Jinsi Kupika Pilau la Kiswahili Kwa Tui la Nazi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 152

  • @estajohnmhina3067
    @estajohnmhina3067 2 роки тому

    Chef Kile.... Umetisha

  • @crellagecommunity7168
    @crellagecommunity7168 7 років тому +2

    Sufuria hii hapaa
    Big Up sanaa

  • @zaitunikisese6674
    @zaitunikisese6674 7 років тому +3

    waooh, asante chief kile mi napenda kula vitu vitam na kujifunza kupika hivyo vitu vitam tam asante sanaaaaa

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 роки тому

    Pilau yavutia sana😋👌

  • @dorisembwana9853
    @dorisembwana9853 6 років тому +6

    Nimepika nitamu Sana hadi mume wangu anataka chakula hicho kilasiku nikitamu mno

  • @i.m_salibu2022
    @i.m_salibu2022 7 років тому

    mashallah asante sana kwa kunifunza kupika pilau la naziii

  • @salimalifary9439
    @salimalifary9439 6 років тому +15

    Kwa mara ya kwanza kusikia pilau ya nazi yaonekana special taste.lazima niijaribu

    • @maryamathman8917
      @maryamathman8917 6 років тому

      Salim Alifary mmmh wallahi jaribu kuipika utapenda iko tamu sana

  • @nayrinekakuni9046
    @nayrinekakuni9046 6 років тому +1

    Mashallaa, nimelitamani hatariiii.

  • @a.856
    @a.856 5 років тому

    Asante chef napenda sana pilau ya tungule tasty.😋

  • @shasumsindo2486
    @shasumsindo2486 6 років тому +1

    Asante chief nimelipika leo tamu balaa had nikajuta kupika kidogo

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 роки тому

    MashaAllah Yamy 😋😋😋

  • @silveniamathew6002
    @silveniamathew6002 3 роки тому +2

    Nimejarbu
    Chakula kitamu ,nmeshindwa namna ya kukipost hapa kwa comments
    Thanx a lot❤️❤️

  • @bossmau764
    @bossmau764 6 років тому +6

    inatakiwa nikuchumbie uniowe maan unanifaa kwa matumizi ya mapishi😀😀😀

  • @victoriachesco2833
    @victoriachesco2833 6 років тому

    Very nice chef

  • @raniaalkhaifi5698
    @raniaalkhaifi5698 5 років тому

    Nzuri ntajaribu InshaAllah

  • @umulisanounou6574
    @umulisanounou6574 5 років тому

    Tamu saana😊

  • @lyndaishimwe3044
    @lyndaishimwe3044 6 років тому

    mashaallah tamu hongera

  • @fatwimasalim1691
    @fatwimasalim1691 7 років тому

    mhuuu! mm huku mate yanitoka inaonyasha nitamu hongera.

  • @fatmakaichychyy6132
    @fatmakaichychyy6132 5 років тому

    Asante saaana lazm nijaribu

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 7 років тому

    Wow yaonekana tamuu sana asante sana

  • @itschocolategirl1969
    @itschocolategirl1969 6 років тому

    Asante nime pima Asante sana chief

  • @neemalipembe1929
    @neemalipembe1929 6 років тому +8

    Hongera sana wanaume weng hawajui kupika lkn wanajua kushindana nasisi madada zao kuvaa heleni,vikuku,kupaka poda Nk hahahahaaa

    • @sweetysamia8932
      @sweetysamia8932 6 років тому +1

      Asante apo umeongea kwl

    • @rehematawalani7472
      @rehematawalani7472 6 років тому +1

      Neema Lipembe hahahahahaha neema umenichekeshaa kweli

    • @neemalipembe1929
      @neemalipembe1929 6 років тому

      We acha tu afu wanajua kurembua,kusutana,nakuchambana hao kuliko sisi Dada zao

    • @blessedgirl7482
      @blessedgirl7482 5 років тому

      hahaa kuchambana sana sana..sijui tuwatafutie kanga.....

  • @khadramohammed3606
    @khadramohammed3606 5 років тому +2

    Mashaallah 😋😋😋

  • @queencharles4823
    @queencharles4823 5 років тому +2

    Mmmh iyo sufuria ya kupikia hiyo. Heheheh!

