnalazimisha chasambi awataje wachezaj wa simba wakat yale ni maono yake na utashi wake huwez mlazimisha mtu ampende mtu ambaye hayupo kwenye akili yake.
Mbn max kataja wakina awesu yanga hawajammaind na nyie Crown hamjajaji kitu kwa max?
Weken usimba pemben ongeen soka
Hivi nyie analyst Gani mna mahaba hasa huyo Jeff Simba haikosei ?elimu haijamkomboa kabisa