GnG:PT:S02E01-PATANISHO: Nampenda mke wangu hadi nimemtungia wimbo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @christinemathenge5166
    @christinemathenge5166 6 років тому +19

    Mi hukuwa wa kwanza na siitishagi likes

  • @niyasniyas7444
    @niyasniyas7444 6 років тому +1

    Jaaaamaaaaniiiii hahahaha....... Mwezi mpya Mwaka mpyaa Hii Comedy sasaa

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 6 років тому +2

    Njia ya kumrekebisha bwana mjinga kama huyu,ni kumtesa na kumnyanyasa.Eva kazi iendelee na mtindo ni ule ule

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 6 років тому +1

    Huyo dem hata hana maneno mingi nikama anajilazimisha anyway all the best

  • @mamayaoharistar4599
    @mamayaoharistar4599 6 років тому +1

    Musanii yawa🤣🤣🤣🤣.Eva amependa wimbo atarudi💃💃💃💃💃💃

  • @faithamaliaji4115
    @faithamaliaji4115 5 років тому

    Hahahaha.......kuna waschana wana kismart jamani eeeii mapenzi

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 6 років тому +3

    Malit ni poet

  • @euniceevans7780
    @euniceevans7780 6 років тому

    Kweli melit ni poet usimalize misamiati 😀😁😂😁😀

  • @MdRashed-ds9qi
    @MdRashed-ds9qi 6 років тому +1

    Mistari joo

  • @CaroLina-qq1hl
    @CaroLina-qq1hl 6 років тому +1

    This two love each other 🤩🤣🤣
    Lakini kuna kaujinga mahali

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 років тому +1

    😅😅😅😅😅😅kenya house of comedy drama haziishi

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 6 років тому +3

    😂 😂 😁 Kiswahili lugha ya mapenzi

  • @KalenjinEntertainment
    @KalenjinEntertainment 6 років тому +1

    hii ni nyang'au aki. Wasichana hutaka bad boys. Cheza kama jangili mwanamke akupende.

  • @ogambadivinah4333
    @ogambadivinah4333 6 років тому +1

    Gidi:Evelyne umependa hiyo wimbo
    Evelyne:sana
    😂😂😂😂😂nimecheka

  • @marechujoram1096
    @marechujoram1096 6 років тому +3

    kazi ngumu hii

  • @sammynjoroge8792
    @sammynjoroge8792 5 років тому

    Mapenzi basi

  • @mamayao9816
    @mamayao9816 6 років тому +7

    😜😜 Mistari nayo inabidi urudi kwa Boxxx🤣🤣🤣🤣🤣

  • @laurawambui4975
    @laurawambui4975 6 років тому +2

    Ndoa noma

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 4 роки тому

    Patanisho tosha

  • @peteronkuru9450
    @peteronkuru9450 6 років тому +1

    Really entertaining. Postmortem of a nearly failed relationship.

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 6 років тому +1

    😂😂😂😂ati mm ni msaanii wololo kiswahili kitamu mie sio kaa ya akina wambui na wanjiru

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 років тому

    Nimekuja na kamusi daaah hio kiswahili jooo

  • @chullakoi3608
    @chullakoi3608 6 років тому +1

    Ya leo ni mambo mbaya😂😂😂😂patanisho ni kama hii c u mombo mwiiiiingi Gidi na hapo mwisho umenibamba

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 6 років тому +6

    🤣 🤣 🤣 Ati utamaliza kiswahili rudi home Eva

  • @nazshee5404
    @nazshee5404 6 років тому +2

    huyo bwana ana maneno matamuuu.

  • @nellycliviaaumaomondi2886
    @nellycliviaaumaomondi2886 6 років тому +2

    Hahaha noma sana

  • @sylviaabuor9494
    @sylviaabuor9494 6 років тому +2

    Gidi leo umeboeka nimesense

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 років тому

    huyo mkale alikua ametunga mistari kweli!!!!!!!!!!!!

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 років тому +1

    😅😅😅😅😅😅😅 wololo

  • @sofymoha
    @sofymoha 6 років тому

    Hahahaaaah.....Acha nicheke kama ghost

  • @annmuriuki8532
    @annmuriuki8532 6 років тому +1

    Hahaha ......that song

  • @لهمصالةرياضيةلهمصالةرياضية

    Uyu jamaaa ata uwe na roho ngumu aje walai unarudi

  • @asdlyne2120
    @asdlyne2120 6 років тому

    Ahaaa tabibu wa maradhi yangu😂😂😂

  • @phylliswanjiru1532
    @phylliswanjiru1532 6 років тому +1

    I wish ningepata mmoja anitungie wimbo kaa ya Eva

  • @kiij2566
    @kiij2566 6 років тому

    Patanisho tamu ya mwaka jameni 😂😂

  • @mikegitumambae5905
    @mikegitumambae5905 6 років тому +2

    Chez type, jipe shughuli jamaa ujiendeleshe bana huyo sio mke othwse utapoteza muda wako hapo bure "ukipenda xana brother noma"

