Radd kwa Othmān Maalim - Majibu Yetu Dhidi Ya Kauli Za Upotoshaji Alizozitoa - 1.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Sheikh Abuu Yahya Hamad Nassor Al - Zinjibāry حفظه الله تعالى ورعاه

КОМЕНТАРІ • 141

  • @sokotvonline8845
    @sokotvonline8845 3 роки тому +11

    Nilichogundua Hapa Ni Chuki Tu, Zinazo Wapelekesha Maana, Sheikh Othman Hajamtukana Mtu, Pia Hizo Hadithi Tukumbuke Yeye Hajazisoma Hadithi Kama Hadithi Bali Alikua Akitoa Mafhumu, Na Mafhumu Unaweza Yatoa Kwa Maneno Yyte Yenye Kuleta Ufanano.

    • @khalfanmasoud1514
      @khalfanmasoud1514 2 роки тому +4

      Ninashangaa hilo tusi kalitoa katika khutba yake na kasema eti hakuna albaniy amesahihisha khutba hakusema kumbe mzushi tu huyu na mwongo

  • @sokotvonline8845
    @sokotvonline8845 3 роки тому +8

    Sijajifunza Kitu Hapa, Zaidi Ya Upuuzi Tuh

  • @abouda.r.7901
    @abouda.r.7901 3 роки тому +5

    Mashekhe wetu bana! Haya mambo ya mipasho tiwaachieni waimba Taarabu
    Dini mshaifikisha kwenye mipasho

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 3 роки тому +1

      Allah akuhifadhi ewe aboud hakika duniani tunapita na ukumbuke utaulizwa juu ya kila ktu chunga nini unaandika sabubu hujuw km utawi kufuta kabla hayajakufika maut kua mpole kua msikivu kisha ndio utoe maamuz namuomba allah akuongoze wewe na mimi katika njia ilio nyooka

