RAHMA TASHTITI AKIWACHEZESHA WATU WA TANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • #BaitulHalal #BabdeoMiladu

КОМЕНТАРІ • 29

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah:: Ananikumbusha kipaji cha Marhem Bi-Fatma{Bi-kidude} kila la Khery mdogo wangu!!!!

  • @abdilahkawaga5363
    @abdilahkawaga5363 Рік тому

    Masha Allah

  • @ramlahamad5483
    @ramlahamad5483 2 роки тому

    Mashaallah

  • @KibwanaSultan-bn5ev
    @KibwanaSultan-bn5ev 4 місяці тому

    Mashaallaah ninzuri sana

  • @kazijaahmed8136
    @kazijaahmed8136 3 роки тому +2

    Mashallah

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 3 роки тому

    Mashaallah nime kukubali Allah akuhifazi na hasadi za watu na majini

  • @mariondida1219
    @mariondida1219 3 роки тому +2

    MashaAllah

  • @reymauwa1780
    @reymauwa1780 3 роки тому +1

    Napenda mavazi yako ya heshima endelea ivoivo

  • @yusrasalum2438
    @yusrasalum2438 3 роки тому

    Mashaallhu hasbiya llha mwenyezimungu akuzidishie Zaid yahapo kiufupi unanikosha sanaaaa kila unapo imba

  • @rahmayussuph404
    @rahmayussuph404 3 роки тому +1

    Wapiii rahma somo yake mashallah

  • @ramadhankhamis886
    @ramadhankhamis886 3 роки тому +1

    Very nice

  • @monaali8290
    @monaali8290 3 роки тому

    Mashaallah ❤️❤️❤️

  • @mohamedsunkari5312
    @mohamedsunkari5312 4 роки тому +2

    mashllh

  • @pillymokiwa6509
    @pillymokiwa6509 3 роки тому

    Alooo big up sana sana na sana

  • @nourzajeastmedia
    @nourzajeastmedia 4 роки тому +1

    Masha allah good voice tashtity

  • @yahyaanualy3538
    @yahyaanualy3538 4 роки тому +3

    Kipaji

  • @sharifbundala5083
    @sharifbundala5083 3 роки тому

    Allah atuongoze

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 Рік тому

    Mie mpenz wa qasida lkn hapa hapana.
    Hakuna tofauti na taarab kbs.
    Halafu pia mazingira yake ni ya mashaka.
    Marhum shekh nyundo aliwahi kusema haya. Qaswida ni ndgbyake taarabu ndo hizi qaswida zenyewe ...

  • @deepam4091
    @deepam4091 3 роки тому

    Kazi nzuriii rahma

  • @asmahmusa3468
    @asmahmusa3468 3 роки тому

    Mtihani huu mpaka lini jamani!?

  • @hamidadada6047
    @hamidadada6047 4 роки тому

    Jamani sasa hizi ni qaswida mbona vituko tena

  • @fayysallyym3164
    @fayysallyym3164 3 роки тому

    Mwenye no yakee huyuuu anipeee

  • @msafirindiyembuke9125
    @msafirindiyembuke9125 3 роки тому +1

    Kweli Uislam Ulianza mgeni na utarudi Mgeni.
    Huu sijui uislam wa wapi???

  • @saidmaneno1305
    @saidmaneno1305 3 роки тому

    Hapa hakuna Qaswida, hizi sasa ni taraarabu laini, kama zile za zamani.

    • @mohammadhemedally584
      @mohammadhemedally584 3 роки тому

      Hizi sio kaswida ni nyimbo kama zile walizokuwa wakiimba wanawake ma kubakhia wakule makka za mtume ambao walikuwa kama malaya

    • @hajisoud4612
      @hajisoud4612 3 роки тому

      @@mohammadhemedally584 we ulikuwepo uko maka mbn unakashfu