Kijana Samuel Mungu akubariki sana kwa huduma yako lkn pia pole sana kwa mkasa wa 96 MV Bukoba.. Mungu ni mwaminifu sana akulinde na akupe maisha marefu
Yaaan wewe kaka hadi apo ujue Mungu anakupenda sana akakuacha hai mpk Leo ukanusurika kufa kwenye ajali ile hakika Mungu ana kusudi na wewe anataka umtumikie yeye na umtumaini yeye pia kwamaana Mungu amesema yeye ni baba Wa yatima mengine hayo ni mapito tu ya duniani ila Mungu ana mpango nawewe akuwazia mema songa mbele!!!!!!!!
Kijana Samuel Mungu akubariki sana kwa huduma yako lkn pia pole sana kwa mkasa wa 96 MV Bukoba.. Mungu ni mwaminifu sana akulinde na akupe maisha marefu
Kaka hogera mungu aenderee kuku jaria pia utukubuke kutuombea nasisi ambao bado hatujapata ndowa natunapitia magumu sana
Nampenda Samuel Mungu akutunze na mkeo mwe na maisha marefu❤❤
Mungu bariki safali ya mtumishi wako bludoza mwamposa umpe kuwa want viwango vya juu zaidi
Halafu pia hongela sana dada mtangazaji kwa kweli upo vizuri sana katika tasnia hiyo unajia kuhoji tena kwa heshima sana.. Mungu akubariki
Sure
Nimependa sana mungu awazidishie
Asantee sana NY Tv nimejifunza mengi kupitia ndoa ya shemej angu Samwel
Ongera samueli mv bukoba mungu atakupiga Nia kwenye ndoa yako Amina
pole sana Baba kwa yale yote uliyopitia.Mungu awasaidie muishi maisha yenye furaha milele awafungulie njia zilizofungika
Mungu akuinue samweli na family yako❤❤🎉🎉🎉
Ameen, Mwenyezi Mungu awabariki sana,endeleeni kuomba sana manake shetani halali.😢
Yaaan wewe kaka hadi apo ujue Mungu anakupenda sana akakuacha hai mpk Leo ukanusurika kufa kwenye ajali ile hakika Mungu ana kusudi na wewe anataka umtumikie yeye na umtumaini yeye pia kwamaana Mungu amesema yeye ni baba Wa yatima mengine hayo ni mapito tu ya duniani ila Mungu ana mpango nawewe akuwazia mema songa mbele!!!!!!!!
Asante yesu kwakunipa imani ya kumuamini mtumishi wako mwamposa
Mwenyezi Mungu akulinde mpaka mwisho wa maisha yako mtumishi
Mungu akubariki sana smwel nawapenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪
Kwa kweli Mungu wetu ni mwema sana,Ajali hii ilituumiza sana sana watanzania....Mm nlikuwa Form One wkt huo
Pole duuuh yaani nimelia
Pole sana mwanangu mkasa wako ni mkubwa umenitoa machozi. NAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE FURAHA.
Mungu atakulinda umepata ndugu zako. Atakulinda kwa kila jambo.
Mungu awabariki sana sana upendo uzidi kwenu
Mungu azidi Kuinua ndoa yenu Uwe ya mfano Tena ya kuigwa Na Mungu aendelee kuwatunza
Hongera sana kijana wetu ❤❤❤❤❤❤
Kupendana raha sana hongereni❤❤
Mungu ana lengo na maisha yako
Pole sana kaka nahongrea kupata mke
Hongera Mungu mkubwa
Umepitia mengi jipe moyo mungu anakupenda
Mungu azidi kuwabariki sana na kuwatunza
Miaka miwili watoto wawili,kwa kweli Mungu amekuwa mwema mno!!amewapa kicheko
Waoooooooh msalimie Prisca
Pole sana ndugu kwani ndivyo dunia ilivyo
Mungu awabariki saana
Mtangazaji hujui maana ya kumlinda mme dada amesema vizur sana anamlinda kwa maombi
Mungu mkubwa wanadamu yaani hawana huruma
Mzee hongera sana umepata mke!! Acha Hawa wanaharakati wanaojipa moyo wao ni jembe?? Kumbe wametoka kwenye line
Mbarikiwe sana sana❤
Namm nidada yako ❤❤
Kwaiyo watoto ubini wao ni david mv bukoba?
Huyu kijana ni mzima hajaleft group?
Waliokutesa watakuta adhabu zao na kujutia huko kwa Mungup
jamani samu hata jina la baba hukumbuki uliitwa samweli nani
Duuh,sasa huko kwenye mapokezi ya kwenye mkutano!!!eti mara nanunuliwa juice karanga......😂😂😂😂😂Prisca wewe ni moto
Leo naona nyote mnakumbusha maafa ya meli. Ama kweli mungu yupo.
Mbarikiwe mno 👏👏👏💯
Ungeweka hata namba zako samweli
kaza sauti inakuwa Kama wakike
Kesho na Mimi naenda kusajili line ya simu.
ha haaaaa...
God is grate
Ameeeeen ❤❤❤
HOA SIYO BINAADAMU NI SHETANI ANAJARIBU KUVUNJAIMANI YAKO.
Wajinga
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wajinga?
We tulia huko maisha yamekushinda kaa na uchawi wako huko