  • @suleymanmohd3418
    @suleymanmohd3418 3 роки тому +8

    Masalafi wanatumia nguvu nyingi sana katika kuwavuta tu watu wawe katika upande wao.
    Ndio maana mda mwingi wanautumia kutukana mashekhe,kuwaona hawana ilmu isipokuwa wao tu na kujiona wao tayari washakuwa watu wa peponi.
    Wanajifanya wanawaondoa watu katika upotoshaji na hali ya kuwa wao ndio wapotoshaji.
    Mashekhe hao ambao wanawatukana na kuwapuuza kwa kuwa wao si katika wao (MASALAF) wanayajua yote kuhusiana na masalaf kuanzia kuundwa kwao,itikadi zao,malengo yao na hata shabaha zao juu ya Uislam upoje,lakini hakuna sheikh anayetaka kuyazungumza Haya kwa sababu ni mambo ya watu na ni mipango ya watu katika kuweka sawa njia zao na pia hawataki kuzungumza ubaya na uovu uliopo ndani ya USALAF kwa kuwa tu mtume pia amefundisha jinsi ya kuyaendea mambo hasa baada ya kuangalia matokeo ya majambo husika.
    Salafi sio maana yake kuwa ni watu wema waliopita hapana huo ni ujanja tu watu wamekaa na kuamua kunasibisha na UISLAM ili wanayoyataka na kukusudia yawe.
    Mtu akikwambia mimi ni SALAF maana yake mtu anafuata uovu na ubaya wa watu waliopita tena katika njia ya ujahilia hiyo ndio maana ya salafi.
    Ukisoma qur an nzima sehemu zote katika aya zilizokuja na neno SALAFA(Kitendo) na jina lake kuwa ni SALAFI neno hilo salafi limekuja katika sura ya uovu na ubaya wa watu waliokuwa wakiufanya kwa ujahilia wao kabla ya UISLAM kuharamisha hayo mambo.
    Ukifungua Surat Al-baqara aya ya 275 katika tafsir ya Imam Twabranii mujallad wa 3 ukurasa wa 101 utakuta habari ya hiyo aya ilivyo tafsiriwa.
    Vile vile ukifungua tafsir ya Imam Ibn Kathiir katika mujallad wa 1 ukurasa wa 436 utapata tafsir yake.
    Ukifungua Surat Nnisai aya ya 22-23 katika swafuat tafsir ya Imam Swaabuun utakuta jinsi ya hilo neno SALAFA lilivyo tafsiriwa.
    Ukifungua Surat Al-maaidah aya ya 95 katika mujallad wa 2 ukurasa wa 134 katika tafsir ya Imam Ibn Kathiir utapata khabar hizo.
    Na katika aya nyingine nyingi zimekuja na kuelezea hiyo tafsir ya SALAFA.
    Na sehemu zotE aya zilizokuja zimetafsiri hilo neno katika ubaya na uovu ambao watu waliopita walikuwa wakifanya kwa ujinga wao.
    Salafi sio mtu anaye fata wema wa waliotangulia huo ni upotoshaji.
    Yapo mengi sana ambayo mashekhe wasiokuwa masalafi wanayajuwa tena ni ya ajabu na ya upotoshaji lakini hawataki kusema ni kwa sababu wanachunga mipaka yao,Muislam hutakiwi kuwa mropokaji na kujifanya wewe ndio unajuwa kila kitu na hakuna mwingine anayejuwa zaidi yako.
    Na ndio maana watu wa adabu wanasema
    لا تقل كل ما تعرف (Usiseme au kuzungumza kila unachokifahau)
    ولا تصدق كل ما تسمع ( Na wala usikubali au kusadikisha kila unacho kisikia)
    ولا تفعل كل ما ستطع ( Na wala usifanye kila unacho kiweza )
    Hao masheikh mnao watukana kila siku na kuwaona hawajasoma,hawana elimu wala maarifa hawapo kama mnavyo wachukulia wanao uwezo wa kuwajibu tena kwa dalili mbali mbali na kuzungumza pia hata huo USALAFI ulivyo anza na kina nani waliuwanzisha na malengo yake ni yapi,lakini wanachunga ndimi zao ni kwa sababu ya hikma tu na adabu walizo fundishwa.
    Uislam sio dini ya chuki, sio dini ya kukaa mtu kumchafua mwengine ili yeye aonekane mwema na mzuri kwa watu na wala Uislam sio dini ushindani mmoja aonekane bora kuliko mwingine.
    Uislam ni dini ya kunasihiana na kufundishana na ni kwa ajili ya Allah sio mtu wala madhehebu.

    • @jechasuleiman5532
      @jechasuleiman5532 3 роки тому

      Heee shekhe

    • @selemanimartin1081
      @selemanimartin1081 2 роки тому +1

      Suleiman;Masalafi wanatumia nguvu kuwaweka watu ktk mstari ulio-nyooka ili kuwanusurisha na adhabu ya Allah: Acha chuki zako kwa Masalafi

  • @hamisifaki5623
    @hamisifaki5623 3 роки тому +5

    Nyie mkifundishwa mnakuwa wakaidi iho yenu nidini au biashala

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 3 роки тому +5

    Hii ni mishekhe iliyosoma kwa jina la mashetani majinga sana

  • @zainabissa7851
    @zainabissa7851 3 роки тому +5

    Tatizo lenu mashekhee wa leo mnapenda kufitinishana na pia hampendi umojaa mnapenda unafiq wa kugawana sivyo na wala haina mantiq yoyote mkwa mwendo huuu mnatutia matatizo waumin kaaeni shuraa mkatazane kwa hekma na sio kwa dhihaka na kejeli binaam kama binaadam hakosi makosaa sasa yeye anawazungumza mashekhee kwa ubayaa wewe unafanya nini Kam sio kinara wao hatukatai msikosowane lkn kwa hekma na utaratibu mzuri

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Dada Zainab Issa Mezani Wengi wanaichezesha Upande mmoja. Yeye Alipowatukana na Kuwashusha Hadhi Maulamaa Wa Sunnah Duniani Hakuona Ubaya Wowote Ule Wala Yeye hakuwatafuta Hao Unaowaita Ma Sheikh Wenzake Kuwafukishia hilo Alilofanya... Hapo Hakuna Dhihaka Wala Kejeli Hata Moja Iliotamkwa kwake... Hii Ni Moja Katika Raddi ZaKi Elimu Zilizowahi Kufanyika Ndani Ya Africa Mashariki Bila Ya Maneno Ya Dhulma Juu Yake Yoyote Yale... Allah Amhifadhi Mudyr Wetu Mbora na Amzidishie Elimu na Busara na Hekma Kuiweka Pahala Pake... Kama Umeona Neno Lolote La Dhulma Lililotajwa au Sio Jambo La Kielimu Lake Binafsi Tunaombaulibainishe Hapa.
      Baaraka Allāhu Fiyk