  • @munamnir171
    @munamnir171 7 років тому +2

    Omg its delicious tnx kile

  • @christinaakwitanda1754
    @christinaakwitanda1754 6 років тому

    Nilijaribu kupika ivyo duuh ni tamu sana

  • @adelamasanja3836
    @adelamasanja3836 3 роки тому +1

    Ntajalibu na Mimi kupika ntaleta mrejesho

  • @happymushi9411
    @happymushi9411 5 років тому

    Hilo litakuwa ni tamu sana

  • @christineopiyo2161
    @christineopiyo2161 7 років тому

    very nice............

  • @jemimaneyo2900
    @jemimaneyo2900 5 років тому

    Saluti mzee baba

  • @saidhamad-x9b
    @saidhamad-x9b 11 місяців тому

    Asnt unapatikana wapi

  • @fridakalinga7367
    @fridakalinga7367 6 років тому

    waoh!nimependa sana

  • @jackieemaeda9858
    @jackieemaeda9858 6 років тому

    Waoooh tamu sana

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 7 років тому

    Mmmmmh asante shef kile 😋😋😋

  • @kephawafula7269
    @kephawafula7269 6 років тому +1

    Walai pilau tamu kweli mate kanitondoka haswaaaa...!!

  • @pendomgeni9057
    @pendomgeni9057 6 років тому +2

    Asante sana kaka

  • @cammyris7154
    @cammyris7154 7 років тому +1

    very sweet pilau thank you chef

  • @bettylyamuya1125
    @bettylyamuya1125 7 років тому

    hi kile...... mahanjumati spice. unaunza sh ngapi.........

  • @jalaljalal5258
    @jalaljalal5258 7 років тому

    asante chief kile nimepika nitamu mno

  • @olanike190
    @olanike190 7 років тому

    It looks so nice

  • @aishagharib362
    @aishagharib362 7 років тому +3

    mm niko new on ur chnnal naomba kujua kfny iyo kachumbar yk imenivutia izo carrots refu refu umezfny vipi au ipo vd yk ya kachumbar...plz

  • @jamalshaha4512
    @jamalshaha4512 5 років тому

    Ratizo spyce zako hutaji mchanyo

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 5 років тому

    Maashaallah

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 7 років тому +4

    pilau hilo nimelitamani walah😋😋😋😋👌

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому

      zuhura akida fanya ulipike rafiki

    • @zuhuraakida5932
      @zuhuraakida5932 7 років тому +1

      nipo Sweden viungo walah spati vile venyewe sasa kama huyo mahanjumati Masala ntaipataje jmani😉 nimemiss hilo pilau på kiswahili😔

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому

      zuhura akida nina mpango wa kuja huko mwezi huu ivo nitabeba baadhi ya spices zangu. Tutawasiliana zaidi

    • @zuhuraakida5932
      @zuhuraakida5932 7 років тому

      Chef Kile okey no problem kabisa😉

  • @ashaakidotkidotlyova2881
    @ashaakidotkidotlyova2881 7 років тому

    mmmh tayar nanjaa mwee

  • @yusuphmtego3145
    @yusuphmtego3145 7 років тому

    safii sanaaaa

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 років тому

    mashaallah mkeo Ana raha kaka

  • @bahatifabian2804
    @bahatifabian2804 6 років тому +1

    Duh.unafahisha.kaka

  • @scholaboas2195
    @scholaboas2195 6 років тому

    Kwan ukiweka tangawizi pilau inakuwa cyo nzurii kwasisi tunaopenda tangawizi haitakiwi au

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  6 років тому

      Schola Boas waweza weka kiasi kidogo.... Katika ile twaita garlic n Ginger Paste

    • @joahkankiza3962
      @joahkankiza3962 6 років тому

      Asante kwa mafunzo

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 7 років тому

    ofisi yako inapatikana wapi nije kukutembelea ndugu yangu

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 років тому +1

    mashaallah tamuuuuuuu

  • @sumaiyaabdi7078
    @sumaiyaabdi7078 7 років тому +1

    Please Tufunze kutengeneza Masala chef...kisha hio nyama ulichemcha ukaongeza Spices au its just Plain?

  • @carinesima9623
    @carinesima9623 6 років тому

    hyo mahanjumat masala ntaipataje,unapatikana wap

  • @hasnafaizal3765
    @hasnafaizal3765 7 років тому

    mr kile na mimi nahitaji hiyo pilau masala nipo dar es vsalaam tabata

  • @veramark7047
    @veramark7047 7 років тому

    oky sawa

  • @aimanali8612
    @aimanali8612 7 років тому

    umejitahid kidg

  • @ZEZETVTZA
    @ZEZETVTZA 7 років тому +7

    Aiseeeee linaonekana taaaaaamu kinoooma

  • @nicasautocenter
    @nicasautocenter 7 років тому

    inapatikana wapi mahanjumati masalaa?

