MIRAJI AIHOFIA SIMBA KWA SFAXIEN | NAWAOGOPA WALE WAARABU WA YANGA SIO MAZEMBE YA ZAMANI| TUTAUMBUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 93

  • @mahmoudissaissa3815
    @mahmoudissaissa3815 2 місяці тому +4

    Miraji anajua sana fottball asiemfaham hy hajui mpira respect miraji

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 місяці тому +1

    Rudia tena kusema Tanzania inavutia sana ❤❤❤

  • @khatibsalum7820
    @khatibsalum7820 2 місяці тому +8

    Yanga na mazembe wanaingia inshallah sev iyo coment yng

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 2 місяці тому +1

    SISI yanga Africans hatubabaiki Kwan ukitaka mkubwa lzm tuwafunge wakubwa patachimbika home and away 😂😂😂

  • @MeshackManoja
    @MeshackManoja Місяць тому

    Ubaya ubwela❤❤❤

  • @kenanjohn2062
    @kenanjohn2062 2 місяці тому +1

    Yanga ilo kundi asijisahau wanaweza kwenda Mazembe na huyo MC Algers...wajitahidi watumie vizuri sana mechi za nyumbani..

  • @husemovicseif8137
    @husemovicseif8137 2 місяці тому +15

    Naungana na Miraji hilo kundi la Yanga halitabiliki ingawa anapewa Yanga anapewa nafac ila hilo kundi ni gumu

  • @SaidNgosha-y4h
    @SaidNgosha-y4h 2 місяці тому +1

    Anachoongea miraji yupo sahihi

  • @MoiseMishenyimateranya
    @MoiseMishenyimateranya 2 місяці тому +1

    Nawatafa vizuri kabisabisa Moïse toka Goma RDC 🇨🇩

  • @JoelTeti-q3w
    @JoelTeti-q3w 2 місяці тому

    Huyu jamaa huwa anazungumzia mpira 🎉🎉

  • @givenmbwilojulius9446
    @givenmbwilojulius9446 2 місяці тому +2

    Mwamba mmi yanga lakin ki ukwel hapo ni 50/50

  • @gamesfootball123_
    @gamesfootball123_ 2 місяці тому

    sawa mazembe tumemfunga tukiwa km underdog

  • @ramadhanshauri8921
    @ramadhanshauri8921 2 місяці тому +1

    Sawa mazembe sio bora kwa wakati uwo lkn yanga ilikuwa bora nayo usi msifu anaekimbia msifu mwenye kumkimbiza kikubwa maandalizi tu

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 2 місяці тому +2

    Miraji kumbuka vilevile mazembe wamefungiwa kusajili na wameondokewa na wachezaji zaidi ya watano

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 2 місяці тому

      Hao wachezaji walioondoka ndo muliowafunga nje ndani hawana madhara wachezaji waliobaki Mazembe ndo walioifikisha semi final

  • @StephanMwambala
    @StephanMwambala 2 місяці тому

    Mwamba unajua🙏🙏

  • @AlfaniJuma-k1e
    @AlfaniJuma-k1e 2 місяці тому

    Niliwatafuta sana miraji na chagamba aiseeee

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 місяці тому

    Miraji mara Moja hunabaya ,hujawahi pinda unanyooka ndomana napenda kukufatilia

  • @gilbertchilewa-su2hc
    @gilbertchilewa-su2hc 2 місяці тому +2

    Miraji Mc Alger walishacheza na yanga yanga alipigwa goli moja hapa akaenda kufungwa 4 Algeria kwahiyo sio kama hajawah kucheza na timu yyt ya Tanzania walishacheza kwahiyo ilo kundi ni visasi kwa kwenda mbele

    • @UwesuallyHussain
      @UwesuallyHussain 2 місяці тому

      Uwongo bhna sisi tulimfunga mc Alger kwetu 2 kwa 1 baada ya kwao kutufunga 4 na magori yetu yalifungwa na kaseke na makambo

  • @georgeazaria3977
    @georgeazaria3977 2 місяці тому

    Miraji kubwa timu zetu zote mbili zinaitaji Dua lkn kubwa simba sports ifuzu

  • @AbdulrehmanOmar-w8x
    @AbdulrehmanOmar-w8x 2 місяці тому

    Miraji na chagamba hamjambo naombeni Namba zenu mm nipo kenya

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 місяці тому

    Mzee said tunamtaka

  • @AbdulrehmanOmar-w8x
    @AbdulrehmanOmar-w8x 2 місяці тому

    Miraji na chagamba naombeni Namba zenu nn nipo kenya

  • @jumakhatibjuma1316
    @jumakhatibjuma1316 22 дні тому

    Hallo chagamba Nitumie Namba Yako

  • @HamisiYusuf-s1u
    @HamisiYusuf-s1u 2 місяці тому

    Mm naungan moj kwa mij ka mkubw miraji mtani nakubli uchambzi wako

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 2 місяці тому

    Miraji mala moja

  • @ReginaYohana-j7n
    @ReginaYohana-j7n 2 місяці тому +1

    Yang mach

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 місяці тому +1

    Yanga anafuzu robo fainali kipindi kile mlisema hatuta vuka natukavuka pia na awamu hii tunavuka