    • @hassanalbasq3160
      @hassanalbasq3160 3 роки тому

      Aamiyn

    • @asswiddiqwatamaaman979
      @asswiddiqwatamaaman979 3 роки тому +2

      @@AbuuKhayraat lakini mimi nimeuliza je hivi ndivyo bwana mtume alivyokuwa???mashekhe zetu muogopeni Allah khakika kwa uchache wangu wa ilmu sidhani kama bwana mtume alikuwa na mwenendo huu wa nyinyi mashekhe wa leo Raddi inasheria zake jamani,,,hivi hamuwezi kukosoana privately tena kwa amani???nani asiye kosea???na nani ajuaye yalio ktk nafsi ya mja ispokuwa Allah Subhannah Wataalah,khakika Allah atamueka kila mmoja anapostahiki,,,ivi ukikutana na chizi barabarani akakutukana nawe utamfatilizia na matusi pia???SubhannaLlah Allah atuongoze kwakweli mashekhe mnatuskitisha sana,na Allah ndie mjuzi zaidi.

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 3 роки тому +1

      @@asswiddiqwatamaaman979
      Me siku kosowi ila nakushauri tu kua na bidii xayd ykusoma dini yko na nakuombea kwa Allah aufunguwe ufahamu wako na ukujaalie uwe ni miongoni mwa vipenzi vyake

    • @asswiddiqwatamaaman979
      @asswiddiqwatamaaman979 3 роки тому +1

      @@Useri-bn6ye Allahumah Aameen yaarabil aalamiin kwetu sote ndugu yangu.

  • @abdulkatalango2890
    @abdulkatalango2890 3 роки тому +6

    kwani kawatusi vp wanachuoni hapo mnataka kumtukuza Albani kuliko inavyostahili? kwani sio kweli kuwa Albani ni muhadhith wa karne hii ?ni muhadith wa zama hizi tunazoishi ni wa juzi tu na kusema hivyo sio kumtusi bali ndio ukweli wenyewe

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 3 роки тому +4

    Chuki tu ndio zinakuumizeni,,

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 3 роки тому +2

      SASA HUYU SHEKHE KAZI YAKE NI KUKOSOWA TU. NAHISI GUYU SHEKHE ANATAFUTA UMAARUFU TU.VIPI UNAIDHARAU ELIMU YA MWENZIO. EKIMU YAKI HAIJAKAMILIKA KAMA WEEE NI KUKASHFU WENZIO.BORA MUITE MTU PEMBENI UMFAHAMISHE AU UMUELIMISHE. NA SIO NJIA YA MITANDAO. JIREKEBISHE KWANZA WEWE UNAUAIBISHA UISLAM.TOA MAWAIDHA YAKO UMALIZE USITAFUTE UMAARUFU

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 3 роки тому +4

      Tunaomba shekhe othman asijibu kitu kwani jibu la mjinga nikukaa kimyaaa

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 3 роки тому +4

    Sasa hizi nichuki ama vipi?

  • @abubakrikeerem7988
    @abubakrikeerem7988 3 роки тому +5

    Sheikh Pia unamakosa Yako ktk kukosoa

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 3 роки тому

      As salaam alaiykum naomba na mm unambie ayo makosa

  • @abasisimai1546
    @abasisimai1546 3 роки тому +1

    Ukweli mchungu

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 3 роки тому +4

    Shabani miraji mche Allah othman maalim amepiga vita daawah ya mtume muhammad daawat salafiyah vipi yeye hajagawa umma au unaangalia mpango mmoja tu

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 роки тому +3

    Kwani sheikh albani amemtukana kvp hapo?masalafi sijui ni ujinga au kutaka sifa?

