Vp kuhusu W3 umesema kua nayenyewe unaipiga moto mbona sasa nilisha jaribugu na siyo zaidi ya Mara moja zinagoma lakini nikitumia njiaa ya Kubana mashine kwa kuweka boks chini ya iyo Ac inawaka ni kwanini
Nimeona lakini sijaelewa kiongozi.... Nini hasa technical reason yakupga moto Kama unavyosema, ni kwamba kuna maji ulikuwa unakausha au ni kwamba ICs zinakuwa na loss connection ndo unaziunga maana umeanza na Soldering paste hapa..... Nini hasa Technical reason hapo kiongozi!!!!?
Sema nilikuwa napenda kutoa ushauri kwa Video zinazokuja mjitahidi sana kutoa technical reasons kama hzo si unajua tunatazama wengi beginners lakn pia expertises ko jaribun kuwa mnabalance wote wapate wanachohitaji
Asante sana,kwa kazi nzuri mimi nakufata toka Burundi 🇧🇮🇧🇮
teacher thank you,ninapenda sana kazi zako
Big up sana broo!! Nakuelewa xana upo vizuri
Pamoja
kuna simu ya itel a32f ina fastboot naomba msaada kidogo
@@eliaseleman9631
ua-cam.com/video/_n3NytUSEgQ/v-deo.html
Kazi nzuri asante
Asante sana
Hello niko na itel haileti netwk ilibaki 2 no service or emergency,na iko na full network vijiti
Habari mm ni fund Kuna sumsung niliipiga moto ikawaka ikaa ka wik 2 izima jumla niambie hapo teacher
Kama ilifanya kazi iludie
Samahani fundi, hivi samsung edge7 kutengeneza kioo ni bei gan
Good
Nimesoma apo mkuu
So nice
Nakubali kaka
Kama smh yangu inChaji rakini haijayi tagizo nn
Fundi npo pamoja na wewe ila azumi l4k smart4g haiwaki japo nikiiweka chaji inachaji vizuritu naomba msaada wako
Buroa nshingapi?
Fundi kwan ukitia kiyoo vitu vina futik au
Vipi kwa watumiaji wa mshumaa?
Apo unaitaji blower na blower zip adi za 85000
Fund simu Mr p
Mimi nina sim itel it2090 ndogo batani ya kuwashia haifanyi kazi lupini yake imeniumiza kichwa nisaidie
Check search jump power button in itel 2090
Vp kuhusu W3 umesema kua nayenyewe unaipiga moto mbona sasa nilisha jaribugu na siyo zaidi ya Mara moja zinagoma lakini nikitumia njiaa ya Kubana mashine kwa kuweka boks chini ya iyo Ac inawaka ni kwanini
Naomba link ya group
+254748770379
WhatsApp
Mbn mm niliwafol wasap nikipig anapokea mdd sielewi
@@tandzcollege no ya whatsapp
Namimi natamani niwefundi
Habari ya fundi ningependa unipee namba xako???
Sauti IPO chini miwe mnajitahid kuonheza sauti mkuu
ASANTE
Good San bro upo vzuriii
Naomba link ya group
Inauzwa bei gani
Zipo za laki na nusu na laki 3
Kaka naomb namb yk
Nimeona lakini sijaelewa kiongozi.... Nini hasa technical reason yakupga moto Kama unavyosema, ni kwamba kuna maji ulikuwa unakausha au ni kwamba ICs zinakuwa na loss connection ndo unaziunga maana umeanza na Soldering paste hapa..... Nini hasa Technical reason hapo kiongozi!!!!?
Yaan ic inakuwa imeachia
Au imeshtuka ukipiga moto kwa kutumia soldiering paste unairudishia vizur inawaka
@@tandzcollege thanks
Sema nilikuwa napenda kutoa ushauri kwa Video zinazokuja mjitahidi sana kutoa technical reasons kama hzo si unajua tunatazama wengi beginners lakn pia expertises ko jaribun kuwa mnabalance wote wapate wanachohitaji
Alfu naomb uniandikie jina lenu LA ply stoh kunkitu natk nikidanlodi kuhus kujuwa rangi
RESISTOR COLOR CODE
Mmeandika kiswahili aw maan mm ninalo lkingereza
Nakubal sn t&z vp faili za kufrashia nazipataje
Gusa link ipo chini apo
Mbona Kama umebadilisha Socket
Angalia vizuri utaelewa
Naomba namba yenu
+254748770379
Bigap
Upo wap kak
Mbeya
Hasasa munipatie yaWatthp
+254748770379 whatsapp number
Oya mabo vip nomba namba zenu
Naomba no WhatsApp
Naomba namba ya whatsapp
0758580919
Naomba link ya group