  • @AbdulkareemMohammed-h2u
    @AbdulkareemMohammed-h2u 2 місяці тому

    Miraji Simba anajenga timu swala na mba hizo zilipendwa ,swali mwaka Jana na mwaka huu Simba anauwezo wa kupambana ktk hii michuano

  • @MariaMsuku
    @MariaMsuku 2 місяці тому +1

    Chagamba uko sahihi kbsa

  • @zuhuranasoro8923
    @zuhuranasoro8923 2 місяці тому +2

    WANAFINEST, TUSUBSCRIBE KWA WINGI ATLEAST TUFIKE 50K. ILE FINEST 1 TULIKUA 78K+

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 місяці тому

    Wewe miraji Yanga anafika robo fainali bwana

  • @HusseinMuhammad-v7h
    @HusseinMuhammad-v7h 2 місяці тому

    Milaji unajuwa San

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 2 місяці тому

    God assist our efforts

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 місяці тому

    Hamna kitu Tb mazembe hafurahii hata kidogo kukutana na Yanga hapo

  • @issapesa4809
    @issapesa4809 2 місяці тому

    Miraji unajua boli

  • @georgettesaidi6809
    @georgettesaidi6809 2 місяці тому

    Tuna msubiri mzee saidi nae chagamba 😂😂😂

  • @AbdulrehmanOmar-w8x
    @AbdulrehmanOmar-w8x 2 місяці тому

    Naombeni

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 2 місяці тому

    KUNA VIONGOZI WA TIMU FULANI NA MASHABIKI WAO WALISHANGILIA KWAKUA WAO WANAAMINI KATIKA KUPATA MATOKEO KWA NJIA YA USHIRIKINA SIO KIMPIRA.

  • @mahmoudissaissa3815
    @mahmoudissaissa3815 2 місяці тому

    Makundi ni magumu sana kbisa

  • @jokertv3073
    @jokertv3073 2 місяці тому

    Mc Alger ashawahi kucheza na YANGA kwao wakashinda 4 Dar wakasuruhu

    • @allyjuma9260
      @allyjuma9260 Місяць тому

      Mc Alger kwa mkapa alipasuka 1-0

  • @saidnassor6939
    @saidnassor6939 Місяць тому

    Timu zote 4 zinauwezo wa kupita kwenye group

  • @YussufBuji25
    @YussufBuji25 Місяць тому

    Huyo Mc Alger washawahi kucheza na yanga matokeo hapa Tz yanga alishinda 1-0 kule Algeria Mc Alger alushinda 4-0 goli la yanga alifunga Makambo

  • @jamalinuru5503
    @jamalinuru5503 2 місяці тому

    Kila siku naendelea kujua kwamba Miraji mpira aidha anakalili au hajui kabisa anasema amca alger hajacheza tanzania 😂wakati kashacheza na yanga na akatufunga goli nne

    • @JanuariMchuno
      @JanuariMchuno 2 місяці тому

      Wametufunga kule aljeria 4 hapa bongo wamekula moja bila

  • @SaidYusuf-u8s
    @SaidYusuf-u8s 2 місяці тому

    Kipre Jr yuko mc alger

  • @rajabumachemba7321
    @rajabumachemba7321 2 місяці тому

    Simba anaenda robo Yanga 50/50

  • @mbwago505
    @mbwago505 2 місяці тому

    Miraji nakukumbusha tu mc alger kashawai kucheza na yanga kwa mkapa yanga alishinda 1 bila alivyoenda kwao yanga alifungwa 4 bila tena goli la yanga kwa mkapa alifunga kamusoko

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 2 місяці тому

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @FabyKanboy
    @FabyKanboy 2 місяці тому +1

    JamAaa mchambuz mzuriii anajuAaaa

  • @CostantineSimon
    @CostantineSimon 2 місяці тому +1

    Simba kafuzu ila kundi la yanga gumu sana

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 2 місяці тому

      Hakuna aliyefuzu hapo, jidanganyeni tu.

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 2 місяці тому

    Miraji kwann wackupe timu yetu ya taifa ukawa kama mshauri wa timu ya taifa?

  • @franknyambulila922
    @franknyambulila922 2 місяці тому

    miraj utamvunja bega chagamba unamgonga mno

  • @MalickAbdallah-s1i
    @MalickAbdallah-s1i 2 місяці тому

    Mazembe ana enda robo tchagamba wenguine waji tafute.