  • @allyabdalla8688
    @allyabdalla8688 3 роки тому +1

    Dhana ya usalafi ilipoanza sh Nassor tayari nimgonjwa na alikuwa tayari hawezi kizungumza , mmoja kati ya wanafunzi wenu alinisema mm kwa uansari akanilaumu sana akidai kuwa uansari nikama muokota kuni usiku , nikamwambia hats shekhe alipokufa

    • @hassanalbasq3160
      @hassanalbasq3160 3 роки тому +1

      Baki ww tu katika uo unaosema uansar mwenzio ndo kashajua njia ya sawa nawewe soma ili uijue haqqi!! Allah atuongoze KATIKA HAQI

    • @mohdaliothman174
      @mohdaliothman174 3 роки тому +1

      Jambo la sheikh Nassor waulize walijuao ikiwa ww hulijui, ihurumie nafc yako, usiyaingie usiyoyajua,
      Hii khabar keshaitolea maelezo mazuri Sheikh Abuu Muhammad Salim, Abuu Ayman nk,, hem ifatilie uijue

  • @alisuleimankidoga3661
    @alisuleimankidoga3661 3 роки тому +5

    Allah atuhifadhie shekh wetu

  • @abubakrikeerem7988
    @abubakrikeerem7988 3 роки тому +2

    Uyo sheikh ajitaidi ikhilaswi n'a kua n'a adabu wakati akifanya raddi n'a afanye raddi kwa kutetea sheria n'a sio madhehebu yake
    Ila khaswa adabu iwembele zaid Inshaallah
    Kuusu makosa Pia mwenyewe kakosea tu n'a sio moja Wala mbili !!!

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 3 роки тому

      Samahan ila naomba nikuulize unapata wap ujasiri wakumwambia shekhe awe na adabu? Me nahs kuna ktu hujafahamu wewe

    • @idrissmussa4918
      @idrissmussa4918 3 роки тому

      @@Useri-bn6ye hapo hakuna sheikh ndugu yangu. Huyo kahifadhi hadithi mbili anajua nakutafsiri kiarabu basi. Mropokaji tu

    • @salumshirazy7179
      @salumshirazy7179 2 роки тому

      @@idrissmussa4918 kabisa

  • @shabanimiraji793
    @shabanimiraji793 3 роки тому +5

    Mawaidha ya kugawa Umma na Chuki Binafsi tu.

    • @abdulazizmsonde985
      @abdulazizmsonde985 3 роки тому

      Yeye alichoongea sio kugawa umma na chuki binafsi si ndio? Mche Allah

    • @abuuahmadharoub1495
      @abuuahmadharoub1495 3 роки тому +1

      Msaidieni kujibu shekhe wenu

    • @mohdaliothman174
      @mohdaliothman174 3 роки тому +3

      Kufeni kwa chuki zenu
      Hivi mnashindwa kuwa na uadilifu wa kumtafta nani alienza kuongea pumba,, mnaenda kumuandama aliyezijibu na kuziraddi pumba hzo
      Tumche Allah na tuwe waadilifu ktk kuyahukum mambo

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 3 роки тому +4

      sheikh othman maalim hajamtaja mtu na maadilifu nasheikh peke yake asiehukumu masheikh wengine lkn chuki hakuna kingine

    • @abdiomar6832
      @abdiomar6832 3 роки тому

      Sheikh Othman ni fasaha sana tena yuko vizuri Albani usimfananishe na shafiyy
      Shafiy ni mwanachuoni mkubwa
      Mimi nkikuta hadithi واه البخاري
      وصححه الباني neno hili naacha

  • @yaziduhamisi4096
    @yaziduhamisi4096 3 роки тому +4

    Ametukana wap acha uongo

  • @islamiczoneallytv2558
    @islamiczoneallytv2558 3 роки тому

    Usivuke meseji yangu hebu isome huenda allah akaleta nusra katika hili na kupenda kwa ajiri ya Allah

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 3 роки тому +4

    kwan hapo kazungumzwa nan vibaya?

