3 working sons and husband died, remaining 3 mentally retarded, unending tears of a 70 year Mother
Вставка
- Опубліковано 29 вер 2024
- Bosongo Vibes is the leading UA-cam channel that gives you the real picture around Bosongo and its environs.
Donate to our charity work via MPESA.
Paybill 40200, Account No. 40011517
Bank Account: 01192789125500
COPORATIVE BANK KENYA
#BosongoVibes #KisiiNews #NyamiraNews
Niko Gulf kaka atanikubali hadi nitoke huku this year
Gaki barikiwa sana mama atakupali urinde poma nakuombea mema
Uko serious
@@Tech-ww7dh yes niko seriously narudi huu mwaka kutoka Gulf
@@kak-ht7fkaki mungu akubariki si uingie inbox ya kaka
Mungu akubariki si uingie inbox ya kaka uongee na yeye
May God bless and see her through in Jesus name amen
Kaka mosubati kagocha abwo ere abamura abuo bare chibarimo mbamotige amenye gose
Hao wajamaa hawana shida they are very friendly to people, moi is a well known and very friendly the late Bichuri was the most friendly man
That's village grandmother, please assist him, infact Kaka you're ahero❤
The Only option Kaka Msichana wake mmoja arudi kwa hiyo familia yao akae it doesn't marther , Mtoto bora Mama apate amani♥️
Kaka ukipata msichana wa kukaa na mama utuambie bro.
Mungu simama na hii familia
If any of us here follows Erica and bamboo at life is spiritual you tube channel then you can relate and understand what is going on on our lives today 😢
I do. Life is really spiritual indeed 😢😢
@@MinaTuzo yes sure
You are absolutely right.
This has a lot of spiritual things going on before any lady plans to go, she needs to seek divine intervention do not go in a rush.
Blessings
true l do listen them
@@floraandbella2337suresure
Kaka plz mshosh kama huyu c mtu wakuzimama sana unamwambia anakaa mahali aki
Hope majirani wanataka kumumalizia kizazi ndio wajukue shamba juu ni kubwa endemero gusii ni diserster kubwa
More painful story bt bro msichana akipatikana plix mchunguze asiwe wa kuenda kumaliza shosh sina ubaya.
Kaka let the lady mwenye atakuja make sure u do background check before auende hapo my opinion
Kwa wote mpaka mzee stephine ndo Ako kwa akili na anauma mama means Stephane he was there for her mom
Kaka. Can you do oborogi na endamuamu gusii video. You have very good interviews that can be used to do this please.
Acha uyo msichana yake arudi nyumbani akae na mamake gaki
Nakaa emeolewa atafanyaxhe
@@SarahKerubo-p9l wamesema hajaoleka amejikaisha tu
Can the daughter stay with mama if she has children?
Kaka that home needs divine prayers, if possible invite pastors before everything.
Kaka huyu msichana wake ako sawa ama pia yeye ni mgonjwa mbona hangalii mama
Mybe hata yeye ayuko sawa
Nyasae akonye omong'ina oyo gaki .Pole saana asare ase ogokwerwa.Wishing tu apate mtu hata wanaongea ,wanakula pamoja .
Mungu wa wajane mwonekanie huyo shosh in Jesus name
Kaja hapo ni home gaki mm ni omonyansiaga na huyo mama namjua nashiliki Ritumbe Catholic pole mum mungu yuko gaki
Bonyasiaga wapi
Hapo kisumu did the family tampered with someone’s items ?
Good question... I might differ with some pple's ideologies sometimes dhambi za wazazi wanaololipia ni watoto...mama aanze Kwa kuombea familia yake na kutupu huenda hapo ndo Kuna shida sababu have seen such things around home
@@zionatisi5497 we all know the damage luos can do if u mess them
Kaka i might sound different on the matter....before we throw stones to pple lets think about these. Sometimes dhambi za wazazi wanaolipia ni watoto i.e sometimes parents do things that bring curses to their children i have seen such cases around my home area someone with money and properties but he has around 6 graves ni his compound 1:he acquired his wealth in a wrong way 2:he doesn't like other pple na anafanyia watu vibaya na ako na wivu....so kaka find out from shoshos neighbours ama watu wa karibu you mighty find a different story ama tafuta msichana wake why has the girl neglected her own mother na hii miaka yote🤔🤔🤔enwai naomba mungu ampe maisha mapya
Wacha msichana arudi akae Na mama atafutiwe biashara afanyie Karibu Na home gaki
Bichuri was well known at Nyangoso market, moi is well known at Nyangoso market, Jamani weka maombi Kwa huyu mama na familia yake
Why can’t the daughter come and live with the mum kama hana Kwake?
Its so much painful, hyo grandma ameyapitia but God is the only way
It's every parent's believe that sons and daughters will burrry him/her but it hurts most when it goes contrary. Pole gaki magokoro,i wish her surviving daughter could help getting one to stay with old Mama.
Ritumbe my village
Ghaki yeso yoyote mwenye anafanya hivyo kwa Familia my God punish you
Mwanamke atamaliza huyo mama na hao vijana akule iyo shamba within 2 years na arudi chiduka
My the mercy of our Father Lord Jesus Christ ad his protection take care this grandma
Mungu aingie Kati kama ni wazazi walikosea hawarehemu waliobaki wawe salama zii bure things happens with risons
Kaka l like you story. Ninasikia Nike na huyo mama sijui nifanye aje bro niko na Watoto watatu one boy 👦 two girls 👭.
