This was a very honourable welcome for Rose Muhando in D R Congo. Tanzanians saw her as an ordinary gospel singer, but in the neighboring country DRC, she was received like a First Lady. Rose, your enemies thought you are finished, but God showed them that they are doing nothing. God's power is manifesting itself in you. You are truly a gospel icon.
Awesome & very fitting welcome for the one & only & electrifying goddess of gospel music. Your inspirations are definitely divine and, thru ur songs, make all sorts of holistic connections with ur jubilant global fans. Plenty thnx to all the people of DRC for their awesome welcome & generosity, richly deserved by u!
We love U sister Rose..hata waseme nini kwako hakuna kitu kitakacho kudhuru..kumbuka A bed,Mesh na Shadrack..walivyo tupwa kwa moto na moto haukuwachoma..hukopeke yako my dear uko na jeshi la Mungu kubwa sana....Endelea na injili ya Yesu Kristo watuwaokolewe kupitia nyimbo zako in Jesus Name
R Kayembe rozi MUNGU akupiganie ninajua wapo wanaoitafuta nafasi ulionayo wanadiriki kutumia uchawi namiungu yao lakini hawatakushusha kamwe mti uzaao hupigwa mawe majani hupuputika lakini unachipua tena tunakuombea Rozii.

Twakupend sana rose mhando
Aky Dada kwa nyimbo nzuri unaiziimba mungu akubiganie na kukusidisia
Rose,we Kenyans loves you more...God is with you"wanao ngoja kuanguka kwako watangoja sana...
AMEN. THIS IS GREAT. GOD BLESS YOU ABUNDANTLY MADAM ROSE
Mama we love you.God is going to restore everything.He is our faithful God.Awesome God.
This is my Rose.........what is coming is better than what u have lost . ...... pokea katika jina la yesu. Love u Rozy.
Haleluy rozi muhando twakupenda San twakukaribish Mombasa Kenya tume kumiss San plZ tuna kuombeya Sana xiku moja ukuje Mombasa love you mama wetu
Waaachie zote ..........may God fight for you mama really you make me to keep listening your songs always coz there is good message
Nice song with a dirrect teachings
This woman she is like king David of our time thank you Jesus Christ for the gift of music
Achia ndoa zetu kwa jina la yesu God bless you Rose we love your more
AMEN
Shetani achia watoto wangu achia in Jesus Name.. achia kila kitu in Jesus Name
Amen Dada Roza mungu akutendaye mema na akupe sikunyingi.
njoo kwetu Ruangwa tuvunje nguvu za giza, Mungu akubariki saana
Mama Rose Mungu akuwezeshe usonge mbele kuliko hapo mwanzo...
hakika Mungu amekuheshimisha dada, hongera kwa ushindi
You sing so mightly,and your songs inspires me so much
Watapata tabu sana...Makuhani wakuu.. Mtto wa mungu amesimama tena. Mungu Utukufu na sifa ni vyako.
Amen
achia baraka zetu..it is well Rose ...mungu ameketi Enzini..ni salama
Kweli huyu mama amebadilisha maisha ya watu wengi kupitia nyimbo zake,MUNGU tunakuomba ukamuinue tena.
Amen jina la mungu lipewe sifa
Walio vyunjwa moyo watarudi Kwa Yesu Kristo tuu... Vunjwa vunjwa kabisa in Jesus Name..
Niko ndani ndani in Jesus Name
We love U sister Rose..hata waseme nini kwako hakuna kitu kitakacho kudhuru..kumbuka A bed,Mesh na Shadrack..walivyo tupwa kwa moto na moto haukuwachoma..hukopeke yako my dear uko na jeshi la Mungu kubwa sana....Endelea na injili ya Yesu Kristo watuwaokolewe kupitia nyimbo zako in Jesus Name
dadangu mungu anakutumia kwa kiwango kikubwa sana keep up
Hallelujah be blessed Rose
I’m still here 2day... love u Roe......
Ammeeen mungu niwamaajabu sana
ubarikiwi sana my sister Rose
Mungu atakusaidia
Hi habinti nashukuru unafika kwetu ...mungu azidi kukulinda
Hakika mungu atakupigania tunakupenda sana🙏 dada na rafiki ndugu
Wow we give Glory to JESUS CHRIST OF NAZARETH oh Hallelujah
i love u mama, unani inspire sana, naomba mungu aniinue nami nifike katika viwango vyako vya uimbaji
Amen Amen Mungu ni mwema be blessed mum wetu
Walidani utakufa.. sasa watakufa hao in Jesus Name..