  • @abuurayyan7128
    @abuurayyan7128 3 роки тому +3

    shukran abu yahya Allah akuhifadhi
    Raddi imenyooka

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 роки тому +2

    Umeongea pemba tu hakuna chochote kipya .pinga hoja si kuja na vitu havieleweki

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Ujinga una fani Nyingi

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 3 роки тому +2

      @@AbuuKhayraat usitafute umaarufu na wwe pia uonekane umefanya radi.ssa ndo umesema nni ssa?pumba tu na kutaka sifa

  • @ahmadayub3197
    @ahmadayub3197 2 роки тому +1

    Huya hana jipya wala hana alijualo ata moja. Ajikoroga tu aona haya ata kujionesha wivu wakishetan umewashika

  • @hassanalbasq3160
    @hassanalbasq3160 3 роки тому +3

    Maashallah ALLAH akuzidishie elimu na amuongoe kila mpotevu aje katika haqqi!! Lkin bado anahitaji rudud kali zaid juu ya maneno yke katika ile khutba

  • @shekhkhalfanbinshafii1890
    @shekhkhalfanbinshafii1890 3 роки тому +3

    Hamtaki kusoma kweli unanini wew sis hatutaki mambo mengi tunataka hadth na aya za kur ani sio Mashke wengine wengine huna elmu ya kumkosowa othmn mali ww kasome kwanza na kama umedhamiriya kufarakanisha umma na kutiya uwaduwi ndani yate sisi waslma mungu atakupoteza ww hutafukiya lengo

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Naomba Nikuulize swali Masharti Ya Swala Ni Yepi Ewe Mwenye Ghera na Uislam Wako naona unaongea maneno mengi mno kuonesha una Uchungu na Dini Yako?

    • @mohdaliothman174
      @mohdaliothman174 3 роки тому +1

      Hahaha, na mm pia naomba anitajie mambo manne anayostahiki kufanyiwa maiti wa kiislam,, kisha ndio aingie kwenye uwanja mkubwa

    • @selemanimartin1081
      @selemanimartin1081 2 роки тому

      Khalfan Hizbi mkubwa wewe twakujua: what's good for the goose is good for the gander

  • @samxx411
    @samxx411 3 роки тому +1

    Nyie masheikh mie naona mmekuwa kama wa..se.n g kwa hayo mambo yenu

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Jibu Hoja Za Ki Elimu Usilete Matusi Ewe Kaka Yetu Mbora

  • @allyabdalla8688
    @allyabdalla8688 3 роки тому +1

    Kama hivyo nikweli, uansari nikuokota kuni usiku na yawezeka hatakutu likadhaniwa ni kuni. Jee shekhe atahesabiwa hii ikrari ya usalafi na ulemuda wote wa uansari utakuwa bure?

  • @yaziduhamisi4096
    @yaziduhamisi4096 3 роки тому +3

    We ndo hamna kitu kabisa yani unachokikosoa hakieleweki una chuki tu

    • @salimjuma739
      @salimjuma739 3 роки тому +2

      Unafikiri kuwa maarufu ni kazi ndogo?

    • @selemanimartin1081
      @selemanimartin1081 2 роки тому

      Yazidu; Kwa Sisi wenye akili Sheikh tunamuelewa ila wewe mzito wa akili ndo humuelewi-Pole

    • @yaziduhamisi4096
      @yaziduhamisi4096 2 роки тому +2

      @@selemanimartin1081 wenye akili wenye chuki

  • @shafishafi8280
    @shafishafi8280 3 роки тому +2

    Baad y kujadil vp uislam uwafikie na wengn cc tunamjadil mt tena muislam mwnzt kibay zaid tunamjadil kw ubay sasa nd munatufunz nn mipasho iyo na maliz kw maneno matukuf ..INNA AKRAMAKUM IN DALLAHI ATQAKUM na c salafi wala nan uwo munoufany nn ni upuuz na chuki t baina yenu na huyu sheikh bs turudin kw Allah jaman na la mwsho mtume asem MTU km hana la kusem ni kheri akae kimy Allah atuhifadh kujingiza ktk upuuzi km huu.

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Shafi Shafi Una Ghera Na Dini Yako MashaaAllah
      Ila Naomba Nikwambie kitu Kujibu watu waliopinda au walioenda Pogo na usawa Ni Haki n Ni Sunnah Angu Zamani hadi Sasa

    • @selemanimartin1081
      @selemanimartin1081 2 роки тому

      Shafi: Kujadili Uislam!! Au kuwaunganisha Waislam! Wewee!!
      Unamaana unataka tuwe pamoja na Ma-hizbi na Mashia, acha Ujinga wewe!

