Asa mi nlikua sijui nina mutoto wa nje na ako atumia jina yangu na saii ni kijana mukubwa naeza mbadiri jina ya ubini na teari iko kwa birth certificate?
Mungu anasema watoto wenu ni wale wale tu walotoka ktk mifupa ya migongo yenyu shekhe huyo ni mtot wako na anastahili kutumia jina lako hakuna aya wala hadithi inayolikataa hili
Unakubali hukumu kwasababu amesema sheikhe mkuu je Allah amesema kua huyo mtot hafaikuitwa kwa jina la babaake?
Mashallah Jazakallah kheir tumepata faida
Asa mi nlikua sijui nina mutoto wa nje na ako atumia jina yangu na saii ni kijana mukubwa naeza mbadiri jina ya ubini na teari iko kwa birth certificate?
Usimubadishiye jina, wewe jiite kwa jina lingine