FAMILY DELIVERANCE SERVICE - 22.11.2024.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 197

  • @euniceobare4544
    @euniceobare4544 Місяць тому +9

    I thank God for today's service, it was such a blessing. Naomba neema ya maombi ili nifanyike intercessor kwetu.

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому +1

    Mungu wai madhabau naomb tufunike na damu yako funika kibanda yangu na biashara yangu madui na waganga wachawi wasione katika jina la yesu kristo tufunguliwe shetani aibike nautuinue mbele ya madui zetu katika jina la yesu amen mungu wai madhabau tufunguliwe shetani aibike amen

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому +1

    Mungu wa hii madhibao niondolee uchungu wa maisha ulio katika muoyo wangu katika jina la yesu amina

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому +1

    Amen mungu wai madhabau anza nasi kupitia kwai mfungo na kwai madhabau yangu Anza nasi siku ya leo tufunguliwe shetani na madui zangu waibike katika jina la yesu kristo tufunguliwe tupate roho ya ufanisi amen anza nasi asubui ya leo amen mikosi yote na maroho yote zingolewe ndani yetu tufunguliwe shetani aibike amen azanasi mungu ulie ndani ya pastor Ezekiel anza nasi utufunike na damu yako madui zangu wasituone amen

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому +3

    Moyo wangu uko na uchungu 😢sina wakuambia mungu niko na watoto wanataka chakula sina kitu 😢ooooh Lord rejesha nyota ya kazi yangu amina

    • @MazellGama-j6t
      @MazellGama-j6t Місяць тому

      May God here your cries may he wipe away your tears

  • @carolinefinna4033
    @carolinefinna4033 Місяць тому

    Asante Yehova kwa kujibu maombi yangu yote niliyowakilisha kwako January mwaka ukianza🧎🙏Nahisi Wanipenda kuliko wote Mungu Wangu🙏Sifa na Utukufu zikurudie Adonai 🧎🧎🧎🧎🧎🙏

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому +1

    Mungu wai madhabau Naomba kufunguliwa pamoja na familiar yangu ndoto mbaya magpnjwa umasikin maden talaka vita namadui kwa biashara yangu kila roho isio yako zingolewe ndani yetu tufunguliwe shetani aibike amen

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому +1

    Vizuizi ,vyote madeni ,talaka,uongo kwa mwanangu roho ya usherati kwa familiar yetu na uzao yetu umasikini, magonjwa yote,wachawi,waganga wite zika ndani ya shimo ya moto wa yesu amina

  • @ednagesare4888
    @ednagesare4888 Місяць тому +1

    Mchawi mganga aniachilie, aachilie baraka zangu, Nyota zangu in Jesus name

  • @joycemusili6559
    @joycemusili6559 Місяць тому +1

    Thank you Jesus l receive this powerful Anointing prayer in Jesus mighty name Amen and Amen🙏🙏🙏🙏

  • @FarmlandHoldings
    @FarmlandHoldings Місяць тому +3

    Through today's service I ask God and my high altar to give me customers this evening let me exceed my daily sales in Jesus name

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому +1

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau watoto wangu wakombolewe kwa jina la yesu kristo amen

  • @SofiaMramba
    @SofiaMramba Місяць тому +6

    Kwa hii madhabahu naomba ni pate ndoa ya heshima na ubariki kazi yangu mkono yangu napokea utajiri Kwa jina la Yesu

  • @merimm6455
    @merimm6455 Місяць тому +1

    Mungu naomba sikia tamanio la moyo wangu masaa haya kwa jina la yesu kristo

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому +1

    Rita nakemea roho ya mauti ishindwe katika jina la yesu kristo amen

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому +3

    Hini madhabau yangu tufunguliwe shetani aibike amen

  • @perezouma1828
    @perezouma1828 Місяць тому +1

    May my life change in the mighty name of Jesus nyota yangu ingae leo katika jina la Yesu

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому +1

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau Dan na summy wakombolewe kwa jina la yesu kristo amen

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому +1

    Nyota yake iwachiliwe na apokee roho ya ufanisi katika jina la yesu amina

  • @NaomySuperStar888
    @NaomySuperStar888 Місяць тому

    Kupitia Hii Madhabahu naomba Nehema ya maombi kwa sababu mimi ni intercessor familia yangu na naomba Mungu apee Nehema ndugu zangu wawili wadogo roho ya huduma na intercessor wa kwetu pia wawe wazaidizi wangu katika jina la Yesu. Amen 🙏 Nguvu za Nwenyezi Mungu inishikie kama moto katika jina la Yesu Amen Amen Thank you God 🙏🙏

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому +1

    Maroho yote yanayo winda watoto wangu muhonja na keziah ikamatwe Katika jina la yesu amina

  • @lucywambui7386
    @lucywambui7386 Місяць тому

    This service is ,was very powerful ,I have rewatched 4 times and it's still fresh ,same anointing.

