Inaitajika ufanye research ya kina maana Kuna wengine wanajua kidogo na Kuna wengine hawajui kabsa na Kuna wengine wanajua kwa kina sometimes awa wanajua kwa kina wanakuja Kwako kuona kama Kuna Kitu kipya kuongeza maarifa, ukipiga juju tu utakuwa umekosea UA-cam sometimes ulipa kwa kigezo pia cha aina ya video kuanzia mada au minutes au location ya video Yako inangaliwa kwaiyo inaitajika uonge facts nyingi Sana kwa watu wasio jua ili waelewe Kwa kina
Inategemea na content bro kuna content hapahapa bongo wanalipa hadi $2 per 1K views.

good