Ndo maana kenya haisongi mbele,,,,sasa hii mambo ya beauty imetokea wapi... this is now creating enemity among those who are left out 😢😢.my thoughts though
Diana Bahati tops the list mpende msipende hao wote wakitoa makeup wanakaa sijui aje lakini wote niwarembo But diana B mashalaaahhhh with or without makeup ebu pangueni izi vitu zenyu sai😂😂😂😂😂Diana, wambo, felicity
Diana bahati ameweza kabisa,hawa wengine filters huwarembesha,hebu wapost picha bila filters na make-up tuone😢😅na pia Moh ngigi natural beauty bila filters.
Felicity shiru she is very beautiful and humbled girl nampenda sana ❤❤lkn sijaona gee wa vinny flava na ni beautiful pia🥰 Shirley wa Dela kama hayuko hapo ni story za jaba hizo
Give us your order guys from 1-10 on the comment section
Who do you think was left out???
Moreen wa come na mo wa the rui fam
wambo ashley 🎉
You should have numbered them without make up
Diana b
Ka wambo kako
Azziad
Cate actress
Felicity
Bibi ya Abel
The rest follows
Moreen wa comme number one
moh wa comme mali sanaaa
Felicity all the way with or without make up..plus Diana with or without makeup they look fine ❤
hiyo ya wambo ni uongo
@@epllovers5246 Ghai😂uoni channel ni Yao wewe
Wambo zii!!!
@@epllovers5246 kwanini unasauti?
Tuko kimoja girl ❤❤❤
Wambui Ashley with or without makeup most beautiful ❤️❤️❤️
No.1 Felicity,2 Diana B❤❤❤
The beauty lies in the eyes of the beholder , everyone is beautiful
True
True❤
True ❤❤❤
True
😂😂😂😂
Moh sitonik wa hezron is biurifuu too ✨✨mulimuwacha wapi she deserves top ten
Veru true pia Moh wà comme
@@Sylviabrendaand nyathira
We were all created in his image and likeness and everything he created was good and excellent
😆😆😆😆😆
@@officialseline9651😂😂😂😂
Ako sitonik...my fav person❤..nxt tym don't forget her pls
Wambo all the way with or without make up
Gee nganga with without make up she is very cute
Moh wa Comme jameni❤❤na Dorea chege🎉🎉🎉
Moreen ngigi is beautiful ❤ i like her fashion too
Keshi,Gee,Maureen wa comme na wa hezron pia not forgetting nyathira babes🥰🥰😘
Ndo maana kenya haisongi mbele,,,,sasa hii mambo ya beauty imetokea wapi... this is now creating enemity among those who are left out 😢😢.my thoughts though
Celeb wanadada wote n warembo na make up wacheni za ovyo tafuteni content bibi yake Ali presenter ameweza wote
Kabisa
@@janetkhainga6504 true,,,, maybe wangepanga vile Wana earn their salary ndo watie bidii
@@judyjudie1755 some posts though 😆
Diana and then Felicity
Number one Diana Bahati, 2. Felicity Shiru, 3.sitonik. 4. Wambo,5. Azziad.
😂😂😂😂
1. DIANA BAHATI
2. Milly wa jesus
3. Nasieku
4. Wambo ashly
5. Azziad
Diana bahati
Dorea chege
Felicity shiru
Wambo Ashley
Diana should be number one❤
Mrs NAMELESS...wahu👌
Mrs muraya...dj moh
Mrs bahati...Diana
Mrs kioko...wambo
Mrs thee Pluto ...feli
Nasiad nasenya
If not wrong Diana bahati,,Wambo then Felicity ❤❤❤
Ata cjaanza kiwatch but nimeona sura zinginge cwezi pima na auntie madoo
Number one Diana 2.Ashley 3 Felicity
Number 1 was supposed to go to Diana Bahati followed by Wambo Ashley
Byda true
Kris baby, i guess
@@AngelaNjoki-w6s ndio iyo sasa alafu hako kablak karefu 😅😅
True
Huyo mdem ni mpretty❤❤❤❤
True
Diana B should be no one with or without filters nor makeup she is beautiful
Diana B, Auntie Madoo namba 1
Wambui Ashley ❤❤❤
Moh is too beautiful sana kwanza without make up
@@josephine-rb8nlkabisa❤❤❤❤
Dorea amebaki wapi even though uwa cmfollow?