  • @margaretamoit4097
    @margaretamoit4097 5 років тому

    Eti amependesua na nyimbo

  • @ireneowinyo7018
    @ireneowinyo7018 6 років тому +3

    Eva rudi kwako sasa

  • @eatiopiaethiopia3173
    @eatiopiaethiopia3173 6 років тому +2

    😂😂😂😂😂kiswahili imetosha Gidi wewe

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 6 років тому +3

    😂😂😂😂nimekwama hapo kwa nyimbo

  • @perischarles2121
    @perischarles2121 6 років тому +1

    Eva rudi kwa mumeo umependwa bana!!

  • @carolcarolyne.musungu.4905
    @carolcarolyne.musungu.4905 5 років тому

    Wanaume wajanja

  • @naomikamathi2918
    @naomikamathi2918 6 років тому +4

    Inaitwa mapenzi wakati wa patatanisho

  • @busenasilvanos2096
    @busenasilvanos2096 6 років тому

    Hapo kwa wimbo sasa

  • @madamboss348
    @madamboss348 6 років тому +1

    Nice eveline but punguza chatting ushughulikie mme wako

  • @ms.irene.1265
    @ms.irene.1265 6 років тому

    wengine wetu hatujawahi tungiwa wimbo...✔

  • @faridahshisha6717
    @faridahshisha6717 6 років тому +3

    Nmecheka yote

  • @nellypheans2248
    @nellypheans2248 6 років тому +1

    Warudiane hawa ni wapenzi sio sumbua sana

  • @ulemnasty1108
    @ulemnasty1108 6 років тому

    😂😂😂😂😂😂 rudi nyumbani wewe Evalin

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 6 років тому +1

    Mapenzi Mapenzi Eva Rudi mumeo nanateseka

  • @nadinemasengo5688
    @nadinemasengo5688 6 років тому +1

    Haha sijawahi comment nimecheka basi huyu musani akiimba

  • @roonegeorge7967
    @roonegeorge7967 6 років тому +1

    Aky nyie wadada mbna mnakuaga Amtosheki na mabwana wenu enyi wana ndoa tulien kwenu

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 6 років тому +1

      Cio wote wanapenda kuhanya,

    • @roonegeorge7967
      @roonegeorge7967 6 років тому

      @@alisaalis9218 but asilimia kubwa amtosheki sjui mpango wa kando kuna nin zaid ya wako

    • @roonegeorge7967
      @roonegeorge7967 6 років тому

      @@alisaalis9218 nkuulize ww,, kwanz sai ushaolewa

  • @essiewajojis7918
    @essiewajojis7918 6 років тому +1

    😀😀😀tabibu babie

    • @vinns2088
      @vinns2088 6 років тому

      Esther Passaris I like you 4 free

  • @jasheparker8275
    @jasheparker8275 6 років тому +1

    Jamaa lina maneno matamu. Eva unafaidi mapenzi

  • @chainbre275
    @chainbre275 6 років тому +1

    Kkkkkkkkkk

  • @lucywanjeri6023
    @lucywanjeri6023 6 років тому +1

    Serikali ya kenya haiyeleweki domestic cases na wakiuwana mwakabilia kwa tukio kufata nn nkt

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 6 років тому +1

    Nitapendwa na Nani jamani nimpende pia Mungu nisaidie

  • @veronicahmbithe9620
    @veronicahmbithe9620 6 років тому

    Ata mm ctaki

  • @busenasilvanos2096
    @busenasilvanos2096 6 років тому

    Ya leo ni boring, that was so fast, no accusations

  • @juddyakiso9369
    @juddyakiso9369 5 років тому

    Hii imenikumbusha my ex husband

  • @v.a.m.2549
    @v.a.m.2549 6 років тому +2

    Huyu mwanaume ni fala aje!

  • @annymdg7647
    @annymdg7647 6 років тому +3

    Pia me nataka kupendwa 😏😏😏

    • @charleswabwire3534
      @charleswabwire3534 6 років тому

      Mimi nishakupenda Ann what are u waiting for?

    • @annymdg7647
      @annymdg7647 6 років тому

      @@charleswabwire3534naja mbio ila usinipeane kwa mpango aniue I'm fraid If in tat

  • @mumbibabzy6983
    @mumbibabzy6983 6 років тому

    Amenifanya Mpaka nimemiss my ex Danson Barasa vile nilikua naimbiwa love song tukikosana