  • @veramark7047
    @veramark7047 7 років тому +1

    hi kile ........ plz explain how UA made the mahanjumati masala....
    the cooking is good... I just love it👌👌👌👌👌

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому +1

      Habari. Hii mahajumati masala ni spice mix yangu ya spices za mbegu na zile za majani. Pia nauza huo mchanganyiko. Waweza agaiza

    • @lucykipanta7494
      @lucykipanta7494 7 років тому

      ken ika m haaaam hatar

    • @samiapeter1262
      @samiapeter1262 7 років тому

      +Chef Kile iyo niges kaka

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 6 років тому

      @@jikonichannel
      Mbegu zipi na majani gani?

  • @agnesmwapea5007
    @agnesmwapea5007 7 років тому

    sijaona ukieka dawa ya pilau mpishi kwan kwaendaje

  • @andrinafahud2106
    @andrinafahud2106 6 років тому

    Nimependa salad can u teach us

  • @veramark7047
    @veramark7047 7 років тому +1

    hiii kile....... tunapataje hiyo mahanjumati masala.......

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому +1

      ken ika wewe upo wapi

    • @veramark7047
      @veramark7047 7 років тому +1

      Chef Kile dar es salaam

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому +1

      ken ika Basi ni rahisi kupata nitakupa maelekezo DM

    • @sumaiyaabdi8610
      @sumaiyaabdi8610 7 років тому +1

      Chef Kile tufunze kutengeneza masala or dawa ya pilau please chef

  • @bettylyamuya1125
    @bettylyamuya1125 7 років тому

    naweza pata aje ........

  • @ashachecheo9619
    @ashachecheo9619 6 років тому

    Wow

  • @OmanOman-pz4zp
    @OmanOman-pz4zp 7 років тому

    maashaallah☺☺☺

  • @esterpoul5972
    @esterpoul5972 6 років тому +2

    mate yananishuka linaonekana litam kwel😀😀😀😀

  • @iluvfood12
    @iluvfood12 7 років тому +7

    can you post the ingredients and measurements in english in the description box? I mean you do have some english speaking fans (like me) who watch this channel

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому +8

      I luv Food Hello
      Ingredients:
      1. 1/2 kg - Rice
      2. 2 Onions - Chopped
      3. 4 cloves of garlic chopped
      4. 1/4 lter coconut cream
      5. 2 table spoon Pilau masala
      6. 1 table spoon spice mix
      7. 1 tomato chopped
      8. Salt to taste
      9. Cooking oil 4 spoon
      10. Beef/ chicken/ pork / lamb 1/2 kg

    • @iluvfood12
      @iluvfood12 7 років тому

      Thank you so much

    • @paulinehango8769
      @paulinehango8769 7 років тому

      Chef Kile please ningependa kununua hayi manjumati masala. M naishi Uk London nayapataje?

  • @faithlee890
    @faithlee890 7 років тому

    mbona hujaweka karoti

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 7 років тому

    jamani mpaka nimelitaman hilo pilau

  • @catherineezekiel6206
    @catherineezekiel6206 6 років тому

    Unawezaje kupikia jiko la gesi pilau, nimejaribu jiko langu linafanana km hilo naona chakula kinaungua tu ata upunguze moto hadi mwisho

  • @pamellarosine110
    @pamellarosine110 7 років тому

    Hi Kile ! kama mimi niko marekani hiyo mahanjumati spice nitaipata wapi????

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  7 років тому

      +Pamella Rosine Kwa Marekani bado hatujaanza kutuma officially. Ila kama kuna mtu wamfahamu anakuja anaweza kukubebea.

  • @zenamwinshehe9461
    @zenamwinshehe9461 6 років тому

    Yummy

  • @itsjuliam
    @itsjuliam 7 років тому +1

    Hio tui umetia kiasi gani? Kwa macho yangu naona kama robo ya kikombe.

  • @emeraudeshirima6312
    @emeraudeshirima6312 6 років тому +1

    mahanjumati masala ?in combination ya spice gani?

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  6 років тому +1

      costancia cosh ni spice yangu mwenyewe. Nachanganya .