So sad ata mimi nilipotesa all my siblings nimepaki pekee.but yote tuachie mungu aonekanie huyo shosho atapata mtu in mighty name of Jesus.
Pole aki
Pole sana
Pole
So sad aki nitakuja niishi na huyo mama kama mamangu ju nafeel uchungu sana kikosa mzazi ama mtoto
This woman and many others undergoing the same in the community...the government should set...something aside to offer them therapy....they really need therapy
True dear ❤❤ be blessed
Kwanza hawa akili zao zilikorogwa kaka maombi kwanza wapone alafu ndoa ifuate maoni yangu plz
Mungu saidia uyo mshosho Kaka nataka nikuje hapo nikuje nikae nauyo mshosho
Very sad story mungu saidia hii family from bad people
Omokong'u nabo agocha lakini omogano ore igabu noyi bwogokumi.mbatageti omong'ina atware gesaku na maybe noboremo bakomobunia
Gaki Tiga amasabo akorwe igagwo egekogera chiamate aande Gose mbatoreke
❤baraka tele kwa nyanya
Gaki MUNGU wa miungu kumbukumbu huyu shosh
Gaki mama God may intervine
Gusii yaito gaki kieke Bono gaki oyo ere ochande omongina onde iga yeso moyo are atatenda😭
Gusii gaaaaki😢😢😢😢😢.
Niko aba but tuko gift
This is too much😢
So sad 😭
Amabera gaki😢
I lack words 😢😢😢😢
Waaaaa God forbid😢😢
Pole mama ,pole saaana
Mungu asaidie hiyo familia
Maombi inaitjika hapa,
So emotional 😢
Kaka please do the vetting, there are so many ladies in the comments showing interest so huyo mama will be confused. I hope hatapata mtu ataharibu kabisa. The daughter shoud have come home if not married.
Congratulations kaka for reaching the grandmum❤.Huyo mzee Julius is my lovely father say hi to him
Pole sana for what that granny is going through. Oborogi MIGHT contribute, BUT it sounds like Schizophrenia tends to run in this family. There is treatment for Schizophrenia but the patient must be committed to taking medication as prescribed for the remainder of their natural life. Let that granny know there is hope and light at the end of the tunnel
Ngochande
This is heartbreaking. No grandchild😭😭. We can support her.
Gusii gaki
Gaki kaka watu n wapaya sana hata mm mtoto Wangu yani alifika. sule mukono inatetemeka sasa hadi hatoke sule lkn akiwa om ako sawa hana sida lkn akifiaka sule n mugojwa.lkn uyu mama waja mungu amupigane
Kiswahili
Shule,shida,wacha, please write ✍️ in a proper way
😭😭😭😭💃💃💃💃
Gaki😢
Follow up ya bogichora how is the nairobian surviving
Some crab that opportunity me also i grabbed opportunity like that bora nimepata kwangu wanaume kaa kando
Nakutavuta n call
Pole mamu
The grandma must be more than 70 years
Kaka, first of all maombi inatakikana sana hapo.Invite pastors wafanye maombi
Hiyo family could have been very far kama sio shetani alingililia kati kati😢😭😭
Kaka ochokore follow up ongende nyamira tuone huyo mwenye alifunganya vitu kutoka Nairobi
When you think you are going through a lot listen to other people's story 😢😢
Very sad indeed nyachieni gaki alitoka wapi kusumbua watu
Kaka please help that grandma may God bless you and your family 💖💖
Gai kaka ningekuwa karibu ningefika kesho but siyuko karibu nniko na watoto watatu,next time nikifika nitakurafuta.
😅
Kaka Sungura, please tafuta Erica to help her!
Kwetu ni ..nyacheki ..Kaka please Nina Rafiki yangu
Wow nyangusu ndio kwetu ritumbe ndio tunaenda church barikiwa sana kaka
Kaka please get some pastors take them to that home to do serious prayers.
Hapo ni karibu na home ekenyoro ekio negekongu kaka I know it very very well
Nani amenotice hata huyu mama hayupo sawa,ako disturbed😩🥺
Msichana wake mwenye anaishi eldoret ako wapi 26:17
Gaki amasabiki tomorrow amasabo pliz at this family
Wachawi hukumu yenu itakuwa ngumu😭😭😭😭
Kaka barikiwa kwa kazi yako na mungu afunike baba na damu takatifu yenye amepitia waja itoshe
Does it mean that there's no mca
Ritumbe ni nyangusu kwetu hapo
eke naki kere seito gaaki😢😢😢 abarogi abaaa
Nko ready nitamupataje number yake
Kaka please help mama aki apata mtu mzuri wa kuishi na yeye tena pia akuwa na tabia nzuri
Stephine ndo alikua ndani ya mama
Most mothers love 1st born sons more than anyone in the family. We lost our eldest brother and this affected my Mum highly uptodate .There's a unique bond.
Nko ready nitafikaje ama uweke number ndio nimupate
@@rozkin6921 contact Kaka
😢😢😢gaki mungu saidia huyu mama kiliochake kisikike
God be with this mama
Huyo msichana wake acha arudi ata kama ako na watoto akae na mama
U're right daddy
This is so sad jameni
So painful 😢😢
Amabera amanene gaki yeso aire ribaga, kabla hata huyu msichana akae waombaji wote mletee maombi kwa hii familia .ewe mola wangu sikia kilio Cha huyu mama amen .