Nadondosha machozi ninapo check hii clip na kulinganisha na maisha ya sasa! May God bless you anywhere you are
Love you Rose wanaokutesa washindwe usikate tamaa tupo pamoja tunakuombea
Wow go go go mother God wants you to do this job
Wow be blessed nakupenda sana
ktk nyimbo zake huo wimbo umebaba ujumbe mno yes barikiwa sana.
Nimatarajio yangu Rose atatoa wimbo WA kuhmza amani kongo
Nakukubali sana dada angu Mungu tu azid kufanya yake juu yako
Powerful
lazima aachie nakukubari sana Rose wangu
ubariwe mama mungu akulinde mama
Mungu Amwinue tena Rose Muhando
Amen
Welcome to my beautiful country,
Wow kipenz chetu♡♡
Ubarikiwe Rose
watching from zim
Mpaka machozi yametoka kwa walivyompokea jamani, kweli nabii hakubaliki kwao, tanzania tunamuona wa kawaida but mungu kamuinua kwingine
I proud of jesus name
Huyu ndio Rose Muhando wetu buaana
mingu akusimamie Dada rose
let God bless you so much
May God see you through
be blessed rose muhando
Duh leo ndio kawa ivyo alivyo mungu msaidie uyo mama
Sudy Mgeni umeona heee
@@stellamkama5841 dunia mapito haki yamungu.
Sudy Mgeni kweli, lakini tumuombee tu .
mama waimani rozi muhando pendasana nyimbozako
Eliud Justin can
Wl
Be also bless in Jesus Christ name, sister Rose
R Kayembe rozi MUNGU akupiganie ninajua wapo wanaoitafuta nafasi ulionayo wanadiriki kutumia uchawi namiungu yao lakini hawatakushusha kamwe mti uzaao hupigwa mawe majani hupuputika lakini unachipua tena tunakuombea Rozii.
MUNGU wetu ni MUNGU wa nafasi ya pili, akwangalie Rose kwa namna ya pili
l luv u mama
Wow umefanya viema mama kuhimba huowimbo Congo ubari kiwe tumekuwa wakiwa katika ichiyetu.
Waah...na nikweli hakna silaha ilioko juu yetu itakayofaulu....God' power is beyond satanic power...Glory to God powerful gospel singer is back
Mungu akikuheshimisha hivi tujaribu kutunza hiyo heshima please waimbaji Mungu azidi kusema nanyi muimbe kwa roho na kweli na sio kuimba tu biashara
Amen & Amen
love mama
barikiwa
God is faithful
huyu Ndo Rose wetu
kbd msafiVEVO ninamkubali sana Rozi mhando
Rozi wetu.Tanzania kuna upendeleo toka kwa Mungu wetu
Kalemie my city
Favour of God upon you
Shetani alipo ni macho kodooo... Shetani twakwambia na bado.... 😳😳😳😳😳😳
wow.
ulijuaje mama mahali pale hapo
Ninamwombea rose tens mungu amuinue.na taranta yake
Waaaa its GODS favour
ABSOLUTE WOW
may the will of God be done
Amen. Amen. Rosa Muhindo mungu. Akubariki
☁💟💟☁💟💟☁
💟💟💟💟💟💟💟
💟💟💟💟💟💟💟
☁💟💟💟💟💟☁
☁☁💟💟💟☁☁
☁☁☁💟☁☁☁
Mungu akuonakanie rose muhindo
Waooo
Kwa jinsi nchi hiyo ilivyo silaha mkononi sijui rose alikua anajihisi vipi.
Kwanini hawaendagi kiumba mji mkuub( Kinshasa?)
woow
I love u Rose Muhando but it's because we hear that u use satanic power ,of which is not good.
wow
waow
Kutumika Yesu kuna faida kubwa sana
Ebitoke
what is going on here
Kuna nn hapa
penda Sana Rose
Amen
nampenda sana rose mungu aendelee kumpigania
Kila MTU afanye yake
Du! watu wameshika A.K 47
UTAFIKIRI WAKO KWENYE MAPAMBANO YA VITA DUUH !
Tunabomoa tuna vunja emeni emeni
Hi habinti nashukuru unafika kwetu ...mungu azidi kukulinda