HATUWA YA 3 YAKUJUWA NAI (Hussein miladu)
Вставка
- Опубліковано 26 жов 2023
- darasa la nai na maqam zake kwa lunga ya kiswahili
kutoka kwa kijana wenu Hussein miladu
SUBSCRIBE Channel yangu kuwa wa kwanza Kupata video zangu
Darasa linatoka kila baada ya wiki mbili.
asant - Розваги
Allah akubari akupena siha na afya uendelee kutupa vitu kama hivo
Asante ustadhi allah akupe umri mrefu wenye baraka
natamani sana nipate somo la naghma na maqaamaat
Mawasiliano yako shekh
Nafanyaje kupata iy saut ya kwanza
Obrigado meu irmão
Wengin nai tumetengenez wenyew igeuz huko nyuma tuon hiz tund mbil
Ninawezaje pata vipimo vya nai....
sayyidy mie nataka nijue vipimo va nai wanavitoa je
Ust kuna jinsi ya kubalansi pumzi twaomba darsa pia
Au jinsi ya kumiliki pumzi
nakusudia namba zake wakati zinapo tengenezwa