  • @lindauma982
    @lindauma982 Місяць тому +5

    Mungu niponye kichwa changu nimechoka kuumwa kila siku kichwa cina amani Yesu niondole hyo roho in jesus name🙏

    • @Godneverfailed
      @Godneverfailed Місяць тому +1

      Chukua hatua ufunge alafu uende kanisa utoe sacrifice utapona,Niko na shuhuda kupitia hii kanisa ya newlife

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому

    Amen natamani kumjua mungu zaidi Naomba iyo roho ya kufunga na kuomba nimujue mungu zaidi mikosi yote ingolewe ndani yangu zingolewe ndani yet tufunguliwe shetani aibike amen

  • @Nabulwalajenepher
    @Nabulwalajenepher Місяць тому

    Oh Jesus I received these powerful prayers 🙏🏻 in the mighty name of Jesus Amen 🙏🏻 🙏🏻

  • @BHOKERAEL
    @BHOKERAEL Місяць тому +1

    Najiconnect asubuhi ya Leo kwa haya madhabahu roho ya kizunguzungu itoeke katika jina la yesu 🔥🔥🔥

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому

    Mungu wai madhabau Naomba vidonda via tumbo kwa tumbo yangu naomba kupiti kwai madhabau nai mufungo nsomba nfunguliwe nipone shetani aibike katika jina la yesu kristo nfunguliwe amen

  • @rahabsmarzta6058
    @rahabsmarzta6058 Місяць тому +1

    Lord may this altar change my life

    • @RuthBahati-v7q
      @RuthBahati-v7q Місяць тому

      Mungu nikubuke na ubadilishe maisha yangu kupitia kwa mtume wako ulie mtuma kwetu

  • @faithwere1865
    @faithwere1865 Місяць тому

    I receive this annointing in the Mighty name of Jesus Christ

  • @lindauma982
    @lindauma982 Місяць тому +2

    AMEN thank you God for the gift of life🙏🙏

  • @CarolinePeter-bt2pg
    @CarolinePeter-bt2pg Місяць тому

    Ndoto mbaya ziniodokee in Jesus name,amen

  • @ednagesare4888
    @ednagesare4888 Місяць тому

    May i reach for my blessings in Jesus Christ name. May I enjoy my blessings. May I step up in the ministry in Jesus name

  • @gracemuthoka2389
    @gracemuthoka2389 Місяць тому

    Haya madhabahu na yakaseme katika maisha yangu.

  • @gracecollins2017
    @gracecollins2017 Місяць тому +1

    God as this service continues God open doors kifedha I want to be a millionaire

  • @peternboss5561
    @peternboss5561 Місяць тому

    ameeeeen yesu uniombee ufanisi ameeeeen ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

  • @andrewwerimo4639
    @andrewwerimo4639 Місяць тому +1

    prayer for. breakthrough finically and. career opportunities

  • @EuniceNzilani-ui3oe
    @EuniceNzilani-ui3oe 21 день тому

    Yesu ukizuru katika Ii ema usinipite nitembelee uponye maisha yangu

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Mungu wa hii madhibao komboa familiar yetu katika jina la yesu amina

  • @joycemusili6559
    @joycemusili6559 Місяць тому

    Glory Glory be to God Hallelujah hallelujah🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau mama yangu apokelewe kwa roho ya upendo na heshima kwa jina la yesu kristo amen

  • @benardochiengodero6881
    @benardochiengodero6881 Місяць тому

    Jesus through your power from this my spiritual father's Altar , Evangelist Ezekiel Odero give me job of chef

  • @YuniahBosire-e2j
    @YuniahBosire-e2j Місяць тому

    Mungu kwetu nyota zetu zingae in Jesus name amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sabinakieti7075
    @sabinakieti7075 Місяць тому

    Amen chochote kisicho cha Mungu kwa maisha yangu na familia yangu kitoweke instantly Jina la Yesu