    • @emeraudeshirima6312
      @emeraudeshirima6312 6 років тому +1

      Chef Kile am in Nairobi where can i get it ?

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  6 років тому

      costancia cosh maybe if there is someone you know from here and is coming to Nairobi.

    • @mahmoudhafsa5608
      @mahmoudhafsa5608 6 років тому

      umechanganya viungo gan had kupata hiyo maanjumat masala

  • @shamtheboss4459
    @shamtheboss4459 6 років тому +1

    hyo mahanjumat masala haina jina lingine

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  6 років тому

      Hiyo product yangu. Ila sio lazima uwe nayo. Waweza tumia gharam Masala

  • @estherodanga4238
    @estherodanga4238 5 років тому

    Salad nzuri kuliko pilau.Lol.

  • @sharifaallykidenkii5964
    @sharifaallykidenkii5964 6 років тому

    wacha wee mapishi sindo hayo

  • @khadijahussen2763
    @khadijahussen2763 7 років тому

    Mthele hauoshwi pia

  • @noellawambui5155
    @noellawambui5155 7 років тому +1

    What is mahanjumati masala? How did you make it?

  • @rosedaudi6779
    @rosedaudi6779 6 років тому +1

    duu linanukia ilo

  • @mariadluka1543
    @mariadluka1543 6 років тому +1

    Mbona sufuria lina shombo bemebeni jamani eeh🤭🤭🤭🤭

  • @angelmirindi2234
    @angelmirindi2234 6 років тому +1

    Nimuchuzi kweli nitumie number zako

  • @samiapeter1262
    @samiapeter1262 6 років тому

    we kak mnafiki ngoj nilipik lah yamwanaum ajue kupik

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  6 років тому

      sasa mimi hapo unafiki wangu nini??

    • @samiapeter1262
      @samiapeter1262 6 років тому

      +Chef Kile nimemaanisha jins unavoupakuwa kwamadaha nisamee kak angu Kama nimekukwaza ila aikuwa maana angu nimelipika huezi amin nitamu jaman uwiiiii

    • @jikonichannel
      @jikonichannel  6 років тому

      safiiii....wala sijakwazika my dear..... nafurahi kama umelipika ... share some pictures

    • @samiapeter1262
      @samiapeter1262 6 років тому

      +Chef Kile ahaha sawa

  • @rizikijumamosi431
    @rizikijumamosi431 6 років тому

    kwamuonekno 2 n tamuuuu sijui nkila sindio tamuu zaid

  • @shamtheboss4459
    @shamtheboss4459 6 років тому +2

    na ikikosekana utatumia nn badala ya hiyooo

  • @rahmamipika5621
    @rahmamipika5621 6 років тому

    duh nitajalbu hilo

  • @laurenciamushi8727
    @laurenciamushi8727 6 років тому

    yamyam

  • @shakirashakers7379
    @shakirashakers7379 7 років тому

    😚

  • @andrinafahud2106
    @andrinafahud2106 6 років тому

    Lakin unajiramb mno

  • @mariadluka1543
    @mariadluka1543 6 років тому +1

    Alafu unaongea sana ilo pilau kuna mate tele ahahahahha🙄🙄🙄

  • @nadyarashid
    @nadyarashid 7 років тому

    ONDOA CHUNUSI, MADOA, MAKOVU., MABAKA, MAKUNYANZI, MICHIRIZI, WEUSI KWAPANI, KATIKATI YA MAPAJA, KUWA NA NGOZI SOFT NA YENYE MVUTO KWA KUTUMIA BIDHAA ZA ASILIA. NJOO WHATSAAP +255717805523

  • @zaitunikisese6674
    @zaitunikisese6674 7 років тому

    waooh, asante chief kile mi napenda kula vitu vitam na kujifunza kupika hivyo vitu vitam tam asante sanaaaaa

  • @victoriachesco2833
    @victoriachesco2833 6 років тому

    Very nice chef

  • @bettylyamuya1125
    @bettylyamuya1125 7 років тому +1

    hi kile...... mahanjumati spice. unaunza sh ngapi.........

  • @shamtheboss4459
    @shamtheboss4459 6 років тому

    na ikikosekana utatumia nn badala ya hiyooo

  • @victoriachesco2833
    @victoriachesco2833 6 років тому

    Very nice chef

  • @shamtheboss4459
    @shamtheboss4459 6 років тому +1

    na ikikosekana utatumia nn badala ya hiyooo