She's naturally beautiful ❤
Number 3 should be Maurine Sitonik bibie Hezron, she's so beautiful, young and mature minded
Moh hez should be no one,aty three,,,noooo I REJECT MANZE
Dee should be number 1❤❤
Kura yangu,mamangu na masisters ni kwa diana❤😂
Diana Bahati tops the list mpende msipende hao wote wakitoa makeup wanakaa sijui aje lakini wote niwarembo But diana B mashalaaahhhh with or without makeup ebu pangueni izi vitu zenyu sai😂😂😂😂😂Diana, wambo, felicity
Ukweli kabisa
Mbona unasema ukweli
Hebubwatoe make up
True .....Diana..... Felicity.....Wambo Ashley
Walai tena kwanza huyu nasieku ana overratiwa Sana 😂😂nkttt 🚮
Wambui wa Kajim should be in the list
Just bring their photos without make up or filters,, Felicity and Diana wagecompete for number one😏
Camera inazmka pap😂😂😂
Kabisa
Most of them are using Filters
True
Wow, moureen ngigi she should be in ❤ shes pretty so beautiful..
Nilikuwa nimengojea Diana bahati awe wakwanza😮
Diana B should be the number one❤
Gee nganga also without makeup she is so cute 🥰
Diana bahati number one number 2 wambo Ashley and the rest follows..
Wambo my number one all the way ♥️
Diana Gee Wambo Fel Moh wa comme tukisonga
For me Felicity 🥰 All day anytime,she has it all❤️.But otherwise hapa ulikosa content 😂
You can say that again. We can never compare beauty ya watu
Walitaka kumfurahisha boss
Diana B next Felicity and wambo
To be honest diana n number one ,afuatwe na dorea chege period
Wambo is my favorite ❤❤❤
Diana b beat them all with make up or without tuseme tu ukweli
No 1 diana b..
No 2 felicity
No 3 wambo
No 4 Azziad
Mkasahau wapi ajib&arian
No.1 goes to dee ,2. Wambo , 3. Fel
Team wambo woyiee❤️
Diana Felicity wambo....hao wengine siwajui
felicity shiru all the way
Sina ubaya lakini let's rearrange 😅😅😅😅how can Dee be number 4😂😂how can Wambo Ashley be number 3??hii naunda upya 😂😂
Dianne Bahati, Felicity then Ashley wambo
KIOKO 😂😂😂😂 NA MIMBA YA GETRUDE # pasta show😂😂😂😂😂😂 mgonge likes tukisonga
😂😂😂😂 acha mchezo wewe
😂😂😂Aki nyinyi, mnaleta mambo ya loyalty test huku😂😂😂
Hebu utupee update hii 😂imetupita
@@jepkoechmercy8456 🤣🤣🤣🤣😂
@@thegloalkwel 😅😅😅😅😅😅
Number 1 fel, 2 dian, 3 keshii👍👍👍👍👍👍
Diana bahati ameweza kabisa,hawa wengine filters huwarembesha
Nyawira is always beautiful,na hapendi make-up
Number one is dee,number 2 is fel,3 is cate,4 is wambo,5 azziad
Nasieku is my favorite..she deserves no.1❤❤❤
Am with you
Diana should be number one
Number one is wambo Ashley ❤❤baby girl supuuu
Moureen ngingi should be number one ❤ babyface ata kama ameamka na kuosha uso n akakosa kujipaka mafuta
Diana bahati should be number 1
Diana B number one 😂😂😂😂😂she is beautiful inside and outside ❤️❤️golden heart
Moh wa comme anakuanga mrembo sana😍
Sanaaaaaa❤❤❤🎉
karembo sana
True
Tanasha dona.diana bahati.azziad nasenya.claudia naisabwa.felicity shiru.hawa ndo naeajua are beautiful.wengine ni subs😅
I feel like wawekue bila makeup tuone dee will be number 1 nasieko number 2 felicity 3 wambo 4
That's true watuletee bila make up
Ashley wambo❤🎊, Diana ❤ Krisbabby❤ Nasieku❤😊azziad ❤and felicity😘🎉
Ashley is beautiful with or without makeup 😍😍😍😍 I go for her always❤
😂😂hata wewe unajua ni uongo...I mean... let's be realistic 😅
Ashley Hana mwili maringo tu
@@fiona2782tell them, they know the truth but kujifanya😂😂😂 walambwe
@@fiona2782volume aki tuache kudaganyana😂
@@VERONICAMulli 🤣🤣😅
No 1 was to be diana b ❤
Content ya Lazy people all hardworking content creators are beautiful ❤️❤️
Siata mungeweka felicity no 1
Spectacles huangusha Dem but yuko beautiful..zina Zeesha
Team wambo oyeeeee🤩🤩
Oyeeeee
Diana bahati ameweza kabisa,hawa wengine filters huwarembesha,hebu wapost picha bila filters na make-up tuone😢😅na pia Moh ngigi natural beauty bila filters.