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 3 роки тому +2

    Nahisi unakera tu na kuooteza mb zetu

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Pole sana. Haqq haipendwi na wengi.

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Labda nkuulize kwa Faida yako mwenyewe:-
      Lini ulokaa Chini Kwa huyo alokufanya ukereje Kusemwa Kwake ulijifunza Swala yako Tawheed yako, Masharti yake, Vitenguzi vyake, Vigawanyo vyake na mfano wa hayo uliojifunza Kutoka Othmaan Maalimu zaid ya visa?
      Naaam.

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 3 роки тому +1

    kwan kakosea wp uyo othman maalim

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Ukitaka Kujuwa Othman Kakosea Wapi Rudi Kwenye Hii Playlist

  • @omarrango8407
    @omarrango8407 3 роки тому +3

    Hapa ndio alipoishia sh OTHMAN au ndio unapotaka ww

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 роки тому +2

    Mwenzake anamwambia katoa mfano ,"mkojo "lkn yy katoa mfano wa "mavi ya ngamia" ufahamu kweli ni jambo kubwa sana

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Kweli Ufahamu Jambo sana Maana imekushinda kuifahamu hiyo ibara ilipowekwa.

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 3 роки тому +2

      Sawa ufahamu wenu tu uko juu

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 3 роки тому +4

    Mnge muachia Sheikh Abu Fadhil Qasim mafuta Amjibu ili tufaidike zaidi lkn pia mashallah

    • @ibnually7648
      @ibnually7648 3 роки тому +2

      Inaonekana baadhi yenu munashadidia haya mambo lakin eleweni kuwa hilo sio lengo bali lengo ni kutengeneza pale palipoharibiwa ktk dini

    • @issabinmaryam7450
      @issabinmaryam7450 3 роки тому +2

      Kwani baba fadhili ndo ana elim kuliko wote ???

  • @allyabdalla8688
    @allyabdalla8688 3 роки тому +1

    Swali na yeye pia no mzushi au hana elimu

    • @farhannurkey
      @farhannurkey 3 роки тому

      wewe kwani hujaskiza video au huna akili

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 3 роки тому

      @@farhannurkey
      Akh wewe una uchungu na dini lkn nakushauri kuwa mpole na kauli nzuri na huu ndio mwenendo wa kigezo chetu

    • @farhannurkey
      @farhannurkey 3 роки тому

      @@Useri-bn6ye anauliza maswali ya kipuuzi.

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 3 роки тому

      @@farhannurkey sw lkn hujuw kiwango chake cha elimu pengine kwa elimu yke ama ufahamu wake isiwe swali la kipuuzi
      kumbuka mtume (swallallahu Alain wa salam) alipo kua amekaa na maswahaba zake mskitini alipo kuja beduwi akakojoa vp mtume (swallallahu alaih wasalam) alipokea lile tukio ?

  • @maryamshuraim4163
    @maryamshuraim4163 3 роки тому +1

    me nachoka nahawa mashekhe waleo..bora nisome2 Quran na sunnah basi

  • @allyabdalla8688
    @allyabdalla8688 3 роки тому

    Ndani yakipindi chake chote alikuwa akiwaokotea makutu akidhani no kuni .maneno haya aliniambia mmoja miongoni mwa wsnaodai huo usalafi .

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Ionee Huruma Nafsi Yako. Allah akuhifadhi

  • @mohamedsuleimansuleiman1620
    @mohamedsuleimansuleiman1620 3 роки тому +1

    Wew shehe unatafuta umaarufu 2 huna lolote nyie mnaojita mnajiona km mitume wew una elimu gan mpumbav mkubwa ww

  • @maryamshuraim4163
    @maryamshuraim4163 3 роки тому

    DEDES HUYU ANAEONGEA

  • @allyabdalla8688
    @allyabdalla8688 3 роки тому +2

    Hivi hapo salafi ninani Albani Saidii njugu au bachu? Maana wrote hao walipokufa walikuwa ansari na we we Hamad Nassor ulikuwa ansari mpaka karbuni miaka miaka minane au tisa ndio umeanza wewe na wenzio kuwa huo mnaodai kuwa usalafi ,na baadhi yenu kuutukana uansari kuwa eti nikama muokota kuni usiku wakati shekhe wenu kafanao na hakuwahi kuwa sslafi.

