Ivi SENGO unajikutaga nani wewe maan ulivyo act mtuu tatu apo kuna jinsi unakuwaga na ujasiri fulani yaan kujiamini kujiskia kama tu jins uko kwa mpangaji🌷⚘🥀🤣🇧🇮
Jaman ndugu zanguni msinitukane tu ila kusema ukweli kaka SENGO hii kazi yako mpya THE HOUSE mm sijaipenda tofauti na ile ya UBAYA UBWELA lkn sasa hii movie yako mmmh !! Kama kuna mtu hajaielewa kama mm tujuwane kwa like na comment pls 🙏🙏 LKN KAKA SENGO UNAFANYA KAZI NZURI SANA HONGERA🎉🎉🎉
Marry christmas
❤❤❤❤
Ivi ni ww kweli ?
Vipi boss
Boss Mambo nime ona movie Yako inani saidiya sana kk ss ninge omba muni shirikishe nipo Congo kisasha bunia please kk🙏🙏🙏🙏🙏
CLAM wa mchongo hawa ndio wasenge wanofoji account za watu.
Mashabiki wa YANGA tuliokuwa humu kwenye kumfuatilia SENGO tujuwane kwa like 👍👍 maan asaiv timu yetu ni 🔥🔥 wakuotea mbali yangaaaaaa oyeeeeeeeee💚💚
Mwananchi oyeeeee💚💚💚
Yanga tupo wananchiiiiiiii
Hahaha pole cna
Sengo humu umeshenyetwa wewe 😅😅😅😅 maana kwenye mpangaji umejua kutesa wenzio 😂😂😂😂 zam yako 😂😂😂
Ila sengoooo
Vyenye analia huezi Dhani ni yy anashenyeta wenzake kwa mpangaji😂
😂😂😂😂
Duuuh movie kali aisee😊
Mk ni nomaaa
Unyama sana mwamba
Mzee wa mishenyeto zamu yako ya kushenyetwa 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kweli tena anashenyentwa vizuri sana😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂 nakwabia
😂😂😂
Cna cha kukulipa mungu ndio atakulipa umeya kanyaga sengo
Ameyakanyaga kidogo
Yani mauza uzaa! From 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
From Kenya nawakubali sana
Daa sengo mwak wko wamisheneto😂😂😂
Nakubali xanaa
Leo anashenyetwa yy....hahahaha
Sengo humu umeuwa mbayaaa, keep it up blood.... All the best!
Sikuku unailia kwenye mateso makubwa sengo 😂😂😂😂😂😂 1:53
sengo mgumu sana Kufa wee mshikaji😄😄
Wa kwanza Leo nipeni mauwa yangu from Kenya
Yani kaz nzuri kupita maelezo
ipo vzur
Sengo leo umepatikana😂😂😂😂😂😂😂c huwa unatesa watu huko kwa mpangaji😂😂😂😂😂
Jaiva aweeee
masikin sengo anaanza kulia 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤
Sengo mshenyentaji,,, acha ashenyentwe😅😅😅😅😂😅😂😅😂😅😂😅😅😂😂😂😅😂😅😅😂😅😂😅😂😅😂😂😅😅😂😅😂😂😅😅😂😅😂😂😅😂😅
Huku hajui afanye nn😅
Naabado
Big up sengo mk kwa kazi kubwa kama hii, chukua zawadi yako🎉🎉🎉🎉
Watakushanyata hadi ukome😂😂😂
Amepatkana
Hii movie nzuri
Sijui kama hii mishenyentho utaiweza simba la masimba sengo.
