MZEE SAID AWAVAA MAYELE NA YANGA KWA HASIRA | YANGA HAWAWEZI KUMROGA MAYELE | WANATUDANGANYA 😂

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @SaadIssa-mw4gh
    @SaadIssa-mw4gh 6 місяців тому +10

    Huyu mzee comedy sanaa😅😅

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 6 місяців тому +5

    Mzee kaongea point sana😅😅

  • @CosmasJoseph-ck3lx
    @CosmasJoseph-ck3lx 6 місяців тому +4

    Saafii sana mzee Saidi wewe ndio unajua mpira sio mnafki.

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 6 місяців тому +9

    Mzee Said Ni Mtani Wa Ukweli Kwenye Timu Zetu Za Yanga Na Simba.😂😂😂😂👏👏👏👏👏

  • @user-gw3gi7ry6z
    @user-gw3gi7ry6z 6 місяців тому +6

    Mzeeeeeeee saidiiiiiiiii hongeraaaaaaaa

  • @guccij6236
    @guccij6236 6 місяців тому +8

    Hapo kwa Mayele mtani umeongea point😂

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 6 місяців тому +4

    Huyo mzee anaongea vizuri

  • @omaryjuma5204
    @omaryjuma5204 6 місяців тому +7

    Chagamba leo mabega yamepoa ngoja ukutane na maramoja mabega yachangamke😂😂😂😂

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 6 місяців тому +15

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wallahi mzee said kanifurahisha wana yanga tumpe maua yake mzee said kabla hajafa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @DianaBugondo-zy4wz
      @DianaBugondo-zy4wz 6 місяців тому

      Aweee mamaaaaa weeeeeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂🥱🥱🥱🥱🥱🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 6 місяців тому +2

    Msema kweliii mpnz wa mungu 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @AkiluKapinga
    @AkiluKapinga 6 місяців тому +8

    Hana akili huyo mayele

  • @mozahdadichimpele5719
    @mozahdadichimpele5719 6 місяців тому

    😂😂 Mzee said umenifurahisha kwa kwer

  • @asifusuleiman108
    @asifusuleiman108 6 місяців тому +2

    Mzee saidi uko sawa umemshinda chagambaa

  • @abdundimbo5170
    @abdundimbo5170 6 місяців тому +2

    Leo mzee Saidi umesema ukweli asante

  • @user-wf4nn3cm3l
    @user-wf4nn3cm3l 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂 mbavu zangu jamani

  • @bajakisonzo4935
    @bajakisonzo4935 6 місяців тому +1

    Mzee anaongea fact mby kabsa😅😅😅😅

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 6 місяців тому +2

    Mzee kaongea point Sana huyo ndo mwanasimba anayejielewa

  • @user-dx8qb5gs7e
    @user-dx8qb5gs7e 6 місяців тому +1

    Uyo mzee kiboko ya mirajiii 😂😂😂

  • @istahijunior4229
    @istahijunior4229 6 місяців тому +1

    Mimi ni mwanachama wa Yanga lakini napenda saaana kumsikiliza huyu Mzee Said kwa sababu huu ndio utani na sio matusi...!!!!

  • @sumamelody6197
    @sumamelody6197 6 місяців тому +2

    😂😂eti kimya kimya nani atajua

  • @godwinmsakwa373
    @godwinmsakwa373 6 місяців тому +2

    Mzee kaongea point

  • @saidimgina8299
    @saidimgina8299 6 місяців тому +1

    Gambaaaa 😅😅😂😂😂😂😂

  • @allyabdallah8534
    @allyabdallah8534 6 місяців тому +1

    Mzee wangu unasimamia ukweli kabisa

  • @Allybomeza
    @Allybomeza 6 місяців тому

    Huyu mzee kanifurahisha😂😂😂

  • @gracemtonga3263
    @gracemtonga3263 6 місяців тому +1

    Kolopist anayejielewa😂😂😂😂😂 chukua 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-kx8nx9qs1e
    @user-kx8nx9qs1e 6 місяців тому +2

    Il huyu mzee balaaaa

  • @abdurabihassan1188
    @abdurabihassan1188 6 місяців тому

    Finnest online naombeni namba ya Mzee said nimtuze nipo serious katika hilo

  • @mohamedmwinyi3261
    @mohamedmwinyi3261 6 місяців тому +1

    Kweli kabisa ikiwa ataka kurudi yanga aongee na wakuu wa klabu sio adanganye toto Tu

  • @KhalifaliSephuhuoniumamawahali
    @KhalifaliSephuhuoniumamawahali 6 місяців тому

    Mzee said mnajua milaji bakina huko muwape ukwel

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 6 місяців тому +2

    Yan huyu mzee anamzidi msemaj wa simba nmsemaj ambae analopoka tu

    • @bone102
      @bone102 6 місяців тому +1

      Naomba tupe link ya video ya ali kamwe na priva baada ya kuingia Yanga akiisifia Simba kama sio wote waropokaji

  • @user-uj3xr4uo6c
    @user-uj3xr4uo6c 6 місяців тому +1

    Mze we mpira huyu sio shabiki maandazi nainjoy kabisa yuko vizuri

  • @user-fz1wk6jv4j
    @user-fz1wk6jv4j 6 місяців тому +1

    Kweli mayele Hana akili msenge

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j 6 місяців тому +1

    chagamba safii sana

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 6 місяців тому +1

    Kwa upande wa mayele baba uko vizur kabisa

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 6 місяців тому +1

    Huyu jamaa ni mkweli pongezi zako ndugu

  • @user-il6gq7bz1b
    @user-il6gq7bz1b 6 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @mohamedmwinyi3261
    @mohamedmwinyi3261 6 місяців тому +1

