Why, usahili is everything to me, nahitaji kucheka , nahitaji kusikia mziki mzuri bila ya maspeaker hayo ,nahitaji wale majaji wanoko .where is the good staff
Hii statement ya kusema msanii akija aimbe nyimbo ya kiswahili bila kuconsider uwezo wake vocally ni kwamba mnatafuta mtu mwenye uwezo wa kufanya Kareoke za Kiswahili ama mnamaanishaje? Pia Shilole jmn ajaji watu wanaoimba kweli kweli kweli jaman, No disrespect ila sina hakika kama ana hilo sikio la muziki, mnamchanganya tu 😂😂😂😂
Mbona Hii Bss sijaielewa kabisa. Ni kama imetengenezwa na hao majudge tu😂 Kwa maoni yangu haina vibes kama ya miaka yote kabisa full of shiit 😢😢😅😅 #Hizingatiwe kwa Maoni yangu
Nimesikia huyu Mshiriki Alfred Ally hua ana kiburi ndio maana hatoki, tunakaa bar na mapedeshee wengi waliokua wanataka kumsaidia huyu dogo Arusha,ila ana kiburi na dharau,na hio haitompeleka popote.
Niko drc Congo 🇨🇩 naichunga kwa hamu sana BSS mm Rita Mungu akubariki mama💪💪
Woow Patrick an amazing performance 😍 Malaika song by Nyashinski from 🇰🇪
Watching from Kenya big up
From Kenya watching and following your program munaguza vipaji
Aliechagua uko sawa naooo katishaa sana yaani best choice of song imembeba na cofidence pia katishaaa
Ngonga like km na ww ulikuw wasubir full episode
Patrick 🔥🔥🔥
Huyu wakwanza aloimba jamani alokusuka nywele mwambie akurudishie hela zako 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Finally.much love from +254
Huku mbona wanaimba kingereza na wanatoboa Kwa master shida nini 😌😌
Finally here come all the way frm usa lock dani
👏👏👏👏Bravo! JACKSON TUMA 👏👏👏👏👏👏👏👍🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗❤️💕❤️💕❤️🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗✌️🍀✌️🍀✌️🍀✌️🍀✌️🙏🙏🙏
Patrick❤❤❤❤
Have been waiting for this full episode ✅,bss🔥
Nasib good job Bro, much love from +254
Team ya madam Rita wote wakali asee🥰❤🔥🔥
Nandy tufichie hayo maziwa ya kashangazi chetu usiyaanike hivyo🤦♂️😜
Huyo wa kwanza ni kiwigi au amesuka 😂😂
Patrick Alsina🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽
Audio is not well recorded
Why, usahili is everything to me, nahitaji kucheka , nahitaji kusikia mziki mzuri bila ya maspeaker hayo ,nahitaji wale majaji wanoko .where is the good staff
Hongera sana Patrick ❤❤❤❤❤❤❤
Hii statement ya kusema msanii akija aimbe nyimbo ya kiswahili bila kuconsider uwezo wake vocally ni kwamba mnatafuta mtu mwenye uwezo wa kufanya Kareoke za Kiswahili ama mnamaanishaje? Pia Shilole jmn ajaji watu wanaoimba kweli kweli kweli jaman, No disrespect ila sina hakika kama ana hilo sikio la muziki, mnamchanganya tu 😂😂😂😂
😃😃😃🤣
Umeongea kweli aisee
Ni kweli
Madam😂😂😂🙌🏽kuna mashabiki ingine ni wanafki😅😅😅😅
Sound Engineer naona hajatendea haki hii episode 1.
Pato 👏🏿👏🏿👏🏿🇰🇪🇰🇪
Sasa Fatma anajua nini???😂🤲🏾
Team madam ritha na salama n fireeeeeee. Ila ya master j ahahaha n kipengele
Mashabiki jamani😂😂 hamtaki Patrick amelize wimbo wake
Hii Bss huwa inashika Salama, Master, na Madam Rita wakiwa ndio majaji.
Besides, ule usaili wa mikoani ndio unaifanya inoge zaidi.
Majaji kutoa koment Moja sio kibaya ila wanatoa maksi ambazo zinawatofautisha washiriki
Nandy icho kifua mama dah bs tu
ua-cam.com/video/WPRyZXYJPy8/v-deo.html
ASEE TOKA NIZALIWE SIJAWAHI KUONA TAMTHILIA YA COMEDY KALI KAMA HII 👆
Episode 1
sasa zile video zilikua ni za nn
Kuna time majaji wanafata upepo(bendera)🤣🤣🤣🤣
Ritha pekeyake apo ndo namuona yuko sahii bt hao wawili Hakuna kitu aky waah
Yaani Kwa huyu fatwima
Ndo utajua faida ya Mr jay kuepo kwnye majaji
Kwanini master j hayupo😢😢
Julius umeanza kutumia mmea nn mbona sikuelewi 😓😓
Sauti ya maongezi inajiludialudia na kutengeneza kelele
Mbona Hii Bss sijaielewa kabisa. Ni kama imetengenezwa na hao majudge tu😂
Kwa maoni yangu haina vibes kama ya miaka yote kabisa full of shiit 😢😢😅😅
#Hizingatiwe kwa Maoni yangu
Majaji wapo SAWA lakini Elisha wamuoneya from Canada
Wewe ndo full of shit because you failed to understand the intro by chief judge ....🤷🏿♂️
Kuwait 🇰🇼 tunawapata kbsa
Pamoja sana tuliopo Kuwait tunawapata vyema
kumbe ilikua haijaanza siku zote🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Zido ww mshindi
Margaret amekuja tafuta bwana 🤣🤣🤣
First 😊
Msukuma fonabo anajua 😂
Nas fonabo
Wapi salama jamani
Rapa katuchoma mamyaqe
Majaji wenyewe wanafanana maoni
Nimesikia huyu Mshiriki Alfred Ally hua ana kiburi ndio maana hatoki, tunakaa bar na mapedeshee wengi waliokua wanataka kumsaidia huyu dogo Arusha,ila ana kiburi na dharau,na hio haitompeleka popote.
msenge wewe
Duuu Elisha anainelewa sana please guys munavofanyq vibaya Elisha kaimba safi sana ngoma nzuri
Acha ukuma the point is ukitaka kumsaidia mtu huwa hatuangalii tabia yake au muonekano wake so wacha creativity mbovu about him fucking in did
Wanaokupinga hawaelewi ila ulichoongea ni kweli nami nilisikia hivohivo nasikia anajikutaga star sanaaa so watu hawana time yake @fredrickaggrey4984
7th
Nandy ushakuwa mama nyonyo halina thamani tena duuh lifunike kdg basi
Acha wivu weweee, funika lako🤣🤲🏾
@@VanessaFK we nae ebu nitolee komwe lako🥴
@rosemahenge9071 ndo uache kukurupikia vifua vya watu shooo😂
@@VanessaFK Ebu weka cha kwko mana naona unashoboka utasema nimekwambia ww chefu 🤑
@@rosemahenge9071 na wewe funika nyonyo zako mbona wewe unashobokea za nandy😹
Uyu nassibu ni 👎
Fonaboooooooo
ua-cam.com/video/WPRyZXYJPy8/v-deo.html
ASEE TOKA NIZALIWE SIJAWAHI KUONA TAMTHILIA YA COMEDY KALI KAMA HII 👆
Episode 1