Nimeshtuka mwisho😅
Simba la masimba sengo vp mshenyento
🎉🎉 kazi nzur san sengo mzee wa mishenyento
Ameweza
Sengo umeukanyaga baba
Tena ya kisigino
Sengo🎉🎄🎄🎄🎄🎄🎄
Simba la masimba sengo leo amepatikana
Sengo mzee wa mishenyeto unapitia kweli
Kushenyeta wenzio tu zamu yako😂😂😂
Tobaaaaaa😂😂😂😂😂mzee wa mishenyento anashenyetwa
Mimi sijapenda bro ,hakuna misenyento
Wa tano nimewahi mukumi lamwanzo 🎉🎉🎉mze wa mishenyeto umeyatimba nakwambiya😂😂iyi zamuyako kushenyetwa upo😂😂😂
Sengoww munyama mno
Daaah movie kali xn hngr sengo
Ila SENGO vyeny unatutesa kwa Mpangaji wacha tu tukutese uku 🤣🤣🤣🤣🇧🇮❤
lil dzeko umeupiga mwingi
Simba la masimba linashenyetwa😂😂😂😂wa kwanza kutoka Mombasa#001
KAZI Nzuri🎉
Sengo jamani Leo unashenyentwa🎉
Jamani leo ni wakwanza kutoka Mozambique naomba likes zenu❤❤🎉
Mungu akuinue 🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee wa mishenyeto amwaga machozi😅
Sengo itabdi umuowe huyo dem anae lia ili mfarjiane nakusahau yanyumban😂😂😂😂 waionaje hio
Sengo Leo umepatikan😢😢😢😢😢
Sasa wewe Sengo ndo nini kutuogopesha wenzio 😂😂😂
Mzee wa misyenyeto❤❤❤
Saahi sengo umeanza kuleta vitu vikali mungu akujalie usonge mbele zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉
Nyie mie nimewah leo nmokuja nipeni like ata 10 bc nawapenda kwa ajili ya Allah 🎉🎉❤❤❤
Merry christmas 🎉🎉🎉kaka sengo
Ivi SENGO unajikutaga nani wewe maan ulivyo act mtuu tatu apo kuna jinsi unakuwaga na ujasiri fulani yaan kujiamini kujiskia kama tu jins uko kwa mpangaji🌷⚘🥀🤣🇧🇮
Kashenyentwa jamani sengo😂😂😂
Mambo ni moto kikweli EP 4
Huku umepiga mnoo
Kazi nzuri 🎉
Mzee wa mishenyento yemekukuta😂😂😂
Sengo❤❤❤🎅
Sengo leo unashenyetwa wewe
Nipeni like zangu kutoka Turiani 😂
Kazi ikoo poa sengoo mzee wa mishenyetoo 😅😅😅😊😊😊😊
Hii ya leo kali😂😂😂
Sasa bona mwisho mnataka nife au😅😅😅😅
Sengo shenyentwa vilivyo sasa😂😂😂malipo n hapahap
Sengo pia ww walia😂😂😂😂
Kumbe zumba ana kigugumizi
Sengo hatuja kuzoe ukiria bwana mm inaniuma
Nakubali familia yangu
Tunapo endea tutakuwa atuwafatili watu zambe mtoa taratibu sn mpaka mnatukera
Movie Kali sn kaka sengo
😂😂😂ila Sengo
Huyo sengo mzee wa mishenyeto kasenyetwa
Me sijaiyelewa ata kidogo hii move bhana Amna kitu
Sengo wewe umenifanya nimeangusha simu yangu🥲😭😭
Naona unasaidiwa kulia
Mzee wamichenyeto umeupiga mwingi 🎉🎉🎉❤❤❤
Zumba usIjarbu kula tunda la kaka
Sengo naona dem analia inamana anakupenda
Merry Christmas to you brother Sengo🎅🎄
Muda wako wakushenyetwa umefika 😂
Marry Christmas team senko ❤ keep it up good work ❤️leo hata wanitume mandazi setting room usiku siezi enda 😢umefanya nimeogopa 😢😂😂😂
😂😂😂😂😂sengooo unatoa shukuran ili hli haujavuka mto
Marry Christmas 🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲
Weee c mohamedi unasheherekea christmas au
@@NasraFahmy-j9y😂😂😂
Umeyakanyaga nakwambia
Sengo kashenyentwaa 😂😂
Next pls
Kazi nzur ❤hila sengo unapitia wakati mgumu😢
Maskin sengo😢
Hatari
Merry Christmas Sengo
Great ❤
Pamoja sn
Kaz nnzu
Jamen sengo pole san 🥱🙏🏼😢😢
ni nzuri ila unapata msituko WA moyo,,kwenye giza
Jaman ndugu zanguni msinitukane tu ila kusema ukweli kaka SENGO hii kazi yako mpya THE HOUSE mm sijaipenda tofauti na ile ya UBAYA UBWELA lkn sasa hii movie yako mmmh !! Kama kuna mtu hajaielewa kama mm tujuwane kwa like na comment pls 🙏🙏 LKN KAKA SENGO UNAFANYA KAZI NZURI SANA HONGERA🎉🎉🎉
Mbona nzuri sengo hanaga show mbovu wazanzibar tunakupenda karibu kaka uje ule urojo na ubuyu
@@sharifamohd3857❤❤❤
Kama hujaipenda usiangalie filamu ikizidi kuifatilia ndo utaielewa usiwe na pupa utashenyetwa😂