    Hapo mtani umeongea ukweli asipake watu matope ajue umaarufu aliupata yanga ikiwa wataka kurudi yanga njoo ng'ombe atakapo vunjika mguu hurudi zizini basi mayele usizungushe watu nenda kwenye mshabaha Sawa

  • @gelumwa7228
    @gelumwa7228 6 місяців тому +1

    AAAAA majini FC

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 6 місяців тому +1

    Mzee nipetokea kukupenda ukiongea uko mkeli

  • @FitnaSaid-xb6uv
    @FitnaSaid-xb6uv 6 місяців тому

    Yanga wanataka mayele arudi ilikule asifunge arudi tanzania uchawi upo msipishwe mzee

  • @user-bi8hr3nu6g
    @user-bi8hr3nu6g 6 місяців тому

    Tutalia wanasimba akilud

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 6 місяців тому

    Magwede Mjaini fc

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 6 місяців тому +1

    Yani Mzee kweli wewe unnaongea ukweli kabisa

  • @user-yq7dm4gw6j
    @user-yq7dm4gw6j 6 місяців тому +1

    Mayele kibarua kimeanza kusua sua ndo maana ameanza kutafuta sababu

  • @cassimjohar2663
    @cassimjohar2663 6 місяців тому

    Lakini mzee said yanga wanapenda uchawi hata fesall toto walimwambia tutakufanyi

  • @cassimjohar2663
    @cassimjohar2663 6 місяців тому +1

    Anataka kuja simba mayeele

  • @nasrahamisi479
    @nasrahamisi479 6 місяців тому

    Aongee ukweli gani nyinyi wachawi2. Majini fc

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j 6 місяців тому +1

    chagamba ndio lipota bora kabisa tena una watu sahihi unaowaoji tafadhali usiwaoji washabiki njaa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 6 місяців тому

    Utopolo WACHAWI kweli

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 6 місяців тому

    Naomba niulize jamani kwani hivi hawa utopolo ndio waliofanya moto wakachoma nyasi South baadae wakapigwa faini na CAF kama ndo hivyo bas Utopolo wachawi kweli. 😂

    • @Mariam-tz
      @Mariam-tz 6 місяців тому

      Waliowasha moto ni simba sio yanga

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 6 місяців тому

      Kamuulize Moloko cku ya Simba alichimba kipembeni alikua anafukia nn?

    • @asiasued3655
      @asiasued3655 6 місяців тому

      Wanajisahaulisha makusudi wanajua wazi walifanya nini kule Africa ya kusini hv tumuogope mungu simba wakusema yanga wachawi amazing kweli nyani haoni kundule

    • @asiasued3655
      @asiasued3655 6 місяців тому

      Wachache wenye akili kama mzee said kubaki wenzangu na mie shabiki maandazi tunaharaaaaaa maana si kuongea kuongea kuna wenyewe

  • @user-su7np6sn7s
    @user-su7np6sn7s 6 місяців тому

    Sawa Sawa Mzee ndo Hawa mashabiki wa makolo ninaowasifu
    Wenye Simba Yao
    Sio wengine ambao Ni Newcomers hapo makolo wazee kama Hawa mnatakiwa muafundishe Hao Newcomers hapo umakoloni

  • @user-lh4pc6uc3f
    @user-lh4pc6uc3f 6 місяців тому

    Mzee Yanga wachawi hata mkikasirika Yanga niwachawi

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 6 місяців тому +1

    NAATUMTAKI TENA YANGA MAYELE

  • @user-rz6nz5dg1u
    @user-rz6nz5dg1u 6 місяців тому

    Mzee kichwa kipotimamu kuliko yule msemaji angeojiwa yeye msemaji atachokiongea ni mtumbo mtupu kwa kifupi mzee nimemuelewa kuliko ninavyouelewa wali maharage mi naona kama vp apewe usemaji wa red davel ya k koo😅😅😅

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 6 місяців тому

    utopolo wanafuga majini,

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 6 місяців тому

    Wachawi wakubwa Tanzania.Nyie mnaosema hawajamroga tunawaambia hamjui majina yenu..Imagine unaambiwa hujui jina lako, yani mnayoyasema ni ujinga mtupu, yeye mwenyewe anapata ujumbe kutoka kwa viongozi wenu wachawi then mtu anakuja anasema haipo, mnachekesha sana nyie.Yanga jina lao la katikati ni wanga, wanaamini sana mauchawi, hata wanavyoingiaga uwanja wa Mkapa, kwanini hamtumii gate la kawaida.Mmekamatwa basi, mtajielezea mpaka mwisho wa mwaka, lakini wachawi ni wachawi tu..💯💯

    • @user-qo2nf6vm7k
      @user-qo2nf6vm7k 6 місяців тому +1

      Kumbe wewe ndiye unamloga

    • @YoweriMsaba
      @YoweriMsaba 6 місяців тому +1

      Kenge wewe umbwa nin ety Wang wanga wanyoko nin

  • @user-xz8jc2tl9b
    @user-xz8jc2tl9b 6 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 6 місяців тому

    utopolo wanafuga majini,