Mahujaji milioni 4 wakiwemo Watanzania 2,000 wakusanyika Mina tayari kwa Ibada ya Hijja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Mahujaji takriban milioni nne kutoka nchi mbalimbali duniani wakiwemo Watanzania 2,000 wamekusanyika katika Viwanja vya Mina vilivyoko Makkah nchini Saudi Arabia tayari kwa ibada ya Hijja itakayofanyika kesho Agosti 20. Azam TV inaripoti kutoka nchini humo.

КОМЕНТАРІ • 10