Asante Bro. Vip nikiwa nisha tunza picha au video kwenye email. Afu nikapoteza simu sasa nikipata simu nyingine nikitaka vitu virudi kwenye storage ya simu navitiaje kwenye emali?
Yes by default imesettiwa hvyo ilikuzuia matumizi ya data..kwa hyo ukitaka kubadilisha ili uweze kutumia data au wifi unaenda kwenye setting ya google drive na unaweza kuchange settings
SAwa
Mie nahic niliset kuupload kwa kutumia wifi nifanye vp ili kuchange itumie data
Tazama hii nimeeleza hapa
ua-cam.com/video/MnhDn6MCZJ4/v-deo.htmlsi=oHO3fWwq5coVbB9R
Asant
Unyama
unyama sana
Asante ila mimi inakataa ukishaapload inaandika waiting for network sijui tatizo nini
itakuaa umeset itumie wifi kwenye ku upload sio data
Hata mm ina kataa😢
je ku restore vitu ulivo hifazi kwa account/email ako ya simu iliyo potea ,utavirudishaje ukipata simu nyingne ??
Ndio
Unawezaje kuweka picha nyingi kwa wakati mmoja
Asante Bro. Vip nikiwa nisha tunza picha au video kwenye email. Afu nikapoteza simu sasa nikipata simu nyingine nikitaka vitu virudi kwenye storage ya simu navitiaje kwenye emali?
Yani wee dondosh sim at mara elfu km ukiikumbumb paswed Yako picha unazikuta vile vile
Tazama hii nimeeleza hapa
ua-cam.com/video/MnhDn6MCZJ4/v-deo.htmlsi=oHO3fWwq5coVbB9R
Nifanyeje sasa ili niiaploid ili iwe inatumia data??
ua-cam.com/video/MnhDn6MCZJ4/v-deo.html
Mbona nikiziangalia sizion
ua-cam.com/video/MnhDn6MCZJ4/v-deo.htmlsi=oHO3fWwq5coVbB9R
Mimi mbona naseve inanikatalia
na vipi ukishasave picha kwenye email zikafutika unazipataje
kwenye email hazifutiki mkuu labda ufute mwenyew ..kama umebadilisha simu una add tu ile email ambayo ulitumia kusave picha zitarudi
@@jackthedev21 kwangu nimeadd email zimelud video tu ila picha hazijalud
Ukiweka nyaraka za siri au video zenye nyaraka za siri km ushahidi haziwezi kuonekana na watu wengine
@@MohamedKidungwa haziwezi mpka apate access kutoka kwa mmiliki tunza password ya email yako ndio ufunguo wako
@@jackthedev21 shukurani brio na ukitaka kuweka kwanye email je wafanyaje
@@MohamedKidungwa ili uweke kwenye drive ina bidi uwe na email kwahyo kwa lugha rahisi kuweka kwenye drive ni sawa na kuweka kwenye email
Mimi nikishaupload inaniambia waiting for Wi-fi
Yes by default imesettiwa hvyo ilikuzuia matumizi ya data..kwa hyo ukitaka kubadilisha ili uweze kutumia data au wifi unaenda kwenye setting ya google drive na unaweza kuchange settings
Tazama hii video nimeeleza hapa
ua-cam.com/video/MnhDn6MCZJ4/v-deo.htmlsi=oHO3fWwq5coVbB9R
Ukiweka nyaraka,za siri haziwezi kuonekana na watu wengine au.video
Unaweka
wewe uliyeweka niye mwenye kuwa na access nazo
Mbon mm sijaelewa
Tazama hii
ua-cam.com/video/MnhDn6MCZJ4/v-deo.htmlsi=oHO3fWwq5coVbB9R