  • @DIVINEPROMISE-c1n
    @DIVINEPROMISE-c1n 2 місяці тому

    Makundi magumu hayo tusiyachukulie poa kabisaa

  • @KhadijaAmourMohd
    @KhadijaAmourMohd 2 місяці тому +1

    apo yanga tunashinda zoteeeee

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 2 місяці тому

      Sio rahis Mimi ni Yanga lkn tahadhari kubwa sana inahitajika kundi gumu sana

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 2 місяці тому

      ​@@DIVINEPROMISE-c1nni kweli kila mtu anasema rahisi lkn sio rahisi, sisi mashabiki tunaona rahisi ila kwa wachezaji ni vigumu sana

  • @julioshomy1101
    @julioshomy1101 2 місяці тому

    Yanga alicheza na Usma na cio Mc Alger umechanganya kdg miraj

    • @huseinbusaba5064
      @huseinbusaba5064 2 місяці тому

      Jaribu kusikiliza vizuri ndugu yangu kasema Yanga alicheza na ndugu zake kwa sababu wote ni wa Algeria🇩🇿

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 2 місяці тому

    Kundi la yanga gumu mnoo ama kundi la simba ni mnyama kaenda robo hapo

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 2 місяці тому

    KWENYE KUNDI LETU SISI KAMA YANGA TIMU ZOTE TUNAPIGA NJE NDANI NIKO PALEE NIMEKAA

  • @AbdulkareemMohammed-h2u
    @AbdulkareemMohammed-h2u 2 місяці тому

    Chagamba co km simkubali miraji mwambie mm n shabiki wake ila anapoongelea namba za Simba kwny lenk ya cuf je zinaendana na uwezo wake Kwa msimu huu?M naona km anajipakulia minyama

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 місяці тому

    miraji ulipotea ;wateja wako tulikumiss

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 2 місяці тому

    Mi nilishasema kundi la yanga ni gumu

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 2 місяці тому

    Huyo mwarabu wayanqa wanamchezaji yule azamu kipre junior anachezea timu hiyo aliyopanqwa nayanqa

    • @aginsagins-jf4vz
      @aginsagins-jf4vz 2 місяці тому +1

      Jitahidi kuandika vizuri kila herufi jinsi inavyoandikwa kuna fursa zitakupita

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 2 місяці тому

      ​@@aginsagins-jf4vznamuelewa fatuma said, unajua (a)iko karibu na (q) hata mm hua natatizika kuandika

  • @MuhammadiAthumani-q3u
    @MuhammadiAthumani-q3u 2 місяці тому

    Muhammadiathumani2005

  • @kadiriamrope1366
    @kadiriamrope1366 2 місяці тому

    Miraji kwanini radio au TV station hazikupi kiti studio?wanakubania tu

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 2 місяці тому

      Kabisaa Miraji mpira anaujua sio km wale wachambuzi wa mchongo

  • @almasabdul428
    @almasabdul428 2 місяці тому +1

    Kundi a kundi la mauji sana hata point zinaweza zisiaachane mbali

    • @almasabdul428
      @almasabdul428 2 місяці тому

      Na kama yanga atavuka hapa naiona ikifika nusu

  • @adamuayubumwendolwa7723
    @adamuayubumwendolwa7723 2 місяці тому

    Miraji kasema simba haijaenda kwa muda mrefu,Al Ahly Tripol inatokea Marekani?

  • @LazaroPetro-y1s
    @LazaroPetro-y1s 2 місяці тому

    Yanga anaenda Ivo Ivo hata kama kundi gumu tunaenda na chai

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 2 місяці тому

      Tena chai ya rangi iliokolea majani bila ya sukari

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 2 місяці тому

    Mc aliger waichunge

  • @amidymajof3860
    @amidymajof3860 2 місяці тому +1

    Mi mwana yanga ila kundi letu gumu

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 2 місяці тому

      Ni gumu mnoo, lkn namuaminia gamondi pamoja na mpunga usikosekane😅 (goli la mama)

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 2 місяці тому

    wakati wote jiamini wewe mwenyewe hauna haja ya kujippa wasiwasi maana hata yanga ilipopangwa robo final zidi ya masandawana walicheka sasa kwenye club bingwa hakuna timu utakayopangiwa nayo ukasema hapa napita tu la asha il ukijiamini wewe mwenyewe kila kitu kinawezekana

  • @arafazahor3760
    @arafazahor3760 2 місяці тому

    Kundi la yanga ni kundi gumu zaidi kuliko kundi jengine

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 місяці тому

    UTOPOLO hatoboi kwenye hilo kundi wasijidanganye

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 місяці тому

      WAKUBEBWA MTABEBWA MFIKE ROBO ROHO MBAYA ZIMEWAJAA KWA TAARIFA YENU YANGA HADI FAINAL YANGA NI KAMA P DIDY TU HATOKI MTU

  • @MoiseMishenyimateranya
    @MoiseMishenyimateranya 2 місяці тому

    Kundi ngumu ni la TP mazembe Yanga namwegine