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Mungu wa madhibao haya ya new life comboa watoto wangu,wafungue kutoka kwa damu ya uko

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Wengine wanapo pona pia magare uko nyumbani apokee uponyaji usiku wa leo katika jina la yesu amina

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau tunajifunika na damu ya yesu kristo amen

  • @pamelaalivitsa9649
    @pamelaalivitsa9649 Місяць тому

    Kila ndoto mbaya zote,,kuota ndoto ya maji Hadi nimeshindwa pa kukanyaga,naikemea naing'oa yote naikusanya kusanya nazika ndani ya moto bwana Yesu ukachome🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Mary-m4j4f
    @Mary-m4j4f 21 день тому

    May this day be a breakthrough from my life

  • @EuniceAnyango-pq4np
    @EuniceAnyango-pq4np Місяць тому

    I connect to the altar in Jesus name amen 🙏🙏🙏

  • @gladysmukhwana4620
    @gladysmukhwana4620 Місяць тому

    Yesu naomba unitie nguvu ndani ya huduma ya ministry in Jesus name amina

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Lord you're my only hope niko chini ki financially na sina wakukimbilia 😢😢kazi yangu iko chini madeni nimejaza😢sioni wakuambia mimi ndio mama na baba nikomboe siku ya leo mungu wangu 😢Lord deliver me today

  • @EVERLYNEAMUYAEKUTON
    @EVERLYNEAMUYAEKUTON Місяць тому

    Naomba madhibau ya higher alter initete mm pamoja na familia yangu ndoto mbaya ipigwe na radi wa yesu in jesus name amen

  • @immakurat6181
    @immakurat6181 Місяць тому

    I connect myself and my family members all plus my business of poultry farming and Salling my father Jesus christ son of leaving God

  • @sabinakieti7075
    @sabinakieti7075 Місяць тому

    Amen i receive Instantly healing and deliverance with my Family in Jesus Name

  • @NancySagwa
    @NancySagwa Місяць тому +1

    Thanky God for today blessings amen

  • @marynafula7836
    @marynafula7836 29 днів тому +1

    Exodus 19:1-10

  • @yasintapetro5422
    @yasintapetro5422 Місяць тому

    Amen 🙏 napokea uponyaji in Jesus name

  • @YuniahBosire-e2j
    @YuniahBosire-e2j Місяць тому

    Asante kwa siku ya Leo nagwokofu Kila siku mungu wangu amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Mungu wa hii madhibao komboa muhonja kutoka kwa midomo ya simba ,fungua maisha ya mwanangu ,mfunike ,mfungue kwa vifungo vya waganga na wachawi ,naitisha nyota yake ingae na ndoto yake ikatimie amina

  • @DianahOgenche-c5h
    @DianahOgenche-c5h Місяць тому

    Through this greater alter ipray God to deliver my family from spirit of rejection and divorce

  • @prosahkristina757
    @prosahkristina757 Місяць тому

    Mungu naomba neema ya kuomba na kufunga

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau wachawi na wanganga wapingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo

  • @Lilian-r8i
    @Lilian-r8i Місяць тому

    Mungu nadai mume wangu peter ndoa yetu i pokee uhai tena kwa haya madhimbau in Jesus name

  • @Naomi-tl9zq
    @Naomi-tl9zq Місяць тому

    Roho ya mauti ouuuuuuuuut 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Yesuyesuyesuyesuyereeeesu wangu nisikie baba nisamee dhambi zangu nikomboe mungu wangu sikia kilio changu kina uchungu mno😢😢😢oooooooooyesu moyo wangu karibu kupasuka baba nikomboe tu😢😢😢yesuuu

  • @EuniceAnyango-pq4np
    @EuniceAnyango-pq4np Місяць тому

    I connect my son john ouko to the altar maroho ya ulevi na bangi navunja katika jina la yesu

  • @ChristabelNgere
    @ChristabelNgere Місяць тому

    I connect my bro with altar ,roho ya ujambazi imuondokee

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau yeyote aliye chukuwa kiatu ya kirwa apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo

  • @Anny-e5h
    @Anny-e5h Місяць тому

    Kupitia kwa hayo Madhabao naomba Mungu ucnipite sikia kilio changu Ee Mungu ondoa mikutano ya gosp hapa kzni mwangu nukusi na fitina ondoa Mungu

