Mizengwe Ya Mzungu!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Mzungu mmoja wa Marekani amewashangaza wengi katika kaunti ya Siaya kwani yeye ni mchuuzi wa keki anazozipika mwenyewe katika mtaa wa Siaya. Mwanaume huyu ambaye ana umri wa miaka 48 amewaacha wengi vinywa wazi haswa kwa kuwa biashara ya uchuuzi inanasibishwa na watu wenye mapato ya chini. Hata hivyo kama tulivyogundua ni kwamba mwanamume huyo aliingia bishara hiyo ili kuwanaifaisha wengine.

КОМЕНТАРІ • 29

  • @jambo_safari
    @jambo_safari 6 місяців тому +1

    Richness depends on obeself hardworking determination confidence courageous and implementation

  • @jambo_safari
    @jambo_safari 6 місяців тому

    😊 great we give smile to less fortunate

  • @noahjenkins8408
    @noahjenkins8408 5 місяців тому

    Analipa tax

  • @namangatecnoenterprises1915
    @namangatecnoenterprises1915 2 роки тому

    Wamezoea KDF

  • @aisharajab5918
    @aisharajab5918 5 років тому +2

    Indeed he's doing God's work. ...God will open doors for him

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory9915 Рік тому

    🌹🌺🌻🌼🌷🍎

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 6 років тому +5

    Good job keep it up you and your girls!!!

  • @thekelfas..8651
    @thekelfas..8651 6 років тому +4

    Wakenya na vitu kubwa🙌

  • @jkkamonya
    @jkkamonya 6 років тому +4

    I like what this family is doing. God bless them.

  • @amosodaba8355
    @amosodaba8355 5 років тому +1

    Hard work pays anywhere. I am sure someone must have said in their mind before, “muffins can’t sell here”, it’s all about mentality not your environment.

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 6 років тому +2

    Akili ni mali, don't give up, God will bless the work of ur hands, thank u and may u be blessed

  • @alfredkabura
    @alfredkabura 8 років тому +4

    The man is having fun riding and making some cash with it.

  • @azzahssn3624
    @azzahssn3624 6 років тому +5

    Nyie wakenya nanyi mnataka kl ktu kubwa kubwa aiyyyi!

  • @jazzngush5079
    @jazzngush5079 6 років тому +2

    Wanzungu ati ni rich never Africans are rich everything is from Africa.

  • @jeffyjeff9250
    @jeffyjeff9250 10 років тому +7

    Hiyo maffin haiwekwi kubwa! Hiyo ndio kiazi sii boflo.

  • @salehsaleh2052
    @salehsaleh2052 4 роки тому

    Hhhhh msikia huyu mjinga ati keki dng aungeza

  • @thabitngaziwa2452
    @thabitngaziwa2452 5 років тому

    Eti keki huyo anakaziyake nyie mtaijua baadae sana, mwenye akili amenielewa!

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 7 років тому

    He is so great

  • @mohrb8502
    @mohrb8502 5 років тому

    Inaitwa cupcake si bowlcake,ikiongezwa size na bei pia iongezwe mlalamike vizuri.

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 7 років тому

    Hongera

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 6 років тому +2

    MZUNGU AMEAMUA

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 років тому

    Mashallah Allah

  • @bkhasanbkhasan8607
    @bkhasanbkhasan8607 7 років тому +2

    ujinga ya wausi...ati wazungu ni tajiri

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 7 років тому +1

    wakenya nakulalamika apoww

  • @hadisaleh3947
    @hadisaleh3947 7 років тому

    si wakenya tunalalamika kuhusu size ya hio muffin.