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Thibitisha Unachokizungumza...

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому +1

      Aliekwambia Sheikh Nassor Abdallah Bachu Allah Amrehemu Kafa Kwenye U Answari Ni Nani? Na Je! Una Ushahidi Juu Ya Hilo?

    • @muhammadmjara6776
      @muhammadmjara6776 3 роки тому

      @@AbuuKhayraat tusibishane kwaa shekhe wetu Bali tujiangalie nafusi zetu naa tukubali usalafi nii watu wanao fuata wema walio tangulia

    • @muhammadmjara6776
      @muhammadmjara6776 3 роки тому

      @@AbuuKhayraat naomba kukuuliza huyo anae Fanya raddi nii mtoto wabachu au siyo

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 3 роки тому +1

      Hakuna sehemu yeyote katika qur an wala hadithi inasema kuwa ni watu wema waliotangulia hakuna maana hiyo acheni kupotosha watu na itikadi zenu,
      Leteni dalili kwanza ya asili ya hilo neno na maana yake alafu tulione katika qur an limezungumzwa katika muktadha upi kisha tuje sasa tuangalie hicho kitu mnachokiita SALAF msipende kutumia matamanio ya watu kupoteza wengine.
      Muogopeni Allah.

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 роки тому +2

    Wewe hutowi faida kwa umma Sasa waingilia wanaotoa faida. Sheitan amekutawala Shekh. Wacha kazi hio kuleta balaa katika dini. Kama amekosea mfate Lakini usituletee sisi ushetwani wako. Mpinzani wewe. Nyinyi ndio wanafik mwanyoa dini. Fitna tu

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      Msaidie Kujibu Hoja Za Kielimu Mwalimu Wenu usijibu mipasho ya Khanga

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 роки тому +1

      @@AbuuKhayraat una nini Abu khayraat?? Mipasho ya kanga ndio nini? Mbona wamtetea Jahil?

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      @@bigmanfish6346
      Nakwambia hivi:-
      Msaidie Kujibu Hoja Za Kielimu Mwalimu Wenu usijibu mipasho ya Khanga

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat  3 роки тому

      @@bigmanfish6346
      Sasa Huyo Jaahil Naomba Umjibu Kuthibitisha Ujaahil Wake au waporoja tuu mdomo hauna malipo uongee tuu utakalo

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 роки тому +1

      @@AbuuKhayraat jibu hili swali. Hadithi yasema kumnasihi mtu mbele ya umma ni kumfedhehesha. Kweli sio kweli?? Jibu swali sitaki alif bee tee

  • @allyabdalla8688
    @allyabdalla8688 3 роки тому +2

    alikuwa ansari akanijibu kuwa shekhe alishiriki vikao vya uanzilishi wa uansari na yeye alikuwa akisapoti daawati salafiyya .

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 3 роки тому +2

    hiyo Sufi amekuwa nii mropokaji wamda mrefu sana kwahiyo inabadi radio ziongezewe kwaa husumani malimu amekuwa raisii wamasufi

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 3 роки тому +3

      Kweli anatafuta umaarufu kimbe ndo anajichafuwa .sasa sijaona hata moja la maana aliloliongea.wivu tu.kutaka apande chati.ila hamumpati shekhe othman kishajaliwa na mola. Hapa cha maana hutukioni nikutafuta makosa ya wenzako.kwani othman yy si binadam
      Kila mtu ana mapungufu yake.

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 3 роки тому +1

    Kumbe huyu othmaan maalim ni mtu wa visa sana ila aawaam miongoni mwa watu wanampenda bila ya kujua ni mtu ambae anazusha sana katika dini hii kwa kujifanya aaalim mtu mwenye elimu sana na kuwaona maulamaa wetu wakubwa wa Ahlulsunnati kuwadogosha kama elimu zao ndogo kumbe yeye ndo hana elimu