  • @MwendePeter-ob5gs
    @MwendePeter-ob5gs Місяць тому

    Thank you lord for guiding me in my relationship,,,,,, finally marriage imefika

  • @hoseaorone3609
    @hoseaorone3609 Місяць тому

    Nashukuru Mungu kwa kunipa shamba

  • @prosahkristina757
    @prosahkristina757 Місяць тому

    Mungu nipe kibali kwa hii kazi

  • @Lilian-r8i
    @Lilian-r8i Місяць тому

    Ameeeen I'm free I'm free I'm free I'm free I'm free I'm free in Jesus name

  • @CarolinePeter-bt2pg
    @CarolinePeter-bt2pg Місяць тому

    Kupitia hii madhabau mungu niokolee ndoa yangu na unipe nyota ya ufanisi

  • @hezronnduku1482
    @hezronnduku1482 Місяць тому

    Mungu nipe neema ya maombi kuanzia masaa haya na pia dakika hii

  • @sabinakieti7075
    @sabinakieti7075 Місяць тому

    Amen i receive a bright star of success in Jesus Name

  • @ValarieEngefu-dd4cx
    @ValarieEngefu-dd4cx Місяць тому

    Mungu niponye tumbo🙏🙏🙏

  • @TinaMaina-m6p
    @TinaMaina-m6p Місяць тому

    Amen nime funguliwa amen

  • @egranyaega9699
    @egranyaega9699 Місяць тому

    Amen, am free in Jesus name

  • @GloriaMutio-bh3kl
    @GloriaMutio-bh3kl Місяць тому

    God bless me, with health and wealthy

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau mama Eliza na madhabau yake ya uchawi apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita nakemea roho ya mauti ishindwe katika jina la yesu kristo

  • @RoseJacob-q9h
    @RoseJacob-q9h Місяць тому

    Kila roho ya uchawi performed against my life ichomeke in jesuchrist name through this alter

  • @rusingaislandproduction
    @rusingaislandproduction Місяць тому

    Yesu pia nijaze kupitia maombi haya

  • @ZiphorahMutanu-pn8vf
    @ZiphorahMutanu-pn8vf Місяць тому

    Kupitia madhabau haya nikapate nyota yangu kwa jina ya yesu

  • @EuniceAnyango-pq4np
    @EuniceAnyango-pq4np Місяць тому

    Dear lord forgive my sin and wash me with the blood of Jesus

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Naitisha roho ya ufanisi ikawe kwa maisha yangu na biashara zangu

  • @ChristabelNgere
    @ChristabelNgere Місяць тому

    I pray for total healing for my son

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Naitisha roho ya ufanisi kwa kinzozi na kazi yangu ya wasichana

  • @MakayoEve-vf6cv
    @MakayoEve-vf6cv Місяць тому

    Today's service was more 🔥 🔥🔥

  • @lilianayago3824
    @lilianayago3824 Місяць тому

    Kupitia kwa hii madhibao mungu tupatie ma customer's hiii jioni kwa biashara zetu

  • @Sharon-ot7dv
    @Sharon-ot7dv Місяць тому

    Roho ya imaskini, ya usherati uganga , wizi, roho ya kutoendelea kwa maisha , tunataka shamba pastor tumechoka kuishi kwa manyumba kama hii ya kukodisha

  • @ChristabelNgere
    @ChristabelNgere Місяць тому

    Naomba madhibahu hii initetee kwa kazi yangu pesa kupotea bila kujua vile inapotea ikome

  • @edinahgesare3301
    @edinahgesare3301 Місяць тому

    God is so good.

  • @JanetKaingu-f7o
    @JanetKaingu-f7o Місяць тому

    Yesu unapozuru wengine usinipite Babaa

  • @ronahkemuma4
    @ronahkemuma4 Місяць тому

    Thank u I received

  • @EuniceAnyango-pq4np
    @EuniceAnyango-pq4np Місяць тому

    Mungu tupatia nguvu na hekima

  • @MoureenMoureen-h7k
    @MoureenMoureen-h7k Місяць тому

    Eeh mungu wa madhibau haya naomba kupitia sacrifice Bonface Awiti ricieve deliverance healing upon your life in Jesus mighty name

  • @peternboss5561
    @peternboss5561 Місяць тому

    ameeeeen yesu ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

  • @LilianAkoth-x9g
    @LilianAkoth-x9g Місяць тому

    Lilian akoth mungu niondole roho ya umasikini kwangu.