JRS CUP FINAL: CD3 GHETO BOYS YAPATA UBINGWA BAADA YA KUILAZA S2 SPORTS KWENYE MIKWAJU YA PENALTY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #JrsCupFinal#NyarugusuCamp
    19/10/2022 kwenye uwanja wa YOKOHAMA M2
    Cd3 gheto boys wamechukua kombe ya JRS kwa kuwatandika S2 SPORTS kwenye mikwaju ya penalty baada ya kutoka sare ya kutokufungana ndani ya dakika 90.
    Cd3 03 vs 01 S2 SPORTS

КОМЕНТАРІ • 13