Hee ata wambo bila make up she is beautiful ♥️♥️♥️♥️
@@SharleyMusimbiwambo Sasa n mrembo wapi😂😂😂 aezi shinda feli ata Diana danganya watoi
Agree with u
Agree with u
@@SharleyMusimbiwambo si mrembo bila makeup gai jesu check her videos😂😂😂😂simrembo akiwa natural
Each and everyone is unique in or her own way bad sijaona anyone who is beautiful there.
😂😂😂😂
Diana dio naba one
Wambo my girl all the way❤❤❤
Fel pluto ❤❤❤number one
Walae😂,this girl is beautiful
Mko na mchezo Sana Kwan where are u selecting from coz sijaona warembo wale najua
Diana Bahati no 1 milly wajesus family no 2 Felicty no 3 Asieku no 4 moreen gigi no 5 wambo Ashely no 6 Azziad no 7
Moh wa comme na moh sitonik niwarembo zaidi
Nilikuwa nimeshikilia matumbo for my girl Nasieku to be No.1 but hapo pia ni sawa 😘😘
Gee nganga,moh wa hezron,moh wa commentator,keshi beautiful lady's and young 😂
Sitonik hapana ni kifaranga, Moh kayamba Afrika zii
@@MbitheelyahfeelingblessedWonde 😄umechuja wawili Sasa nibakishie Gee Na Keshi Na Ashley Wa kioko basi
You wife should be the first one then fel...this two ladies looks beautiful with or without makeup
Diana B
Redna
Wambo
Felicity
Victoria wendo
Azziad
Moh wa hezron
Moh wa comme
where is ???
Gee nganga
nyathira
moreen herzon
moreen ngingi
fix them hapo na mtoe wnye wametumia filters..knt!!
Diana do number 1.. hio fala umeeka number one itoe . Huja arrange poa wewe...
Aunt madoo with all without makeup ako top
Wambo Ashley no. 1
Felicity no.2
Both are natural beauties with or without makeup. Two very simple chilled ladies
Fel ,wambo ,Diana...With or without make up wako fine
Moureen Ngigi anakuanga mrembo sana
Mimi aki napenda huyo mweusi mwenyewe hana makeup 💄
Judy and wakavinye super natural beauty and also smart
Kate na wambo my favorite 🌹💯 na Felicity kidogo
Moureen ngigi, that gal is damn beautiful, her body is goals
Without makeup that is diana,nasieku,felicity,wambo ashley,wakavinye,wabosha,
Felicity shiru she is very beautiful and humbled girl nampenda sana ❤❤lkn sijaona gee wa vinny flava na ni beautiful pia🥰 Shirley wa Dela kama hayuko hapo ni story za jaba hizo
I like geee
Kabisa mbona gee aliachwa angekuwa namba one hapo
Number 1, Felicity, 2, wambo Ashley,3, nasieku 4, Diana
No 1 Diana 2feli
Aunty madoo all the way❤
Diana B nmbr one followed by Ashley, then felicity😂😂hii list mbona hamjanihusisha
Daina 1 hizo ingine ni jokes zenu